millardayo @millardayo
Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected] millardayo.com Joined April 2010-
Tweets145K
-
Followers2.7M
-
Following488
-
Likes2K
MillardAyoMagazetiniKENYA April 28, 2024, instagram.com/p/C6SzWk7itKA/…
MillardAyoMagazetiTanzania April 28, 2024, instagram.com/p/C6Sh-HVCuUw/…
Mwanamtandao maarufu wa TikTok Nchini Iraq aitwaye Ghufran Sawadi maarufu kama Om Fahad, ameuawa kwa risasi nje ya nyumba yake mashariki mwa Mji Mkuu wa Baghdad Ijumaa usiku ambapo camera za usalama zilimnasa Muuaji aliyevalia mavazi meusi akishuka kwenye pikipiki na kumpiga…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Arusha kutenga barabara maalumu katikati ya Jiji, itumike kwaajili ya maonesho ya kibiashara kwa Wajasiriamali wa mavazi ya asili, picha, vinyago na bidhaa nyingine za urembo kuelekea kwenye kilele cha…
Serikali ya Rwanda imesema madai ya Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliyoyatoa wiki iliyopita kuishutumu Kampuni ya Apple kununua madini yanayosafirishwa kinyume na sheria kutoka Congo kupitia Rwanda, ni maoni yasiyo na msingi na ya kupuuzwa. Kauli hii ya Rwanda…
Shirika la ndege la Kenya, Kenya Airways limeutuhumu utawala wa Jamhuri ya Kidemkrasia ya Congo kwa unyanyasaji dhidi ya Wafanyakazi wake wawili ambao wanaendelea kuzuiliwa kwa madai ya kukiuka kanuni za forodha licha ya Mahakama kutoa amri Wafanyakazi hao waachiwe huru. Kenya…
Waziri wa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametoa pole kwa Wananchi wote walioathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali Nchini ambapo amewalekeza Wakuu wa Mikoa kuhakikisha taarifa za hali ya hewa za kila siku inawafikia Wananchi kwa wakati mpaka ngazi ya…
MillardAyoMagazetiTanzania April 27, 2024, instagram.com/p/C6P157tiN-I/…
TotalEnergies inakutakia heri ya siku ya Muungano.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametanga msamaha kwa Wafungwa 1,082 ambapo Wafungwa 29 kati yao wameachiliwa huru leo Aprili 26, 2024, Wafungwa 20 waliohukumiwa adhabu ya kifo wamebadilishiwa adhabu ya kifo kuwa kifungo cha maisha, Wafungwa 27 waliohukumiwa kifungo…
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu leo April 26,2024 ameongoza maandamano ya amani Mkoani Manyara yakiwa yamebeba ajenda mbalimbali ikiwemo ajenda ya kupanda kwa gharama za maisha, Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. #MillardAyoUPDATES
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuendelea kuwapa maua yao na kudumisha maono ya Waasisi wa Muungano Hayati Mwl. Nyerere na Mzee Karume pamoja na Viongozi waliofuatia baada yao, kutokana na juhudi zao za kuujenga na kuudumisha Muungano. Rais Samia…
MillardAyoMagazetiniKENYA April 26, 2024, instagram.com/p/C6NZiQ2iunn/…
MillardAyoMagazetiTanzania April 26, 2024, instagram.com/p/C6NJOYIichT/…
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasihi Watanzania kudumisha uzalenzo wa kuzidisha umoja na mshikamano wa Kitaifa ambapo amesema kufanya hivyo kutaurithisha Muungano kwa vizazi vijavyo ukiwa imara. Rais Samia amesema hayo wakati akihutubia Taifa kuhusu Miaka 60 ya…
FT: Azam FC 5-2 KMKM (Sopu 7’ 42’ Chilambo 9’ Nado 49’ Kichindo 74’) (Abrahman 38’P) Azam FC sasa watacheza dhidi ya Simba SC katika hatua ya fainali ya Muungano Cup Jumamosi ya April 27 2024 katika uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar. #MillardAyoSPORTS
Rais wa Kenya, William Ruto amewasili Nchini Tanzania leo April 25,2024 kwa ajili ya kushiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kesho April 26,2024, ambapo akiwa Uwanja wa Ndege wa Mwl.Nyerere Ruto amepokewa na Waziri wa Madini,…
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.George Ambangile @George_Ambangil
721K Followers 663 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.Privaldinho @privaldinho
764K Followers 438 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
477K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Farhan Kihamu Jr @FKihamu
387K Followers 974 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaMasoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistAzam TV @azamtvtz
1.3M Followers 207 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Daktari Wa Manesi �.. @McinikaWaLamar
756K Followers 2K Following Social Media GURU | Thinker Tank | Content CreatorShaffih Dauda @shaffihdauda1
892K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownDr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,KhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
273K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOQau Qau voic @QauVoic19386
0 Followers 20 FollowingKev Hern @HernKev43011
0 Followers 15 FollowingAzizi yusuphu @azizi_yusu54229
0 Followers 6 FollowingEmannuel Yolamu @EmannuelYo91427
0 Followers 19 FollowingInnocent Paschal @InnocentPa36053
0 Followers 11 Followingcasmir nicolaus @NicolausCa49151
0 Followers 1 Followingwillian dreezy @dreezy_willian
0 Followers 24 FollowingOffsir Mgalilayah @OffsirM
0 Followers 127 Followingwillium joseph @williumjos54232
0 Followers 1 FollowingIbrahim Khamis @IbrahimKha61789
0 Followers 10 FollowingJamila Mophati @jai62178
0 Followers 53 FollowingShajii Simon @ShajiiSimon
0 Followers 6 FollowingShaban Misana @MisanaShab63460
1 Followers 196 FollowingMasez @Masez1602381
0 Followers 5 FollowingFaisal Hashif @munga0101
0 Followers 1 FollowingMARWA RHOBI @MRhobi123
0 Followers 5 FollowingEsther Chacha @EstherChac37262
0 Followers 0 Followingsteve whyte @stevewhyte99307
0 Followers 4 FollowingFelister J.Richard @felister_j38818
0 Followers 330 FollowingSamuel Masanja @SamuelMasa55542
0 Followers 23 FollowingAhamad Gulamali @AhamadGula65615
0 Followers 3 Followingpiuc exsupery @exsuperyp0676
0 Followers 5 Followingsky president. @MgimbaFran90223
0 Followers 3 FollowingFauzia @miss2msuya
3 Followers 61 FollowingKelvin Marcel @kelvinmarcel138
0 Followers 75 FollowingJackson @LionSpirit75
0 Followers 28 FollowingKarebu @Karebukelvin7
0 Followers 1 FollowingBaraka Uwesu @BUwesu2003
0 Followers 14 FollowingRhobinatha Magoli @RhobinathaM
0 Followers 9 FollowingHonolinah David @linah42675
1 Followers 29 FollowingJaffari Iddy @JaffariIddy
1 Followers 25 FollowingDamas Mandele @DamasMande67792
0 Followers 0 FollowingUlrick Njau @canjaulrick
0 Followers 5 Followingsaid mwanzilwa @sungamilefinest
0 Followers 1 FollowingEgon Johns @chujijohns
0 Followers 7 FollowingAbdul Majuto @MajutoAbdu88730
1 Followers 0 FollowingSylvester Gacha @GachaSylvester
1 Followers 5 FollowingTrespher Edward @EdwardTres56683
1 Followers 36 FollowingJaphet Sungura @JaphetS41821
1 Followers 5 FollowingDionizi Esrael @DioniziEsr41899
1 Followers 82 FollowingB Money @BMoney572718
2 Followers 11 FollowingEdmund Eneriko @edmund_ene20100
1 Followers 22 FollowingJackson Marwa @jackson_ma76783
1 Followers 87 FollowingRashid Shola @RashidShol43833
1 Followers 19 FollowingVAILETH NTIMBA @NtimbaVail22130
0 Followers 2 FollowingFrank Lukomwa @FrankLukom9119
1 Followers 3 Followinganna anney @annasafari16301
0 Followers 12 FollowingClouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaPrivaldinho @privaldinho
764K Followers 438 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of TanzaniaMasoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistAzam TV @azamtvtz
1.3M Followers 207 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Shaffih Dauda @shaffihdauda1
892K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownDr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Boniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberJamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 325 Following The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen Journalism#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightJokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridPrisca Kishamba @PKishamba
234K Followers 171 Following Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teamsFiston Mayele @fistonmayele9
87K Followers 369 Following Official Twitter Account of Fiston Mayele Professional Footballer from Congo Club for pyramid fc 🇪🇬Christina shusho @ShushoChristina
57K Followers 10K Following Gospel Artist | Song writer | Host: Hekima za Bitina | CEO-Relax | Founder- The dreamers centre |Balozi wa Mazingira 🇹🇿Abdul @abdul_h_h_ameir
4K Followers 299 Following Son | Pilgrim | Husband | Dad | Bibliomania | 26:217-220Tempa @10mpa
111 Followers 2 FollowingJerry Silaa @JerrySilaa
87K Followers 168 Following Minister Land&Housing |MP for Ukonga | mPAP | BSC in Electronics Science & Communication UDSM | MBA MSM-Esami | LL.B-OUT | PGD LP-LST | *LL.M in Taxation UDSMHaitham Kim 🕯️�.. @HaithamKim
6K Followers 279 FollowingEng. Hersi Said @Caamil8
141K Followers 118 Following President @YoungAfricansSC | Director of Investment GSM Group.Mbwana Samatta @Samagoal_77
126K Followers 18 Following official mbwana ally samatta twitter account. 2015 African best player of the year based in Africa. Tanzania proffesional footballer🇹🇿.NMB Bank Plc @NMBTanzania
44K Followers 583 Following We are committed to a customer experience that brings us closer to you with every engagement #NMBClosetoyou https://t.co/6YnMR1SQAYToyota Tanzania @ToyotaTanzania
6K Followers 97 Following Hello! This is the official account for Toyota in Tanzania with exciting news, views and updates. Join the conversation.MARIOO @tz_marioo
37K Followers 321 Following Official Account of Marioo|East African Artist🇹🇿|CEO Bad-Nation Ltd| [email protected] https://t.co/tFcUfnfVzrArafat A Haji @Arafat__AH
74K Followers 2K Following Father||CEO @ZIC_Insurance || Vice President @YoungAfricansSC ||Board Member @wrrbtz|| ACI FMA Certified||Views Expressed here are my own,RT~ Read This ||Dr. Tulia Ackson @TuliaAckson
134K Followers 62 Following Speaker of the National Assembly of Tanzania 2022 - |Deputy Speaker of the National Assembly 2015-2022 |16th Deputy Attorney General of Tanzania |LawyerPHINA @Phina__tz
5K Followers 103 Following Melanin Queen, IG: @phina__tz, BOOKINGS: +255 657 528 764, [email protected]Ommy Dimpoz @OmmyDimpoz
246K Followers 173 Following Singer | Songwriter | Awards Winner | Artist | Creative Director | Management: Rockstar Africa bookings & Inquiries: [email protected]JUSTINA WAMAE @justinawamae
67K Followers 4K Following Kenya's 2022 Presidential Running Mate 🇰🇪 | Wife| Mother| Supply chain Expert| Woman Entrepreneur in Earthworks| 21st Century Policy Thinker |Ordinary KenyanZimEye @ZimEye
500K Followers 24K Following An integrated network of journalists and other professionals reporting on Zimbabwe and the rest of Africa#BanOnlineViolenceKE @CeciliaMaundu
2K Followers 1K Following Broadcast journalist, Holistic security trainer @safe_sisters African Union Media fellow @_AfricanUnion. Tech Documentary Filmmaker. Founder @Ddadapodcast.Afya Pure Drinking Wa.. @AfyaPure
2K Followers 6 Following Afya Water We are top of the line manufacturers for packaged drinking water based in Tanzania.Fatema Dewji @fgdewji
41K Followers 78 Following Marketing Director @Metl_Group, Published Author, Matron @simbaqueensctz Writer at @entrepreneur & @thrive, TedX speaker, @GUAlumnidully sykes @dully_sykes
40K Followers 73 Following Forever young 🇹🇿 young @timbaland musiq produza🎹 Founder of Bongo Flava music tz CEO Studio 4 point 12 /Dhahabu rec.German Embassy Dar es.. @GermanyTanzania
35K Followers 368 Following Welcome to the official twitter account of the #German Embassy #DarEsSalaam, #TanzaniaHaji Manara @HajiManara
243K Followers 916 Following @yangasc1935 official Spokesman Brand Ambassador @asas_dairies Brand Ambassador @ofclbakhresagrpPaul Kagame @PaulKagame
3.1M Followers 237 Following President of the Republic of Rwanda, write to: [email protected]Paul Rutikanga @paul_rutikanga
13K Followers 564 Following Award winning media Personality Journalist from Rwanda 🇷🇼 Rwanda Broadcasting Agency.inzozinziza. @nziza_gilbert
710 Followers 266 Following man is the measure of all things. ProtagorasLazaro Nyalandu @LazaroNyalandu
581K Followers 62 Following Former Minister for Natural Resources and Tourim, #Tanzania.Faraja Kotta @FarajaNyalandu
302K Followers 1K Following Improving lives through learning opportunities @ShuleDirect @ndotohub | Chairlady @ten_met | Board Member @globaleducation @yglvoices | @WEF Young Global LeaderDr Hussein Ali Mwinyi @DrHmwinyi
200K Followers 7 Following A Proud husband and a Father | President of The Revolutionary Government of ZanzibarHalima Bulembo @halimabulembo
13K Followers 232 Following | District Commissioner - Kigamboni | Member of Parliament 2015 - 2020 | Diplomat | @SimbaSCTanzania ❤️| Mother of Two | Patriot of the U.R.T | Wifey |Yogobeats @yogobeats
2K Followers 32 Following Sound Engineer | Music Director FOUNDER @mzikindaniyangu +Booking :[email protected]📩 +Worked: @officialalikiba @patorankingfire @psquareworldMwanahamisi Singano @MSalimu
70K Followers 4K Following Global Citizen PanAfrican Feminist. Informed and Concerned Citizen. Gender, Governance and Climate Justice Expert. Opinionated woman & mother of 3Tanzania Embassy | Ch.. @UbaloziChina
27K Followers 578 Following The official account of The Embassy of Tanzania to China.Tundu Antiphas Lissu @TunduALissu
742K Followers 307 Following Tanzania 🇹🇿 Presidential Candidate 2020 for @chadematz | Former President of the Tanganyika Law Society | Parliamentarian | Political Leader | SurvivorFestiboni🥵 @draculanature
6K Followers 387 Following God over everything, wife,a mother ♌ Dar young Africans(YANGA)&Manchester United fan♥️ Balance is the 🔑 NATURE LOVER♥️It’s Sho time @ShoMadjozi
793K Followers 463 Following I Can Be Me ⭐️ video premiere 13.12⭐️ https://t.co/eFP5JlB0b6 || https://t.co/eYb04nOy6zOfficial Kumwembe @OKumwembe
185K Followers 36 FollowingOmari Salisbury @Omarisal
28K Followers 979 Following Journalist and visual storyteller at @WWConverge. Strong believer in giving. 60 Countries and counting but Seattle is still home.Ezekiel ‘Top Pen’.. @ezekiel_kamwaga
29K Followers 671 Following Editor at Azam Media. Founder @GazetilaDunia. Host a Podcast #EzekielKamwagaShow. I analyze African Politics. Researcher. @soas AlumniJon Mrema @JonMrema
205K Followers 1K Following Chadema Director for Communications and Foreign Affairs .MFA Tanzania @mfa_tanzania
82K Followers 559 Following Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African CooperationSaimon msuva @msuva27
37K Followers 213 Following The official Twitter of |saimon msuva ●Professional Footballer⚽ 🇹🇿@millardayo Apa ndo napata taarifa za kwer baada yakuona mwamba hajapost nikaendelea na kazi zanqu Rt moja kwa @millardayo
@millardayo Naomba ata like nakatambe mtaani broo plzzz do it for mee😂
@millardayo sometimes tunasahau what a presenter we have. Nimeshuhudia @millardayo anatangaza kwa sauti apo ni 🔥🔥💯💐
@millardayo Blue Boy wa Kishua @millardayo 👍👍👍
𝐓𝐔𝐉𝐈𝐊𝐔𝐌𝐁𝐔𝐒𝐇𝐄 𝐌𝐀𝐎𝐍𝐈 𝐘𝐀 𝐂𝐇𝐀𝐃𝐄𝐌𝐀 𝐉𝐔𝐔 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐒𝐖𝐀𝐃𝐀 𝐘𝐀 𝐒𝐇𝐄𝐑𝐈𝐀 𝐈𝐋𝐈𝐘𝐎𝐖𝐀𝐒𝐈𝐋𝐈𝐒𝐇𝐖𝐀 𝐁𝐔𝐍𝐆𝐄𝐍𝐈 𝐋𝐄𝐎 𝐍𝐎𝐕𝐄𝐌𝐁𝐀 𝟏𝟎, 𝟐𝟎𝟐𝟑. Mhe. @jjmnyika Haiwezekeni kupeleka bungeni Muswada wa Sheria; Iwe ni Sheria ya Tume ya…
@millardayo Kaka hajali dah mungu akulipe kwa haya mazur unayotuhabarisha
This is a massive story in South Africa @millardayo get on it and bring exclusive pics / story etc cc @tanpol
BREAKING NEWS: Facebook rapist, Thabo Bester, was reportedly arrested in Tanzania early hours of the monning. #ThaboBester #DrNandipha
@millardayo Uko vizuri kutu-update kuliko hata wahusika😃
@millardayo @ayotv_ Jamaa unajua unachokifanya, na vijana wako wako vizuri, Hongera sana bro daa🙏🏽