Jamii Forums @JamiiForums
The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen Journalism t.me/JamiiForums United States Joined June 2009-
Tweets63K
-
Followers1.8M
-
Following325
-
Likes6K
JOHN CHANGALUCHA: Mtafiti Taasisi ya #NIMR: Sisi Watafiti tunaendelea na utafiti wetu na tunawafuatilia wahusika 930 tuliowachanja ambao tuliwagawa katika makundi matatu, huu ni Mwaka wa 7 na tutawafuatilia hadi watakapofikisha Miaka 9 tangu tulipowapa chanjo kuona kama kutakuwa…
JOHN CHANGALUCHA: Mtafiti Taasisi ya #NIMR: Tafiti zilizofanyika zilionesha kuwa uwezo wa Dozi moja ni mkubwa katika kuweka kinga mwilini (dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi) Wakati utafiti wetu unaendelea, upande wa pili Nchini Kenya kulikuwa na utafiti kwa Wanawake wenye…
JOHN CHANGALUCHA(Mtafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu - #NIMR): Utafiti ulianza tangu Mwaka 2017, na ulionesha Wasichana wadogo wanapokea kinga vizuri na inaweza kufanya kazi vizuri kuliko Watu wazima Maambukizi ya HPV yanasambaa kwa kujamiiana, asilimia kubwa…
DKT. NORMAN JONAS (Daktari Mkufunzi Wizara ya Afya): Ni vizuri Mwanamke akaanza uchunguzi wa Saratani ya Mlango wa Kizazi mapema, tunawashukuru sana Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (#MEWATA) kwa kuwa mstari wa mbele kuongoza kampeni ya Chanjo Chanjo hii ni ya hiyari na…
DKT. NORMAN JONAS (Daktari Mkufunzi Wizara ya Afya): Maambukizi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi yanaweza kusababisha maumivu ya nyonga au maumivu wakati wa tendo la Ndoa Virusi wa #HPV hawasababishi Saratani ya Mlango wa Kizazi pekee, wanaweza kusababisha Saratani ya Koo,…
DKT. NORMAN JONAS (Daktari Mkufunzi Wizara ya Afya): Maambukizi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi yanaweza kusambaa kwa kujamiiana Ni moja ya magonjwa yanayotokana na ngono na kuathiri watu wengi Tafiti za Kisanyansi zinaonesha umri sahihi wa kutoa Chanjo ni miaka 9 hadi 14…
DKT. NORMAN JONAS (Daktari Mkufunzi Wizara ya Afya): Saratani ya Mlango wa Kizazi kuna wakati pia inaweza kuitwa Shingo ya Mlango wa Kizazi, hivyo unaposikia hivyo isikuchanganye Saratani inayotokea eneo hilo inatokana na #HPV, kuna aina zaidi ya 200 za HPV #JamiiForums…
DKT. NORMAN JONAS (Daktari Mkufunzi Wizara ya Afya): Virusi vya #HPV vinaathiri Binadamu, na Maambukizi yake yanapotokea hayana dalili 90% ya Wagonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi wanatokana na virusi vya HPV #JamiiForums #JFXSpaces #CancerAwareness #JFAfyaJamii…
DKT. FLORIAN TINUGA (Meneja Mpango Chanjo): Baada ya kumalizika kwa kampeni, #Chanjo hii itaendelea kutolewa katika vituo mbalimbali hadi Septemba 2024 Pia, itambulike kuwa chanjo inatolewa katika vituo vya Serikali na vile vya Binafsi #JamiiForums #JFXSpaces #CancerAwareness…
DKT. FLORIAN TINUGA (Meneja Mpango Chanjo): Chanjo hii ni salama, ni hiyari na kundi kubwa inawalenga Watoto ambao wapo shule na ndio maana wakafuatwa huko Hadi kufikia Aprili 26, 2024, walengwa wa chanjo waliofikiwa katika walikuwa 90% #JamiiForums #JFXSpaces #CancerAwareness…
DKT. FLORIAN TINUGA (Meneja Mpango Chanjo): Kuanzia Aprili 2024 kulikuwa na mabadiliko kutoka Dozi mbili na kuwa Dozi moja Umri umezingatiwa kwa kuwa Sayansi imeonesha katiks umri huo ni wakati ambao dozi ya chanjo inaweza kufanya kazi kwa usahihi zaidi #JamiiForums #JFXSpaces…
DKT. FLORIAN TINUGA (Meneja Mpango Chanjo): Chanjo ya HPV ilianza kwa dozi mbili za Chanjo kwa Wasichana wa Miaka 9-14 Mwaka 2024, kwa kuzingatia tafiti ilionekana kutoa dozi moja na mbili zote ni sawa Tafiti hizo zilifanyiwa tathmini na Shirika la Afya Duniani na ukatolea…
DKT. FLORIAN TINUGA (Meneja Mpango Chanjo): Chanjo ya Saratani ya Mlango wa Kizazi ilianza kutolewa Mwaka 2014 Mkoani #Kilimanjaro, baadaye Mwaka 2018 ikaelekezwa Nchi nzima #JamiiForums #JFXSpaces #CancerAwareness #JFAfyaJamii #AfyaBora2024 #PublicHealth #Afya
DKT. NTULI KAPOLOGWE (Mkurugenzi Kinga, Wizara ya Afya): Kutibu au kujiuguza Saratani ni gharama kubwa ndio maana Serikali imeungana na Serikali nyingine Duniani kwa ajili ya kuhamasisha kupata Chanjo ya HPV ili kujikinga Nchini Tanzania, Mkoa wa #Kilimanjaro unaongoza kwa kuwa…
DKT. NTULI KAPOLOGWE (Mkurugenzi Kinga, Wizara ya Afya): Serikali imeamua kutoa Chanjo ya #HPV kwa kuwa Saratani ya Mlango wa Kizazi imekuwa changamoto kubwa Nchini, inaongoza kwa kuwa na Asilimia 23 ya Wagonjwa tofauti na Saratani nyingine zote #JamiiForums #JFXSpaces…
DKT. NTULI KAPOLOGWE (Mkurugenzi Kinga, Wizara ya Afya): Chanjo ilianza Mwaka 1975 hadi Mwaka 2024 tumekuwa na Chanjo 10 za kuweza kudhibiti Magonjwa 14 Mjadala unaendelea hapa jamii.app/HPVSpaces #JamiiForums #JFXSpaces #CancerAwareness #JFAfyaJamii #AfyaBora2024…
AFYA: Chanjo ya Human Papillomavirus (#HPV) inatolewa na Serikali kwa Wasichana wenye umri wa Miaka 9 hadi 14 kwa ajili ya kuwakinga dhidi ya Ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi Saratani hiyo inaweza kuzuilika kwa kupata Chanjo na kutibika endapo Mgonjwa atawahi Matibabu…
millardayo @millardayo
2.7M Followers 488 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherZee la Vyeti (PhD) @babalao__
477K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Privaldinho @privaldinho
764K Followers 438 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Farhan Kihamu Jr @FKihamu
387K Followers 974 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberDr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 207 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Martin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Lubasha Jr @MarekaMalili
620K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|Daktari Wa Manesi �.. @McinikaWaLamar
756K Followers 2K Following Social Media GURU | Thinker Tank | Content CreatorShaffih Dauda @shaffihdauda1
892K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownNajmah Najma @NajmahNajm30709
0 Followers 48 FollowingAfrican miracles @Africamiracles
1 Followers 106 FollowingAlex @AlexMashaka1
98 Followers 131 FollowingAlly Mabobo @boboadereke3395
0 Followers 91 FollowingHamisi Salehe @HSalehe45578
0 Followers 2 FollowingJilala John @JilalaJohn1671
0 Followers 2 Following ● Author | Copywriter | Speaker | Trainer | MP🩺 ● Founder & C.E.O: Youth Success Foundation ● Leadership Enthusiast ● Call / WhatsApp: 0767 439 064Cathubeth Kimaro @cathubeth75398
0 Followers 65 FollowingJoker Joker @JokerJoker31205
0 Followers 19 Followingjoeboy @joeboy728330
0 Followers 3 Followingwilliam willy @williamwilly524
0 Followers 13 FollowingVein Max @veinmax27
0 Followers 37 Followingmabibo @mabibo3
254 Followers 2K FollowingAbdul D @AbdulD215171
1 Followers 100 FollowingRoger Salum @rogersalum7
0 Followers 14 FollowingJenifer Gilla @jenifergillaz
5 Followers 65 Following Enviromental and women Journalist @theawjp fellow @UNwomen @FEMNET Award WinnerFredrick @Fredric59671192
2 Followers 169 FollowingJosephat Mapunda @JosephatMa96782
2 Followers 55 FollowingJonas karoli Mallya @JonasMallya0555
0 Followers 22 FollowingAmos MD @SrZeddicus
107 Followers 466 Following Succcess........ MD student @KCMUCO Upcoming athlete An explorerNoah Utamwa @NUtamwa37081
0 Followers 64 Followingcounsellor masanilo @MasaniloPa44304
0 Followers 21 Following +HIV testing and counselling services provider +DiplomaticAlex Mahenge @mahenge_al54695
59 Followers 109 FollowingDarlin Hassan @DarlinHass82534
1 Followers 32 FollowingPaschal Odas @PaschalOda15952
3 Followers 117 FollowingAlice Kipanga @AliceKipan91043
1 Followers 19 FollowingBoniface kipandwa @BKipandwa19575
4 Followers 181 FollowingMyla @Myla25792036214
1 Followers 1 FollowingNdagire Jr @Ndagire_Jr
1 Followers 21 FollowingMsoma Juma @MsomaJuma252
0 Followers 0 FollowingAzori12 Charles @Azori12msaada
4 Followers 92 FollowingRodia speki @RSpeki
3 Followers 11 FollowingMustafa @Mustafa889086
1 Followers 89 FollowingKaijage Emilius @KaijageEmilius
122 Followers 373 Following Resident - UON | Academician - MUHAS | Health Laboratory Scientist | MUHAS Alumnus ||Rwabilimbo @Rwabilimbo22
11 Followers 30 FollowingZuweina Kondo @ZuweinaKondo
42 Followers 177 Following Medical doctor. Motivated by accomplishments which impact people's lives.Mission to be a better Muslimah.TB advisor and advocatewagger chen @ChenWagger28940
0 Followers 21 Followingjob frank @jobfrank154233
0 Followers 4 FollowingMvungi iddi @IddiMvungi95302
0 Followers 32 FollowingElias Brayson @EBrayson26294
1 Followers 94 Followingit's incredible @DMzugi57205
4 Followers 58 FollowingDj_Kwiramba @Dj_Kwiramba
1 Followers 137 FollowingPiele Songoro @PieleSongoro
3 Followers 70 FollowingSAIDI IDDI @SAIDIIDDI133763
0 Followers 42 FollowingMoses @Moses1186712
1 Followers 41 FollowingMeck Mloti @MeckMloti91568
1 Followers 20 Followingmillardayo @millardayo
2.7M Followers 488 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Clouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 207 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightMwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingJokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteFalsafa Baba! @MwanaFA
775K Followers 453 Following MC with an MSc | Family Man | Rapper | A Business-MAN | Member of Parliament - Muheza Constituency | Deputy Minister - Culture, Arts & Sports |Carol Ndosi @CarolNdosi
583K Followers 3K Following #WomenInTech #KilimoNaCarol | Digital Inclusion | SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @sheroestanzania @_123productionsNape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyUmmy Mwalimu, MP @ummymwalimu
895K Followers 699 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Dr. Jabhera Matogoro @Dr_Matogoro
45K Followers 5K Following Dr. Jabhera Matogoro holds PhD in Telecommunications Engineering and Masters of Science in Computer Science from the University of Dodoma.Privacy Symposium Afr.. @AfricaPrivacy
1K Followers 87 Following A unique platform established to discuss research, policy, and technology developments related to personal #DataProtection and #PrivacyUnwanted Witness @UnwantedWitness
4K Followers 972 Following Civil society organization (CSO) that was established to defend and protect #DigitalRights and online freedoms.Al Junaid Hasham @AlJunaidHasham
121 Followers 245 Following Management Consultant turned EntrepreneurTUKO.co.ke | The Hear.. @Tuko_co_ke
315K Followers 5K Following The most popular and trusted news website in Kenya 🇰🇪 Follow us for all trending news! ✉️ [email protected]Asimwe Kabunga @asimwe
9K Followers 4 Following Asimwe Kabunga is a Tanzanian born Australian entrepreneur with multiple interests in mining & IT sectors. Serves as a Chair of ASX listed $LIN $VRC $RMI & $AKNDr Isaac Maro @DrIsaacMaro
9K Followers 251 Following Medical Doctor, Founder, AfyaCheck Media / AfyaCheck Community Outreach Programs / Presenter, Njiapanda Radio Program.Naveen Thacker @naveenthacker
80K Followers 64K Following President International Pediatric Association (@IPAWorldorg) #Pediatrician #RotarianAshaDii @AD_Abinallah
19K Followers 1K Following Working at the Intersection of Technology, Internet Governance, Data, Innovation and New MediaAfricanofilter @africanofilter
10K Followers 2K Following Working to shift stereotypical narratives about and within Africa, by investing in creative & media storytellers, narrative research and advocacy efforts.Wizara ya Madini @MadiniTanzania
69K Followers 372 Following HUU NI UKURASA RASMI WA WIZARA YA MADINI ILIYOUNDWA TAREHE 7/10/2017 BAADA YA KUGAWANYWA KWA ILIYOKUWA WIZARA YA NISHATI NA MADINI.Godlove Mwakibete @chiefgodlove_
22K Followers 0 Following Influencer, Financial services, Psychology, Marketing strategy, Social digital marketingRaqey Mohamed @iamraqey
2K Followers 67 Following Deputy Director of Presidential Communication, Statehouse Zanzibar Photography & Videography Guru. Former AWF Multimedia Comm Specialist.German Embassy Dar es.. @GermanyTanzania
35K Followers 368 Following Welcome to the official twitter account of the #German Embassy #DarEsSalaam, #TanzaniaLukiza Autism Foundat.. @LukizaAutismFdn
789 Followers 411 Following Organizers of Run 4 Autism Tanzania Half Marathon. Improving the quality of life of individuals on the Autism Spectrum Disorder and their families in Tanzania.Trish @patboshe
167 Followers 779 FollowingJumanne Mtambalike @Afruturist
35K Followers 4K Following Entrepreneur | Pan-Africanist | Futurist | CoFounded @VenturesSahara @SparkSahara Championed @SiliconDar @ailabtz @AfroSheFound Founding Member @TanzaniaSAElizabeth @Elizabe171
251 Followers 373 Following Epidemic response, Biosecurity, Cardiovascular health. Public health and Health management . Social BusinessDr. Elisha Osati @ElishaOsati
12K Followers 1K Following 19th President of The Medical Association of Tanzania-MAT|Physician-Muhimbili National Hospital|Lecturer-MUHAS|Researcher|Health Policy analystHabariLeo @HabariLeo
166K Followers 773 Following Kwa habari za uhakika na kina | Sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania Tanzania Standard Newspapers (TSN)CHADEMA Tanzania @ChademaTz
758K Followers 11 Following The Main Opposition Political Party in Tanzania ✌🏼Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
534K Followers 356 Following Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #LeadershipDerick @DerickNyasebwa
512 Followers 236 FollowingVerified @verified
4.2M Followers 2 Following Individuals can get a blue checkmark with @Premium. Organizations can sign up for Verified Organizations here: https://t.co/uFOsfTiR2ATito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Mzalendo Halisi Found.. @UtuNaUzalendoKE
174K Followers 10K Following I demand true change in Kenya, in Africa! Total mind & ATTITUDE shift. I change, YOU change, TOGETHER WE change Africa! PAMOJA! — Formerly @WanjikuRevoltIndia in Tanzania @IndiainTanzania
37K Followers 254 Following Official twitter account of the High Commission of India in Dar es Salaam, Tanzania.CDF Tanzania @cdftz
12K Followers 676 Following Nonprofit Organisation Promote & Reinforce Children's Rights Addressing FGM, Teenage Pregnancy & Child Marriage [email protected] | +255 743 902 858Ananilea Nkya (PhD) @AnanileaN
53K Followers 386 Following Human Rights Activist & Trainer on Media and National Development Issues|Tanzania's Woman of Courage Award Recipient 2010|TAMWA Executive Director 2001-2012Maria Burnett @_MariaBurnett
14K Followers 2K Following Human rights lawyer @CSISAfrica, Ex-@HRW Africa, @YLS, believer in compassionate release, social movements, activism & keeping up w motherhood at the same timeTundu Antiphas Lissu @TunduALissu
741K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorHakiMadini Tanzania @HakiMadini2012
6K Followers 242 Following HakiMadini is the only rights based organisation in the mining sector which advocates for a more equitable distributions of Tanzanians abundant natural wealthLEAT @InfoLeat
801 Followers 613 Following - Member of Friends of the Earth Africa and Friends of the Earth International (FoEA & FoEI). - UNFCCC observer status. - Free legal aid: +255717156156TAKUKURU.TZ @TakukuruTz
52K Followers 85 Following Hii ni akaunti rasmi ya TAKUKURU TANZANIA. Taasisi hii ya umma imeanzishwa chini ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Namba 11 ya Mwaka 2007.Geoffrey York @geoffreyyork
294K Followers 14K Following Africa correspondent for The Globe and Mail (Canada). Based in Johannesburg; formerly in Moscow & Beijing. IG: geoffrey_york Email: [email protected]Anders Sjöberg @sjoberg_a
5K Followers 342 Following Please continue to follow on my official X handle @SweAmbSG Ambassador of Sweden to Singapore.Gado Cartoons @iGaddo
426K Followers 982 Following Editorial Cartoonist, Animator, Free Speech Advocate And Content Producer | RT ≠ endorsement E-Book: https://t.co/0Cw5i8lFCIJebra Kambole @Advocate_Jebra
335K Followers 299 Following Law Guards Advocates, Criminal, Corporate and Civil Litigation lawyer. Togo Tower, kinondoni Business Only Call +255748334032HakiRasilimali @HakiRasilimali
10K Followers 389 Following The leading network of civil societies in Tanzania working towards transparency and accountability in the extractive industry (mining, oil & gas).MFA Tanzania @mfa_tanzania
82K Followers 559 Following Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African CooperationDIRAJ @DirajAfrica
994 Followers 2K Following DIRAJ is an association of journalists and media professionals covering disaster risk reduction #DRR and humanitarian response in Africa.African Child Policy .. @AfricanChildFrm
2K Followers 2K Following ACPF is an independent, non-profit, pan-African child rights advocacy and research organisation.Katika #Wikiyachanjo 2024. Usikose mjadala huu leo saa 10 hadi 12 jioni, ambapo wataalamu mbali mbali wa afya nchi watakuwepo kujadili chanjo ya saratani ya mlango ya kikazi (HPV vaccine). Karibu ujifunze.
MJADALA WA MOJA KWA MOJA WA WATAALAMU WA AFYA Kuhusu Umuhimu wa Chanjo dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi kwa Wasichana wa miaka 9-14
Baadhi ya Watu husambaza taarifa wanazokutana nazo kwenye Mitandao ya kijamii bila kuzihakiki Baada ya kufanyiwa uhakiki, taarifa nyingi hubainika kutokuwa na Ukweli. Kitendo hiki kimekuwa chanzo cha kusambaa taarifa mbalimbali zinazopotosha Watu Kabla ya Kusambaza au Kuamini…
Mgombea binafsi ataimarisha vyama vya siasa na utawala bora kwani upendeleo na kukata wagombea wanaoungwa mkono na wanachama kura za maoni utapungua Wanawake wenye sifa hawatalazimishwa kugombea viti maalum kupisha wanaume majimboni. Kama uraia pacha ni haki iliyocheleweshwa
My first blog post to @JamiiForums, the leading Social Media in Tanzania. Made in Tanzania for the Global. 1st International Conference on the Advancements of Artificial Intelligence in African Context jamiiforums.com/index.php?thre…
@JamiiForums Please jamii forum nina kero yangu naomba mnisaidie kufikisha mahali Husika. Nashindwa kuja inbox please check me 0744996795.
After so many years, my account at @JamiiForums has been activated and now I have managed to be Verified with “Blue Tick” at zero cost. This was facilitated by @macdemelo, MD for @JamiiForums. I am so honoured to have the blue tick for the largest social media in Tanzania.
"We believe in partnership not competition. To expand our reach and make a difference, we must collaborate. This is how we can achieve greatness." - Francis Nyonzo, Program Officer, @JamiiForums #DataTamasha2023
Tutazungumza juu ya sheria ya ulinzi wa taarifa na haki ya faragha ya mawasiliano binafsi ya mtu tz! @TitoMagoti @JamiiForums @MwananchiNews @MwanzoTv @TheChanzo @CloudsMediaLive @Nipashetz @WateteziTV @ITVTANZANIA @earadiofm @RadioOneStereo @freedomhouse @Jambotv_ @millardayo
We're happy to introduce @JamiiForums as a partner for @AfricaPrivacy 2023!🎉@JamiiForums is a home of great thinkers & #EastAfrica's leading discussion board on #CitizenJournalism Join us at Caudon Arts Center in Port Louis #Mauritius for the #PSA2023 🔗bit.ly/PSA2023Physical
📢#10daystoPSA2023📢 Join us from November 7th to 9th, 2023, in Port Louis, #Mauritius, for the grandest privacy gathering as we delve into the world of #privacy amidst digital transformation. Format: Hybrid Online: bit.ly/OnlinePSA2023 In-person: bit.ly/PSA2023Physical
"Kelele zetu za mitandaoni zina thamani sana na zinasikika. Tusiache kupiga kelele hizi kwani ndio chanzo cha mabadiliko" ~ @macdemelo @JamiiForums #WikiYaAzaki2023 #TechXSociety
@macdemelo talking about the VPN issue in Tanzania. Privacy is a consitutional #right Max akiongelea ishu ya VPN. Tusije tukasahua kwamba #faragha ni #haki yetu ya kikatiba The election is coming. Resist the removal of your access to #information youtu.be/AfJ0aBuUOG0?si…
Ukweli mchungu @macdemelo @JamiiForums #CSOWeeks2023
@JamiiForums Hongereni sana @JamiiForums
@JamiiForums Safi sana. Hongera Max. #YouGotTalent
@JamiiForums Safi sana mnafanya kazi Kwa weredi
@JamiiForums Uzuri wa @JamiiForums privacy ni #1... Vinginevyo mtoa mada nisinge shangaa kusikia AKICHUNGUZWA YEYE KWANZA.
Wakati wa hafla ya kila mwaka ya @JamiiForums ya kukabidhi tuzo ya Simulizi za Mabadiliko (Stories of Change), Balozi Michael Battle aliwapongeza waandishi habari wa kiraia kwa kazi yao kubwa ya kusaidia demokrasia nchini Tanzania na duniani kote. Hongereni washindi wa tuzo hii!…
Excited to attend @JamiiForums awards gala dinner for #storiesofchange. In times of disinformation, trolls etc, credible and quality content is of utmost importance!