Clouds Media @CloudsMediaLive
A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier. cloudsmedia.co 88.5 FM Dar es salaam Joined June 2015-
Tweets78K
-
Followers1.6M
-
Following135
-
Likes9K
FIFA imezitaja timu nne za Afrika ambazo zitashiriki kwenye kombe la Dunia la Vilabu mwaka 2025 , mashindano yatakayofanyika nchini Marekani [ USA 🇺🇸] 🇲🇦 Wydad Athletic Club - WAC 🇪🇬 Al Ahly SC 🇹🇳 Espérance Sportive de Tunis 🇿🇦 Mamelodi Sundowns FC Club Rankings ilivyo kwa…
Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo amesema kesho Tarehe 27 Aprili asubuhi saa 1:00 watafanya matembezi ya Amani ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna alivyopeleka miradi mingi ya Maendeleo Arusha. #SentroCloudsTv #CloudsTvNiMkataba
SportsXtra | @dericklissu Mchambuzi Lissu amepongeza kurudi kwa kombe la muungano lakini amekosoa utaratibu wa timu zinazoshiriki kuitwa kwa barua. “Michuano ya Muungano kama ikiendelea kufanyika kila mwaka ,kuna vitu vikibadilishwa itakuwa na maana kubwa sana” “Waweke wazi…
"Mchakato wa Stendi ulianza toka mwaka 2011 ambapo kupitia Halmashauri ilipendekeza maeneo mawili Moshono na Olacity bahati mbaya yalikuwa maeneo ya watu na si Serikali kulipa fidia gharama ilikuwa kubwa zaidi. Mwaka 2018 na 2019 tukapata eneo la Serikali kupitia mradi wa…
Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo amesema hakupata nafasi kwa upendeleo ila alishinda Uchaguzi na hata mpinzani wake anajua na yupo tayari kurudia uchaguzi. #SentroCloudsTv #CloudsTvNiMkataba
"Ubunge sio ajira ni Utumishi. Mimi ni Mfanyabiashara na nafanya biashara mbalimbali." - Mbunge wa Jimbo la Arusha - Mhe. Mrisho Gambo #SentroCloudsTv #CloudsTvNiMkataba
Gwaride la Heshima la Miaka 60 ya Muungano lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Viongozi mbalimbali wakati wa kilele cha Sherehe za Miaka 60 ya…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye hutuba ya miaka 60 ya muungano ameongea kwa lugha ya utani kwa kumpa angalizo Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa na timu yake ya Simba kuelekea mchezo wa Fainali wa kombe la Muungano dhidi yq Azam FC “Timu…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa…
Mshambuliaji wa Chelsea raia wa Senegal Nicholas Jackson amenyoa nywele na kubadili muonekano kujiweka sawa kuelekea Mchezo dhidi ya Aston Villa FC
"Naona comment nyingi sana za watu wengine wakinitabiria kifo na wengine kuniambia miaka mitano sifiki zote naziona na zingine naonyeshwa. Sio rahisi ila sijui nguvu zinatokea wapi na kupambana na hili sababu hata kuna watu wengine wa karibu na Gardner walikuwa na nguvu kama…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Wanawake walikuwa na mchango mkubwa kufanikisha kufanyika kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kuzingatia tulipotoka, tulipo na…
Asante kwa #MoyoWaMawingu #CaptainWaGemu #KwaheriCaptain
Kocha mkuu wa Barcelona Xavi Hernandez amesema uamuzi wa kusalia Barcelona ni mpango kwa kukamilisha project yake na kuacha alama klabuni hapo pamoja na ushawishi wa Rais wa klabu . “Nimefanya maamuzi ya kubakia hapa ni kwa sababu nimepata Ushirikiano kutoka kwa rais wa klabu…
Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), umekutana na mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kwa nia ya kuwaeleza umuhimu wao katika kuhakikisha fidia stahiki inatolewa kwa wakati pindi mfanyakazi anapoumia, kuugua au kufariki wakati akitekeleza majukumu yake ya kazi nje ya…
Kupitia Bajeti ya kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, Wizara ya Kilimo imefanikisha ununuzi na usambazaji wa visanduku vya ugani 1000 kwa maafisa ugani Kilimo 1000 katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi, sawa na asilimia 25 ya lengo. Kwa upande…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ametoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara zilizoharibika nchini. Fedha hizo tayari zimegawanywa kwa mameneja wa TANROADS mikoa yote iliyoathirika kwa ajili ya kufanya kazi kwa…
Dakika 90 zimemalizika uwanja wa New Amaan Complex na Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya KVZ . FULLTIME | KVZ 0-2 SIMBA SC ⚽️Freddy Michael ⚽️ Israel Mwenda Rasmi sasa Simba wamefuzu Fainali ya Kombe la #MuunganoCup na wanamsubiri Mshindi kati ya Azam FC dhidi ya…
Katibu tawala wa wilaya ya Tanga Dalimia Mikaya amesema kuwa ni muhimu kwa jamii kuweka taratibu za kufanya mazoezi mara kwa mara sambamba na ulaji wa vyakula vya asili ili kuwezesha kuwa na afya bora na kuepukana na magonjwa yasio ambukiza ambayo yamekuwa yakiwakumba vijana…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko ameliomba Bunge liidhinishe Bajeti ya jumla ya Shilingi Trilioni Moja, Bilioni Mia Nane Themanini na Tatu, Milioni Mia Saba Hamsini na Tisa, Mia Nne Hamsini na Tano Elfu (Shilingi 1,883,759,455,000) kwa ajili ya…
millardayo @millardayo
2.7M Followers 488 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]George Ambangile @George_Ambangil
721K Followers 664 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
477K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Farhan Kihamu Jr @FKihamu
387K Followers 974 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaMasoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistShaffih Dauda @shaffihdauda1
892K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownKhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
273K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Jamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 325 Following The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen JournalismLubasha Jr @MarekaMalili
620K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|Prisca Kishamba @PKishamba
234K Followers 171 Following Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teamsMartin Maranja Masese @IAMartin_
502K Followers 2K Following MMM | Full-time Father | Public-spirited | Sperm That Won The Race, ME | Think Deep Don’t sink | Cogito, ergo sum |fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightStanley Steven @StanleySte33305
0 Followers 130 Followinganeth ringo @AnethRingo10587
0 Followers 0 FollowingNickson Nicksonmassaw.. @NicksonNic43601
0 Followers 11 FollowingOliva Watson @anne_sev2023
0 Followers 2 FollowingMaestro @Maestro73828036
0 Followers 11 FollowingAkim786 @akim786athman
0 Followers 26 FollowingAlbert Kahama @poppah_45
0 Followers 15 FollowingDullah Mkodo @DullahMkod90981
1 Followers 92 FollowingSilvery Lohay @LohaySilve34464
0 Followers 30 FollowingRamadhan @Ramadankipingu
0 Followers 5 FollowingAmina Alex @AAlex36188
1 Followers 70 FollowingMwanaidi Kafuye @KafuyeMwan47131
0 Followers 20 FollowingFelister Mwakajwanga @FMwakajwan21622
1 Followers 11 FollowingGodfrey Materu @MateruGodf96671
1 Followers 23 FollowingArne slot @POLYMER_6
1 Followers 83 FollowingFidel Experius @FidelE72198
1 Followers 15 FollowingKhalfan Mnalindima @mnalindima90917
4 Followers 170 FollowingErick Elias Lifa @erick_lifa
0 Followers 0 FollowingAhmed ally Mgomi @AMgomi1453
2 Followers 63 FollowingKhadija Lambo @khadija_la57374
0 Followers 1 FollowingAttitude @SakyimaR23610
0 Followers 45 Following Artist, C.E.O of R.K.S software develop, Content creator , Video Producer , Brand influencer, Single, Dm for ad promotion, @[email protected],Fatina Athuman @AthumanFat73614
1 Followers 22 Followingshedy limwata @shedylimwa55849
1 Followers 31 FollowingVICENT ANATORY @anatory19793
2 Followers 65 FollowingOmary Ibrahim @IbrahimOma76334
1 Followers 52 Followingmad man @mama45322
1 Followers 60 FollowingDullah Planet @DullahPlan84411
0 Followers 2 FollowingIRENE SEBASTIANI @Irene13_03
3 Followers 27 FollowingAdili Buha @AdiliBuha98710
0 Followers 49 FollowingMoris Mpemba @MpembaMori84460
1 Followers 151 FollowingGustaph Ibrahim @ibr92016
2 Followers 139 FollowingDigna Kimaro @kimaro_dig89087
1 Followers 79 FollowingAlexandra Chase @AlexandraC77390
0 Followers 4 FollowingAbuu sokodo @AbuuSokodo59505
0 Followers 20 FollowingDady Gd @dadygd81
81 Followers 208 FollowingKipengele Mpei @KipengeleM22972
2 Followers 271 FollowingJOACKIM @JOACKIM177
1 Followers 41 Followingkangol kangol @kangolkang67492
2 Followers 123 FollowingHendrick Benjamin @Be28760Benjamin
0 Followers 23 Followingkadewj @AlberthoGa10428
0 Followers 53 FollowingKhalfan Hamza @hamzakhalfan93
2 Followers 4 FollowingKelly Willy @KellyWilly65981
1 Followers 36 FollowingAlly Mabobo @boboadereke3395
1 Followers 91 FollowingHamisi Salehe @HSalehe45578
0 Followers 2 FollowingMohamedi Milowe @MMilowe93438
1 Followers 12 Followingjoeboy @joeboy728330
0 Followers 4 Followingmillardayo @millardayo
2.7M Followers 488 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Farhan Kihamu Jr @FKihamu
387K Followers 974 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaMasoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistShaffih Dauda @shaffihdauda1
892K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownPrisca Kishamba @PKishamba
234K Followers 171 Following Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teamsMASTA TINDWA @MasterTindwa
192 Followers 71 Following Master Tindwa Mtopa,Radio and Tv Presenter/ Pundit Sports Extra Clouds FmHamisi Mandi @BDozen
389K Followers 580 Following RADIO & TV Personality| Founder BORN TO SHINE clothing Line | Dozen SelectionJoseph M Kusaga @josephkusagatz
291 Followers 3 Following 🏢 Founder & CEO 📡 Clouds Media Group - CMG 🌎 TZ🇹🇿 RW🇷🇼 U.A.E🇦🇪 KE🇰🇪 UG🇺🇬 📩 [email protected]thebestfetty @fettythebest
366K Followers 1K Following Radio Personality, Power Breakfast. Assistant Programs Controller (Clouds Fm)Nassib Mkomwa @Nassibmkomwa_
777 Followers 36 Following Sports Reporter/Producer at @CloudsmediaLivemkazuzutza @mkazuzutza
8K Followers 348 Following sports personality, producer/presenter CLOUDS MEDIAUncle Fafi @Tanganyikan
160K Followers 34K Following | Bookworm | Photography | Content Producer | Tech Writer |Swahili Enthusiast | Jogger | Basketball | Manager for @05_kemmieedgar kibwana @KibwanaEdgar
37K Followers 204 FollowingKampista @DavidKampista
80K Followers 46 Following 📲Sports Anchor/Producer 📲CLOUDS MEDIA GROUP 📲Brand Influencer: @betPawaTzamrikiembatz @amrikiembatzz
433 Followers 1 Following Former Tanzania international footballer Football analyst Clouds media Youth developer at 7eliteacademy Tanzania InfluencerSALIBOKO @mussasalibokotz
1K Followers 225 Following MEDIA Personality | Clouds Media | Digital Community Manager @CloudsMediaLive | Producer | Content CreatorJames Tupatupa @jamestupatupa_
23K Followers 77 Following Media Personality (CMG) ||Football Coach, Pundit ||MC ||An Arsenal Fan.Miss_Salum @AsiahSalum
13K Followers 3K Following |Founder & CEO of #MissSalumNails💅 & #MissSalumCosmetics💄 [email protected] | DM me 😊 #SemanaekupitiaMimi #Icanmakeitanywhere🥂Liliane Masuka @lilianemasuka
2K Followers 555 Following Media personality -Watch storm every Thursday 0900PM on CLOUDS TVDj D-Ommy @dvjd_ommy
31K Followers 761 Following Mr WashaWasha DJ D-OMMY//Radio dj at Clouds fm //MtvBase TakeOver Dj/Dvj @cloudstv //Multiple Award Winning Dj//InterNationalDjRuge Mutahaba Foundat.. @rugefoundation
1K Followers 15 Following |Creativity|Innovation|Excellence|Perseverance|Empathy|sebastian maganga @sebmaganga
1K Followers 266 Followingꕔpollo @itsapollooo
1K Followers 2K Following Tech writer, Basketball fan, Music, Photographer, Crypto & DeFi enthusiast, the Seeker, Explorer, and the student of Life ✨Barbara Hassan @barbarahassan
132K Followers 3K Following Journalist, Voice Over artist, Copywriter, Md - Power House media & marketing agency, Founder & Director - Baboo Mnada & BHF.officialcza @officialcza1
2K Followers 164 Following Innovation & Business - CloudsMedia | Radio and Tv Presenter| Business Developer | Project Coordinator @eastafricagtSophia Kessy @SophiaKessy
22K Followers 7K Following Journalist/ TV & Radio Personality @CMG: CEO #SophyTours #Finchafricasafaris #Drop4Honey🍯: Founder of Sophyfoundation!Babbie Kabae aka Sist.. @babbiekabae
37K Followers 492 Following Radio presenter/TV Host| MC | PR executive| Philanthropist| Reggae sista....yurrr!!!POWER MABULAH @IamNchaKALIH
205K Followers 1K Following I have NO special TALENTS za kuzaliwa nazo ila I am, bila shaka, PASSIONATELY CURIOUS!!!Perfect Crispin @perfectcrispin
78K Followers 378 Following Media Personality | Young Gifted #MNYAMAMKALImeena @meena_ally
12K Followers 793 Following Radio/Tv Presenter, Actor, content Creator and Youth Activist. Listen to me on Clouds Fm every week day!Emilly Mallya @EmillyMallya
2K Followers 720 Following Public Relations Associate @cloudsmedialive |Information Architect | |BA-PSPA UDSM | |MIB, Foshan University | |PGD-Economic Diplomacy | "HUSTLER”🇹🇿Clouds TV 🇷🇼 @CloudsTV_rw
3K Followers 2K Following Rwanda's #1 Lifestyle Television. Azam Ch 171, Startimes Ch 107. Part of @CloudsMediaLiveKenedyTheRemedy 🇹�.. @KenTheRemedy
99K Followers 195 Following MC Radio Presenter| Producer | catch me on @XXL and #BongoFleva @CloudsFm The People Station|Niambie @NiambieTZ
9K Followers 343 Following Ulimwengu wa Vijana kiganjani kwako. Shiriki na Kujiongeza #Niambie #TanzaniaRuge Mutahaba @MutahabaRuge
8K Followers 133 FollowingYani ukiweka kitu cha Laki unakula Mlio Kasoro! 🙌🏽
Tangu nianze kushabikia mpira, timu yangu haijawahi kupewa Odds nyingi kiasi hiki! 😂 Hivi Nyumbu mnajiskiaje!? 😂😂😂
Timu ya Taifa ya Ivory Coast ambao ni wenyeji wa AFCON 2023 imefanikiwa kwenda hatua ya robo fainali kwa kuwatoa Mabingwa watetezi Senegal kwa mikwaju ya penati 5-4 na sasa Ivory Coast sasa itacheza robo fainali na Mshindi wa mechi ya Mali na Burkinafaso ambayo itachezwa kesho.…
Tunahitaji Mtu kama Kibu hapo mbele! Waliopo kazi imewashinda asee! 🤔
Hawa Congo wanafungika kabisa hawa! Labda tu tulete uhanangwa wetu! 🤔
Kuna namna boda wameumbwa tofauti
Ni ipi njia sahihi ya kumuacha mpenzi uliyemchoka!? 🤔
Japo tumeshindwa kuzilinda Points 3 ila nimeridhishwa na namna tumecheza leo! Imenifanya niamini kumbe tukiamini Wazawa inawezekana eeeh! 🤔
MANULAAAAAAAAA!!!!!! Mtu na NUSU!!! Hapo tulikuwa tumeliwa 😳😤
Mliomsema Manulq game iliyopita embu mtakeni radhi mara moja! 🤔
Mwenye namba ya huyu Refa amcheki! Amwambie baada ya game adondoke Bongo tumpe hata Gigy ajipoze! Au mnasemaje Wajuba!? 😂
Hawa @tanescoyetutz kukata umeme muda ambao @TaifaStars_ wanaliwakilisha Taifa huko @TotalAFCON2023 huu ni uzalendo wa wapi!? 🤔