EastAfricaRadio @earadiofm
Official account for East Africa Radio Dar es Salaam, Tanzania Joined October 2011-
Tweets178K
-
Followers1.3M
-
Following9
-
Likes8K
Kipindi unamaliza chuo ulipanga chini ya shilingi ngapi hufanyi kazi ya mtu? Picha: Shutterstock #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #Chuo #Kijana #Dodoso #Ajira #HainaKuchoka
#PostOfTheDay: Kuna ukweli kwenye hili? Cc: @ChoperWang #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #PostOfTheDay #HainaKuchoka
#BURUDANI Rich Msafii na @Shneida_Infos wakifunguka kilichotokea usiku wa kuamkia leo kwenye show ya @AyTanzania kupitia #BongoFlavaHonors pale Ware House Masaki. Kama ulipitwa pitia Youtube,Facebook na Twitter ya #EastAfricaTV kuona tukio kamili na Surprise zingine kibao.…
#NBCPL Half Time : Yanga 0 - 0 Coastal Union #YangaSC #CoastalUnion #Soka
#NBCPL Kama Jini katoka lakini kwa Mbinde sana, Mganga hoi 😃 Full Time : Yanga 1 - 0 Coastal Union (Guede 76) #YangaSC #CoastalUnion #Soka
Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive imembananisha Kipa wa Singida Foutain Gate FC, #BenoKakolanya kueleza ukweli sakata lake la kutoweka kambini kuelekea mechi yao dhidi ya #YangaSC wiki 2 mbili zilizopita. #FridayNightLive #FNL #BenoKakolanya #Soka
#Reels Story za @Shneida_Infos na Chino Wana Man #ChinoKidd7 kuelekea dabi ya Watani wa Jadi #YangaSC na #SimbaSC. #ChinoKidd anasema mkeka wake anautupa kwa Yanga SC kuibuka na ushindi katika game hiyo. Upi utabiri wako mechi ya #Yanga na #Simba? #Trending #YangaSC #SimbaSC…
#Reels Masta @AyTanzania Mzee wa Commercial alivyoingia na mpambe wake @FidQ 😄 usiku wa BongoFlava Honors hapa Ware House Masaki. #Ay #AyTanzania #FidQ 🎥 @Shneida_Infos
#PICHA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania @SuluhuSamia akiagana na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud mara baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili 2024.…
"Tunaipongeza Somalia kwa jitahada zake za kuendelea kurejesha amani na usalama katika taifa lao, kama Ujumbe wa Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika na pia katika majukwaa mengine ya Kimataifa, Tanzania itaendelea kuunga mkono jitihada za kurejesha amani nchini humo"…
“Tumekubaliana kuimarisha mahusiano yetu ikiwemo masuala ya kijamii hususani kwenye eneo la afya na elimu, tumewapa mwaliko wakati wowote wakitaka msaada wetu kwenye afya na elimu waje tuzungumze tuko tayari na tutawasaidia.” – Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu @SuluhuSamia…
#Burudani: Huyu aliye katika picha, umemuona kwenye movie gani? Tuambie hapa chini kwenye commnents. cc @ClementThehero #Burudani #Weekend #Movies #EastAfricaTV #EastAfricaRadio
#OngeaRadioShow:, @mariamshabanitz na @msnajmapaul wamezungumzia athari za pombe kupindukia na mihadarati kwa vijana kama ambavyo Baba Leah kutoka kwenye igizo alivyopata changamoto ya kiafya, kijana ili kufikia ndoto zako acha kunywa pombe kupindukia. Kijana, ni lini utaacha…
#OngeaRadioshow: @msnajmapaul na @mariamshabanitz wakizungumzia namna mikopo na marejesho inavyoweza kuathiri uhusiano miongoni mwa marafiki hususan mmoja anaposhindwa kurejesha mkopo kwa wakati au asiporejesha kabisa. Sikiliza #OngeaRadioshow kila Jumamosi saa 5:30 asubuhi hadi…
#OngeaRadioshow:, @msnajmapaul anaongea na wewe kijana kuwa usichukue mkopo ulio nje ya uwezo wako yatakutokea puani. Ni kupitia @ongearadioshow ambapo leo imeangazia athari za mikopo na marejesho bila kusahau athari za pombe kupindukia. Sikiliza #OngeaRadioshow kila Jumamosi…
#QUIZ: Michezo ya Olimpiki mwaka huu 2024 inafanyika nchi gani? Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kupitia East Africa TV kila siku saa 6 mchana. #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV #HainaKuchoka
#HABARI Mwanamke mwenye umri wa miaka 58 nchini Kenya katika shamba la Sifa Kitengela amekamatwa na polisi baada ya kuishi na mwili (maiti) ya mume wake ndani kwa muda mrafu mpaka mwili huo ukaharibika akiamini kuwa iko siku atafufuliwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na…
#Skonga: Kwenye Q and A, Rehema amejibu swali linalouliza yale mataa ya barabarani yana kazi gani? Ni kutoka Gunatra Secondary School, jijini Dar es Salaam, je wewe unafahamu faida zipi zingine za taa za barabarani? #Skonga #EastAfricaTV #hainakuchoka
#Skonga: Q and A, Swali ni kwamba mmeng'enyo wa chakula (digestion) unaanzia mdomoni na kuishia wapi? Ni majibu ya Warda kutoka Gunatra Secondary School, jijini Dar es Salaam. #Skonga #EastAfricaTV #HainaKuchoka
#HABARI Jeshi la Polisi nchini limewataka watu wenye taarifa tofauti na si za uzushi/uwongo kuhusu ajali ya Mpiga picha wa mtandao wa MillardAyo na Ayo TV Noel Mwingila maarufu Zuchy wazifikishe kwa viongozi ili hatua zichukuliwe na sio taarifa za uzushi zinazosambaa mitandaoni…
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
477K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Farhan Kihamu Jr @FKihamu
387K Followers 974 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaHilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberKhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
273K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Daktari Wa Manesi �.. @McinikaWaLamar
756K Followers 2K Following Social Media GURU | Thinker Tank | Content CreatorMartin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤Spana & V.A.R Movemen.. @spana_Konki
293K Followers 1K Following Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANAZee La Nyeti @OriginoZee17
224K Followers 7K Following Truck Driver|Professional driver|Forklift Operator|Terminal Tractor Operator|Funny Man| @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC FanJohn Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Tiger Ntore @NtoreTiger37650
0 Followers 36 FollowingLeopord Kijenge @LKijenge
0 Followers 42 FollowingJohnson @johnwillie3030
0 Followers 69 Followingidrisa abdalla mohamm.. @IdrisaAbdalla
2 Followers 48 FollowingMastidia Mbeo @MastidiaM6633
0 Followers 10 FollowingBoniventure @iugbbj
19 Followers 22 FollowingJacobo Lusambo @jacobo_lus34837
1 Followers 106 FollowingGodfrey Mbele @GMbele24458
0 Followers 28 FollowingFaraji Mwanchindu @mwanchindu20969
0 Followers 0 FollowingMeshack Methusela @MeshackMet5883
0 Followers 196 FollowingAndrew Laurian @LaurianAnd49953
0 Followers 131 FollowingAbdallah Rashidi @AbdallahRa10966
2 Followers 134 Followingjigger Og @tukalole27860
0 Followers 86 FollowingRICHARD ERNEST @RICHARDERN39609
1 Followers 45 FollowingTerevael mbise Mbise @TerevaelMb32163
0 Followers 43 FollowingAshura Omari @AshuraOmar48700
0 Followers 0 FollowingQm669 @QauVoic19386
0 Followers 20 FollowingAzizi yusuphu @azizi_yusu54229
0 Followers 6 Followingevad molokozi @EMolokozi92938
1 Followers 23 FollowingOffsir Mgalilayah @OffsirM
0 Followers 127 FollowingFrancis Makokha @FrancisMak54044
2 Followers 338 FollowingPHILIMONI HAMISI @PhilimoniH36988
3 Followers 47 FollowingIbrahim Abdallah @pacco73592001
0 Followers 35 FollowingShaban Misana @MisanaShab63460
3 Followers 196 FollowingGeorge Bahati @BahatiGeorge12
0 Followers 39 FollowingMARWA RHOBI @MRhobi123
0 Followers 5 FollowingFelister J.Richard @felister_j38818
2 Followers 363 FollowingSamuel Masanja @SamuelMasa55542
0 Followers 23 FollowingFauzia @miss2msuya
4 Followers 61 FollowingKelvin Marcel @kelvinmarcel138
0 Followers 75 FollowingAbdul Majuto @MajutoAbdu88730
1 Followers 0 FollowingTrespher Edward @EdwardTres56683
1 Followers 36 FollowingJaphet Sungura @JaphetS41821
1 Followers 5 FollowingDionizi Esrael @DioniziEsr41899
1 Followers 82 FollowingSamson Japhet @japhet_sam123
2 Followers 29 FollowingJackson Marwa @jackson_ma76783
1 Followers 87 FollowingRashid Shola @RashidShol43833
1 Followers 19 FollowingFadhili Sinkonde @SinkondeFa38053
1 Followers 18 FollowingGone Singela @GoneSingel15445
2 Followers 18 Followingkakeshe @kakeshe159913
1 Followers 106 FollowingAmri Amri @AmriAmri12172
1 Followers 105 FollowingFahad Luhinda @FLuhinda
1 Followers 30 FollowingQueen Munisi @MunisiQueen
2 Followers 29 FollowingKasuka Bushatu @KBushatu27804
5 Followers 187 FollowingJaphari Jackobo @JackoboJap97930
2 Followers 154 FollowingGerald Clement @ClementGer6184
1 Followers 111 FollowingElias Gwimo @GwimoElias64418
1 Followers 126 FollowingBakari Abdacha @changa4503
3 Followers 39 FollowingEastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzaniaikulu_Tanzania @ikulumawasliano
436K Followers 8 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿Dr John Magufuli @MagufuliJP
991K Followers 8 Following The Fifth President of The United Republic of Tanzania.Jakaya Kikwete @jmkikwete
1.8M Followers 79 Following 4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKFCapitalDigital @CapitalDigital_
116K Followers 4 Following Capital Television & Radio , Mikocheni Light Industrial Area https://t.co/e1UPXzk0v4 4374, Dar Es Salaam, Tanzania. Tel:+255 22 2775914/6 E-mail:[email protected]Radio One Stereo @RadioOneStereo
411K Followers 2 Following ITV-Independent Television Ltd Mikocheni Light Industrial Area https://t.co/UoicRTG8jp 4374,Dar es salaam Tanzania. Tel: +255 22 27775914/6 E-mail:[email protected]ITVTanzania @ITVTANZANIA
66K Followers 8 Following ITV- Independent Television Limited is a leading electronic media service provider in Tanzania. Inquiries: [email protected], or | https://t.co/a45DKYnORVDr Reginald Mengi @regmengi
2.0M Followers 13 Following Account of the late Executive Chairman-IPP LIMITED. Entrepreneur and philanthropist.@eastafricatv Admin, EATV ya zamani ilikua ya moto sio hii ya sasa hivi ya DADAZ 😂😂😂 Channel inaitwa EATV ila Coverage ya contents za maudhui 85% ni Tanzania pekee. Vipindi kama Street Kenya nk mkaviondosha hamulitendei haki hilo Jina.
Huyu Arajiga ni Utopolo ndio Maana Huwa anatuua Simba, wachambuzi mmechambua vizuri sana hapa nawapa 100%. Video ipo hapo chini.
#MICHEZO: Aziz Ki na Guede wanaitanguliza Yanga ndani ya dimba la Benjamin Mkapa huku Simba wakienda mapumziko wakiwa nyuma,Aziz Ki anafikisha goli la 15 huku Guede akifikisha jumla ya magoli 3 tangu ajiunge na Yanga SC. Hapo vipi mlisemaje kuhusu Guede? #EastAfricaTv…
Ijumaa tumeianza mapema hapa ndani ya #SupaBreakfast ya #EastAfricaRadio mwamba wa habari @exaud_msaka_habari pamoja na @lupokela15 wakiwa kwenye picha ya pamoja. Sikiliza #SupaBreakfast Jumatatu mpaka Ijumaa saa 11:00 alfajiri mpaka saa 3:00 asubuhi ndani #EastAfricaRadio…
Zaidi ya tani moja ya dawa za kulevya aina ya cocaine imekamatwa na mamlaka ya forodha nchini Senegal, ambayo ni kubwa zaidi ya dawa hiyo kuwahi kutengenezwa nchini humo. Lori lililokuwa limebeba kilo 1,137 za cocaine lilikamatwa katika mji wa mashariki wa Kidira, ambao uko…
#HABARI Jeshi la polisi mkoani Mwanza limeanza kufanya uchunguzi wa afya ya akili kwa mtuhumiwa, Rodgers Sunday mwenye umri wa miak 41 mkazi wa Kijiji cha Usagara wilayani Misungwi kufutia tukio la kumwingilia kuku hadi kufa kwa lengo la kujiridhisha kimwili. Tukio la mwanaume…
Walevi wa ile bar wanasema ni swala la muda kuanza kuonekana kwenye media nyengine. 97% deal limekamilika, baada ya sikuu za Eid na mfungo kuisha kutakuwa na tamko. #ChapoNaWalevi
#UJENZI: Karibu ushuani, huku ndipo upepo unapovuma kufika eneo ambalo wewe upo muda huu. shuka nayo..
#MamaMia: "Mimi ilishanitokea hata kwa marafiki zangu, umenibania fursa, mwisho wa siku tunaweka uadui, kama umepata fursa ya kupika na unajua mimi najua, mwisho wa siku tunakuwa maadui" - @tgsfoodpoint #MamaMia #ChumbaChaMwali #HainaKuchoka #EastAfricaRadio
#MamaMia: "Mimi kwa upande wangu nahisi ni wivu wa maendeleo, ambao hauna maana, wanahisi kama watamnufaisha mwezie zaidi" - @jkspiffy Eti ni kweli wanawake tunabaniana fursa? Interview nzima inapatikana Youtube ya #EastAfricaRadio #MamaMia #OngezaBando #HainaKuchoka…
#MamaMia: "Ukimnyima mtu fursa unazidi kuongeza umasikini, mimi nikiwa na ndugu yangu na nina fursa anayoweza kuifanya, nikimbania, mwisho wa siku atakuwa tegemezi kwangu, tunatengeneza hali ya umasikini kwenye familia" - @alexabeautyglam #MamaMia #OngezaBando #HainaKuchoka…
Taja jina la mchezaji ambaye umemfahamu kwenye picha hii Picha: Bin Zubeiry #EastAfricaTv #EastAfricaRadio #HainaKuchoka #Dodoso
#HABARI Msichana mmoja mwenye umri wa miaka12 kutoka nchini Ghana ameripotiwa kuolewa na Kasisi wa kitamaduni mwenye ushawishi mkubwa na mwenye umri wa miaka 63 jambo ambalo limezua ghadhabu nchini Ghana Kiongozi huyo wa kitamaduni zliyefahamika kama Nuumo Borketey Laweh Tsuru…
#HABARI Kutokana na hali ya kukatika kwa umeme maeneo mbalimbali nchini, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa maelekezo kuwa kumetokea hutilafu kwenye mfumo wa njia ya kusafirisha umeme ya Gridi ya Taifa iliyotokea kuanzia saa 8:22 ambapo kwa mujibu wa taarifa hiyo…
#QUIZ: Taja nchi itakayoandaa AFCON 2025 Dondosha comment yako hapo chini, majibu utapata kwenye #5SELEKT kila siku Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 11:00 jioni EATV. #QUIZ #DONDOO #EastAfricaTV
#HABARI Waandishi wa Habari wawili Bi. Josephine Kibiriti (Star TV) na Abdallah Nanda (Channel 10) wamefariki dunia usiku wa Leo Kwa ajali ya gari iliyotokea maeneo ya Nyamwage, Mkoa wa pwani, Wote walikuwa wanahabari wanaotuma taarifa kutokea Mkoa wa Lindi. #EastAfricaTV
@earadiofm Na feisal ni kama maji ukiyachemsha yanakuwa ya moto ukiyapoza yanakuwa barafu
#BURUDANI Katika mchezo wa sarakasi kuna vitu vitatu unatakiwa uepukane navyo chakwanza wanawake, pombe na hapa (Uvutaji wa sigara/Bangi) - Ramadhani Brothers #PlanetBongo #RamadhaniBrothers #AmericasGotTalent
#BURUDANI Rapa @iamcardib anatuambia kupitia kazi yake ya muziki imemfanya kutengeneza zaidi ya Dolla Milioni 80 sawa na Tsh Bilioni 204. "Napata pesa nyingi, nyingi, nyingi. Ninahisi nimepita karibu Dola Milioni 80 lakini pia nalipa bili nyingi. Ninasaidia sana familia yangu,…