James Tupatupa @jamestupatupa_
Media Personality (CMG) ||Football Coach, Pundit ||MC ||An Arsenal Fan. Dar es Salaam, Tanzania Joined March 2015-
Tweets1K
-
Followers23K
-
Following76
-
Likes411
Lechantre jan 2018 june 2018. Aussems jul 2018 nov 2019. Vandebroeck dec 2019 jan 2021. Gomez jan 2021 oct 2021. Franco nov 2021 jan 2022. Zoran june 2022 sept 2022. Mgunda sept 2022 jan 2023. Robertinho jan 2023 nov 2023. Benchikah nov 2023 Aprl 2024. .. Makocha 9 2018-2024.
Kocha wa Simba SC Abdelak Benchika rasmi ameachana na Simba SC baada yakutwaa kombe la muungano, kitendo cha Benchika kuondoka kinamaanisha Simba wataanza upya tena msimu ujao kitu ambacho wamekifanya kwa takribani misimu mitatu sasa.
Ukiachana na soka vitu vingine vya kijamii una uelewa navyo kwa kiasi gani? Mfano ukiambiwa REDCROSS @tanzaniaredcross unaelewa nini?
Asilimia 39 ya wazee nchini Tanzania wamelalamikia kitendo cha watoto wao kuwatwisha mzigo wa kulea wajukuu, inaeleza ripoti ya mwaka 2023 ya kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC).
Haki ya binadamu kuishi ni miongoni mwa haki zilizokiukwa sana 2023 kwa mujibu wa ripoti ya kituo cha sheria na haki za binadamu (LHRC), haki hiyo imekiukwa kwa njia zifuatazo. .. 1.Mauaji ya wasio na hatia 2.Ajali za barabarani 3.Mauaji ya wenza 4.Hukumu za vifo 5.kutoweka
Mtaalamu wa soka niandikie kikosi chako kinachojumuisha wachezaji wa Yanga SC na Simba SC waliocheza mechi ya jana kati ya timu hizi mbili.
Yanga SC waifunga Simba SC nje ndani, yapata bao 7 kwa Simba ikipata mbili katika msimu wa 2023-2024.
Msimamizi mkuu wa mchezo wa Yanga vs Simba leo bi Harieth Gilla amewaruhusu Yanga kutotumia chumba chao chakubadilishia nguo, kufuatia harufu kali ya tofauti katika chumba hicho katika uwanja wa Mkapa.
Metacha Mnata na Zawadi Mauya licha yakuwa wazima wa afya, hawapo hata katika benchi dhidi ya Simba leo..chambua
"Simba kama wanataka kulipa kisasi walipe kwa Yanga waliowafunga tano." Kocha Jwanneng Gallaxy full time Simba 6-0. .. "Simba waje kucheza mpira ili washine mechi sio kulipa kisasi, wakitaka kulipa kisasi watakosea." Kocha Yanga
Shemeji yangu @Ujuguhapa jana aliibuka Clouds kunisisitiza juu ya kuchinja Ng'ombe, nikamwambia usihofu juu ya hilo soon tunatoa utaratibu. .. @Ujuguhapa ndio tafsiri ya influencer bila makelele inawezekana. .. "I try to fly, a while, so high, direction sky." Yves Larock
Habari, natumia jukwaa hili kusema kuwa nasimamia ahadi yangu, msemaji wa Arsenal nitatoa tamko juu ya Ng'ombe, litakaloeleza mahali pa tukio, muda wa tukio na utaratibu, ahsante kwa kuwa nami..#coyg🔴⚪️
Emanuel Arnold Okwi Ulimboka Mwakingwe Ramadhan Singano Shiza Ramadhan Kichuya Pape Osmane Sakho .. Kuna mdau anauliza Uhuru Selemani anamtoa nani hapa ili aingie katika orodha ya mawinga watano bora wa Simba? Mawinga hawa ni ambao mdau huyo kawashuhudia.
"Mpira mit-hani sana." Antonio Nugarz
Mtu mmoja mkazi wa Dodoma ameahidi kuwapa Simba Nguruwe kulingana na idadi ya magoli ambayo Simba itafunga dhidi ya Ihefu leo. .. Duu.
Farhan Kihamu Jr @FKihamu
388K Followers 975 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaKhalidChukuchuku93�.. @Khalidchukuchuk
273K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , Ambassador @SifexAirCargo @kmcfc_official MCOGeorge Ambangile @George_Ambangil
722K Followers 666 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.Prisca Kishamba @PKishamba
235K Followers 171 Following Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teamsPrivaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Clouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Kibwana Shomari @KibwanaShomar15
146K Followers 31 Following @YoungAfricansSC and National team player. 💚💛🇹🇿 #TeacherThings 😃Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberDaktari Wa Manesi �.. @McinikaWaLamar
756K Followers 2K Following Social Media GURU | Thinker Tank | Content Creatoredgar kibwana @KibwanaEdgar
37K Followers 204 FollowingAdui Wa Yanga @Aduiwayanga
176K Followers 375 Following MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC Gracias💕💕💕Fanuel Mwangyombo @mwan72162
5 Followers 219 FollowingJohn Nade @JohnNade677990
6 Followers 93 Followingdonad @jdonad_
118 Followers 1K Followinggodlisten @iniziolif57
6 Followers 176 FollowingSamwel Herbert @SamwelHerb60758
1 Followers 99 FollowingEXTRA MILES @M11684Extra
21 Followers 188 FollowingRahel Pallangyo @pallangyor
92 Followers 947 Following Sports reporter and Photojournalist; Ndondo Cup 2017 Best photographer, Ejat Best Photographer 2018George @George81740501
5 Followers 172 FollowingSMG @ShackbadaM
58 Followers 312 Following Editor and immunologist + parasitologist, Udsm alumni....Timothy Amani Jr™ @TamaniHimself
11 Followers 143 Following IT Personnel | Entrepreneur | Football Referee | Godly | The prefered onedaudi magori @DaudiMagor50573
2 Followers 177 FollowingJohnson Obadiah @JohnsonObadiah2
259 Followers 594 Followingmaulino Mgaya @MaulinoMga9308
4 Followers 2K Followingfelix leffy @pimbi8693
2 Followers 15 FollowingChakadize Jr🇺🇸 @chakadize
756 Followers 2K Following Tembea mwenyewe ili kupima uwezo wako wa kufika mbali ukiwa mwenyewe•|| Christian•|| TAC Member•|| YDHHM Staff Member•||victor wilson @viczy96
21 Followers 249 FollowingJames Kimaro @JamesKimar42484
0 Followers 46 FollowingWilliam Thomas 📚 @panzi_jeuri
690 Followers 659 Following Kwenye Maisha epuka kupima utu wa mtu Kwa matatizo uliyonayo, Kwani unaweza poteza watu muhimu maishani mwako.Editha Kayombo @editha_kay36632
6 Followers 159 FollowingGeorge luambano @Georgeluambano2
4 Followers 64 FollowingMathew Isaya @mathew_isa87440
22 Followers 202 FollowingSimon Masome @SimonMasom23658
4 Followers 146 Followingparachichi @FrancesHau29559
27 Followers 115 FollowingAbeid @Abeid4271938689
11 Followers 173 Followinghussein @hussein62863892
14 Followers 202 FollowingHarid Liyembe @liyembe34994
1 Followers 84 FollowingGift Ayo @ayo85706
1 Followers 34 Followingabuuh imah @AbuuhImah
30 Followers 248 Followingmatandula ramadhani @matandular42677
19 Followers 159 Followingmswazih_@001 @japhet_jon93021
9 Followers 596 FollowingSokaPlace @SokaPlace
30K Followers 405 Following The Official Twitter account for @sokaplace_ Instagram: @sokaplace_ Facebook: @Sokaplace Call us 0715255182Peter Chauka @peter_chauka
2 Followers 144 FollowingMo son!!Tz💡 @MohamediSh69719
44 Followers 478 FollowingHabibu Beye @HabibuB47786
31 Followers 289 Followingjames mwanampepo @JMwanampep22221
2 Followers 73 Followingwaziri champ @ChampWaziri
24 Followers 411 Following Digital marketing expert 💻 Graphics designing expert.ramadhan nanyadu @RNanyadu77490
0 Followers 73 FollowingLoveus Martine @LoveusMartine
21 Followers 355 FollowingFarhan Kihamu Jr @FKihamu
388K Followers 975 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaSimba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)George Ambangile @George_Ambangil
722K Followers 666 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.Prisca Kishamba @PKishamba
235K Followers 171 Following Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teamsPrivaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Clouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaShaffih Dauda @shaffihdauda1
893K Followers 923 Following Head of Programs at @CloudsMediaLive | Sports Analyst at CLOUDSFM Radio and CLOUDS TV | Tweets are my ownMicky Jnr @MickyJnr__
222K Followers 189 Following Leading African Football Journalist || Transfer Expert || Content Creator || @caf_online Media Expert || Writer || Covered #FIFAWorldCup 🇶🇦Young Africans SC @YoungAfricansSC
323K Followers 60 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Swahili Times @swahilitimes
1.5M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779Ali Kamwe @AliKamwe
358K Followers 99 Following @Media & Communication Manager of Yanga, Holds CAF Coaching License CKibwana Shomari @KibwanaShomar15
146K Followers 31 Following @YoungAfricansSC and National team player. 💚💛🇹🇿 #TeacherThings 😃Uncle Fafi @Tanganyikan
160K Followers 34K Following | Bookworm | Photography | Content Producer | Tech Writer |Swahili Enthusiast | Jogger | Basketball | Manager for @05_kemmieEBL @EBL2017
163K Followers 278 Following First Team Analyst in the EFL, 1.1 MSc in performance analysis, 2.1 BA in psychology, [email protected] for 💼 queries. EXCLUSIVE Patreon linked below 👇Emilly Mallya @EmillyMallya
2K Followers 720 Following Public Relations Associate @cloudsmedialive |Information Architect | |BA-PSPA UDSM | |MIB, Foshan University | |PGD-Economic Diplomacy | "HUSTLER”🇹🇿Mail Sport @MailSport
599K Followers 940 Following Your home for the latest news, videos and viral moments from the world of sport! 📸🎙️🟢Ummy Mwalimu, MP @ummymwalimu
896K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Elimu ya Afya kwa Umm.. @elimuyaafya
11K Followers 616 Following Official page for Health Promotion Section in Ministry of Health - 🇹🇿Anna Tibaijuka @AnnaTibaijuka
29K Followers 29 Following Retired 1. UN Under Secretary General & 2. Executive Director UNHABITAT 3. Tanzanian MP and Minister.Dullah_theKing🇹�.. @DullahTheking2
83K Followers 2K Following There's no one who can stop you except yourself... I refuse to stop🙌🏽.. https://t.co/lCJQZQ0McnMwanaspoti @MwanaspotiTZ
169K Followers 128 Following Gazeti #1 la michezo na burudani Tanzania. Pata habari motomoto kuhusu staa au spoti uipendayo. Kata kiu yako ya Burudani na Michezo. A MCL Brand.Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteBBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.TFF TANZANIA @Tanfootball
855K Followers 173 Following Official Twitter account of the Tanzania Football Federation. Founded in 1930 and affiliated to FIFA in 1964.Miss_Salum @AsiahSalum
13K Followers 3K Following |Founder & CEO of #MissSalumNails💅 & #MissSalumCosmetics💄 [email protected] | DM me 😊 #SemanaekupitiaMimi #Icanmakeitanywhere🥂charles abel @charlesabel24
25K Followers 226 Following Sports Reporter (Mwananchi Communications Limited). Ndondo Cup 2017 Best Reporter.Spesho Kabwanga 🇹�.. @SpeshoKabwanga
1K Followers 918 Following Journalist Clouds Media Group #Tanzania_kwanza Documentary Master, Narrator, A Strategic ReporterGodbless E.J. Lema @godbless_lema
1.1M Followers 981 Following Politician/Activist/Member @Chadematz Central Committee Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and FatherThe mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||Cyancute ⭐ @CyancutyTz
328K Followers 3K Following ♻️Influence Content Creator & Social Media Promotions And Ads Matangazo Dm Ipowazi Fan Club @SimbaScTanzania🔱 Found CEO #SisiKitaaNawana On Space 🔥Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberAdui Wa Yanga @Aduiwayanga
176K Followers 375 Following MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC Gracias💕💕💕KITABU @marcelkitabu
3K Followers 2K Following Creative & strategist @Cloudsmedialive | Communication expert |marketer| music analyst |social activistAndrew Petcash @AndrewPetcash
109K Followers 644 Following Breaking down the business of athletes and NIL. Former D1 hooper. Sports entrepreneur & investor. 30,000+ others read the newsletterDharmesh Sheth @skysports_sheth
152K Followers 2K Following @SkySportsNews Reporter & Presenter. #TransferTalk Podcast. Views are my own. Work enquiries: [email protected]Tamimu Adamu @IamTamimu
1K Followers 154 Following Media Personality @CloudsMediaLive | Voice Over Artist | Content Creator | News Anchor | Clouds 360 Producer. 🇹🇿Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.0M Followers 301 FollowingSINGIDA BLACK STARS S.. @singidabssc
122K Followers 38 Following Shabiki damu damu wa Singida Black stars.Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 74K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤Daktari Wa Manesi �.. @McinikaWaLamar
756K Followers 2K Following Social Media GURU | Thinker Tank | Content CreatorKocha wa Simba SC Abdelak Benchika rasmi ameachana na Simba SC baada yakutwaa kombe la muungano, kitendo cha Benchika kuondoka kinamaanisha Simba wataanza upya tena msimu ujao kitu ambacho wamekifanya kwa takribani misimu mitatu sasa.
@jamestupatupa_ Shida kubwa ipo pale uliposema wawili, tunashindwa kukutetea ndugu zako.😂
Emanuel Arnold Okwi Ulimboka Mwakingwe Ramadhan Singano Shiza Ramadhan Kichuya Pape Osmane Sakho .. Kuna mdau anauliza Uhuru Selemani anamtoa nani hapa ili aingie katika orodha ya mawinga watano bora wa Simba? Mawinga hawa ni ambao mdau huyo kawashuhudia.
Uambiwa Mo hatoi hela yakuendesha Simba, anatoa Try Again, nashangaa kivipi Try Again atoe hela zake wakati kuna vyanzo vya mapato Simba na wanachama walisomewa! Je kama Try Again anatoa hela zake, anajitolea tu au anawekeza, kama anawekeza zinarudi vipi..? Mambo ni mengi
Orodha ya wachezaji waliosajiliwa na Yanga SC na wakaondolewa kabla yakutimiza misimu miwili. Chiko. Yikpe. Bryson. Balinya. Doumbia. Carlinhos. Sibomana. Bigirimana. Abdurazak.
Orodha ya wachezaji waliosajiliwa na Simba SC na wakaondolewa kabla yakutimiza misimu miwili. Okwa. Okrah. Akpan. Watara. Kapama. Kiyombo. Jefferson. Sawadogo.
Huooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
"Baadhi ya wachezaji wa wakimataifa waliosajiliwa na Simba, wanapatikana Tandika tu hapo." Mwina Kaduguda. "Nimemskia Kaduguda ila sitomjibu, tuna mechi nzito mbele yetu." Mzee Dalali "Mzee Kaduguda nimemsikia, nasema mzee amepotoka, anajivunjia heshima yake." Kisugu.
"Wanayanga tumepokea matokea ya Simba vs Al Ahly kama Taifa limepoteza mchezo, na mimi binafsi nimefika Cairo, kwa namna Simba walivyocheza nyumbani naamini watapata matokeo ugenini." Arafat Haji Makamu rais Yanga SC.
@marcelkitabu We ndio maana hualikwi wewe..🤣🤣
As long as you keep God first in your life, you'll forever be blessed.
Turpa😃
Bismillah & Alhamdulillah every time inshaallah, jana nilikua mmoja wa ma MC wa malkia wa nguvu, kama una jambo lako njoo inbox MC nipo, hautojutia.
Jana nilipata wasaa wa kusalimiana na mzee wetu CDF mstaafu general Venance Mabeyo, kumbe wakati tunaendelea na purukushani za kuhakikisha event inakwenda sawa pale ukumbini, chuma kilikuwa kinatizama, akakamilisha salamu yetu kwa neno “kijana endeleaa”💪🏾 #ilipotupo🎯
Thomas Partey amekataa kujiunga na timu yake ya taifa Ghana katika michezo yakirafiki, ameamua kubaki katika club yake Arsenal ili kuendelea kuimarisha afya ya mwili wake. .. Partey anaungana na Samata na Ben White kutojiunga na timu zao za taifa na kupambana na club zao.
@jamestupatupa_ Wekeni na hii basi
@jamestupatupa_ Mtangazaji wangu bora wa michezo wa mda wt👊👊