Msemaji Mkuu wa Serikali @TZMsemajiMkuu
The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿 maelezo.go.tz Dodoma, Tanzania Joined August 2016-
Tweets27K
-
Followers734K
-
Following10
-
Likes440
Taasisi zipo katika hatua za mwisho kuanzishwa
Tutafanya kila namna wananchi wapate habari
Kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini
Pongezi kwa Idara ya Habari - Maelezo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Ndugu Alice Edward Mtulo kuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 28 Aprili, 2024.
Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud akisaini kitabu cha wageni mbele ya mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud wakati alipowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili 2024.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Kenyatta (KICC) Jijini Nairobi, Kenya ili kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA.21 wa IDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa Wimbo wa Taifa wa Kenya pamoja na ule wa Umoja wa Afrika (AU) ukiimbwa kabla ya kuanza Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika
Asubuhi njema katika kazi jijini Nairobi nchini Kenya kwenye Mkutano wa Shirikisho la Maendeleo la Kimataifa (IDA), mshirika wa Benki ya Dunia. Nchi yetu inashirikiana na IDA katika miradi mikubwa na ya kimkakati 25 katika sekta za uchukuzi, maendeleo ya kijamii, nishati, elimu,…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali waliofika kumpokea baada ya kuwasili Nairobi, Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Ua mara baada ya kupokelewa na Watanzania Waishio Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na baadhi ya Watanzania waliofika kumpokea Jijini Nairobi baada ya kuwasili kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
Nimewasili jijini Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na kazi ya diplomasia ya kudumisha uhusiano wetu hasa kibiashara na kiuchumi, pia ninahudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Maendeleo (IDA21). Nchi yetu inashirikiana na Benki ya Dunia katika mpango wa IDA…
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherZee la Vyeti (PhD) @babalao__
479K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Hilda Newton @HildaNewton21
850K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistAyubu Madenge @ayubu_madenge
307K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peopleAzam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Martin Maranja Masese @IAMartin_
503K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |Lubasha Jr @MarekaMalili
621K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|Shaffih Dauda @shaffihdauda1
893K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownJokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridfatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightKhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
273K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOZitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteTunu Hassan @TunuHassan
242K Followers 181 Following Sports presenter |news anchor |EFM Sports HQ 9:00 AM- 12:00PMSalim Kikeke @Salym
1.0M Followers 526 Following Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzaniaDavid Maketa @DMaketa56080
0 Followers 45 FollowingwAzO La LeO @Frankchaz123456
2 Followers 43 FollowingElizabeth Bantazar @ElizabethB13054
0 Followers 69 FollowingAbdallah Said @braveking_108
38 Followers 676 Followingmaulidi lugawa @lugawa66287
1 Followers 66 FollowingRyoba Nyamhanga @NyamhangaR36130
52 Followers 336 FollowingLinjenje sharifu @LinjenjeS31564
14 Followers 305 Following I just lost my first X account 😭😭.. If you don't care u can follow me back! I assure u won't regret on following me 🙏🏽🙏🏽🙏🏽jukuu la mtaifa @NyatoTomas84927
11 Followers 62 FollowingEden Samwel @ESamwel94032
5 Followers 126 FollowingDotto Mdaki @mdakidotto7
3 Followers 180 FollowingALLY HAMIS @ALLYHAMIS99943
2 Followers 140 FollowingAwadhi Nkullo @ANkullo49379
1 Followers 66 FollowingShilugu Mtumba @ShiluguM
3 Followers 155 FollowingSkimaa mzazi @HamdaniiMb5503
2 Followers 90 FollowingAden Mkini @AdenMkini13040
3 Followers 165 FollowingEzekiel Macheyeki @EzekielMac79366
0 Followers 48 FollowingIssa Bende @IssaBende
17 Followers 313 FollowingNeto @Neto869582
2 Followers 202 Followingzelothe meja @MejaZeloth20953
0 Followers 70 FollowingPetro Mgova @Petrogreenson1
1 Followers 157 FollowingOmary Mchata @omymchata
0 Followers 18 FollowingEzekiel Kimario @Mshua50000
13 Followers 237 FollowingAbedy Paul @AbedyPaul10192
1 Followers 216 FollowingAfane Kelvin @AfaneKelvin
1 Followers 49 Following 🆙V.I.p Accᴼᵁᴺᵀ🌺 💐…ᵂᴵsh ᴹᴱ 14th ᴼᶜᵀ…🌻 🍂…I ᴸᴼve ᴰᴿᴵᵛᴵᴺᴳ🚘 … нα¢кιиg ιѕ му єνєяутнιиg… ⚘…ѕιиgαℓ…🌹 IKÅ Äfañé 💘LøLö ßæ𝑻𝒉𝒊𝒏𝒌 🧠 𝒍𝒊𝒌𝒆 𝒂 𝒈𝒓𝒆𝒂𝒕 𝒘Saidi Kibangu @KibanguSai96510
0 Followers 1 FollowingRichard Music @RichardMus38306
4 Followers 139 Followingman dzlle @DizzoYusuf1
28 Followers 79 FollowingGadiel Laizer @LaizerGadi26979
0 Followers 17 FollowingPaulo Mtanzania @PauloMtanz67142
2 Followers 64 FollowingLuney Katyega @KatyegaLun6368
0 Followers 21 Followingmsabaha rashidy @RashidyMsabaha
50 Followers 564 FollowingShadya Stanley @stan63066
1 Followers 71 Followinglucas mzindakaya @LMzindakay88532
2 Followers 133 FollowingFaadhil Abdul @FadhilAbdu52086
1 Followers 131 FollowingFredrick Samwely @FredrickSa98044
0 Followers 95 FollowingSalvatory Banda @BandaSalva33348
0 Followers 64 FollowingPrayG @PrayG325308
2 Followers 38 FollowingAzam Boy @Azamboy720
0 Followers 24 FollowingBarack Haamidu @HaamiduBar84087
0 Followers 42 FollowingMr simon @Mrsimon2040626
1 Followers 139 FollowingSadiki Saidi @SadikiSaid40112
4 Followers 271 FollowingFadhili Limahala @feezy_jr
0 Followers 87 FollowingBrighton Kimambo @BrightonKi82410
10 Followers 181 FollowingAlpha Mapunda @AlphaM57914
1 Followers 66 FollowingZebe William @ZebeWillia78197
1 Followers 184 FollowingCharles Mushobozi @mushobozic78
5 Followers 215 FollowingLevina Kway @LevinaKway63877
1 Followers 160 FollowingHinani Kinungu @Lastborn9717
1 Followers 62 FollowingSamia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzaniaikulu_Tanzania @ikulumawasliano
437K Followers 8 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿Gerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Dr Hussein Ali Mwinyi @DrHmwinyi
200K Followers 7 Following A Proud husband and a Father | President of The Revolutionary Government of ZanzibarOfisi ya Makamu wa Ra.. @vpo_tanzania
47K Followers 7 Following Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 baada ya kuungana kwa Tanganyika na ZanzibarDr. Philip Isdor Mpan.. @dr_mpango
74K Followers 7 Following The official account of the Vice President of the United Republic of Tanzania🇹🇿Ikulu | Zanzibar @ikuluzanzibar
53K Followers 3 Following Official tweets from the Office of the President and Chairman of the Revolutionary Council of #Zanzibar.Ofisi ya Waziri Mkuu @TZWaziriMkuu
79K Followers 4 Following The official Twitter page of the Prime Minister's Office Ukurasa Rasmi wa Twitter wa Ofisi ya Waziri MkuuDestination Tanzania @DestinationTan2
2K Followers 7 Following The official account for Destination Tanzania operated by the Tanzania Information Services Dept to brand our beautiful and unforgettable Tanzania 🇹🇿Maelezo News @maelezonews
27K Followers 34 Following Ukurasa rasmi wa Serikali ya Tanzania kupitia Idara ya Habari -MAELEZO utakaokupatia habari za kila siku 🗓 /https://t.co/gRXoQiOE5E 🔗Wizara ya hekaheka inakukaribisha katika “Jarida la HekaHeka” SIKILIZA HII
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpangoamewasili katika Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma ambapo anawaongoza Watanzania katika Dua na Maombi ya kuliombea Taifa ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Mchezo mzuri Yanga. Mmeonesha kiu na juhudi ya kuiletea heshima nchi yetu hadi kufikia hatua hii. Tunatarajia makubwa zaidi kutoka kwenu kwenye mashindano haya (Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika) msimu ujao. Tutaendelea kuwaunga mkono na kuwapa motisha.
Tarehe kama ya leo miaka mitatu iliyopita tuliondokewa na aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu ampe pumziko jema. Kama ambavyo awamu zote zimeendelea kufanya, Serikali ya Awamu ya Sita itaendelea kumuenzi Hayati…
Kuelekea miaka 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan tangu awe madarakani, 'Songa na Samia', SS inaangazia mafanikio mbalimbali kwa dakika moja tu. Tuyajue ya Sekta ya Ardhi.
Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar…
#BURUDANI: Raia wawili kutoka Tanzania maarufu kama #RamadhanBrothers wamefanikiwa kuibuka Washindi wa Shindano la Kusaka Vipaji la American Got Talent - Fantasy League na kuondoka na Dola za Marekani 250,000 (Takriban Tsh. Milioni 637.5) Kundi hilo linaloundwa na Wanamichezo wa…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua gwaride la heshima wakati wa mapokezi yake rasmi katika Viwanja vya Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.
#BibiTitiFestival Rais @SuluhuSamia ameonesha weledi, ujasiri na ushupavu kwa kuwa Mwanadiplomasia namba moja ambapo amefanikiwa kukuza taswira ya nchi katika medani za kimataifa na kuimarisha diplomasia ya uchumi-Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi na Waandishi wa Habari - Desemba 3, 2023 x.com/i/broadcasts/1…
Majaribio ya Kichwa cha Treni yaendelea. Mwendokasi wafika 176 kwa saa
Nawapa pole wafiwa waliopoteza ndugu, jamaa na marafiki katika ajali ya basi iliyotokea eneo la Mtama mkoani Lindi na kusababisha vifo vya watu 15. Mwenyezi Mungu awe faraja kwetu sote, awarehemu ndugu zetu hawa waliotutoka na kuwajalia majeruhi pona ya haraka. Tunapoelekea msimu…
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa 23 wa Baraza la Utalii Duniani (WTTC) unaofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kigali nchini Rwanda tarehe 02 Novemba, 2023.
Landed in New Delhi for a state visit, at the invitation of India national leaders. To Tanzanians, India is our extended family, a strategic ally, and one of our largest bilateral trading partners. I am looking forward to a productive visit in expanding trade and investment…
Fuatilia mijadala mbalimbali ndani ya akaunti ya Idara ya Habari - MAELEZO na Ofisi ya Msemaji Mkuu Clubhouse 📌 clubhouse.com/@maelezonews?u…
I can’t get over this animation when you hit the like button. This is the best yet. #AppleEvent