Muyumu @MussaWamusa
@muyumu Joined June 2021-
Tweets1K
-
Followers3K
-
Following3K
-
Likes4K
Ewe Allah nisamehe Mimi kwa Madhambi niliyoyafanya ya kujiunga na mtandao huu wa Twitter kwakweli unapotosha maadili, kuanzia Leo najitoa nakushukuru wewe Allah kwa kuniojngoza nikajitoa nakuomba uwaongoze na wengine wajitoe.
Mwenye video ya wanafunzi wa kiislam wakicheza disko naiomba
Ukimuona mwanamke anapenda kujianika mitandaoni, nduguyangu Muogope kama ukoma hafai kumuoa.
Hivi Ni kwanini zama hizi Mashoga na Wasagaji wanaongezeka kwa kasi?
Jamani mwenzenu sielewi watu wa Twitter wanaposema Dm wanamaanisha nini 🤔🤔
Natafuta mwanamke wa kumuoa nipo newala mtwara,bsifa zake asizisi miaka 30 awe mwenye kuwa tayari kufuata misingi ya dini ya kiisla
Kwani warembo ninaowaona humu mbona sikutani nao mitaani humu, hivi kweli watu au majini Hawa, usikute majini hawa
Hakika ya Nafsi siku zote huamrisha maovu ipinge Nafsi yako kwa kutumia silaha ya Dini
Hivi wakikuambia chagua kimoja Kati ya kuwa mfupi kimwili akili zako ziwe ndefu na kuwa mrefu kimwili akili zako ziwe fupi utachagua Nini?
Bora kuwa mfupi kimwili akili zako zikawa ndefu kuliko kuwa mrefu kimwili lakini akili zako zikawa fupi, huu nao ni ulemavu wa akili
لو غسلت الفحم ألف مرة لن يصبح أبيض، كذلك قلوب بعض البشر لن تصبح بيضاء مهما فعلت معها. Lau kama utauosha mkaa mara elfu moja, hauwezi kuwa mweupe. Hivyo hivyo kuna baadhi ya nyoyo za watu haziwezi kuwa nyeupe hata uwafanyie nini.
Tafuteni msaada kwa subra na Sala.... ✍️
بعض البشر لو أعطيته في كفيك عسلًا، يأكل العسل وبعدها يعض اليد التي أكرمته. Kuna baadhi ya watu ukiwapa asali kwenye kiganja chako, atakula asali kisha ataung'ata mkono ambao umemkirimu kwa kumpa hiyo asali. ✍🏼Sio kila uliyemfanyia wema atakulipa wema, wengine watakulipa maumivu.
Micheline Mucciolo @MicheliMuccio
81 Followers 5K FollowingSamwel malanyingi @SMalanying72600
36 Followers 339 FollowingIsadora Frump @fru_isado
42 Followers 5K FollowingArlyne @allenarlyne83
230 Followers 3K FollowingRich Benson @RichBenson199
16 Followers 101 FollowingName can't be blank �.. @__MUBAARACK
4K Followers 1K Following MUU✌️ @Mancity . . “The moon is beautiful, isn't it?” 🙃Remy Pettner @RPettne
78 Followers 5K FollowingRiya Scaife @RiyaScaife92070
66 Followers 5K FollowingArminda Varrelman @varrelman67041
65 Followers 5K FollowingRajabu Sagwa @sagwa_raja24326
268 Followers 2K FollowingInnocent Patrice @InnocentPa70397
658 Followers 3K FollowingKeira Bernucho @KeirBernuc
65 Followers 5K FollowingBeryl Vansice @vansice4851
89 Followers 5K FollowingHope Pollaro @HPollaro31277
51 Followers 5K FollowingDennise Guthrie @DenniseGut98180
50 Followers 5K FollowingIsrael Kapange @IsraelKapange
176 Followers 1K FollowingJane🍑 @kim0655234499
60 Followers 261 FollowingTonia Mollicone @TMollicon
39 Followers 5K FollowingMitsuko Fannin @FanninMits47520
77 Followers 5K FollowingMargarite Kohus @MKohus83610
68 Followers 5K FollowingGlynis Migliorisi @GlynisMigl86022
52 Followers 5K FollowingJanice Glinkerman @JaniGlinkerma
57 Followers 5K FollowingMeta Saxman @MetaSaxman22395
69 Followers 5K FollowingJourney Metier @JournMeti
65 Followers 5K FollowingIsack Olle @OlleIsack41812
3 Followers 52 Followingluckie @Pupychulo360
625 Followers 2K FollowingNikki Rowels @rowel_nik
52 Followers 5K FollowingBeryl Athens @BeryAthen
38 Followers 5K FollowingSalma Lamar @SLamar72557
8 Followers 3K FollowingHilma Haggan @HaggHilm
43 Followers 5K FollowingAngella Lynchard @ALynchard51527
43 Followers 5K FollowingEtsuko Tonkin @EtsukTonk
75 Followers 5K FollowingXiomara Castellion @XiomarCastelli
40 Followers 5K FollowingMtanzania Bin Tangany.. @BinMtanzania
1K Followers 2K Following "NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA" "NIPO TAYARI KUFA KWA AJILI YA NCHI YANGU TANZANIA" "TUTUMIE RASILIMALI ZILIZOPO VIZURI KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFIKRA"Marth Brodsho @brodsho22783
78 Followers 5K FollowingKaci Middendorf @k_middendo
41 Followers 5K FollowingZee la Vyeti (PhD) @babalao__
478K Followers 7K Following 𝗭𝗲𝗲 𝗕𝗮𝗯𝗮𝗹𝗮𝗼, 𝗣𝗵𝗗 ✪Influencer ✪ Content Creator ✪ Memelord✪ ✪ Chelsea Fan ✪Zee La Nyeti @OriginoZee17
224K Followers 7K Following Truck Driver|Professional driver|Forklift Operator|Terminal Tractor Operator|Funny Man| @Arsenal @FCBarcelona @SimbaSC FanSimba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)EastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]The mandevu @ze_mandevu
262K Followers 8K Following || Arsenal ||Content Creator || Compatriot || Mtani ||adamlutta @adamlutta
209K Followers 1K FollowingFumbo Khan @fumbokhanJr
286K Followers 1K Following funny tweet// Man United and Simba Sport|| forum of thought|| fumbokhan on InstagramMfanyakazi Online Med.. @MfanyakaziNews
420K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]Boniface Jacob @ExMayorUbungo
452K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberClouds Media @CloudsMediaLive
1.6M Followers 44 Following A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.Privaldinho @privaldinho
766K Followers 439 Following YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||Ayubu Madenge @ayubu_madenge
307K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peoplemillardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]WHYMYCATISSAD @INFLUENCERjr
278K Followers 2K Following Only Person on X who doesn't Claim to be a Social Media Guru.Adui Wa Yanga @Aduiwayanga
176K Followers 375 Following MATANGAZO KWA BEI YA PUNGUZO NJOO DM Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC Gracias💕💕💕George Ambangile @George_Ambangil
722K Followers 666 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.𝐇𝐚𝐦𝐢𝐦�.. @mak_migezo
3K Followers 466 Following 𝐓𝐡𝐞 𝐜𝐥𝐞𝐚𝐧 𝐡𝐞𝐚𝐫𝐭𝐞𝐝 𝐠𝐞𝐧𝐭𝐥𝐞𝗺𝐞𝐧➩حسبنا الله ونعم الوكيل➫الله لااله الا هو الحي القيام➫𝐐𝐮𝐫'𝐚𝐧 2:152–𝐀𝐥𝐰𝐚𝐲𝐬 𝐛𝐞 𝐲𝐨𝐮✊🏾forfucksake @Pornograti44842
2K Followers 13 Following Porn pics and videos, nudes and others related to sex, like sex talks, etc. DM for credits or tweet removal, No copyright infringement𝗕𝗘𝗦𝗧 𝟭.. @bestclipsonline
288K Followers 835 Following 📥 𝘿𝙢 𝙛𝙤𝙧 𝙖𝙙𝙨 & 𝙋𝙧 || 𝙏𝙪𝙧𝙣 𝙤𝙣 𝙥𝙤𝙨𝙩 𝙣𝙤𝙩𝙞𝙨 𝙖𝙣𝙙 𝙚𝙣𝙟𝙤𝙮😋 𝙁𝙤𝙡𝙡𝙤𝙬 𝙗𝙖𝙘𝙠𝙪𝙥𝙨👉🏽 @hinatawontmiss & @inojinwontmisscute Fatma @cuteFatma01
592 Followers 1K FollowingZembwela Beberu @Zembwelabeberu
11K Followers 37 Following Mtangazaji Wasafi Media Mshehereshaji (MC) Mchekeshaji Mswahili 🇹🇿Siraji kahiyuzi akili.. @Kahiyuzi3
13K Followers 7K Following Official Twitter X account 🐟 #Mvuvi muuza Samaki kutoka bukoba𝗞𝘂𝗯𝗮𝘀�.. @KubassuKE
29K Followers 6K Following I 💙 ⚽ || _Believer in the power of positivity __Embrace life Mishaps//turn them to pun. living life in God's Mode. Urbane ENG||Rx||Mfr/ANPName can't be blank �.. @__MUBAARACK
4K Followers 1K Following MUU✌️ @Mancity . . “The moon is beautiful, isn't it?” 🙃Sabinus (fan) @mrfunny____
297K Followers 9 Following This page posts strictly funny contents & viral gists. Follow and let's laugh our sorrows away 😂😂🤣🤣 dm for promosEric NDAGIJIMANA®️ @EricNdagije250
18K Followers 3K Following 𝑹𝒘𝒂𝒏𝒅𝒂𝒏 𝑺𝒑𝒐𝒓𝒕𝒔 𝑱𝒐𝒖𝒓𝒏𝒂𝒍𝒊𝒔𝒕 | @rbarwanda | @RadioHuye AFRICA SPORT NEWS🇷🇼🇺🇬🇹🇿🇧🇮🇵🇸🇿🇲🇧🇫🇨🇲🇰🇪🇿🇦🇨🇮🇪🇬🇦🇴🇪🇹🇬🇭🇩🇿NASRI @NasriAllyy
34K Followers 8K Following |#YNWA| ●Hustler ●| ● Keep Them guessing●|💸 stake what u can afford●| Bet kistaarabu| #odds #1xbet join now link:https://t.co/EGstr3cTdz PROMOCODE:NASRI26POCHO TRAVELLER 🇹�.. @Pochoo777
38K Followers 271 Following SUA ALUMNUS|☆$ ~SECURED INDIVIDUALS ARE OPEN-MINDED~ No future with out present _ Trust no body_ Respect everybody Follow me for instant follow back🙏🙏AKSHEY @bovineadventure
5K Followers 197 FollowingTUNECHI🇦🇺 @Thereal_Kabote
11K Followers 3K Following Hustler || Peace Maker || Football & Music Addicted || Work at OnexbetcashRomanoNurdini🇹🇿💰 @Nurdinih3
14K Followers 13K Following JOIN TO MY TELEGRAM CHANNEL https://t.co/VYHN0CKIvbYoung Africans SC @YoungAfricansSC
323K Followers 60 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆Jane🍑 @kim0655234499
60 Followers 261 FollowingTanzania Hots👇 �.. @udakuonline24
601 Followers 69 Following JOIN KWENYE GROUP LINK 👉🔞👇👇 https://t.co/nf7a5ZcynH https://t.co/nf7a5ZcynH👆👆🔞🔞🔞HALCY OF UNICAL @DripxHalcy
99K Followers 6K Following My bounce back is always special 🐅• DM for Ads and Promo • Email📧[email protected] • Web 3 • #Defi • Wizkid • Messi • FCB • Cityzen • PepMalek @MalekTrendz
7K Followers 655 Following Funny Clips • Funny Quotes • @Arsenal 🔴 • Ig & TT👉🏼 @MalekTrendz • Always will Like your TweetMwaki J @Mwaki_JJ
7K Followers 2K FollowingMiss Fridah 🙏🏽�.. @FKaluge
5K Followers 2K Following 🔸 Prayer 🙏🏽 🔸Bible Verses 📖 🔸Simba & Manutd & Madrid & Mamelod fun⚽ 🔸 Memes 😆 🔸Love ❤️ 🔸Business Woman💰 🔸FK HOME FURNITURE 🪚🪑🛋️NDEGE TUNDUNI_Jr @NdegeTunduni_jr
24K Followers 10K Following @Gastrologist 💉 ||social networker||Marketer|| Fan of ||@yangasc1935||@Manutd||@FCBarcelon||Creative||Digital marketing||Influencer||Human Being are complicaMashibe 🇹🇿 @Mashibe_Jr
12K Followers 146 Following LLB, Mkulima, #SimbaSCTanzania , #ManUTD & #R.Madrid fanNANA Hasiya @Hasiyah_
9K Followers 12 Followingluckie @Pupychulo360
625 Followers 2K FollowingKishoka💀 @kishoka136
3K Followers 560 Following There's no shame in not knowing things! The only shame is to pretend that we know everything. |Sarcasm| being fake is my lifestyle✨SALMAH💞 @Sallmerh_
35K Followers 18 Following simple queen 👑 Parody account Turn on my post notification ❤️Mtanzania Bin Tangany.. @BinMtanzania
1K Followers 2K Following "NAIPENDA NCHI YANGU TANZANIA" "NIPO TAYARI KUFA KWA AJILI YA NCHI YANGU TANZANIA" "TUTUMIE RASILIMALI ZILIZOPO VIZURI KUJIKOMBOA KIUCHUMI NA KIFIKRA"CITY DIGEST. @city_digest
255K Followers 365 Following Car Journalist • Media • Sports • Business • Politics • Entertainment • DM for Ads and Promos or contact us via email ([email protected])Ze Planmaster @ZPlanmaster
6K Followers 1K Following Am a retired CIA officer, but don't tell anyone.Eunnah @exceleunnah254
11K Followers 6K Following Live, Laugh, Love....if that doesn't work....Load, Aim and Fire!!!!kamdudu @_kamdudu
3K Followers 2K Following #Mtoto wa mwenzio muone kama #Mtoto wako ila #Mama yake sio #Mke wakogénié 🌌 @millsxcate_
4K Followers 608 Following milf enjoyer and female villain apologist || @okbutwomentho 🤏🏽ZUNGU @innojr__
22K Followers 2K Following BANDO KITONGA | | INTERNET SERVICES | ☎️0752074654 | 0710986114 | BUNDLES on highlights | MY Backup acc @innojr_ GOD'S PLAN https://t.co/xGfcL8YOQMWhatchaGot2Say⁷ (7) @WhatchaGot2Say
37K Followers 50 Following The BTS Reactors From YouTube 😅🤓 *Follow on Twitch for Live Reactions: https://t.co/opcKzbPToBلحظات القبر الأولى مُرعبة، يسمع قرع نعال مُحبيه وهم عنه مُدبرون، ثم فزعٌ دائم أو أمانٌ دائم، فاللهم أمانٌ دائمٌ لنا ولمن نُحب. Hali ya kwenye kaburi siku ya kwanza mtu anapoingia inatisha sana, anasikia mapigo ya viatu vya wapendwa wake wakiondoka. Kisha ima kaburi kwake liwe ni…
Mtoto wa kisambaa kanionjesha
لا تجبر أحداً على الاهتمام بك والسؤال عنك، فمن يحبك حقاً سيبحث عنك كما لو كان يبحث عن شيء ثمين ضاع منه. Usimlazimishe mtu awe anakujali na kukuulizia hali yako. Yeyote anayekupenda kweli lazima tu atakutafuta, kama anavyotafuta kitu cha thamani pindi kinavyopotea.
@Kirikuu20 Ona kanatucost kukata mti, uyu mpumbavu akili zake anaziweza mwenyew,
Usimchukie mtu anayekuonea wivu, bali heshimu wivu uliomo ndani yake, maana wivu wake ni kukiri tu kwamba wewe ni bora kuliko yeye.
Mtume Muhammad ﷺ amesema: "Sujudu ipasavyo na usiweke mikono yako sawa na viwiko vyako vikigusa ardhi kama mbwa." (Sahih al-Bukhari 532)
غداً يوم الخميس، كن في قوافل الصائمين، إن لم تستطع فذكر بها غيرك. Kesho ni Alhamisi. Jitahidi uwe miongoni mwa kundi la watu watakaofunga. Kama huwezi, basi wakumbushe wenzako.
ملابس المرأة تحكي: تربية أبيها، وحرصًا ومتابعة والدتها، وغيرة أخيها، ورجولة زوجها. MAVAZI YA MWANAMKE YANASIMULIA: Malezi ya Baba yake, umakini wa Mama yake, wivu wa Kaka yake na uanaume wa Mume wake.
Well said al Akhy
وقد يكون بعض ما ترمي منفعةً لغيرك، فوزّع ولا ترم. Huenda kile unachokitupa kikawa na manufaa kwa wengine. Basi kuwa na desturi ya kugawa vitu, wala usivitupe.
At-Tiyn لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ فِي أَحْسَنِ تَقْوِيمٍ
BADO TUNAENDELEA KUNASIHIANA: Wameonya sana maulamaa, juu ya kuhusiana na bid'aa (UZUSHI) na wakabainisha yakuwa bid'aa ni shari kubwa zaidi kuliko hata maasia. Kwa sababu: mtu wa bid'aa anaitaqidi ya kuwa, yani kupitia hiyo bid'aa ndio kujikurubisha kwa Allah.
غداً يوم الاثنين، كن في قوافل الصائمين، إن لم تستطع فذكر بها غيرك. Kesho ni Jumatatu. Jitahidi uwe miongoni mwa kundi la watu watakaofunga. Kama huwezi, basi wakumbushe wenzako.
المعروف لا يضيع، وإن ضاع عند الناس فلن يضيع عند الله. Wema haupotei. Kama utapotea kwa watu, kamwe hauwezi kupotea kwa Allah.
Kabla ya kuondoka nyumbani kwako asubuhi. Mkabidhi Mungu njia zako, utabarikiwa uingiapo na utokapo.
عندما يكبر الطفل يستبدل قلم الرصاص بقلم الحبر، ليدرك بأنه من الصعب الآن مسح الأخطاء. Pindi mtoto anapokua, huacha kutumia kalamu ya risasi na huanza kutumia kalamu ya wino, ili atambue kuwa ni vigumu kwa sasa kuyafuta makosa.
مهما بلغتَ من القُوَّة فإنَّك تبقى محتاجاً لحضن من تحب.❤️ Hata uwe na nguvu nyingi kiasi gani, bado utahitaji kumbatio la mtu unayempenda.
الرِّجيم (النظام الغذائي) الصحيح هو أن تنقص الناس من حياتك، أما الأكل لا نرى منه سوى الخير. Dayati (Diet) ya kweli ni wewe kuwapunguza baadhi ya watu kwenye maisha yako. Ama kuhusu kula wala hakuna haja ya kufanya diet, hatuoni tatizo lolote kwenye kula isipokuwa kheri tu.