Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #Leadership mof.go.tz Dodoma, Tanzania Joined September 2013-
Tweets4K
-
Followers533K
-
Following340
-
Likes5K
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi moja, Rais anaweza kutokea kona yeyote ya nchi. Ndugu Tundulisu unaweza kuwa MVIVU wa kuisoma Katiba ya nchi yetu, Basi msikilize Baba wa Taifa.
Matukio mbalimbali ya Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), unaofanyika tarehe 29 Aprili mwaka huu katika Ukumbi wa Mikutano wa…
📍 Nairobi, Kenya | Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA) Kupitia IDA mamilioni ya Watanzania wananufaika na miradi 14 inayotekelezwa kwa USD bilioni 3.87 kwenye sekta za elimu, afya, hifadhi ya mazingira, miundombinu, nishati na Tanzania ya kidijiti.…
"Kutokana na kiwango cha madeni cha sasa, tunaamini kuwa IDA21 inapaswa kujikita zaidi katika kutoa mikopo yenye masharti nafuu, kama vile mikopo itakayolipwa kwa miaka 50. Rasilimali hii itaziwezesha nchi za Afrika kutatua changamoto za maendeleo."- Mheshimiwa Rais Samia Suluhu…
Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
MAWAZIRI WA FEDHA AFRIKA WAKUTANA PAMOJA Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 Madelu (MB), ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa…
📍Kenya 🇹🇿🇰🇪 1.Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (MB), ameungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika kushiriki katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maaalumu wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21)…
Leo nimeungana na Mawaziri wa Fedha wa Afrika katika mkutano maalum wa kujadili vipaumbele vya Afrika ili viweze kuzingatiwa katika maandalizi ya Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maaalumu wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21), Mkutano huo umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa…
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (MB), akipokelewa na Waziri wa Fedha wa Kenya Prof. Njuguna Ndung’u, alipowasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Uchangiaji wa Mzunguko wa 21 wa Mfuko wa Maendeleo wa Benki ya Dunia (IDA21) ngazi ya…
Serikali imesema kuwa inaandaa mfumo wa kielektroniki wa kutoa ankara ya pamoja kwa huduma zinazolandana ili kuondoa usumbufu kwa wananchi wanaostahili kulipa kodi ya jengo na kodi ya ardhi. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan…
I had a very good Meeting with Dr. @akin_adesina , President of @AfDB_Group . A follow up Meeting to the Discussions between HE. Dr. @SuluhuSamia and Dr. Adesina on Financing of Agriculture, Energy and Infrustructure.
Heri ya siku ya Muungano. Tunaadhimisha miaka 60 ya mafanikio makubwa na tunajivunia hatua tuliyofikia.
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi mikubwa. Dkt Mwigulu Nchemba amesema hata kama Fedha hizo ni za Mkopo, bado ni Fedha za…
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. @mwigulunchemba1 (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe…
Serikali imesema kuwa inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kisera, kiutawala na kisheria ili kudhibiti tabia ya baadhi ya taasisi za fedha kutoa mikopo kinyume na miongozo iliyopo. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb),…
Finally wakandarasi wazawa waanze kunufaika, wizara ya ujenzi huwa na bajeti hadi zaidi ya Trillion tano sometimes. Pesa nyingi huenda road funds hatimaye Tanroads, ukiangalia kazi nyingi za Tanroads hupewa wageni, hii haijakaa sawa kabisa. Tunafurahi kusikia vikwazo kwa…
Finally wakandarasi wazawa waanze kunufaika, wizara ya ujenzi huwa na bajeti hadi zaidi ya Trillion tano sometimes. Pesa nyingi huenda road funds hatimaye Tanroads, ukiangalia kazi nyingi za Tanroads hupewa wageni, hii haijakaa sawa kabisa. Tunafurahi kusikia vikwazo kwa…
BENKI YA DUNIA WAKUBALI HOJA YA MWIGULU, SASA WAKANDARASI WAZAWA KUPATA TENDA KUBWA. Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameitaka Benki ya Dunia kubadili Sera yake ya Manunuzi kwa kupunguza masharti magumu yanayowabana Makandarasi wazawa kupata Miradi…