Search results for #Bungeni
Mkutano wa 15 wa Bunge la Bajeti unaendelea jijini Dodoma ambapo leo Aprili 29, 2024 majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 yanaendelea. 📸✍🏾 @officialstalinkahoza #BungelaBajeti #Bungeni #kahozatv #SEVENTEEN_IS_MAESTRO #HEYA #fanart
Nimekuwa nikisemea Wakulima wa Vanilla na leo #Bungeni nimeiuliza @WizaraKilimo ina mpango gani wa kuimarisha Kilimo cha Vanilla kwa kuhakikisha upatikanaji wa Soko la Vanilla ili Wakulima wa Vanilla wa Mkoa wa Kagera wanufaike na zao hili la Vanilla? Nitaendelea kufuatilia.
"Hadi kufikia Aprili 2024 Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ina jumla ya Mawakili 663 pamoja na waendesha mashtaka waliopewa vibali wapatao 1095 nchi nzima, " - Balozi Dkt Pindi Chana, Waziri wa Katiba na Sheria #HotubaYaBajeti #Bungeni #Darlivetv
"Hadi kufikia Aprili 2024 Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ina jumla ya Mawakili 663 pamoja na waendesha mashtaka waliopewa vibali wapatao 1095 nchi nzima, " - Balozi Dkt Pindi Chana, Waziri wa Katiba na Sheria #HotubaYaBajeti #Bungeni #EastAfricaTV
#BUNGENI: Akitoa Tamko la Serikali kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Mvua kubwa za El-nino zilizoambatana na Upepo mkali, Mafuriko na Maporomoko ya Udongo zimesababisha vifo, uharibifu wa Mazao, Makazi, Mali za Wananchi, Miundombinu kama vile…
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akieleza vipaumbele vya Wizara ya Nishati Mwaka wa fedha 2024/2025 wakati akiwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2024/25. #Bungeni #UhondoTVUPDATES
DODOMA: Wizara ya Nishati imewasilisha #Bungeni Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.88 kwaajili ya matumizi ya Maendeleo, Matumizi ya Kawaida na Mishara ya Wizara hiyo pamoja na Taasisi zilizo chini yake kwa Mwaka 2024/25 ambapo Kati ya Fedha hizo, Tsh. 1,536,020,274,000 ni fedha za ndani…
"Ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme wa jua mkoani Shinyanga wa MW 150 unaendelea na matarajio ni umeme huo kuanza kuzalishwa ifikapo Januari, 2025," - Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati #MakadirioYaMapato #Bungeni #EastAfricaTV
kwa ajili ya matumizi ya Wizara ya Nishati na taasisi zake. #Bungeni #UhondoTVUPDATES
"Kituo cha afya Msae Mwika pale, toka niingie hapa bungeni nauliza lini mtakarabati naambiwa pesa pesa, kwanini vituo vingine vinajengwa kile cha kwangu hakijengwi? mnataka mimi nisirudi hapa bungeni?,"- Dkt Charles Kimei #Bungeni #EastAfricaTV
"Mkurugenzi wa Halmashauri hatakiwi kuteuliwa Mwanasiasa, lazima tuwe na fikra chanya kwa ulimwengu Mpya" Mbunge wa Jimbo la Mlimba Godwin Emmanuel Kunambi. #Bungeni #UhondoTVUPDATES
@TuliaAckson Naamini upo shamba unafanya maandalizi ya shughuli ya kufanya baada ya kuondolewa ubunge.Kama hufanyi hivyo utakuja kulia na kusaga meno baadae mana hutarudi #bungeni Sidhani kama utafanya kazi za kiwakili, maana uelewa wako ni mdogo sana huwezi kupambana. Utashindwa kila kesi.
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, @chawenegbs Bungeni Dodoma kwa Mwaka wa Fedha 2024/25. #Bungeni #Hotuba
Hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, @chawenegbs Bungeni Dodoma kwa Mwaka wa Fedha 2024/25. #Bungeni #Hotuba
KING LION 200CC NA 250CC HELMET JACKET SPANNAR KADI YA JINA LAKO Tunapatikana kariakoo gerezani karibu na uwanja wa jk tupigie 0789788805 #kinglion #simba #yanga #bungenidodoma #millardayo #wasafimedia #njombenjini #kyela #mlowo #ipinda #efm #azamtv #bungeni #wasafifm
DODOMA: Akizungumza #Bungeni, Mbunge wa Jimbo la Iramba Mashariki, Francis Mtinga amesema Utaratibu wa Utumishi kuajiri Watumishi wa Kada ya Mtendaji wa Kata umesababisha ufanisi umekuwa mdogo Ameshauri badala ya Watumishi wa Kada hiyo kupangiwa kazi na Utumishi, ajira hizo…
@HKigwangalla Hicho unachokisema ndicho wananchi wako walichokutuma #Bungeni?Kazi ya mbunge ni kumpamba na kumshangilia Rais au ni kueleza shida na matatizo yanayowakabili jimboni kwao?Kila mbunge akiwa CHAWA wa Rais nani atawakilisha matatizo ya wananchi bungeni na kuimbia serekali?
"Kama Kuna mtu ambaye ni mwizi anakula fedha za Halmashauri za watanzania maskini shughulika naye na usikubali kumuamisha kutoka kituo A au B, kama mtu ameiba peleka jela, imewekwa Sheria hapa nyongeni watu hawa ili wakome kuiba fedha za umma" - Mbunge Mwita Waitara #Bungeni
"Wale ambao wanaoumia umia umia sisi kumpongeza Rais wetu wao wanavyomsifia kiongozi wao na kusema Kamanda tuvushe sisi hatuumii hata kama Kamanda anabadili katiba anakaa miaka 20 wanasema tuvushe tu?" - Mbunge wa Kilombero Mhe. Abubakar Asenga. #Bungeni