Union of Tanzania Press Clubs @UTPCtz
Official Account for the Union of Tanzania Press Clubs | 28 Press Club Members all over Tanzania | [email protected] | FoE | ATI | Safety Of Journalists | utpc.or.tz Dodoma Uzunguni Joined June 2012-
Tweets3K
-
Followers2K
-
Following459
-
Likes3K
Je, wewe ni mwandishi wa habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (Public Interest Journalism - PIJ). Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki: fellowship.utpc.or.tz/auth au scan kwenye QR Code. Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza fomu. Unaweza kuomba kushikiri Fellowship ya kipindi cha pili (Cohort 2) au Fellowship ya kipindi cha tatu (Cohort 3). Programu hii ya *PIJ Fellowship* inaratibiwa na Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC) kwa kushirikiana na International Media Support (IMS) pamoja na JamiiAfrica.
I had the opportunity to participate in a panel discussion on “Why Public Interest Journalism (PIJ) Matters More Than Ever” held on Mount Meru Hotel in Arusha. @UTPCtz @TanzMediaFund
Waandishi wa habari tuhakikishe kuwa tunakuwa relevant kila siku. Vyombo vya habari ni muhimu kuwa na Business Model mahususi kwa ajili ya kuisaidia Tasnia ya Habari na sio Self Interest. Historia inaonyesha wamiliki wa vyombo vya habari wana-andaa business model ambazo zinawasaidia kwenye mambo yao mengine kiuchumi ila sio kwa ajili ya vyombo vya habari na tija kwa wananchi. - Dr. Rose Reuben @TAMWA_ #WPFD2026 #PromotingPressFreedom #HumanRights #SafetyAndSecurity #PublicInterestJournalism @ImsTanzania @MediaConvergecy @unescodar @TAMWA_ @ElimikaWikiendi @EditorsForums @mctanzania @tzDiscovery
Nchi ya kidemokrasia haipaswi kufungia chombo cha habari kiholela. Hata pale inapodaiwa kuwa kuna sababu za kuchukua hatua dhidi ya chombo fulani, serikali inapaswa kuwasilisha hoja zake mahakamani ili mahakama itoe uamuzi wa haki na huru. Aidha, maamuzi hayo yanapaswa kujengwa juu ya ushahidi wa kweli unaoonyesha kuwa chombo hicho kinahatarisha usalama wa taifa, lakini si kwa sababu tu kimeihoji serikali kuhusu uwajibikaji au kimeibua hoja za maslahi ya umma.- Ernest Singura @mctanzania #WPFD2026 #PromotingPressFreedom #HumanRights #SafetyAndSecurity #PublicInterestJournalism @ImsTanzania @MediaConvergecy @unescodar @TAMWA_ @ElimikaWikiendi @EditorsForums @mctanzania
Waandishi wa habari, ili kurudisha imani kwa wananchi, ni lazima tuondokane na scoop journalism na badala yake tujikite katika kuandaa habari zenye maslahi kwa umma. Hizi ni habari zinazotulazimu kwenda kwa kina, kufanya uchunguzi wa kina, na kukusanya taarifa sahihi zitakazosaidia jamii kufanya maamuzi sahihi na kuwawajibisha wenye mamlaka - Dr. Rose Reuben @TAMWA_ @MediaConvergecy @unescodar @ElimikaWikiendi @EditorsForums #WPFD2026 #PromotingPressFreedom #HumanRights #SafetyAndSecurity #PublicInterestJournalism
Sekta ya habari Tanzania ni kama yatima. Vyombo vya habari vinaendelea ku-survive kwa kusuasua. Tasnia yetu bado hakuna mfumo thabiti utakaohakikisha vyombo vya habari vinakuwa sustainable - @jackielawrencem #WPFD2026 #PublicInterestJournalism #MediaFreedom #JournalismMatters #TruthMatters @MediaConvergecy @ImsTanzania @unescodar @ElimikaWikiendi
Why does Public Interest Journalism matter now more than ever? Join us for a powerful conversation on the future of journalism, truth, accountability, and stories that serve the public good. Be part of the voices shaping media that informs, protects, and empowers communities. 📍 Room 2, Mount Meru Hotel 🗓️ April 29, 2026 ⏰ 2:00 PM – 4:00 PM #WPFD2026 #PublicInterestJournalism #MediaFreedom #JournalismMatters #TruthMatters @IMSforfreemedia @ImsTanzania @MediaConvergecy @unescodar @TAMWA_ @ElimikaWikiendi
What is threatening innovation in the media sector in Tanzania? Panel Response: Ignorance, Fear of changes, #WPFD2026 #PromotingPressFreedom #HumanRights #SafetyAndSecurity #PublicInterestJournalism
"When we invest in Journalism, we invest in people, prosperity and peace" - Michel Toto #WPFD2026 #PromotingPressFreedom #HumanRights #SafetyAndSecurity #PublicInterestJournalism @unescodar @IMSforfreemedia @MediaConvergecy @ElimikaWikiendi @TAMWA_
On 17th February, the Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), through the Empowering Journalists for Informed Communities project, convened a dynamic Community Seminar in Geita, coordinated by the Geita Press Club. The platform brought together journalists and community members to openly discuss pressing local concerns. The community seminar was participated by different community groups including, people with disabilities, small scale miners, famers, pastoralists, small scale traders and CSO’s that works direct with communities In this session many Issues were raised which were concern to Geita community and these issues were captured by journalists who will now reach-out to their respective sources for story developing. This engagement is a practical step in strengthening Public Interest Journalism where journalists listen directly to citizens and transform community concerns into fact-based, impactful stories. By acting as a bridge between the public and decision-makers, the media helps ensure accountability, amplify marginalised voices, and stimulate informed public dialogue. When communities speak and journalists respond with responsible reporting, trust grows and democratic participation is strengthened. This initiative is funded by the European Union and the Embassy of Switzerland in Tanzania and is implemented in partnership between UTPC and International Media Support (IMS). @EUinTZ @IMSforfreemedia @ms_faustaTZ @rashweatm
TANZIA! TANZIA! TANZIA! Mazishi ya marehemu Ulimboka Mwakilili yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 21/02/2026 nyumbani kwake Igawilo Uyole Mbeya. Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi. Amina
Today I met with @UTPCtz and Iringa Press Club @ipcmkombozitv We spoke about the key role media plays in strengthening democracy and UTPC's important capacity building work and advocacy on media freedom.
“3 out of 4 people cannot verify information, and this is a problem we all know. The chances of these 3 spreading misinformation is high,” - Nuzulack Dausen, CEO of @NuktaAfrica speaking during the Innovation Lab and Design Thinking Workshop in Arusha.
“Kila ubunifu tunaofanya lazima uendane na mazingira sahihi. Popote tunapofanya kazi, tunabuni bidhaa zinazolingana na uhalisia wa watu tunaowahudumia,” - Innocent Mangu, Mkuu wa Idara ya Uhakiki na Uthibitishaji wa Taarifa wa JamiiAfrica (@JamiiForums) #FactChecking #Innovation
📍 Arusha, Tanzania | Dec 1–5, 2025 International Media Support (IMS), Jamii Africa (@JamiiForums) and @UTPCtz are hosting a Design Thinking & Innovation Lab bringing together 21 participants from 7 Tanzanian media houses. #IdeaLab #Factchecking #MediaInnovation
We stand behind the call for justice and reconciliation built on collective and inclusive commitment to healing.
Matukio Baada ya Uchaguzi 2025: Namna Majirani Nane Walivyouwawa Kinyerezi Dar es Salaam Mpaka sasa kunguru na nzi wamezuka eneo ambapo majirani nane wa mtaa wa Kanga-Kariakoo, Kinyerezi, jijini hapa, walipouwawa. Kabla ya mvua kunyesha Novemba 4, 2025, harufu ya kifo ilikua ndiyo alama ya eneo hilo. Mvua iliweza kusafisha baadhi ya mabaki ya viungo vya binadamu yaliyokuwa yamebaki, ikiwemo damu nzito. Tukio hili lilitokea usiku wa kuamkia Novemba 3, 2025, majira ya saa tisa. Majirani hao waliuwawa zamu kwa zamu kwa kupigwa risasi. Hii ni baada ya kuambiwa wajilaze nyuso zao zikiangalia ardhi, na kuamrishwa kusali sala ya mwisho. Majirani hao ambao nyumba zao zimefuatana katika mstari mmoja, walikuwa ni afisa polisi mstaafu, walimu wawili, dereva, wauza duka wawili, afisa wa benki na mfanyabiashara ndogondogo. “Hapa kulikua hakufai kabla ya hii mvua kunyesha, wao walikuja wakamwagia mchanga, lakini kulikua hakufai, mvua imesafisha safisha, kidogo,” moja ya majirani alitueleza hali baada ya mauaji hayo. Tukio hili lilianza baada ya duka la jumla lililopo katika mtaa huo kusikika kuwa limevamiwa na vibaka. Polisi mstaafu aliwaongoza majirani wenzake kwenda kuimarisha ulinzi katika eneo hilo, ambapo pia aliamua kupiga simu na kuita polisi. Polisi wenye silaha walivyofika kwenye eneo hilo waliwaamrisha wote kulala chini. Licha ya kujitetea, hoja zao hazikuweza kufua dafu. Waligawanywa makundi mawili, wakitenganishwa na barabara ambayo imegawanya makazi yao, upande wa kulia na kushoto, wengine wakawekwa karibu na duka hilo la jumla, na wengine wakawekwa upande wa pili, pembeni ya nguzo ya umeme. Soma Zaidi>>>thechanzo.com/2025/11/09/mat…
TAARIFA KWA UMMA
Tafiti zinaonyesha vyombo vya habari vimepoteza uaminifu kwa walaji wa habari. Unadhani nini kimesababisha?
Ni njia ipi bora ya kupambana na taarifa potofu?
Lubasha Jr @MarekaMalili
678K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Zitto MwamiRuyagwa Ka... @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 9K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Jamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 215 Following Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
Nape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.1M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
Odo @NajjatOmar
46K Followers 2K Following A local multimedia journalist with international experience.
Handsome La Kijiji @ManenoIzaak
426K Followers 7K Following Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe Maisha yangu.
Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
115K Followers 87K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es Salaam
AshaDii @AD_Abinallah
20K Followers 1K Following Working at the Intersection of Technology, Internet Governance, Data, Innovation and New Media | An #AI Enthusiastic | Founder & CEO @mediaconvergecy
Holy @yose_hoza
161K Followers 32K Following Digital Inclusion | Telecommunication Engineer | #ElimikaWikiendi
Mandundu yeckse @MandunduYeckse
24 Followers 287 Following I’m a manager in the tax department,marketer for the FYM,a collection agent for the river voice department and a manager of cultural activities,Entrepreneuriat
🥢in charge aka GAS... @sinwarthegoat
29 Followers 1K Following Gaslight - Admiral BABU mar·tyred - Y-Sinwar #OSNIT #SOCMINT
Centre for Environmen... @CERAIUg
2K Followers 2K Following A non profit company advocating for energy transition,climate Justice, Agriculture innovations and Natural resource Governance .#protectNature
Abdulmalik Ibrahim, H @Abdulmalik_IH
1K Followers 749 Following #Tanzania sure of itself, open to the world and fraternal, forging ahead with enterprise and fortitude, we work for a multipolar world. #RTs≠endorsement.
IECSME KAMDHENU CHAIR @Kamdhenu_IECSME
319 Followers 6K Following President, IECSME Advisor, Yoga University of The Americas, Florida, USA
Door of Hope Tanzania @doorofhopetz
362 Followers 595 Following *Governance*Human Rights*Access to Justice*Fighting GBV*Inclusive Leadership*Social Accountability*Gender Equality*Civic Engagement*SDG1,2,3,4,5,6,13,16&17
Swarioba @Swarioba1
105 Followers 3K Following
PaschalSam1 @P_simpleman95
2K Followers 6K Following A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||
CHAMERU🇹🇿🇹�... @TvPzn3962
73 Followers 733 Following
Julus @ndyamukamajb
0 Followers 16 Following
May Moen @MayMoen292564
94 Followers 3K Following
Alyans Nauka @Nauka_analytics
38 Followers 2K Following
Lwimiko Eliasi @LEliasi33753
395 Followers 3K Following
A▪︎P▪︎O▪︎... @philipsimon2
2K Followers 5K Following Mbunifu | Designer | Consultant | Innovator Investor | Dream chaser/Mult - talented figurehead Actor & Comedian | Entrepreneur | Architect Visionarist | ujenzi
RAS STAR ONESTOP ONLI... @FATJO555
100 Followers 6K Following CEO RAS STAR ONESTOP ONLINE SHOPPING AFRICA’S NO.1 ONLINE SHOP
MyPressportal 🇿�... @mypressportal
1K Followers 8K Following ⭐ VERIFIED FREE PLATFORM (since 2002) distributing press releases ✍️ to Southern Africa https://t.co/3Mn8JsSXw1 🇿🇦
@marodatz @RayunaSued89758
2 Followers 108 Following photographer Producer videographer media personality AWARD WINNER BEST PROGRAM MANAGER2023 MSJ social media administrator fans of @chelseafc@standunitedfc
Ally Ngomesha @AllyNgomesha2
439 Followers 4K Following
KELVIN EMMANUEL @KELVINEMMA11006
1 Followers 107 Following
Mary-Ann G. Schreiner @magschreiner
817 Followers 2K Following Gender & Early Childhood Development Specialist | Nurse | Canadian- born global citizen, currently making Tanzania home!
philosopher Jr. @stanyKil
62 Followers 1K Following visionary leadership | Environment Ambassador | Young Philosopher | Patriotism | ANT- GBV Activist 🇹🇿
Olivia Dotson @DotsonOliv93930
0 Followers 4 Following
Nicanoly Alcado @NicanolyAlcado
0 Followers 70 Following
Jean-Yves Clémenzo @JClemenzoICRC
4K Followers 4K Following ICRC Africa Head of Com. #CommIsAid #medias (ex-journo) #history #art. Happy father who 🏃♂️, ⛷ and 🏄♀️ when he can!
Tanzania Digest @TanzaniaDigest
100K Followers 715 Following Your go-to source for concise updates and insightful analyses on Tanzania's latest news and economic trends. Exploring Tanzania's growth, one tweet at a time.
TASAFTANZANIA @TasafTanzania
105 Followers 75 Following Official Page of the Tanzania Social Action Fund - TASAF
AFRIPAF @afripaf
110 Followers 4K Following
nickluhende @nickluhende1
41 Followers 308 Following Raia Mwandamizi! Am back with this new account. Please follow back as the older one (nickluhende) has died with a deactivated account!
Marianne Young FCDO @MYoungFCDO
4K Followers 1K Following British High Commissioner to the United Republic of Tanzania; former High Commissioner to Namibia and Deputy Ambassador to Turkey
Imani Henrick Luvanga @Imaniluvanga
13K Followers 1K Following Multi-award winning Journalist | Digital rights advocate and gender justice activist | Founder - @digitwithimani
Giacomo Manferdini @ManferdiniG
220 Followers 922 Following Econ PhD student at @UniBocconi. Behavioral, political, and some combinations of the two.
Human Rights Solidari... @SolidarityHR
14K Followers 3K Following UK Based Youth-Led Registered Charity Defending Rights of the Next Generation https://t.co/dX63u3kjav ; https://t.co/uSwAsLa8lQ
Africa Check in Kenya @AfricaCheck_KE
23K Followers 394 Following Africa Check's team in Kenya. Follow for the latest #factchecks & debunks. 📲 https://t.co/XKh1VJBZ2i #SambazaUkweli
Matokeo ChanyA+ @matokeochanya
48K Followers 1K Following Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+
Benezeth Kahwa @Benezeth_Kahwa
505 Followers 890 Following Freelance Journalist | Communications & Media specialist | Documentary Producer | Common Citizen
Fulgence Miku @fulgencem
5K Followers 2K Following Director of Advocacy and Reforms, LHRC TLS Young Lawyer Award Winner 2010|Vicon Human Rights Award Winner 2022|Lawyer RTs are not endorsement
Fatou Sall @FatouSa92247353
6 Followers 400 Following
Godfrey Kalagho @Kalaghogg
12 Followers 318 Following Editor | Communication Specialist | Lawyer Trainer | Capacity Building Expert in Media | Communication | Public Relations | Partnerships
Shaz Car-hire-tours @shazzanzibar
63 Followers 1K Following 🌴 Zanzibar Tour Specialist ✈️ Beach holidays | Honeymoons | Island tours 🇹🇿 Hotels • Transfers • Experiences 📩 DM for a stress-free Zanzibar vacation
Ndaki William @dop_ezu
1 Followers 29 Following BA IN MASS COMMUNICATION, MWANDISHI WA HABARI NA MTANGAZAJI. MUONGOZAJI WA PICHA ZA VIDEO NA PICHA ZA MNATO
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 1 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
EastAfricaTV @eastafricatv
2.1M Followers 6 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]
Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.8M Followers 29 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzania
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
463K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
Lubasha Jr @MarekaMalili
678K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.1M Followers 296 Following
Zitto MwamiRuyagwa Ka... @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
ikulu_Tanzania @ikulumawasliano
554K Followers 6 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿
BBC News Swahili @bbcswahili
2.2M Followers 249 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.
Clouds Media @CloudsMediaLive
1.9M Followers 43 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 9K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
fatma karume aka Shan... @fatma_karume
1.2M Followers 664 Following Who’s to blame if repression remains? We are. Who can break its thrall? We can. Whoever has been beaten down must rise to his feet! Whoever is lost must fight
Ummy Mwalimu @ummymwalimu
951K Followers 770 Following Public Health, Governance & Child Rights Advocate | Former Minister of Health, Tanzania Jan 2022 to Aug 2024 & 2015 to 2020; PO-RALG 2021 | 🇹🇿MP 2010 - 2025
Jamii Forums @JamiiForums
1.8M Followers 215 Following Inform | Engage | Empower | Digital Democracy
Azam TV @azamtvtz
1.6M Followers 90 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000 | 📻 @ufmradiotz | @AzamTVKenya, @Azamtv_MW, @azamtvzw, @azamtvRw, @Azamtv_ug
Tanzania Media Fund @TanzMediaFund
509 Followers 5 Following
Door of Hope Tanzania @doorofhopetz
362 Followers 595 Following *Governance*Human Rights*Access to Justice*Fighting GBV*Inclusive Leadership*Social Accountability*Gender Equality*Civic Engagement*SDG1,2,3,4,5,6,13,16&17
ICT Commission-Tanzan... @ict_commission
6K Followers 193 Following A Government institution established to promote digital innovation and ICT investment, build capacity in ICT skills,and promote ICT research.
Int’l Telecommunica... @ITU
113K Followers 2K Following UN agency for digital tech, connecting the world through #spectrum management, brokering #standards + bridging the #DigitalDivide. Secretary-General: @ITUSecGen
World Youth Forum @wyfegypt
13K Followers 3 Following World Youth Forum is a platform that sends a message of peace, prosperity, harmony and progress to the entire world built by promising youth.
Internet Society Foun... @ISOC_Foundation
18K Followers 400 Following The Internet Society Foundation exists to support the positive difference the Internet can make to people everywhere.
Umoja wa Mataifa @UmojaWaMataifa
31K Followers 750 Following Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.
Zanzibar Maisha Bora ... @maishaborafdn
974 Followers 89 Following Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF), founded in 2021 by the First Lady of Zanzibar, is dedicated to improving the quality of life for women, youth & children
URT Updates @urtupdates
804 Followers 764 Following Updates from the United Republic of Tanzania #URTUpdates
Marianne Young FCDO @MYoungFCDO
4K Followers 1K Following British High Commissioner to the United Republic of Tanzania; former High Commissioner to Namibia and Deputy Ambassador to Turkey
Imani Henrick Luvanga @Imaniluvanga
13K Followers 1K Following Multi-award winning Journalist | Digital rights advocate and gender justice activist | Founder - @digitwithimani
Human Rights Solidari... @SolidarityHR
14K Followers 3K Following UK Based Youth-Led Registered Charity Defending Rights of the Next Generation https://t.co/dX63u3kjav ; https://t.co/uSwAsLa8lQ
Africa Check in Kenya @AfricaCheck_KE
23K Followers 394 Following Africa Check's team in Kenya. Follow for the latest #factchecks & debunks. 📲 https://t.co/XKh1VJBZ2i #SambazaUkweli
Fulgence Miku @fulgencem
5K Followers 2K Following Director of Advocacy and Reforms, LHRC TLS Young Lawyer Award Winner 2010|Vicon Human Rights Award Winner 2022|Lawyer RTs are not endorsement
UTAFITI FORUM @UtafitiForum
110 Followers 270 Following A TCRA-licensed platform where research evidence is communicated beyond academic settings for greater impact.
mwanzapressclub @Mwanzapc
8 Followers 107 Following Mwanza Press Club (MPC) Is registered under Society Ordiance and the member of Union of Tanzania Press Club (UTPC) deal with media reporting, media advocacy.
Dr. Dorothy Gwajima @Dr_DGwajima
28K Followers 160 Following Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu. Mke wa Adv. Gwajima na Mama wa Familia.
Media Brains @TheMediaBrains
37 Followers 28 Following 🏡 Home Of DeepThinkers 📝 Media Gurus 📧 All Enquiries to: [email protected]
PINGO's Forum @PINGOsForum
984 Followers 280 Following PINGO’s Forum is a human rights and development network that seeks to advocate and support sustainable livelihoods of pastoralists and hunter-gatherers.
Media Aid for indigen... @maipacNGO
227 Followers 2K Following This is an official page for MAIPAC: Media Aid for Indigenous & Pastoralists Communities(MAIPAC)
Mwanza Youth and Chil... @mycntanzania
1K Followers 770 Following Mwanza Youth and Children Network is a youth led NGO established in 2009 to serve youth and children in Tanzania. Join us!
Marie Stopes Tanzania @MarieStopesTZA
1K Followers 93 Following Marie Stopes Tanzania ni shirika lililojikita katika kutoa huduma na taarifa za Afya ya Uzazi nchini #Tanzania toka mwaka 1989. Wasiliana nasi BURE 0800 753 333
Paul Kisabo @Advocate_Kisabo
12K Followers 182 Following Advocate~ Nimble Person ~ Human Rights Defender ~Justice Ambassador
The Chanzo @TheChanzo
79K Followers 194 Following We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105
Boniface Mwabukusi @Mwabuk2Boniface
68K Followers 8K Following Advocate | father | husband. HUMAN RIGHTS. Tanzania🇹🇿 President Tanganyika Law Society 2024-27
Land Dwellers @Land_Dwellers
2K Followers 49 Following This is an investigative digital platform mainly focuses telling the stories from common people. Email: [email protected] YouTube: @LandDwellers
Jackline Victor @JacklineVictor5
2K Followers 295 Following Correspondent Journalist at The Chanzo, Award winning journalist, storyteller, voice over,jingles, helping people living in poverty 🥰
Hamad Rashid @hamadrashidhd
53 Followers 82 Following Journalist from Tanzania, East Africa UN News Kiswahili via @tkt Multimedia Producer
Aikande Clement Kwayu @aikande
48K Followers 3K Following Academic- Political Science & IR | Life Insurance Business | Research Consultant | Mom | Follower of Christ.
Jerry Silaa @JerrySilaa
84K Followers 179 Following Minister for Lands & Housing MP for Ukonga | mPAP | BSC in Electronics Science & Communication UDSM | MBA MSM-Esami | LL.B-OUT | PGD LP-LST |
UNESCO Eastern Africa @UnescoEast
7K Followers 724 Following UNESCO Regional Office for Eastern Africa. #Education #Sciences #Culture #Communication #Information #Ocean
Thomson Reuters Found... @TRF
43K Followers 4K Following Bolstering the resilience of independent media, strengthening access to the law and promoting responsible business. Also power @Openly @TrustConf.
Zanzibar Press Club @zanzipress16
73 Followers 233 Following
MTI Investment AB @MTIinvestment
124 Followers 37 Following An investment company with a focus on East Africa, listed on Nasdaq First North (ticker: MTI)
Aidan Eyakuze @aeyakuze
36K Followers 2K Following CEO @opengovpart | Tutu Fellow (@TutuFellows) formerly at @Twaweza_NiSisi | Co-Chair 2022 @opengovpart | @Data4SDGs, a data junkie & seeker of wisdom.☝️
Shinyanga Press Club @ClubShinyanga
42 Followers 46 Following The Shinyanga Press Club is a professional association that brings together journalists in Shinyanga region, Tanzania. The club's exist since 2003.
MFA Tanzania @mfa_tanzania
89K Followers 606 Following Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
UN Women Tanzania @unwomentanzania
2K Followers 334 Following @UN_Women is the United Nations Entity for Gender Equality and Women’s Empowerment. Tweets are from our office in Tanzania.
Manyara Press Club @Manyara_PC
25 Followers 28 Following MNRPC ni jumuiya ya waandishi wa habari wanaofanya huduma za kitaaluma katika mkoa wa Manyara chini ya Taasisi mwamvuli wa Klabu za aina hii nchini @UTPCtz
American Bar Associat... @ABAesq
119K Followers 4K Following The American Bar Association provides resources to assist lawyers and judges, accredits law schools and works to improve the legal system for the public.
valeriemsoka @ValerieMsoka
516 Followers 302 Following Valerie Ndeneingo-Sia Msoka is a strong advocate for human rights and gender equality, and against violence on women and children.
Jimmy Luhende @kazikwanza
5K Followers 3K Following Expert in Democracy, Governance and https://t.co/1pPJtmOb5j strategist, with massive experience in community engagement, relations and transformations.


















