@fadhilikangusi@NellyNyamandege Polisi wapo mitaani na hata hujitokeza kulinda maandamano na mikutano. Sio nyinyi mnaosema kwamba hamnunui uoga, vipi awamu hii? Mmeuziwa na kununua?
@fadhilikangusi Maandamano ni kusanyiko la watu kujitokeza kwa wingi barabarani kama ishara ya kutokukubaliana na jambo fulani ama kuunga mkono jambo fulani...
Kutokutoka ni MGOMO.
Msidanganye watu.
@saidikaniki@salim_alkhasas Leo mna huruma na uchumi? Wakati mali na properties za umma na binafsi zinachomwa moto mlishangilia?
Baada ya udhibiti na madhara makubwa juu ya maisha ya watu mkasema uhai wa binadamu ni wa muhimu kuliko vitu.
Ikaamriwa ni bora wadhibiti mapema isijirudie, mnadai tena uchumi?
@1960Remija Wakati wa vurugu agenda ikawa maisha na uhai kuliko hasara ya vitu. Leo udhibiti umekuwa mkubwa kuzuia uhai na maisha kupotea, mme tune tena kwenye uchumi?
Waja mna maneno!
@Eric__Bernard Ulipaswa utoke uwaone askari wananyeshewa mvua huko bila kuacha post zao.
Amani si jambo la kuchukulia masihara kabisa. Haipaswi kutomaswa na yeyote
@JoctanJr@Start_WithG@fredkavishe Hakuna kitu humo. Kukaa ndani si kuunga maandaamano. Unachepsha agenda ya kufeli kwa maandaamano kea sababu zozote zile
46K Followers 28K FollowingMan with kindness.
I'm here to protect Tz from Gays, lesbians, neo colonialism, public money embezzlement, extravagant etc.
MAISHA SIO MPAKA UWE MSALITI KWA NCH
90K Followers 612 FollowingGOD | Faith | Family | Ligi Kuu | Zilipendwa | Mwenyekiti | Yanga | Man U | Real Madrid | Kaizer Chiefs | Sebene & Rhumba | Tour Agent | Tweets Are My Opinions.
350K Followers 432 FollowingSentinel Global is a multi-stage VC firm investing in enterprise tech founders reshaping global markets.
https://t.co/YPdXrGfVe5
142K Followers 10K FollowingJournalist, Analyst & Commentator on China's politics, economy & etc; Fellow on BRI, Africa, N/S Korea; Years in Africa & Middle East for business;Global travel
79K Followers 131 FollowingWe are a liberation movement that represents the people. Our main objective it is to bring positive change and progress in society.
2.1M Followers 2 FollowingWe are an independent media company bringing you unparalleled coverage of all-things geopolitics & BRICS News in real-time. Not an official government account.
3.1M Followers 14K FollowingANC SG | Former Minister at: Dep of Transport - Dep of Police - Dep of Sport & Recreation | Former ANCYL President & SG| FOCUSED - ENERGETIC - EFFICIENT.
33K Followers 2K FollowingDistrict Commissioner- LINDI, Lindi Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LindiKuchele
66K Followers 47 FollowingUkurasa Rasmi wa Ofisi ya Waziri Mkuu-TAMISEMI, (Official Page for PMO-RALG)
https://t.co/k3ENeUVQHe 1923
Dodoma
Email: [email protected]
Mji wa Serikali Mtumba
1K Followers 331 FollowingTUCASA is an organization of the Seventh-Day Adventist Students from different Universities and Colleges in the United Republic Of Tanzania.
3K Followers 2K FollowingDreams Without Fear. Love Without Limits.
"Being Deeply Loved by Someone Gives You Strength, While Loving Someone Deeply Gives You Courage "
93K Followers 51 FollowingOfficial twitter stream of Young Africans Sports Club ( In Tanzania known as YANGA). Club founded in 1935 and among the most followed football clubs in Africa.