Princess Kate @Princess_mcute
I believe patriotism comes from the heart. Patriotism is voluntary. It is a feeling of loyalty and allegiance that is the result of knowledge and belief. Joined March 2019-
Tweets17K
-
Followers16K
-
Following1K
-
Likes17K
Wakati wa matukio hayo, biashara nyingi ziliendelea kutoa huduma kwa wateja katika maeneo mbalimbali. Wakati huo huo, mjadala kuhusu maandamano uliendelea kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, ila swala nyeti lililojitokeza ni kuwa maandamano kama ilivyotarajiwa na wanaharakati ilifeli. #MaandamanoYalibuma #TumekataaHarakatiZaVurugu Mawakala Wa Machafuko
Vijana wameonesha kuwa uzalendo si maneno bali ni maamuzi ya kila siku ya kujenga uchumi. Kwa kuendelea kufanya kazi, wamechangia kulinda ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. #MaandamanoYalibuma #TumekataaHarakatiZaVurugu Mawakala Wa Machafuko
TAARIFA KWA UMMA
Leo jijini Arusha nimefungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali. Ninawapongeza mawakili na maafisa wa sheria wa serikali kwa kazi kubwa mnayoifanya ikiwemo kutoa misaada na kliniki za kisheria, pamoja na kutafsiri sheria kwa lugha ya Kiswahili ili wananchi wazielewe na wajue haki na wajibu wao, jambo ambalo ni msingi wa utawala wa sheria. Sekta ya sheria ina nafasi kubwa katika kufanikisha utekelezaji wa Dira 2050, kwani kalamu za mawakili zikitumika vizuri zitalinda uhuru wetu, haki za raia na rasilimali zetu. Malengo yetu ni kuwa na sheria bora, mikataba imara, na taasisi zinazowajibika ili kujenga mfumo wa sheria unaoshawishi watu kujielekeza na kuchangia kwenye uchumi imara, shindani na jumuishi. Serikali tunapoendelea kuwajengea mawakili uwezo wa kitaaluma na mazingira wezeshi, ni muhimu nao wakahakikisha taaluma yao haitumiki kwa nia ovu dhidi ya taifa letu. Chama hiki kiwe chombo cha kujenga weledi, maadili, nidhamu na ubunifu kwa maslahi ya nchi yetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mawakili wa Serikali, kabla ya kufungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mawakili wa Serikali Tanzania (TPBA) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Jijini Arusha tarehe 13 Julai, 2026.
TUHUMA ZA UFISADI WA HECHE NA UKIUKWAJI WA UTAWALA BORA NDANI YA CHADEMA *Kupitia mahojiano aliyofanya katika kituo cha Wasafi Media, Gervas Lyenda alisema CHADEMA ilifanya uchunguzi wa ndani kufuatia tuhuma za ufisadi zilizokuwa zikimkabili Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche. Kwa mujibu wa Lyenda, chama kilishindwa kumchukulia hatua Heche kwa sababu tuhuma zilizowasilishwa hazikuambatana na ushahidi wa kutosha wa kuthibitisha makosa hayo.* Kwa kuzingatia misingi ya haki (due process ), mtu hawezi kutiwa hatiani bila kuwepo ushahidi unaokidhi viwango vinavyohitajika. Hata hivyo, mjadala wa kisiasa hauishii kwenye uwepo au kutokuwepo kwa ushahidi pekee, bali unahusu pia suala la uwajibikaji wa taasisi (institutional accountability ) na mgongano wa maslahi (conflict of interest). Kanuni za utawala bora zinasisitiza kuwa taasisi inayochunguza tuhuma zinazowahusu viongozi wake inapaswa kuhakikisha mchakato huo unaonekana kuwa huru, usio na upendeleo na unaojenga imani kwa umma. Katika mazingira kama hayo, viongozi wanaokabiliwa na tuhuma nzito mara nyingi hushauriwa kupisha kwa muda nafasi zao za uongozi ili kuondoa hisia za mgongano wa maslahi na kuruhusu uchunguzi kufanyika bila shinikizo au taswira ya kuathiri matokeo. Hivyo Heche angeweza kupisha kwa hiari nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti kwa muda hadi uchunguzi ukamilike. Hatua hiyo isingekuwa uthibitisho wa hatia yake, bali ingedhihirisha dhamira ya kulinda hadhi ya chama. CHADEMA imekuwa ikiikosoa Serikali ya CCM kuhusu matumizi ya tume au mifumo ya ndani kuchunguza tuhuma zinazohusu serikali yenyewe. Hoja yao imekuwa kwamba "serikali haiwezi kujichunguza yenyewe" kwa sababu hali hiyo inaweza kuathiri uhuru wa uchunguzi na kuondoa imani ya umma katika matokeo yake. *Kutokana na msimamo huo, swali la msingi kwenu makamanda Je, pale CHADEMA ilipofanya uchunguzi wa ndani haikujikuta ikitumia mantiki ileile ambayo imekuwa ikiikosoa kwa upande wa serikali?.
SGR YA RAIS SAMIA INAENDELEA KUKATA MBUGA. George Michael Uledi. Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake mpenii.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan anatarajia kuweka jiwe la Msingi wa muendelezo wa Ujenzi wa SGR kutoka Mkoani Tabora mpaka Mkoani Kigoma. Mh Rais anatarajia kufanya shughuli hiyo July 20,2026 hivyo kuendelea kutekeleza kwa vitendo ahadi yake ya kukamilisha miradi yote iliyoachwa na mtangulizi wake hayati John Pombe Magufuli. Serikali ya AWAMU ya Sita tayari imekamilisha Ujenzi wa Bwawa la Umeme la Mwalimu Nyerere ambalo hayati Magufuli aliliacha likiwa chini ya 40% mwaka 2021.
Genge la kigaidi lililotaka kuona Tanzania inaanguka limeaibishwa kwa mara nyengine. Walipanga kuharibu biashara na kuleta vurugu ili kusababisha vifo. Wananchi walibaki nyumbani kukataa uharibifu wao. Maria Sarungi na wenzake wanataka machafuko tu si maendeleo ya taifa la Tanzania. #WanaharakatiNiMagaidi #TumekataaHarakatiZaVurugu Maandamano Yalibuma
Tatizo hawapendi kuambiwa ukweli ndio maana hata ukicomment kweny post zao wanakublock Wanataka wasikilizwe wao tu
MCHOME : MNYIKA ASIONGEE UONGO, CHADEMA HATUTAKI UFISADI Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu Taifa, Lembrus Mchome, amesema wanachama wa chama hicho hawataki kuona ufisadi ukitokea ndani ya chama chao. Akizungumza na waandishi wa habari leo, Mchome amedai kuwa kuna fedha za wafanyabiashara zinazopelekwa kwa viongozi wa juu lakini hazisimamiwi ipasavyo na hazifiki kwenye shughuli za chama ngazi za chini. Mchome amepinga vikali madai ya Katibu Mkuu John Mnyika kuwa wale wanaopigania katiba ya chama wanalipwa na CCM. "Hilo ni uzushi na uongo mkubwa, Kama Lissu na Heche waliposema kuna fedha chafu hawakushutumiwa, kwa nini sisi sasa tunashutumiwa? Katibu Mkuu asichafue watu," amesema. Ameongeza kuwa dalili ya mgogoro ni pamoja na kutokuwepo kwa Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ wakati wa ziara ya Makamu Mwenyekiti, jambo analosema linaonyesha uongozi umegawanyika. Amehitimisha kwa kudai ana ushahidi wa mfanyabiashara aliyetoa shilingi milioni 256 kwa kiongozi wa chama Lubumbashi mwaka jana lakini fedha hizo hazikufika hazina ya chama. "Tunaomba wafanyabiashara wasitishe kutoa fedha kwa sasa, Turejee kwenye uhalisia wa CHADEMA wa miaka 30, Kukosoa si dhambi, ni uhuru wa kikatiba," amesisitiza Mchome.
@2020Election_Tz Banadari ndo nini...
Maendeleo ya taifa yanahitaji vijana wanaoweka mbele maslahi ya nchi kuliko migogoro. Kwa kuendelea na shughuli zao za uzalishaji, vijana wa Tanzania wameonesha kuwa wanaamini katika kujenga uchumi wenye msingi wa utulivu na mshikamano. #VijanaWaKaziNaUmoja #TumekataaHarakatiZaVurugu Tumeilinda Taifa Yetu
Uamuzi wa vijana wengi kuendelea na shughuli zao za kila siku umeonesha kuwa wanaipa Tanzania nafasi ya kusonga mbele kiuchumi. Wamechagua kulinda utulivu unaowezesha biashara, ajira na uwekezaji kuendelea kukua kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo. #VijanaWaKaziNaUmoja #TumekataaHarakatiZaVurugu Tumeilinda Taifa Yetu
@MwamakambaA Nyopika Iseke Amaso pa Kyindi....
@mangekimambi, don't forget that one of the co-founders of ACT Wazalendo is your fellow activist, Maria Sarungi. ACT stands for Alliance for Change Tanzania, while Change Tanzania is the name of Maria Sarungi's ( @MariaSTsehai ) organization. The party's name was simply adapted slightly from her organization's name to facilitate its registration as a political party. @mangekimambi usisahau mmoja wa waanzilishi wa ACT Wazalendo ni mwanaharakati mwenzako Maria Sarungi, Jina ACT ni Alliance for Change Tanzania na Change Tanzania ni taasisi ya Maria Sarungi waliibadilisha jina kidogo ili kusajili chama cha siasa
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
583K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
MR BEN @Eric__Bernard
452K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
Twaha Mwaipaya @Twaha_Mwaipaya
325K Followers 4K Following .Mratibu Wa Uhamasishaji Baraza la vijana wa chadema Taifa (BAVICHA) 2019-2025 Prison graduate 133 days in jail. Human rights defender.
Nape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.1M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
Sia Da Vinci💎 @siadevinci
46K Followers 4K Following Geopolitics and what's going on in the world from my own perspectives. Terrorising Misinformation. 🥵Hate Politicians!
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜... @_zack255
94K Followers 698 Following Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Kiboko ya wanaharakati East Africa | Alhamdulillah
Bob @bob_mchelsea
122K Followers 8K Following Life is too short. Laugh when you can, apologize when you should and let go of what you can't change. #Chelseafc #CFC. #funnytweets
Yericko Nyerere @YerickoNyerereT
256K Followers 4K Following 9 Awards-Winning Back to Back Best AUTHOR of the Year AFRICA 2023/2024/2025/2026 | Intelligence and Security Analyst |MNA CHAUMMA Party| CEO YECCO GROUP LTD
Mine Boy @MineBoyqik1
27 Followers 324 Following
CHAWA MWANDAMIZI @CMwandamiz74888
319 Followers 3K Following
January Asagwile @AsagwileJa5460
150 Followers 1K Following
Hamza mgaza @Hamzamgazaz5mr
5 Followers 161 Following
Paul Nzinza @NzinzaPaul1018
84 Followers 506 Following
Chibo99 @John44636John
178 Followers 682 Following
caviee alluminium fab... @iamc3viee
155 Followers 2K Following tunatengeneza milango madirisha partision za kugawa maofisini wasilian nasi kw no.#0621069951 au #0679069951 kwa kazi bora na makini join nasi
CHOLLO MASTER @Chollomaster_
2K Followers 2K Following Kiongozi wa Serikali ya Wanafunzi | Kiongozi wa Vijana | CCM – Chuo Kikuu Iringa & Bunju🇹🇿 | Shahada ya Elimu 📚 Yanga fans&Man United 📍 Korogwe finest.
Dr Kiss ✌️ 🤔 @DrKisinini9732
1K Followers 4K Following Mitaa inasema Jiweke mbali na mali za wazazi wako Uone wanaume wanavyoishii
vedasto Bosco 1 @1_bosco8043
0 Followers 246 Following
Marrin Lucas @LucasMarri41850
121 Followers 1K Following
George Bahemu @georgebahemu
3K Followers 7K Following
PaschalSam1 @P_simpleman95
2K Followers 6K Following A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||
KIPEPE RUNGU🇹🇿 @DanfordTun96400
5K Followers 7K Following Think. Learn. Grow. 📈 Positive vibes only ✨ Follow 👉 @DanfordTun96400 https://t.co/9eSoZtDcfy
07 SAVAGE @HermanMuss38811
115 Followers 725 Following introvert | antisocial | nonchalant | @manchesterunited hardcore fan | it is what it is
Babu Nyege @ConnexTech25399
25 Followers 559 Following
Daudi Ernest @DaudiErnest09
119 Followers 2K Following
Ayubu Danga @DangaAyubu79425
23 Followers 98 Following
paul richard @paulrichar95667
3 Followers 51 Following
Dream @MussaDanie29472
9 Followers 236 Following
Asha Mayocha @greatepolepole
5 Followers 72 Following
Alyans Nauka @Nauka_analytics
37 Followers 2K Following
Mc Papilito @McPapilito
12 Followers 257 Following
Chombe wakulichombe @Chombes_
476 Followers 3K Following Studied BAF-BS at Zipzip university,kitwe,Western province
Rosemary Onesmo @RosemaryOn78338
2 Followers 70 Following
Cushite-Bantu-Nilote @NiloteBantu1
2K Followers 6K Following
@sirjob @sirjob145146
16 Followers 262 Following
Valeexer @Valeexer473
83 Followers 3K Following
QR @de_ntaho
491 Followers 8K Following
Chacha Nyamhanga @ChachaNyamhan11
1K Followers 7K Following
Habari Muhimu @HabariMuhimu
42K Followers 152 Following Akaunti hii inatoa habari Muhimu zinazojiri nchini Tanzania. Karibu uhabarike
Ubaldo Haag @HaagUbaldo46707
118 Followers 5K Following
Jirow Bulle @BulleJirow48967
620 Followers 7K Following A leader, livestock veteran, worked for brookside, FSRP at garisa county kenya. Livestock activist I.e dogs and cats
Mbojo @mbojodume
2K Followers 7K Following Mimi kama Mimi. https://t.co/E6fbMasWbV Nachukia Wizi Nachukia Ufisadi Nachukia Rushwa Nachukia Uminywaji wa Haki, Sheria na Katiba Tz
Hasheem Fungafunga @HasheemFun92263
90 Followers 2K Following Wanchope 🇹🇿 Sailor ⚓ ## Yanga Sports Club 💚💛 & Liverpool FC fan's🔥
Ally Kasala @AllyKasala3
0 Followers 51 Following
Ayoub Nditi @Nditi_am
4 Followers 72 Following
Juliana Lema @JLEMA_TZ2025
1K Followers 1K Following Media Analyst | Economic Consultant | Social Impact Strategist | Fighting poverty & injustice for sustainable development.
Mwiba @Willhard2010
217 Followers 2K Following
Mfanyakazi Online Med... @MfanyakaziNews
462K Followers 0 Following UKWELI NA UWAZI : : [email protected]
Godbless E.J. Lema @godbless_lema
1.2M Followers 1K Following Politician/Activist/Member @Chadematz Member of Central Committee , Former MP Arusha Urban (2010 -2020), Shadow Minister Home Affairs, Husband and Father
Boniface Jacob @ExMayorUbungo
583K Followers 9K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal Council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov. Ubungo councilor 2010-2020 BAEd Udsm CHADEMA CC MEMBER
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 0 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Lubasha Jr @MarekaMalili
679K Followers 2K Following |Digital Consultant | |Baba Maggie & Gian& Gio |Youth Development| |Parenting| |Financial Literacy| |#ManU #LBJLoyalKnight|
Daktari Wa Manesi �... @McinikaWaLamar
834K Followers 2K Following 💼 Social Media Guru| Influencers Manager | Content Creator | Sensei | Digital Strategist | Master Mind
Azam TV @azamtvtz
1.6M Followers 90 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000 | 📻 @ufmradiotz | @AzamTVKenya, @Azamtv_MW, @azamtvzw, @azamtvRw, @Azamtv_ug
MR BEN @Eric__Bernard
452K Followers 5K Following Proud To Be Tanzanian, TANZANIA KWANZA, Retweets Are Not Endorsements, Mjuzi wa Mawasiliano ya kimkakati, Mwananchi na Mporipori.
John Heche @HecheJohn
806K Followers 2K Following Vice Chairman Chadema Tanganyika, former Member of Parliament for Tarime rural constituency, a reformer.
Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Mwananchi Newspapers @MwananchiNews
1.1M Followers 296 Following
Mzawa Online @mzawaonline
275K Followers 1K Following Digital Influencer | Content Creator Ubunifu na mitazamo chanya kwa ajili ya jamii. Nashirikisha hadithi zenye kuhamasisha na kugusa maisha.
Tanzania Abroad TV @AbroadTanzania
90K Followers 221 Following Online TV based Abroad , we retrieve different quotes of different leaders no matter when stated ..email us on [email protected] tweets in Swahili and English
Think Different @lifeofmshaba
455K Followers 4K Following #ChangeTanzania |#KatibaMpya | #WenyeNchiWananchi | #ARUDISHULE |Personal Views| God Is Good All The Time
Nape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.1M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. “The most important shot in golf is the next one.”
Joseph Mbilinyi @TheRealJongwe
439K Followers 167 Following Businessman/Legendary African Hiphop Artist/Former Member of Parliament for Mbeya Urban/Central Committee Member - CHADEMA/Zonal Chairman-CHADEMA Nyasa.
Falconode Integrated ... @falconode
2K Followers 628 Following Partnering with governments, businesses, and organizations to solve complex challenges through strategy, technology, and innovation
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜... @_zack255
94K Followers 698 Following Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Kiboko ya wanaharakati East Africa | Alhamdulillah
Chadema Tanzania @ChademaTZ2
37K Followers 9 Following The main Opposition Political Party in Tanzania ✌️
Nje News tz @NjeTz_news
8 Followers 18 Following Ukurasa rasmi wa taarifa mbalimbali za Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Mifugo & Uvuvi Tz @tzmifugo
9 Followers 7 Following
Dr. Sisimizi @Sisimizi3
16K Followers 3K Following Sisimizi Mtu Mbadi / Shabiki wa Arsenal Mabingwa wa EPL 2025-2026 👑 / Shabiki wa Yanga Instagram : Dr. sisimizi3 Facebook : Dr. Sisimizi3
Idriss🌍 @IdrisaIddyTz
39K Followers 4K Following
BABA SAMIA @babasamia47
1K Followers 483 Following Akumandu47🇹🇿 kada wa Chama Cha Mapinduzi 🟢🟡 Simba Sports Club fan 🔴⚪️
Prof. Mohamed Janabi @ProfJanabi
21K Followers 288 Following @WHOAFRO Regional Director | Building a Healthier Africa, Together! Retweets are not endorsements
Sharifa Nyanga @counsellorsheri
5K Followers 4 Following Ex-Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais - Ikulu
cousin 420 @420Cousin
20K Followers 3K Following Tanzania ya Prof. Samia Suluhu Hassan ni njema atakaye na aje. |T2530SSH|
Shekh Ponda Issa Pond... @SheikhPonda
28K Followers 279 Following
Askofu Emmaus B Mwama... @EmmausAskofu
66K Followers 96 Following Bishop, Author, Theologian, Missiologist, Activist, Poet, Lecturer, Sociologist, Missionary, Political Analyst, Social Analyst and Counselor.
Baba Mwita @BabaMwita
72K Followers 5K Following Husband | Father | Lawyer | Human Rights Activist | Democracy | Rule of Law | A People's Servant | Cambridge Alumni
Adui Wa Yanga @Aduiwayanga
241K Followers 371 Following Die fan for @SimbaSCTanzania and @ChelseaFC Gracias💕💕💕
Saeed Cabdalla @saeedcabdalla
2K Followers 891 Following Mining & Investment | Co-Founder of SL Worldwide Technology Resources Company LTD | Chief Operating Officer @kusinigateway | Lithium | Copper | Graphite |
Mzee Nassoro @MzeeNassoro1
9 Followers 107 Following
MNYAKYUSA Mkuu @buddah957
645 Followers 7K Following
mimilicious🌹🍒 @amina_hafidh
130K Followers 4K Following I don't give a damn💛💚💛💚yanga damudamu✌ madam influencer , medical personnel 💊💉🩺🩻 Man U fan ❤💛❤💛,Mzalendo CCM 💚💛 Muslim girl🧕mtoto wa ulamaar😌🕋
Rwabudugu🇹🇿 @rwabudugu
9K Followers 5K Following
Mdude Nyagali @mdudenyagali
158K Followers 388 Following Political Activist in Tanzania focusing on Civil Rights and Good Governance. 🇹🇿. #Author- #FiveYearsOfPain. - To buy my Book, please click the link below.
MchapakaziSamia @MchapakaziSamia
301 Followers 40 Following
Liberatus Mwang'ombe @Liberatus80
72K Followers 1K Following Center-Right. Human Rights Activist. Retweets are not endorsements. Values: Ujasiri (Courage), Uhuru (Freedom), Umoja (Unity).
World Bank Africa @WorldBankAfrica
588K Followers 6K Following Welcome to the World Bank Africa Region. Fighting poverty with passion and professionalism for lasting results.
Manka Komu @Manka_Komu
2K Followers 2K Following Social Media Influencer #GOE My Mom My Everything 💕
RaiaMwema_Digital @Raia_mwemaTv
102K Followers 7K Following Habari za Kitaifa na Kimataifa, Saa 24 Siku 7 za Wiki.
Alex kimbe(Mayor 2015... @MayorIringa
23K Followers 10K Following Ex mayor of iringa municipal from 2015 to 2020. Farmer and livestock breeder in isaklilo ward of iringa municipal, also a politician
Taifa Leo @Taifa_Leo
35K Followers 54 Following Gazeti la pekee la Kiswahili nchini Kenya. Kwa habari na makala ya kusisimua, jinunulie nakala kila siku kupitia https://t.co/naumc6eNK6
Getrude Mollel 🇹�... @Getrude_mollel
30K Followers 3K Following Content Creator 🖊 | Media Personality 📺 | PR & Communications | Author ✍️ | Politics | UDSM Alumna | Proud Masai |
Nelson Mandela Founda... @NelsonMandela
1.4M Followers 27K Following The Nelson Mandela Foundation contributes to a just society by promoting the values, vision and work of our Founder. Follows/RTs/Likes ≠ Endorsements
Rashda Zunde @RashdaZunde
8K Followers 1K Following |Proudly Tanzanian| | God Fearing😊| God's last born| Yanga 💚💛| Mama Asif😊
Force News @forcenewstz
31K Followers 4 Following
Abdulkarim Juma @JumaAbdukarim
9K Followers 453 Following People join because of great vision. People leave because of poor leadership. team #katibampya.
The Chanzo @TheChanzo
79K Followers 194 Following We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105
Wiseman🌏 @penteman7
11K Followers 381 Following SUA ALUMNI|| ADVISOR|| SOCIAL MEDIATOR||AGRI-EXTENSION OFFICER Email:[email protected]
Global TV Online @Globaltvonline_
17K Followers 2K Following No #1 media house for Breaking News, Entertainment News, Celebrity News in Tanzania! Multi-Awarded Digital Media, More Than 25 Years.
Tanzania Leaks @TanzaniaLeaks
116K Followers 158 Following Tanzania Leaks: Inform. Share. Embrace confidentiality. Whistleblowing. Tuna tunza siri. Inbox or Email Leaks: [email protected].
الامبراطور ... @3uHuX8QoTiXR5hu
357 Followers 6K Following


























