Emmanuel Juma @Emmanue67441542
Hapa kazi tu Joined December 2021-
Tweets12
-
Followers42
-
Following148
-
Likes18
Sana mkathoric
NSSF wameshusha tozo daraja la Kigamboni kuanzia May 20 ambapo wa miguu/baiskeli ni bure, pikipiki zimeshuka toka Tsh.600 kwa safari hadi 300, magari yote madogo sasa yatalipa 1500 kwa safari, mabasi ya abiria 15-41 tozo imeshuka toka 5000 hadi 3000 kwa safari. #MillardAyoUPDATES
ukikubaliwa leo,utaomba mzigo baada ya mda gan??
Urusi imesema Ukraine inajiandaa kulipua bomu la Nyuklia katika eneo linalokaribiana na Mji wa Kharkov kisha baadaye wataitupia lawama Urusi kuwa ndio iliyorusha, Urusi imesema imeshtukia mpango huo wa Ukraine mapema na kuwaonya wasithubutu kufanya hivyo. #MillardAyoUPDATES
Tunaoamini Magufuli bado yupo ni mda tuu haujafika ebu Retweet ili iwafikie Ostazat na wenzake, pia Spika Ndugai hawezi kujiuzulu kwa kusema ukweli maybe Ostazat ndo ajiuzulu maana watz wanalia kila kona sio Ndugai
@Chris_levoos @ChrisLevoos
258 Followers 592 Following Ries and Ries against until lambs becomes lion 🦁frank january @frankjanuary6
156 Followers 553 FollowingGibson @Gibson44178359
30K Followers 22K Following freedom fighter,equal rights,freedom of speech,expression, good readership, true patriotismWakanda Forever @AmbeMwakatobe
50K Followers 29K Following Teacher, #ChildrenRights'Champion #YaliAlumni #Cohort40#MagufuliLegacy @saitech_hack
6K Followers 6K Following Ukweli na Uwazi huleta uwajibikaji na maendeleo chanya kwa TaifaTEE🦋 @teemotta
52K Followers 33K Following 1 Wakorintho 13:4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni.Afya na saikolojia @Bodysfitnessan2
47 Followers 130 Following Ushauri Afya ya mwanaume (nguvu za kiume) Mapenzi.kuachwa , kusalitiwa, upweke n.k No.0746719599 via WhatsApp &call only DSM-FREE DELIVERY.Ally Hamud Kakomile @AllyHamood
687 Followers 2K Following ICT, Trade, Transport & Logistics Expert.|| Monitoring & Evaluation Manager at @ccttfaorg || Personal Assistant to the Executive Secretary-CCTTFA @floryOKANDJUJesto Manamba @JJManamba
3K Followers 2K Following Lets talk about Business👆, call me +255 685 346 078.Ally Namyundu @allynamyundu
14K Followers 9K Following Teacher by professional not by nature or chance. ll Chelsea and Yanga Fan.. // KUMANGA AKUMAMAMAYO.Mr. Korongo @KijitiKorongo
4K Followers 5K Followingselemani kisalo @KisaloSelemani
4K Followers 4K FollowingMaderi yohana Soinda @MSoinda
159 Followers 276 FollowingSpeed5G+ @jossephatty
605 Followers 2K FollowingBaba Stewart @RoddyKamwela
955 Followers 934 FollowingCCTTFA @ccttfaorg
2K Followers 623 Following CCTTFA is an inter-governmental agency & Corridor Management Institution aimed at accelerating the development of the Central Corridor.The soul of repentant.. @JomanKennedy
16K Followers 13K FollowingColuu @ColumbusJuniorr
4K Followers 5K Following God is love | Godfearing | The lover of Truth | Learn from yesterday | live for today | Hope for tomorrow | Simba & Man City fanTzConnect @tzDiscovery
197K Followers 136K Following Get live Tweets of current issues and share with friendsKennedy Julius @KennedyJulius4
3K Followers 2K FollowingCCM IMARA @KaziniSamia
24K Followers 15K Following Utekelezaji wa Ilani ya CCM ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. @suluhusamiaTEE🦋 @teemotta
52K Followers 33K Following 1 Wakorintho 13:4 Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni.Mr.CONFIDENCE @DeMustii
14K Followers 12K Following #Confidence /Man city & Simba SC fans/Electrical Maintenance & Installation/Fatal Machenics/Islamic religion#Fear of God....... #WanaziHQ #WakuretweetHQWakanda Forever @AmbeMwakatobe
50K Followers 29K Following Teacher, #ChildrenRights'Champion #YaliAlumni #Cohort40#MagufuliLegacy @saitech_hack
6K Followers 6K Following Ukweli na Uwazi huleta uwajibikaji na maendeleo chanya kwa TaifaGibson @Gibson44178359
30K Followers 22K Following freedom fighter,equal rights,freedom of speech,expression, good readership, true patriotismJoka La Mdimu @JokaLaMdimu9
18K Followers 12K FollowingLuka Modrić @lukamodric10
5.5M Followers 5 Following Real Madrid player. Croatia national team captain. #TheBestThingsNeverComeEasyհɑղԹíϲɑ @hanpica
76 Followers 231 Following UofA graduate. Swiss native. Husband/dad. Follower of Jesus. Saved by grace. Work in progress w/ a long way to go. Take UofA football & basketball too seriouslyCarey Bryant @carey_bryant7
819 Followers 996 Following Disciple. Husband. Drummer. Enneagram 5. INFJ. Mortgage Processor. #Vols #GoBucsEATV @everything_Tony
696 Followers 2K Following The official tweeter for the 'Common Sense and HillBilly Logic' BLOG: https://t.co/KOXr8wfiHN and soon coming PODCAST: EATVDoug Bursch, D.Min @fairlyspiritual
15K Followers 2K Following Minister, writer, speaker, something else. Authored Posting Peace: Why Social Media Divides Us & What We Can Do About It. Hosts The Fairly Spiritual Show He/Himrichard wilson @rww131
1K Followers 2K Following I believe that Jesus died for my sins, just as the Scriptures say, He was buried, and on the 3rd day rose again. He paid the price for my sins.Anthony Bradley @drantbradley
51K Followers 996 Following @ActonInstitute Research Fellow | Interdisc & Theo Studies Prof Kuyper College | Former Chemist | #Keto | @ClemsonUniv Alum | Book: https://t.co/iAtsS8AnybThe Church Split @thechurchsplit
3K Followers 812 Following Escape your church’s echo chamber, learn to think biblically, and challenge the status quo.Dr. Michael J. Svigel @Svigel
16K Followers 4K Following Theology professor, department chair, patristic scholar, writer, husband, father. Passionate about the church and her one Lord.Sean McDowell @Sean_McDowell
89K Followers 8K Following Jesus-follower, Biola Professor, Author, YouTuber, Spurs fan (Yes, I am Spider-Man) - Tweets ≠ endorsementsReasonable Faith @RFupdates
97K Followers 82 Following Reasonable Faith Updates provides current news and information from the ministry of William Lane Craig and Reasonable Faith.Timothy Keller (1950-.. @timkellernyc
511K Followers 108 Following My son @michaelkellers posts here on my behalf (see pinned note). Founder of @redeemernyc. Co-Founder of @redeemerctc and @tgc. Loved New York City.Mike Winger @MikeWingerii
61K Followers 115 Following I have special interest in reasonable and intelligent answers to tough questions about Christianity.Brian Zahnd @BrianZahnd
64K Followers 284 Following Founding pastor of @WOLC. Author of eleven books, including The Wood Between the Worlds, When Everything's on Fire, and Sinners In the Hands of a Loving God.Lucy jonson @Lucyjonson3
1 Followers 0 FollowingBeautiful China @PDChinaLife
1.9M Followers 26 Following Timely updates info on Chinese culture, life and travel. Run by @PDChina, the largest newspaper group in ChinaTECH4ALL @HUAWEI_TECH4ALL
1.6M Followers 521 Following Enabling an Inclusive and Sustainable Digital World.Salum 40sℹ™🇹�.. @Inyud_u
2K Followers 1K Following Never tell me sky's the limit when there are footprints on the moon.Mery Boni @MeryBoni5
2K Followers 2K Followingرابطة العال.. @MWLOrg
5.2M Followers 7 Following منظمة دولية مستقلة، أعضاؤها من كافة الدول والمذاهب الإسلامية، مقرها مكة المكرمة، تُعنىٰ بإيضاح حقيقة الإسلام، وتعزيز الصداقة بين الشعوب.Ayubu Madenge @ayubu_madenge
306K Followers 2K Following Dad|Friend|Citizen|Humble servant of the peopleHandsome La Kijiji @ManenoIzaak
423K Followers 7K Following Baba Mzazi/Mungu kwanza/Heshimu Mawazo yangu ila ishi Maisha yako/ Ruksa kunipa ushauri wowote/ Ila si lazima ushauri wako uendeshe Maisha yangu.Hilda Newton @HildaNewton21
849K Followers 1K Following ●MWANDISHI WA HABARI, ●MWENYE KITI BAVICHA (M) TEMEKE, ●RAIS WA TANZANIA 2045.#NIPENI_MAUA_YANGU�.. @Roma_Mkatoliki
1.1M Followers 149 Following Rapper/Songwriter/Best Hip Hop Artist 2012 and Best Hip Hop Song(MATHEMATICS)2012, ACTIVIST🎤Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia akisalimiana na Mwenyekiti wa Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote (EOTF) Mama Anna Mkapa pamoja na Baadhi ya Wake wa Viongozi mara baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere JNICC
Kuna Watu Ukiwapa Sikio Kuhusu Mambo Ya Imani, Wanaweza Wakakuhamisha Kwenye Reli Ukaanza Kuona Hata Kwenda Kanisani Au Kusali Sio Mchongo, Bora Uishi Tu! Xposure Ikizidi Sana Unaanza Kuona Yesu Alikuwa Mwana Tu Unamchukulia Poa!!
Ishi Ukiamini Mungu Yupo Siku Ukikuta Hayupo Utakuwa Hujapoteza Kitu!! Kuliko Uishi Kwa Kuamini Hayupo Aaf Siku Ya Mwisho Umkute Sasa!!
Epl leo kuna migoli imefungwa hiyo 1: Mount 2: Havertz 3: Chambers 4: Bruno Guimaraes 5: Ruben Neves
Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema video inayosambazwa ya Prof. J akiwa Hospitalini haijarekodiwa na Hospitali “tumesikitishwa na tunalaani kitendo hiki cha Mtu kurekodi video ya mgonjwa anaepigania uhai wake ICU, tunafatilia kwa kushirikiana na Mamlaka husika kubaini chanzo”
Afisa mmoja ambaye alikuwa miongoni mwa Maafisa wanaosimamia mazungumzo ya kumaliza vita kati ya Ukraine na Urusi, Denis Kireev ameuawa kwa kupigwa risasi, Denis ambaye alikuwa ni Jasusi (Spy) aliyeajiriwa Wizara ya Ulinzi ya Ukraine ameuawa pamoja na Maafisa wenzake wawili.
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kila kitu kitapanda bei nchini kwa sababu bei ya mafuta duniani imepanda kutokana na vita inayoendelea kati ya nchi za Ukraine na Urusi.
Urusi imesema Ukraine inajiandaa kulipua bomu la Nyuklia katika eneo linalokaribiana na Mji wa Kharkov kisha baadaye wataitupia lawama Urusi kuwa ndio iliyorusha, Urusi imesema imeshtukia mpango huo wa Ukraine mapema na kuwaonya wasithubutu kufanya hivyo. #MillardAyoUPDATES
Msikilize Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Jamii Dkt. Joyce Nyoni akizungumzia vitendo vya ukatili vinavyotokea nchini na nini Taasisi yake inafanya kusaidia kutoa elimu kwa Watanzania ili kuondokana na vitendo hivyo.
塗り絵は、子供たちが自分の気持ちを表現し、創造性を伸ばすのに役立ちます。 🎨 これで彼らを最もよくサポートするために、Comic Coloring Bookには、クレヨンから漫画本のステッカーまで、多くの着色ツールが含まれています。 🧒 store-jp.nintendo.com/list/software/… #nintendoJP #NintendoSwitch
"Sisi tumebahatika kuwa wabunge na kuwa na maisha haya tuliyonayo lakini wako wenzetu huko nje wanaishi maisha duni, bajeti ya Taifa kwa mwaka ni Trilioni 34.88 najiuliza kila siku, kwenye hizo ni ngapi zimerudi kwa wananchi na ngapi zimeenda nje ya nchi,"-Eric Shigongo #Bungeni
Tunaoamini Magufuli bado yupo ni mda tuu haujafika ebu Retweet ili iwafikie Ostazat na wenzake, pia Spika Ndugai hawezi kujiuzulu kwa kusema ukweli maybe Ostazat ndo ajiuzulu maana watz wanalia kila kona sio Ndugai