Wizara ya Elimu Tanzania @wizara_elimuTz
This is an Official page for the Ministry of Education, Science and Technology. moe.go.tz Dodoma, Tanzania Joined March 2016-
Tweets2K
-
Followers75K
-
Following62
-
Likes104
Tunaipongeza Serikali na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kufanya maboresho ya Sera ya Elimu na Mitaala ambayo imejikita kutoa elimu ujuzi na pia kuweka mazingira wezeshi kwa sekta Binafsi kuwekeza katika elimu kwa kuanzisha shule na Vyuo. Mhe. Sekiboko - DSM
Imefika mahali Shule Binafsi tunazalisha Maafisa, tuache kulea watoto wanaotegemea kufanyiwa kila kitu licha ya kujua kuongea vizuri, tuendeleeni kuimarisha maadili, malezi bora na stadi za maisha kuhakikisha Watoto wetu wanaweza kujitegemea hapo baadae. Mhe. Dkt. Dotto Biteko
Suala la kufukuza Wanafunzi kwa sababu ya kutofikisha alama linakwaza sana, Mwalimu mahiri ni yule anayempokea Mwanafunzi mwenye ufaulu wa chini, na baadae anamrudisha nyumbani akiwa na ufaulu wa juu. Mhe. Dkt. Dotto Biteko #MkutanowaUmojawaWamilikiShuleBinafsi2024
Nawaasa Wamiliki wa Shule Binafsi mzingatie masharti yaliyoainishwa katika barua na vyeti vya Usajili wa Taasisi zenu, kuna baadhi yenu wanakiuka masharti hayo hali inayochangia migongano isiyo ya lazima na Mamlaka husika, ni muhimu sana kulizingatia. Mhe. Dkt. Dotto Biteko
Serikali itaendelea kushirikiana na Sekta Binafsi katika kutoa Elimu kwa sababu uwekezaji wenu umetusaidia sana mpaka sasa wapo wageni wanakuja kusoma hapa Tanzania, kuna Shule zinavutia Wanafunzi kutoka Zimbabwe, Cameroon, Uganda, Kenya na kwingineko Prof. Adolf Mkenda - DSM
Katika mafunzo ya Amali Mwanafunzi akienda Shule ya Ufundi (Technical Secondary School) atapata cheti cha VETA na cheti cha Form Four, lakini Form Five yake akiamua kuendelea na haya Mafunzo ya ufundi atakua na miaka mitatu ya Diploma ya Ufundi na cheti cha Form 6 Prof. Mkenda
Katika kuhakikisha mafunzo ya Amali yanatekelezwa kwa viwango, hatutakubali Shule ambayo haijawekeza vya kutosha kwenye vifaa stahiki kama karakana na vifaa kutoa mafunzo hayo, tunataka mafunzo hayo yawe na tija na yajibu mahitaji ya kuwezesha vijana kupata ujuzi. Prof. Mkenda
Bunge la Tanzania linatambua mchango mkubwa unaotolewa na Wamiliki wa Shule Binafsi katika kutoa Elimu na kuwezesha ajira kwa Vijana wengi Nchini. Mhe. Husna Sekiboko #MkutanowaUmojawaWamilikiShuleBinafsi2024
Washiriki mbalimbali wawasili tayari kushiriki Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wamiliki wa Shule Binafsi unaofanyika jijini Dar es Salaam katika ukumbi wa Maktaba wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 27 April, 2024.
Heri ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. "Tumeshikamana na Tumeimarika kwa Maendeleo ya Taifa Letu".
Tuzingatie Waraka wa Elimu Na. 24 wa Mwaka 2002 unaohusu Adhabu ya Viboko. Aidha, tuwe wa kwanza kutoa taarifa na kupinga vikali hali yoyote ya unyanyasaji wa Mtoto pamoja na Tamaduni na Mila zinazokinzana na Maadili Prof. Carolyne Nombo #Mkutano33BarazalaWafanyakaziWyEST
Utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo iliyoboreshwa ni Kichocheo cha Upatikanaji wa Nguvu Kazi yenye Ujuzi. Kauli mbiu hii imebeba taswira na mwelekeo wa nchi katika kukuza na kuleta mabadiliko ya kielimu yatakayoleta maendeleo ya kiuchumi nchini Prof. Carolyne Nombo
Ni imani yangu Wajumbe wa Baraza hili mtajadiliana kwa umakini na kuweka maazimio yatakayotekelezwa kwa ufanisi na kuleta matokeo bora ya Ujifunzaji wa mwanafunzi katika ngazi husika za Elimu nchini. Prof. Carolyne Nombo #Mkutano33BarazalaWafanyakaziWyEST
Serikali imedhamiria kufanya mageuzi katika Sekta ya Elimu kwa kutekeleza Sera ya Elimu 2014 Toleo la 2023 na Mitaala iliyoboreshwa. Tunaendelea kutoa Mafunzo Endelevu Kazini kwa Walimu wa Madarasa ya Awali, Msingi, Sekondari (Amali) na Wathibiti Ubora wa Shule Prof. Nombo
Picha mbalimbali za Viongozi waliotembelea Kambi ya Waathirika wa mafuriko iliyopo kijiji cha Chumbi B Kata ya Chumbi wilaya ya Rufiji mkoani Pwani Aprili 22, 2024. #ElimuUjuziMpangomzima #tunaboreshaelimuyetu #kaziiendelee
Serikali itaendelea kuwatunza Wanafunzi wote na kuwapa haki ya Elimu na hakuna mtoto atakaye achwa nyuma. Prof. Carolyne Nombo #ZiarakutembeleWahangawaMafurikoKijijichaMohoroRufijiPwani
Watoto wana haki ya kupata Elimu, nawaomba wazazi wote katika maeneo yaliyopata mafuriko kushirikiana na Viongozi kuhakikisha watoto wanakwenda katika Shule zilizo karibu ili kuendelea na masomo. Prof. Adolf Mkenda #ZiarakutembeleWahangawaMafurikoKijijichaMuhoroRufijiPwani
Namshukuru Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa namna serikali yake inavyoshughulikia changamoto za mafuriko kwa Waathirika wote na kulipa kipaumbele suala la miundombinu ya Elimu. Mhe. Abubakari Kunenge #ZiarakutembeleWahangawaMafurikoKijijichaMohoroRufijiPwani
Kazi inayofanywa na Mkuu wa mkoa wa Pwani ya kuratibu misaada mbalimbali ya kibinadamu pamoja na mahitaji ya kielimu kwa Wanafunzi na Walimu ni kubwa na nzuri sana. Prof. Adolf Mkenda #ZiarakutembeleWahangawaMafurikoKijijichaMuhoroRufijiPwani
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherAzam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Ummy Mwalimu, MP @ummymwalimu
896K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteNape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyJohn Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Think Different @lifeofmshaba
420K Followers 3K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | for activism contact via WhatssApp and Telegram +1 (862) 438-3337 |Personal Views| like Not upholding |Haji Manara @HajiManara
243K Followers 916 Following @yangasc1935 official Spokesman Brand Ambassador @asas_dairies Brand Ambassador @ofclbakhresagrpRichard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingGerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Wizara ya Ujenzi @WizarayaUJ
151K Followers 6K Following Wizara ya Ujenzi (Aug. 2023)|Ministry of Works(Aug. 2023)|Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sept 2021-Aug 2023)Dar24 @Dar24News
76K Followers 30 Following Dar24 is a media house offering a range of accurate news to the Swahili speaking audience across the globe.OFISI YA RAIS TAMISEM.. @ortamisemitz
56K Followers 80 Following Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Rais-TAMISEMI, (Official Page for PO-RALG) https://t.co/k3ENeUVQHe 1923 Dodoma Email: [email protected] Mji wa Serikali MtumbaHabariLeo @HabariLeo
166K Followers 773 Following Kwa habari za uhakika na kina | Sehemu ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania Tanzania Standard Newspapers (TSN)Juhudi Jackson @Juhudi1992
0 Followers 52 FollowingDestyC @Modest_Charlie
198 Followers 727 Following Bachelor Degree in Chemistry.. Scientist in Chemistry and Biology …Future specialist in Chemistry #Mzalendo1Mlekwa Samwel @mlekwasamwel19
14 Followers 157 Followingsimolunda @luvandamerick
2K Followers 3K Following Unaweza ukajikuta unaua ndoto zako ndogo kwa kuzikumbatia ndoto kubwa za wenzio.kazi ni kipimo Cha utu 🙏Rand🇹🇿🇹🇿 @ClementGodfre10
1 Followers 119 Following life is all about learning and earning to no limitOlais Mollel @OlaisM62141
14 Followers 179 FollowingStanley Mwaseba @MwasebaStanley
3 Followers 160 FollowingShaibu Azani @shaibu40452
0 Followers 28 Followingmaiga simon @chiefmaiga
2 Followers 17 FollowingMARWA RHOBI @MRhobi123
2 Followers 51 Followingjukuu la mtaifa @NyatoTomas84927
11 Followers 69 FollowingNicolas sillas @nicolas_si81290
53 Followers 255 FollowingSelestine Tambwe (Tam.. @jr_selesti2775
2 Followers 57 FollowingJames lucky @JamesLucky56936
0 Followers 118 Followinghendry karoli @hendry_karoli
2 Followers 50 FollowingFredrick Samwely @FredrickSa98044
0 Followers 95 FollowingODHIAMBO JOHNSON SAMW.. @samwelo149
0 Followers 95 Following Student At TEOFILO KISANJI UNIVERSITY (Mbeya)Fadhili Limahala @feezy_jr
0 Followers 87 FollowingQueen Latty @QueenLatty22758
0 Followers 18 FollowingRaphael M @MwalikiR21195
0 Followers 6 FollowingArusha Institute of T.. @InstituteO61487
5 Followers 77 Following AIT, we provide better education under the following courses; -Information Technology (IT) -Tour Guide -Wildlife Management -Hotel Management & CateringLubazu Limbu @limbu5050
5 Followers 101 Following@nyoni jr seven @nyoni_seven
1 Followers 67 Followingnnkohyness @HynessNnko51038
0 Followers 31 Followinggidion buto @butogidion
2 Followers 21 FollowingPhilibet Cosmas @PhilibetCosmas1
14 Followers 53 FollowingKihengu Ngwene @KihenguN66247
5 Followers 132 FollowingEXTRA MILES @M11684Extra
22 Followers 187 FollowingElizabeth Elikana @ElizabethElika4
3 Followers 102 FollowingRehema Mussa @mussa_rehe38939
0 Followers 69 Followingjaylan.come @jaylan_come
5 Followers 50 FollowingMohses14 @Mohses14
50 Followers 1K FollowingYasini M.Kindai @kindai_m21746
1 Followers 100 FollowingBaba Watoto @nzingo_vicent
11 Followers 266 FollowingIvan Elifraa @IElifraa97371
6 Followers 68 FollowingBabashakira (Mr.Mwaka.. @MrAgast
71 Followers 591 FollowingAyubu Jonas @ayubu_jona77791
4 Followers 272 Followingsalehe kayera @SKayera21184
0 Followers 214 FollowingINCREDIBLE BEAST @beast12284
18 Followers 126 FollowingFaraja Kinyogoli @FKinyogoli78945
0 Followers 97 FollowingSamia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of TanzaniaEastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]Swahili Times @swahilitimes
1.5M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherClouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Dr. Hamisi Kigwangall.. @HKigwangalla
1.2M Followers 661 Following #HK is a Member of Parliament for Nzega Rural. Former Minister for Natural Resources and Tourism. Former Deputy Minister for Health. Former Chair, TAMISEMI.Hilda Newton @HildaNewton21
850K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Jamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 325 Following The Home of Great Thinkers | East Africa's leading Discussion Board | Citizen JournalismMwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingUmmy Mwalimu, MP @ummymwalimu
896K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteNape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyJohn Heche @HecheJohn
734K Followers 1K Following Member of chadema central committee. Former Member of Parliament ,Tarime rural constituency 2015- 2020.Freeman Mbowe @freemanmbowetz
630K Followers 499 Following Chairman of the Main Opposition Party in Tanzania CHADEMA & Chairman for DUARichard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingGerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Police Force TZ @tanpol
422K Followers 34 Following Tanzania Police Force - Usalama Wa Raia na Mali zaoChama Cha Mapinduzi @ccm_tanzania
860K Followers 9 Following Chama Cha Mapinduzi (CCM) - #Tanzania's governing party, founded on 5th February 1977. Membership: 15 million | https://t.co/KzE7LiVgt9Historia Yetu @HistoriaYetu
34K Followers 0 Following Ukurasa kuhusu historia ya Tanzania. Kabla na baada ya uhuru. Tundikie 📧- [email protected]CICan_ESP_TZ @CICan_ESP_TZ
97 Followers 233 Following “Empowerment through Skills Program (ESP) is funded by the Government of Canada (@GAC_Corporate) and implemented by @CollegeCan in Tanzania.”ms.mavika @JulianaMavika
163 Followers 155 Following || •Comparison isn't a motivation || • ISAYA 43:2WIZARA YA MAENDELEO Y.. @maendeleoyajami
33K Followers 80 Following Ukurasa rasmi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum S.L.P 573 Dodoma, Tanzania :Official page for MoCDGWSGMohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaMohammed Al-Issa مح.. @MhmdAlissa
5.7M Followers 6 Following الأمين العام لرابطة العالم الإسلامي، رئيس هيئة علماء المسلمين | Secretary-General of the Muslim World League, President of the Organization of Muslim ScholarsTuzo Nyerere @tuzonyerere
337 Followers 84 Following Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu inayotolewa na @wizara_elimuTz kupitia @TIE_Tanzania ili kukuza uandishi bunifu Tanzania. #TuzoNyererePatience Abraham @patience___A
170 Followers 186 Following Tech|Innovation|Design Thinking|Women Empowerment💡|Lead @bunihub under @costechTANZANIA|AfriconEUHakiElimu @HakiElimu
157K Followers 615 Following A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.Rafael MarianoGrossi @rafaelmgrossi
73K Followers 937 Following Director General of the @IAEAorg International Atomic Energy AgencyShaffih Dauda @shaffihdauda1
893K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownMNYIKA John John @jjmnyika
1.0M Followers 29K Following CHADEMA Secretary General | MP, Kibamba constituency (2015-2020)| Former MP, Ubungo Constituency (2010-2015) | Deputy Secretary General-Mainland (2014-2019)Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,fatma karume aka Shan.. @fatma_karume
1.1M Followers 601 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fightBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]January Makamba @JMakamba
1.2M Followers 2K Following Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Tanzania | Member of ParliamentMasoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistYaulen @BahatiSamson
848 Followers 4K Following Academic Writing Consultant|Researcher|Copywriter|Grant Proposal Writer|Dr. Rutasingwa, MD. @daktarimtalii
14K Followers 3K Following Chief Executive Officer at @zanziholics | Currently, I am building @zansync | Digital Marketer | MBA StudentLameck Isaya @isaya_lameck
27K Followers 4K Following Experienced SEO and SMO digital media marketing expert. I can send quality traffic /visitors to your website and social media that can convert into sales.Joseph Kapufi @KapufiJoseph
14 Followers 0 FollowingOR-TAMISEMI @OR_TAMISEMI
42K Followers 119 Following Akaunti hii inatoa habari/taarifa mbalimbali za Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi).Taasisi ya Elimu Tanz.. @TIE_Tanzania
6K Followers 37 Following TIE is responsible for designing and developing curriculum and curriculum supporting materials for pre-primary, primary, secondary and teachers' colleges.Leonard Akwilapo @akwilapo
2K Followers 179 FollowingYouTube Creators @YouTubeCreators
6.6M Followers 2K Following For tools, tips, inspiration and news for @YouTube Creators.Bunge la Tanzania @bunge_tz
556K Followers 9 Following Bunge la Tanzania ni baraza la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linalotunga sheria na kuisimamia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake.Lizy @Lizy12540357
8 Followers 1 FollowingWhether it’s North, West, East or South of Tanzania, the @CanadaDev-funded Empowerment through Skills Program (ESP) works with Community Based Organizations (CBOs) in 12 🇹🇿 Districts to improve access to business, skills, gender and human rights training in their communities.
@evance_mwasile @wizara_elimuTz @TIE_Tanzania @amri_abdalah @Godwin_OO @IdaHadjivayanis @JiniKinyonga @LucasLubango @mBongo @Simulizi_Africa @aikande @Udadisi Kwa taratibu na vigezo vya uwasilishaji: x.com/tuzonyerere/st…
Kwa mara nyingine tena, @wizara_elimuTz kupitia @TIE_Tanzania ingependa kuwakaribisha waandishi bunifu kuleta miswada yao na kushiriki katika #TuzoNyerere2023 Tafadhali soma maelekezo kwa makini kabla ya kutuma muswada wako (UZI)
Muda upo bado hujachelewa kuwasilisha. @wizara_elimuTz @tuzonyerere
#Schoolfeeding programs have endless benefits to young minds. They combat hunger, improve children’s nutrition & their intellectual growth, ensuring a brighter future for all. #ZeroHunger #Schoolfeeding
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @maelezonews @tcu_tanzania @taasisiyaelimu #kaziiendelee #tunaboreshaelimuyetu #tuzonyerere
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @maelezonews @tcu_tanzania @taasisiyaelimu #kaziiendelee #tunaboreshaelimuyetu #tuzonyerere
@ikulu_mawasiliano @ikulu_habari @maelezonews @tcu_tanzania @taasisiyaelimu #kaziiendelee #tunaboreshaelimuyetu #tuzonyerere
Way to go, partners👏👏👏 #PartnershipfortheGoals #LeaveNoOneBehind
Week 2 in Tanzania- Collaboration in Action with partners in #Tarime! We're thrilled to announce the formation of : ⚡ Program Advisory Committee ⚡Partnership Coordination Committee #fanshaweglobal #ESP-02 #tanzania #CICan #EmpowermentthroughskillsProgram
“Serikali itahakikisha inatumia kikamilifu msaada huu katika kujenga uwezo wa Vyuo 12 vya Maendeleo ya Wananchi ambavyo vipo katika programu kwa kuwekeza kwenye kukuza ujuzi kwa wanawake, vijana na wasichana ili waweze kujikwamua kiuchumi” - Mhe. Omary Kipanga. @wizara_elimuTz
"Wizara kupitia Mradi wa ESP tulikubaliana kuingiza katika mpango kazi uandaaji wa Mwongozo wa Ulinzi na Usalama kwa Vyuo vyote vya FDCs, Ufundi Stadi na Ualimu" #Prof. Carolyne Nombo - Katibu Mkuu #MakabidhianoVifaavyaTEHAMA - Dar es Salaam
Ni furaha kusaidia elimu kwa Vyuo Vya Maendelea ya Wananchi. Shukrani kwa @CICan_ESP_TZ , kwa udhamini wa @CanadaDev 🇨🇦 na kwa ushirikiano na @wizara_elimuTz, kutoa vifaa vya TEHAMA kuwawezesha wanafunzi na kuhamasisha usawa wa kijinsia. Pamoja, tunajenga kesho bora kwa🇹🇿.
A speech from @HelenFytche, Head of Cooperation @GAC_Corporate @CanadaTanzania 🇹🇿 This was during the Handover Ceremony of ICT Equipment (Phase 1) to @wizara_elimuTz; a critical milestone in the implementation of the @CollegeCan Empowerment through Skills Program (ESP) 📌
@HistoriaYetu Sio sahihi ulichoandika kasome kitabu the life and times of Abdulwahid sykes utajua ukweli wa Amnut
Wizara imeandaa _National Qualification Framework_ ambao ni mfumo wa kwanza kutumika hapa nchini, ambao umetambua program za Elimu ya Watu Wazima na Elimu Nje ya Mfumo Rasmi. Prof. Nombo-Pwani #KileleMaadhimishoJumaElimuWatuWazima
“I feel lucky because first of all, today is #InternationalDayOfTheGirlChild & today I learnt more about our safety and protection in learning institutions. Thanks to ESP; a project that exists to support us girls & other young people, we know that we can fulfill our dreams”.
We share the commitment of the Ministry of Education, Science and Technology 🇹🇿 to support marginalized girls with everything they need to learn & succeed. An honor to join Prof. Adolf Mkenda and Dr. Lyabwene Mtahabwa to celebrate #IDG2023! 👩🏿🎓✨ @wizara_elimuTz @neykilly
Je, unatarajia kujiunga na masomo ya stashahada na unahitaji mkopo? Fuatilia uzinduzi wa ‘Mwongozo’ kesho Okt 4, 2023 Uzinduzi utafanywa na Mhe. Prof. Adolf Mkenda, Waziri @wizara_elimuTz #WeweNdoFuture #TimizaWajibu