Ayubu Madenge @ayubu_madenge
Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the people Joined June 2016-
Tweets24K
-
Followers304K
-
Following2K
-
Likes112K
Nyota wa Man City yaani Erling Haaland sasa atakuwa anaonekana kwenye Video game ya Clash of Clans. Kwenye game hiyo ya animation, Erling Haaland atakuwa kama Mfalme. Yeye binafsi amesema amefurahi sana kuwa sehemu ya game hiyo kwani ni game ambayo anaipenda kwa muda mrefu sasa.
Tukubali tukatae, uwezo na mbinu alizonazo Eng.Hersi za kushawishi wachezaji kujiunga na YANGA ni za hali ya juu. Ukisililiza simulizi zake za namna anavyosaka wachezaji lazima utajifunza kitu. Jamaa akitaka jambo lake analikomalia kweli kweli.
Alisomea Umwagiliaji ila akakosa kazi, akaingia Mererani Kuchimba madini na bado hakufanikiwa. Akasoma kozi fupi ya Utangazaji akapata kazi Channel Ten, TBC, ITV kisha BBC. Alipofika Uingereza akasoma Chuo Kikuu huko London. Salim Kikeke amejiunga rasmi na Crown Media ya Ali Kiba
Ukiacha mgogoro wa ardhi kati ya Waisrael na Waarabu, kuna mwingine wa Waarabu wenyewe kwa wenyewe ambao madhara yake yamepelekea siasa iingilie Soka na kuifanya RS Berkane ya Morocco kupewa ushindi wa mezani dhidi ya USMA ya Algeria na kutinga fainali ya Shirikisho bila kucheza
Ninaomba sala na dua zenu ninapoianza safari ya kuelekea Nje ya nchi kwa ajili ya kwenda kupata mafunzo ya Uongozi, yaliyo chini ya Serikali ya Marekani kupitia Wizara yao ya Mambo ya Nje. Mafunzo na Ujuzi nitakao upata nitautumia kwa manufaa na maslahi ya nchi yetu Tanzania.
Miaka 15 iliyopita huko Tandale, Diamond alikuwa anampenda binti anayeitwa Sarah Ila binti huyo alikuwa hamuelewi. Ikabidi Diamond amtungie wimbo unaoitwa “Kamwambie”. Wimbo huo Ukamletea Diamond mafanikio Makubwa. Jana Diamond akamuita Sarah jukwaani. Kamwe Usiogope kukataliwa.
Burkina Faso imezifungia Stesheni za BBC na Voice of America kwa muda wa Wiki 2. Hatua hiyo ni kufuatia ripoti ambazo vyombo hivyo vilizitoa zinazosema kuwa Serikali ya Burkina Faso ambayo kwa sasa inaongozwa na Jeshi, inashambulia Raia. Vyombo hivo vimezuiwa kupatikana Online
Umeme unaotumika Mji mkuu wa Sierra Leone yani Freetown unatoka kwenye Meli ya Uturuki inayoelea baharini. Kwa wiki kadhaa Jiji la Freetown limekosa umeme sabahu Kampuni hiyo ya Uturuki inaidai Serikali Tsh Bilioni 125.Serikali imepunguza deni hilo na Waziri wa Nishati amejiuzulu
Miaka 10 iliyopita Vardy aliisaidia Leicester City kupanda daraja, Vardy huyo huyo akaisaidia Leicester kuwa bingwa wa EPL 2016. Mwaka jana Leicester ikashuka daraja Ila Vardy hakuiacha. Mwaka huu Vardy ana Miaka 37 na ameisaidia tena Leicester kupanda daraja kurudi EPL. Respect
Mamelodi nao ni timu ya kawaida tu, wamefungwa Nje, Ndani, yaani home na away na ES Tunis na wameondolewa rasmi kwenye Michuano ya Club bingwa. Bado ninaendelea kusisitiza kuwa ni heri wangefuzu YANGA tu, hii nafasi ilikuwa yao kabisa.
Hawa ndiyo Makomandoo wetu. Mzigo waliobeba una kilo zaidi ya 70, tena humo ndani kuna Vifaa vinavyoweza kumfanya Komandoo aishi zaidi ya Mwezi mmoja akiwa Msituni bila kutegemea Msaada wowote ule.
Je wajua kuwa Vibuyu vilivyotumika kuchanganyia mchanga wa Tanganyika na Zanzibar siku ya Muungano yaani 26/04/1964 miaka 60 iliyopita vipo Mpaka leo. Vibuyu hivyo pamoja na Mchanga wake vinapatikana Makumbusho ya Taifa iliyopo Posta.
Millard Ayo anasema watu 5 waliomsaidia afike alipo ni pamoja na Gardner, tena Gardner ni namba 1. Gardener alimfahamu Millard 2005 wakati anatangaza Radio ya dini. Gardner akapambana Millard apate kazi Clouds mara 6 lakini akakosa. Millard akaenda ITV ila baadaye akafika Clouds.
Mazungumzo juu ya Muungano yalikuwa yanafanyika kwa siri kubwa, ukimuacha Mwalimu na Karume wengine waliokuwa wanafahamu ni Kawawa,Kambona,Kassim Hanga na Salim Rashid. Mwalimu alitaka uwe Muungano wa nchi 3 pamoja na Kenya. Kambona akazungumza na Kenyatta lakini Kenyatta akagoma
Uhuru Kenyatta amehudhuria Game ya NBA katika ya Boston Celtics vs Miami Heat huko USA. Uhuru ni mtu wa kujichanganya sana na watu na huwa anapenda sana Masuala ya burudani kama Muziki na Michezo. Ukikutana naye ni vigumu sana kutambua kuwa ni Rais Mstaafu.
Rais Wiliam Ruto yupo ofisini kwa Seneta Hezena Lemaletian. Hezena ni miongoni mwa Maseneta mwenye Umri mdogo Kenya. Hezena alisoma masuala ya fedha chuo kikuu cha Nairobi kisha akawa miss Utalii na wa Jumuiya ya Madola kisha akaingia kwenye siasa kupitia chama cha ODM cha Raila.
“Nilianza kazi na Mshara wa 110,000 na bado nilikuwa nina save na nilikiwa na Mke. Sikuwa na cheat na hatakuwa tunakula Chips vibandani, tulikuwa tunapika Gheto. Tulikuwa tunaishi kwenye Chumba kimoja…Hata Ulipwe 100M unaweza usi save kama huna Mentality ya ku Save” Kigwangalla
Mkapa alisema alikuwa Rais wa Kwanza wa Tanzania kutokuweka Picha yake kwenye Noti au Safaru ya Tanzania. Pia hakutaka Kujionesha kama “Mtu Mkubwa”. Daima alipenda kujinyenyekeza, tena alisema hakupendelea kuitwa Rais wala Mtukufu bali alipenda kuitwa Mheshimiwa kama Wabunge.
Mara ya Mwisho Everton kuifunga Liverpool wakiwa uwanja wao wa nyumbani ilikuwa miaka 14 iliyopita. Tena kwenye mechi hiyo Mikel Arteta, kocha wa sasa wa Arsenal naye alifunga goli. Leo tunawatoa Liverpol kwenye Mbio za Ubingwa, mpinzani wetu sisi Arsenal anabaki kuwa Man City tu
Hii habari ya Tanzania kuzima vituo 5 vya kuzalisha Umeme sababu tumezalisha Umeme mwingi zaidi, inaanza kuripotiwa na Vyombo vya habari vya Kimataifa kikiwepo BBC. Wanasema hii ni Mara ya kwanza Tanzania kuzima vituo vya Uzalishaji umeme sababu tumezalisha Umeme mwingi.
Zee la Vyeti (PhD) @babalao__
479K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Privaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberFarhan Kihamu Jr @FKihamu
388K Followers 975 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaKhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
273K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOThe mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||Fumbo Khan @fumbokhanJr
286K Followers 1K Following funny tweet// Man United and Simba Sport|| forum of thought|| fumbokhan on InstagramMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Spana & V.A.R Movemen.. @spana_Konki
294K Followers 1K Following Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANAZee La Nyeti @OriginoZee17
224K Followers 7K Following Truck Driver|Professional driver|Forklift Operator|Terminal Tractor Operator|Funny Man| @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC Fanfatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightMR BEN @Eric__Bernard
437K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.WHYMYCATISSAD @INFLUENCERjr
278K Followers 2K Following Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru.John Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.#GWIJI🔴 @athanas_pius
230K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer 📡|• | We live everyday & We die once @gwijiStepstz. CEO @AfroJuiceBar. ONLY VIBES😀!Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
287K Followers 4K Following Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) Prison graduate 133 days in jail.AllyAli @AllyAli645631
2 Followers 85 Followingzambwene Tanu @ZTanu30413
1 Followers 154 FollowingTadei Mbilinyi @mbilinyi_t53841
0 Followers 137 FollowingEmmanuel Kowero @emmanuel_k78820
0 Followers 47 Followinglucas Siara @lucas_siar78881
0 Followers 66 FollowingAhazi Mwaikambo @MwaikamboA3861
0 Followers 130 FollowingMafudu cacoyo @kavishe79
536 Followers 3K Following Thinker, moderator,viewer,speculator,analyser,describer of social equalityThe right friend @therightfriend
0 Followers 35 FollowingAdriel Brathwaite @AdrielBrathwai5
0 Followers 3K Following Just here to have fun meet women go on Dates and meetups.Edson rodrigues @EdsonNenzao4p
132 Followers 1K FollowingAllan Mangena @allanmangena6
1 Followers 168 FollowingAntony @antony918180832
0 Followers 41 FollowingDamiano Daniel @DamianoDan9186
0 Followers 102 FollowingSharifa Revocatus @SharifaRev66777
1 Followers 25 FollowingRenny Joseph @rennychiwa
28 Followers 114 Following Founder and Director of Human Settlements Action (HUSEA). Land-Use and Water Resource Management Specialist. Vice President- Tanzania Association of PlannersYohana Samwely @samwely_yo9840
0 Followers 49 Followingmasud @masudguga
0 Followers 116 FollowingBinamu Lallana @Binamulallana
26 Followers 260 FollowingElizabeth Bantazar @ElizabethB13054
0 Followers 69 Followingsaidi salumu @saidisalum68573
0 Followers 63 FollowingZongollucas @zongollucas
5 Followers 66 Followingmlotwa 11 @anani1130
22 Followers 179 Followingmaulidi lugawa @lugawa66287
1 Followers 66 FollowingSalim Omary @SalimOmary27875
0 Followers 48 FollowingShabani Hosseni @ShabaniHos59507
3 Followers 77 Followingjames bonifas @bonifas73263
0 Followers 34 FollowingHatibu Maganga @hatibu_mag86993
4 Followers 223 FollowingHam de gang @GangHam36810
0 Followers 75 Followingmamade🚀📈🚀 @caonimabi120
261 Followers 2K FollowingRuben Mtaturu @RMtaturu31211
0 Followers 116 FollowingYuzzo Dj @DjYuzzo80386
0 Followers 34 FollowingVenance Mwaifunga @VenanceMwaifu
6 Followers 156 FollowingDotto Mdaki @mdakidotto7
3 Followers 180 FollowingALLY HAMIS @ALLYHAMIS99943
2 Followers 138 FollowingAwadhi Nkullo @ANkullo49379
1 Followers 66 FollowingShilugu Mtumba @ShiluguM
3 Followers 155 FollowingEzekiel Macheyeki @EzekielMac79366
0 Followers 48 Followingناجي @najyanour
270 Followers 1K FollowingWillson Dundo @WDundo48276
0 Followers 52 FollowingZuwena Said @ZuwenaSaid37924
1 Followers 78 FollowingAyubu Mnemadau @AMnemadau87036
0 Followers 30 FollowingNeto @Neto869582
4 Followers 202 Followingkumedamshi com @ackim111
5 Followers 61 FollowingSimba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)Privaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaMaria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Spana & V.A.R Movemen.. @spana_Konki
294K Followers 1K Following Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANABBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist#GWIJI🔴 @athanas_pius
230K Followers 10K Following JOKER || @ManUtd 🇬🇧 |@SimbaSc 🇹🇿 |No flex zone| Telecom Engineer 📡|• | We live everyday & We die once @gwijiStepstz. CEO @AfroJuiceBar. ONLY VIBES😀!Salim Kikeke @Salym
1.0M Followers 526 Following Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzaniaNape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyJizzle @Jizzlewantandu
8K Followers 2K Following Ee Bwana nakuinulia nafsi yangu//The enemy of my enemy is my friend// Man City💙//Simba Sc// Hala Madrid// ph 4:13//Incauda venenumTobias Huch @TobiasHuch
49K Followers 3K Following Journalist | seit 16 Jahren Entwicklungs-, Not- und Flüchtlingshelfer in ✌🏼🇮🇶🇮🇷🇸🇾🇹🇷🇺🇦🇬🇷🇱🇷🇲🇼 | Aktiver Antifaschist | Menschenrechte | M.A.usefulidioty @usefulidioty
10K Followers 60 Following THE ARSENAL GENERAL🔴⚪️ MAMBWEMBWE!!! //Commercial Entertainer. 👉:[email protected]MandelaWshFellowship @WashFellowship
99K Followers 2K Following Official account of the Mandela Washington Fellowship for Young African Leaders | An @ECAatState program implemented by @IREXIntl | #MWFCelebrates10 #YALI2024Tanzania U.S. State A.. @TUSSAA_
12 Followers 6 Following Foster Connection. Promote Proffesional growth. Drive positive change in Tanzaniaopportunities4africa @oppsforafricans
77K Followers 1K Following Connecting Africans to the Latest Life Changing Opportunities : Internships | Scholarships | Fellowships | Jobs | Grants | [email protected]MCW Global @mcwglobal
1K Followers 428 Following MCW Global is a non-profit organization that addresses communities' needs by empowering current leaders and readying leaders of tomorrow.Kheri Mahimbali @MahimbaliK
3K Followers 709 Following Permanent Secretary | Ministry of Minerals | Tanzania | Mining-Chief-Optimist | Tanzanite Ambassador | Personal Mantra: #GoBig or #GoHomeCreighton University .. @CreightonULibs
533 Followers 183 Following Official Twitter of the Reinert-Alumni and Health Sciences Libraries. @Creighton, Omaha, NE.The Creightones @CUCreightones
101 Followers 76 Following Creighton University's premier all male a cappella group!! ICCA 2019 set below!Creighton University .. @CreightonCAS
2K Followers 559 Following We turn passions into professions. Whatever fascinates you about the world, we can help you shape that subject into a fulfilling career. ➱ #CreightonCASEvarist Shigi @EvaristShigi
16 Followers 8 FollowingNational Defence Coll.. @Ndc_tz
11K Followers 37 Following An inter-service prestigious Government institution for training Senior Military Officers and Civilian Public Officials on Security and Strategy.Kelly McFarland @McFarlandKellyM
705 Followers 1K Following Institute for the Study of Diplomacy; Georgetown @GUDiplomacy; professor; former @statedept and IC analyst; US Diplo Historian; dad; husband; CLE sports fanUTA-Do African Cities.. @UTADO_Africa
826 Followers 581 Following Official Account | UTA-Do is an annual urban studies workshop that contributes to making African urban scholarship, practice & imagination more democratic.Friedrich-Ebert-Stift.. @FESTanzania
1K Followers 541 Following Dedicated to social democracy, FES Tanzania promotes social justice, dialogue, democratic institutions and action for socio-ecological transformation.Fr. Matthew Spotts S... @MSpottsSJ
1K Followers 273 Following 34th President of Creighton Preparatory School. Catholic priest and member of the Society of Jesus by the grace of God.Creighton Prep @CreightonPrep
5K Followers 250 Following Creighton Preparatory School forms men of faith, scholarship, leadership, and service in the Catholic and Jesuit tradition.Creighton Men’s Soc.. @creightonmsoc
13K Followers 487 Following Official Twitter for the Creighton Men's Soccer team – 26 NCAA Tournament appearances & 6 College Cup appearances. Part of the BIG EAST Conference.Creighton University @Creighton
20K Followers 1K Following A nationally-ranked Jesuit, Catholic university and proud member of the @BIGEAST. Together we soar.Mariah's Billion doll.. @jfxmxnix
360 Followers 623 Following Mariah's legs are worth more than your faveFelista S. Rugambwa @felista_rug
543 Followers 152 Following Diplomat | Development Finance expert | International Relations practitioner | UNEP and UN Habitat Focal Person - NairobiBearyInsightful @bearyinsightful
131K Followers 64 Following Former Professional Investor turned Techie. • Breaking down Finance and Investing for Everyday Folks • Actionable Strategies to ditch the 9-5 grindGeert Wilders @geertwilderspvv
1.4M Followers 1 Following Voorzitter Tweede Kamerfractie PVV / Member of Parliament (MP) / Chairman Party for Freedom (PVV)Stoic Father @Stoic_Father
27K Followers 200 Following I help men become the man their wife wants and kids deserveNeema Lugangira @neemalugangira
21K Followers 4K Following Proud Mother👫| MP @bunge_tz | Founder @omukahub @agrithamani @apnigafrica | Board @parlnetwork @IPNEducation | MAG @intgovforum | Mentor @SADCYouthParlyÉquipe du Maroc @EnMaroc
1.1M Followers 124 Following Official Account of Morocco National Football Teams ⚽️ 📍 Mohammed VI Football Complex (Maâmoura) #AtlasLions 🦁 #DimaMaghrib 🇲🇦FRMF @FRMFOFFICIEL
558K Followers 77 Following The Official Account of the Royal Moroccan Football Federation 🇲🇦 الحساب الرسمي للجامعة الملكية المغربية لكرة القدم ⚽️Coworkersofthetruth @coworkeroftruth
21K Followers 17 Following “Catholic Church alone have the words of our Blessed Lord been fulfilled”—𝗘𝘃𝗮𝗻𝗴𝗲𝗹𝗶𝘇𝗮𝘁𝗶𝗼 : (𝟮 𝗧𝗶𝗺𝗼𝘁𝗵𝘆 𝟰:𝟮 )🇻🇦(Co-workers of the Truth)Dr Taylor Marshall™.. @TaylorRMarshall
162K Followers 406 Following Husband. Father to 8 children. Philosopher. Bestselling Author of history, theology, historical fiction. Christ is King! 👑 My YouTube podcast in link 👇🏻Michael J. Matt @Michael_J_Matt
43K Followers 86 Following Editor of The Remnant Newspaper https://t.co/EySuNsBvEq Founder of Remnant TV https://t.co/o9i0KMgkLOBishop J. Strickland @BishStrickland
189K Followers 104 Following Ordained 4th Bishop of Tyler, November 28, 2012, Host of The Bishop Strickland Hour on @VMPRadio.Wise Philosophy @Wise1Philosophy
353K Followers 459 Following Daily posts for you on Politics | Philosophy | Puzzles | Psychology | Books | FilmsMkuki na Nyota @MkukiNaNyota
10K Followers 813 Following The most prolific publishing house in Tanzania. Based in Africa and bringing our ideas and voices to the 🌍 PAY No.60485661. Newsletter: https://t.co/90AEBWa8BVAdémola @OgbeniDemola
107K Followers 8K Following ACCOUNTANT| JOURNALIST |🌍 Gmail: [email protected]| Likes ≠ Endorsement| PAN-AFRICANIST. view are mine.La Profe Moreno ☮�.. @La_Profe_Moreno
766 Followers 1K Following Professor of political science, researcher ( Latin American democratic institutions). Fan of democracy, running, and archery. All opinions are my own.The Jerusalem Post @Jerusalem_Post
764K Followers 728 Following Israel and world news from the Jewish state's leading and best-selling English newspaper | Newsletter: https://t.co/5UiuB1NXaNState of Palestine - .. @pmofa
70K Followers 477 Following Official channel of Palestinian Ministry of Foreign Affairs and Expatriates الصفحة الرسمية لوزارة الخارجية والمغتربين الفلسطينيةMeirav Eilon Shahar �.. @MeiravEShahar
6K Followers 344 Following Ambassador, Permanent Representative of Israel to the United Nations and International Organizations in Geneva @IsraelinGeneva @IsraelMFABenjamin Netanyahu - .. @netanyahu
2.8M Followers 28 Following ראש הממשלה ויו״ר הליכוד https://t.co/jjO4V91WG1Israeli Air Force @IAFsite
329K Followers 56 Following The Israeli Air Force’s Official Twitter Account: exclusive, live updates and real-time information about the IAFFentay Alamu @AlamuFentay
2K Followers 436 Following Diplomat @IsraelMFA ן Head of Public Diplomacy & Press at @IsraelinNL. served also in @IsraelinET & @IsraelinChile. #People😊, #Cultures🌍, #Nature🌿אלי כהן | Eli C.. @elicoh1
70K Followers 555 Following שר האנרגיה והתשתיות וחבר הקבינט🇮🇱 בעבר שר החוץ, שר הכלכלה והתעשייה ושר המודיעין. רו״ח, רס״ן במיל, נשוי + 4, חולון.Evan Johnson @EvanJohnson_17
321 Followers 405 Following ⚾: 🐯 🌊 🔥 🌊 🐈 🐦 ⛏🐦🧦⚡🧦 Seattle Mariners Baseball. RHP. Making the world a better place one pitch at a time.Creighton University .. @CreightonAlumni
5K Followers 738 Following Official Twitter account of Creighton Alumni. Connecting our Bluejay community and shining a spotlight on alumni who go forth and set the world on fire.Nyota wa Man City yaani Erling Haaland sasa atakuwa anaonekana kwenye Video game ya Clash of Clans. Kwenye game hiyo ya animation, Erling Haaland atakuwa kama Mfalme. Yeye binafsi amesema amefurahi sana kuwa sehemu ya game hiyo kwani ni game ambayo anaipenda kwa muda mrefu sasa.
@ayubu_madenge Ubaguzi ni ugonjwa mbaya sana
@ayubu_madenge Nimependa sana simulizi yake jinsi alivyo mshawishi azizi 🙌
Tukubali tukatae, uwezo na mbinu alizonazo Eng.Hersi za kushawishi wachezaji kujiunga na YANGA ni za hali ya juu. Ukisililiza simulizi zake za namna anavyosaka wachezaji lazima utajifunza kitu. Jamaa akitaka jambo lake analikomalia kweli kweli.
@ayubu_madenge Mmiliki rasmi wa CROWN MEDIA. Ivi unajua utani wake ndo ulimpa kazi pale BBC
@ayubu_madenge mbona historia ya marehemu imeandikwa kuanzia mwishoni kuja mwanza?
Alisomea Umwagiliaji ila akakosa kazi, akaingia Mererani Kuchimba madini na bado hakufanikiwa. Akasoma kozi fupi ya Utangazaji akapata kazi Channel Ten, TBC, ITV kisha BBC. Alipofika Uingereza akasoma Chuo Kikuu huko London. Salim Kikeke amejiunga rasmi na Crown Media ya Ali Kiba
@ayubu_madenge Usm n wahuni sna huwez kuingiza siasa na mpira kwan jez ndo zingewafnya washindwe kukaba CAF inatakiwa kutoa adhabu kali sna iwe fundisho kwa team zingine
Ukiacha mgogoro wa ardhi kati ya Waisrael na Waarabu, kuna mwingine wa Waarabu wenyewe kwa wenyewe ambao madhara yake yamepelekea siasa iingilie Soka na kuifanya RS Berkane ya Morocco kupewa ushindi wa mezani dhidi ya USMA ya Algeria na kutinga fainali ya Shirikisho bila kucheza
@ayubu_madenge Inshallah Allah akuongoze na akusimamie zangu dua njema kwako🤲🤲
@ayubu_madenge All the best bro, your a leader indeed 👊