Muyabin Mgaza @muya_bin
| Doctor of Dental Surgery(DDS) |TDA MC Member |Graphics Designer |Windows insider |Digital health enthusiast smilesdentalclinic.co.tz/dr-muya-mgaza/ Dar es Salaam, Tanzania Joined October 2015-
Tweets2K
-
Followers667
-
Following880
-
Likes3K
Utawezaje kutoa uchafu mgumu ambao mswaki hauwezi kutoa? Ndiyo upo uchafu ambao hauwezi kutoka kwa mswaki. Nini madhara yake kama ukiachwa? Unaathiri fizi , unaleta harufu mbaya na zaidi unaweza kusababisha meno kulegea na kutoka kabisa. Piga 0785 335 651 kupata msaada. (DSM)
Hongera @muya_bin unapambania sana chama kionekane. Naamini tunaweza ongeza thamani tukishikiana na vipaji vya @nias_nyalada @Guxstudio @WhitefrankFrank @a_madembwe @ibramakoni @dds_yonah @makumbawaleo_5n @OnlineDentistTz
Hongera @muya_bin unapambania sana chama kionekane. Naamini tunaweza ongeza thamani tukishikiana na vipaji vya @nias_nyalada @Guxstudio @WhitefrankFrank @a_madembwe @ibramakoni @dds_yonah @makumbawaleo_5n @OnlineDentistTz
Katika yale mambo 22 ya muungano , suala la afya limekaaje ? Wafanyakazi wa afya masuala ya mabaraza ya kitaaluma yamekaaje , ukisajiliwa na baraza huku Tanzania bara je utahitaji kusajiliwa tena ukienda visiwani? Na je mishahara imekaaje pande zote mbili?
Katika yale mambo 22 ya muungano , suala la afya limekaaje ? Wafanyakazi wa afya masuala ya mabaraza ya kitaaluma yamekaaje , ukisajiliwa na baraza huku Tanzania bara je utahitaji kusajiliwa tena ukienda visiwani? Na je mishahara imekaaje pande zote mbili? https://t.co/PKYPUHCiSH
Malaria vaccine. 👋🏿 Anayefahamu sisi Tanzania tumefikia wapi katika hili. #malaria #WorldMalariaDay
Malaria vaccine. 👋🏿 Anayefahamu sisi Tanzania tumefikia wapi katika hili. #malaria #WorldMalariaDay
Kama unajali afya yako ya kinywa hii ni kwa ajili yako. Kwa muda wako unatibiwa meno bila bugudha. Cha kufanya weka mihadi ( appointment) kupitia namba hii 065872720.
Aisee hii hatari. Nyakati hizi siyo sawa na kipindi walichokua wazazi wetu ambao soda,juisi na biskuti waliziskia kwa manati. Saivi cariogenic foods/ drinks zinapatikana kirahisi sana. Embu imagine quality of life ya huyu mtoto.
Aisee hii hatari. Nyakati hizi siyo sawa na kipindi walichokua wazazi wetu ambao soda,juisi na biskuti waliziskia kwa manati. Saivi cariogenic foods/ drinks zinapatikana kirahisi sana. Embu imagine quality of life ya huyu mtoto.
Wazazi/ walezi wasimamieni watoto wapige mswaki na dawa yenye fluoride kuzuia meno kuoza na kutoka kabla ya wakati wake. NB: wasimeze dawa.
𝐓𝐚𝐩𝐞𝐬𝐭𝐫𝐲 𝐨𝐟 𝐆𝐫𝐚𝐜𝐞, 2024 Acrylic on canvas (140x90cm)
Asilimia 70 ya saratani za kinywa na koo zinahusishwa na maambukuzi ya HPV. Kumbuka kutumia kinga , na jitahidi kuwa na mwenzi mmoja.
Asilimia 70 ya saratani za kinywa na koo zinahusishwa na maambukuzi ya HPV. Kumbuka kutumia kinga , na jitahidi kuwa na mwenzi mmoja.
Chronic periodontitis can affect the level of hbA1c and make someone pre diabetic. Therefore proper periodontal therapy can reduce the risk of prediabetes / future development of diabetes. Periodontist ft. Physicians . Interdisciplinary approach is needed to tackle NCDs.
Chronic periodontitis can affect the level of hbA1c and make someone pre diabetic. Therefore proper periodontal therapy can reduce the risk of prediabetes / future development of diabetes. Periodontist ft. Physicians . Interdisciplinary approach is needed to tackle NCDs.
Wazazi wengi wamekuwa (busy) Wanakosa muda wa kuwaangalia watoto wao Meno yao! Hii inapelekea watoto kupata changamoto kama vile kutoboka meno, maumivu makali na mpangilio mbaya wa meno. Hutakiwi kuwa mtaalamu , unachohitaji ni kufanya (check up) . Piga 0785335651.
Nunua mouse wrist rest pad itakusaidia kwa ergonomics.
Nunua mouse wrist rest pad itakusaidia kwa ergonomics. https://t.co/F8VQDVc2k8
Post Ramadan y'll gain Alot of weight... Careful with your food plans bcz during Ramadan you chrncaly signfc Reduced Leptin below Normal Levels whch bcm a Powerful stimuli to your Hipothalams for Food intake. This explains the Rebound Overeating and Weight gain post fasting...
NHIF inamiliki 18% ya Azania bank na pia 1.8% ya CRDB.
Siku ya leo @Kinywasalama tulipata nafasi ya kushiriki tamasha la #Gooddeeds day lililofanyika ktk viwanja vya Don Bosco Oysterbay.Tulitoa elimu ya afya ya kinywa na meno pia ushauri kwa wote waliotembelea meza yetu...Elimu sahihi ya kinywa na meno ni haki ya kila mtanzania.
Tuambie na hii ni ipi?
Tuambie na hii ni ipi? https://t.co/IR0qZcDBw9
Dental flosser ni vifaa maalumu vya kusafisha na kutoa uchafu uliopo kati ya jino na jino.. hupatikana supermarket mbalimbali hapa nchini pia pharmacy nyingi zinauza hizi mfano hii ni 3000/= tu zipo picks 30 ....
Dental flosser ni vifaa maalumu vya kusafisha na kutoa uchafu uliopo kati ya jino na jino.. hupatikana supermarket mbalimbali hapa nchini pia pharmacy nyingi zinauza hizi mfano hii ni 3000/= tu zipo picks 30 .... https://t.co/LZSwKvOuyk
@Sarafina7420 Dental floss! Hizi hutumika kusafisha katikati ya meno (interdental cleaning).
Ndiyo , ulimi mchafu unaweza kusababisha harufu mbaya kinywani! Wasiliana na daktari 0785335651 kwa msaada wa tatizo kama hili na matatizo mengine ya kinywa na meno. #elimuyaafya #kinywanameno #Dentistry
Francis Furia @furia_francis
20K Followers 7K Following A student of life I A writer in learning I Member of Jamii Health Magazine IBaron_Kigume @KigumeR
594 Followers 351 Following MD| In Love with Nephrology ❤ | FIA Formula 1 Enthusiast| Adventurer| Writter | Voice Over Artista| Offensive RealistNias Nyalada🇹🇿 @nias_nyalada
6K Followers 1K Following A Self-taught Visual Artist🎨 | Acrylic,Oil, Watercolor | Portraiture,Abstract,FanArt,Minimalism | Wood Craft | In Jesus and Art I live and move 📞+255719207555Dr. Daniel Massawe @danielmassawe23
977 Followers 2K Following |Medical Doctor|MUHAS alumnus|Presenter Medical Awareness Compaigns|"Only a life lived for others is a life worthwhile."fidehan'sjr @andrea_mwaluko
435 Followers 338 Followingabel siame @abelsiame3
13 Followers 33 Followingsipha mwalyaje @spyboyz44
109 Followers 181 Following If u wat tu mke yo dreams cum true Z frst thin u ave tu do iz wkeup ma dea #iamreasons #blackboyszelewsky @alfred_zele
941 Followers 989 FollowingAdamu Kumbi @KUMBI1010
2 Followers 80 FollowingOscar Barton @OscarBarton17
4 Followers 32 FollowingCaption Papi 👣@Anz.. @anzymgeni
383 Followers 589 Following Multimedia Journalist, Writer|Graphic designer|Social Media Wizard |Content Clown |Coffee enthusiast ☕ |If life gives me lemons, I demand chocolate instead.Jerry @jerryronald49
13 Followers 103 FollowingITM Tanzania Limited @itmtanzania
3K Followers 833 Following Tanzanian’s #1 HR Consultancy firm offering a wide range of HR services including, Recruitment and Outsourcing. Visit our website today:B'Malley @BenjaMalley
4 Followers 31 FollowingOmary Aweso jr 🇹�.. @jr_aweso
29 Followers 209 FollowingMbise Frank @Mbise11
3K Followers 4K Following #Mshauri 💪💪| at MUHAS |Mental Health Advocate | e-mail: [email protected] | Guardian Unconditional Love Foundation 💫 | co-founder SHAMJOR MedicsMatheo Denis @Mathewmagazi
240 Followers 781 FollowingNenman @Gokijosephnenma
277 Followers 693 Following Visual Artist | Art Educator | Art Consultant |Open for ComissionsJesse/JeVi @JesseJevi
98 Followers 152 FollowingAlex Negele ,MD @alex_officia1
1K Followers 2K Following Medical Doctor |Graphics designer | Photographer|Jumanne Nuhu @NuhuJumanne
44 Followers 154 FollowingChundajr7 @Chundajr1
7K Followers 3K Following Freedom hunter Scorpio king 🦂 Man with lots of of vision 🙏💪 #Barcelona & #Yanga 🙌⚽️{Manka} 🍀🌼 @MangeshoNancy
2K Followers 2K Following Mzumbe University Alumni. It’s only by God Grace. Milton’s Ma ♥️. https://t.co/yUNPSuq4y3GRINGO018🎨🖌️ @018Salama
4K Followers 3K Following Artist/ Manchester United and a Young Africans fan// and I can draw you while, Busy converting oxygen into carbon dioxide 😂Iam David @DrMaregesi
490 Followers 570 Following Co-founder & CEO @YenzaLabs & @yenzaconsultant | for inquires +255747436868biira bryphine @BBryphine
6K Followers 7K Following God above everything. A lady of integrity, peace maker though violent when it calls to be. A teacher to your kids, A Manchester united diehard, foodie.Kinya N. Gitonga @kinyaNGitonga
3K Followers 4K Following PSYCHOLOGIST| AUTHOR| HTS $ STUDENT COUNSELOR| FOUNDER TO SOUND MENTAL HEALTH| MENTAL HEALTH ADVOCATE |Cheza Foundation @ChezaFoundation
247 Followers 1K Following We empower kids with disability to reach greater height in Sport and Fitness. Be part of us Donate https://t.co/Lpum5ao3gH or Selcom 60972668▪️ @maliganya__
716 Followers 202 Following T R E Z Y 9 8 _ ■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■■ REAL MADRID🤍 MAN CITY💙 SIMBA SC🦁Gilbert Gaston Charle.. @GilbertGaston5
272 Followers 397 Following #Clinical_Nutritionist_and_Dietitian #MC_GiGa: Hosting Official Ceremonies #Pencil_Drawing_Artist Chair person @tacnudisaNorbert @norbet41
173 Followers 2K FollowingMasoud Omary @MasoudOmar83258
20 Followers 213 FollowingAfro Duba @AfroDuba
1 Followers 1 Following Author Writer /Washing Service / Logos Design / Story Cover / Entrepreneur /Musician https://t.co/w92ZMaY5zjRemijius kibiki🇹�.. @mwagto
129 Followers 1K Following Health officer||Husband ||entrepreneur ||Public health expert||enthusiasts ||#MUHAS Alumni 2017||George Ambangile @George_Ambangil
721K Followers 664 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.sternum. @paulmm03
298 Followers 1K Following “Love conquers all things except poverty and toothache.”Sound Mental Health F.. @mental_hea1
2K Followers 2K Following Sound mental health foundation aim at creating awareness on mental health issues. We do consult,webinars and so much moreFrancis Furia @furia_francis
20K Followers 7K Following A student of life I A writer in learning I Member of Jamii Health Magazine IBaron_Kigume @KigumeR
594 Followers 351 Following MD| In Love with Nephrology ❤ | FIA Formula 1 Enthusiast| Adventurer| Writter | Voice Over Artista| Offensive Realistmillardayo @millardayo
2.7M Followers 488 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Nias Nyalada🇹🇿 @nias_nyalada
6K Followers 1K Following A Self-taught Visual Artist🎨 | Acrylic,Oil, Watercolor | Portraiture,Abstract,FanArt,Minimalism | Wood Craft | In Jesus and Art I live and move 📞+255719207555∆bby Mêxæhnk Msan.. @Abbymexahnk
66K Followers 1K Following SeRiAl cHilLer 😎 | Semi-Professional Coolest Bro 😉 | Chapatist 🍳👨🏾💼 | Movie Maniac 🎬| Drawing Artist 🎨 NoThINg pErSoNaL. #T255DARDr. Norman Jonas @NormanJonasMD
33K Followers 2K Following Medical Doctor | Internal Medicine | Health Promotion | Always a Beautiful Day to Save Lives |Dr. Daniel Massawe @danielmassawe23
977 Followers 2K Following |Medical Doctor|MUHAS alumnus|Presenter Medical Awareness Compaigns|"Only a life lived for others is a life worthwhile."Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.2M Followers 8K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,Gerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Jino Kwa Jino @ibramoore
298 Followers 918 Following Spreading smiles & oral health awareness. Join the journey to better dental well-being. Let's learn and smile together! 🦷 #DentalEdV8 @MasumbukoL30131
50 Followers 337 Followingislero Manolette @enovelist1
3K Followers 4K Following ✝️Believer || Building @OdaDirect || I tweet •Technology •Startups •Football || #Barça💙❤ ~Messi30StephCurry. 🎧SIA&Ed🎶. 👤🥂 I'm me, I do me and I chill....abel siame @abelsiame3
13 Followers 33 FollowingAdamu Kumbi @KUMBI1010
2 Followers 80 Followingfidehan'sjr @andrea_mwaluko
435 Followers 338 FollowingShillah Msokole @A42000Msokole
28 Followers 41 FollowingNelson Mboya @Call_me_nelson7
106 Followers 174 Followingsipha mwalyaje @spyboyz44
109 Followers 181 Following If u wat tu mke yo dreams cum true Z frst thin u ave tu do iz wkeup ma dea #iamreasons #blackboysMarch Bizness @MarchBizness
371 Followers 270 Following Simba fan 🦁,,,Arsenal fan,,, music 🎶, Movie 🍿,,,ujinga ujinga mwingi,,,utani na ucheshi 🤣,,Mr march 31.🙏@among of them @MsomaliOf
632 Followers 1K Following half🇸🇴 half🇯🇲 football🏆| Music💫| fashion🕴️🦠| influencer🐘 @manchester united and @yanga die hard fanzelewsky @alfred_zele
941 Followers 989 FollowingUDADISI @Udadisi
109K Followers 43K Following @ChambiChachage https://t.co/BZqAR0JVah https://t.co/qQZcPRprHP https://t.co/cQXpCqm7Er https://t.co/gcXPvKMZhp https://t.co/uPw1wmI9A8The MPS Foundation @TheMPSfdn
47 Followers 0 Following We invest in ground-breaking research that makes hospitals, outpatient practice, and dentistry environments safer for patients and clinicians.WHO African Region @WHOAFRO
316K Followers 719 Following Official twitter account for the World Health Organization Regional Office for Africa - WHO/AFROOscar Barton @OscarBarton17
4 Followers 32 FollowingKinywa Salama Initiat.. @Kinywasalama
109 Followers 51 Following Tanzania based NGO 00NGO/R/5956 ||Kinywa salama means 'Safe Oral Cavity|| Bridges the gap between Oral health and the local Community 📩 [email protected]Jerry @jerryronald49
13 Followers 103 FollowingITM Tanzania Limited @itmtanzania
3K Followers 833 Following Tanzanian’s #1 HR Consultancy firm offering a wide range of HR services including, Recruitment and Outsourcing. Visit our website today:Digital Health Africa @DIGIhealthAf
1K Followers 671 Following DHA’s mission is to promote the digital health agenda in Africa through improving access to information and community engagement. Member @unsdsnCaption Papi 👣@Anz.. @anzymgeni
383 Followers 589 Following Multimedia Journalist, Writer|Graphic designer|Social Media Wizard |Content Clown |Coffee enthusiast ☕ |If life gives me lemons, I demand chocolate instead.Denzo @DenzoMaesTro
12K Followers 5K Following ||SonOfLigiKuu||Football Fanatic ||Football Stories Writter ✍ProfTheJahman @emmanuelmmeela
708 Followers 2K Followingmsangi yanga✌️✌.. @Nerey88227345
1K Followers 3K FollowingMoo_k™ @moo_ktm
376 Followers 570 Following SouthpAw🌴| The Introvert|LoneWolf|Darkhorse7|Saturn|UranusJovin @baumbajunior
3K Followers 2K Following A teacher|Accountant|Brother and UDSM Allumn|A stakeholder in Agriculture sector|You Africa,Chelsea& Madrid|Lilhommie @Lilhommie10
43 Followers 216 Following I know wat I know But dntknw wat yu know.(worse thingz s to assume that you knw wat yu dntknow) still learnnKichwa Msenegal @Keludaz_Ayo
5K Followers 2K Following Staunch believer of friendship,though I trust no body,but I love them all💪/Die hard fan for @yangasc1936 @ManCityLing'ande Jr @LingandeJr
2K Followers 2K Following Instagram & Threads @herry__jr Facebook Herry Ling'ande Jr. Head of Operations @ China Plaza Mall || Graphics Designing & Printing Expert || 1 step aheadKlabu za watoto zimeonekana kuboresha mahudhurio ya kliniki na utumiaji mzuri wa dawa za kufubaza makali ya virusi vya UKIMWI nchini. doi.org/10.24248/eahrj…
Wakati tukifurahia Muungano mwaka huu, nitaukumbuka kwa kuungana na wanafunzi wenzetu kutoka Skuli ya meno SUZA waliokuja kusoma baadhi ya kozi pale Skuli ya Meno MUHAS, hakika Muungano udumishwe.
Happy Union Day 👋🏿. #Muungano60 #unionday #Tanzania
Tarehe 18 tulijadili #MariaSpaces suala la utekaji kushika kasi! Na kuuliza je CCM wanahusika? Wengi walieleza kuwa polisi au vyombo vya dola huhusika! Kutaka kutenganisha CCM na vyombo vya Dola ni kosa CCM ni party-state and we have a state run by a party CCM haina urafiki…
Leo #MariaSpaces tunajadili: Je genge la watekaji liko CCM? Nani analiendesha? Tumeona utekaji na utesaji unashika kasi huku kauli za viongozi wa UVCCM na CCM kuonyesha uhusika au kuonya kutenda uhalifu huu. Jeshi la polisi liko kimya! Nani yuko nyuma ya hii? Saa 2 uck leo
Katika yale mambo 22 ya muungano , suala la afya limekaaje ? Wafanyakazi wa afya masuala ya mabaraza ya kitaaluma yamekaaje , ukisajiliwa na baraza huku Tanzania bara je utahitaji kusajiliwa tena ukienda visiwani? Na je mishahara imekaaje pande zote mbili?
#Tanzania Today is Union Day - the birthday of Tanzania Tanzania does NOT have an independence day because it is the union of two independent countries - Tanganyika and Zanzibar Je Muungano wetu uko imara baada ya miaka 60? Tujitathmini! Happy birthday Tanzania!
@MariaSTsehai ndio democrasia, peoples vote show how much they hate the current president and nothing else. usipoteze nguvu zako
Fahamu kwanza Swala la kuruhusu magoli (shots) sio personnel issue. We conceded :- • 23 shots (2.34xG) vs Wolves 1- 0 (W) • 17 shots (1.71xG) vs Spurs 2- 1 (L) • 9 shots (1.21xG) vs forest 3-2 W Number of shots alone speaks volume,about how bad we've been set up this szn
DALOT - VARANE - MARTNEZ - SHAW Unafikiri Tungeruhusu magoli mengi kiasi hiki ?
Happy Union Day 👋🏿. #Muungano60 #unionday #Tanzania
@ibramoore @muya_bin Tanzania bado hatujaipokea hii, lakini Ifakara institute ilikuwa sehemu ya evaluation ya chanjo hii na clinical trials zilifanyika hapa Tanzania. Nimejaribu kuandika kidogo kuhusu hilo hapa: medium.com/@xchsdpfcc/mal…
Hongera @muya_bin unapambania sana chama kionekane. Naamini tunaweza ongeza thamani tukishikiana na vipaji vya @nias_nyalada @Guxstudio @WhitefrankFrank @a_madembwe @ibramakoni @dds_yonah @makumbawaleo_5n @OnlineDentistTz
Happy Union Day 👋🏿. #Muungano60 #unionday #Tanzania
Happy Union Day, Here’s to a future filled with opportunities for education, innovation, and empowerment, empowering every Tanzanian to fulfill their potential and contribute to the nation’s success. Contact us: 📧 [email protected] 📞 +255 763 554 258 #WeAreITM
VIRUSI VYA HUMAN PAPILOMA (HPV) ni virusi vinavyosambazwa kwa njia ya ngono na kwa sasa wahanga wakubwa ni wanawake kwa kupata saratani ya mlango wa kizazi, uke, kinywa na eneo ya haja kubwa. Kila wagonjwa wapya wa saratani 100, 24 ni wanawake Saratani ya mlango wa kizazi.…
TAFSIRI NYEPESI. ▪️Ugonjwa wa mgongo wazi kwa watoto wachanga ni ugonjwa wa masikini na wasio na elimu. ▪️Ugonjwa huu umahepukika ▪️Mama mjamzito anahitaji lishe kuhakikisha upatikanaji wa virutubisho vya folate ▪️VYAKULA VYENYE VIRUTUBISHO VYA FOLATE KWA WINGI MBOGA ZA…
From Operating Room Spina bifida is a disease of poor, children born from young and uneducated parents who can't afford care. It's a preventable disease if every woman have good folate reserve in their liver. Dietary intake of folate containing food or fortified food is key
Malaria vaccine. 👋🏿 Anayefahamu sisi Tanzania tumefikia wapi katika hili. #malaria #WorldMalariaDay
It's #WorldMalariaDay! @PresidentBio officially launched the introduction of the malaria vaccine into routine immunization programme of Sierra Leone 🇸🇱, with support from @WHO and partners. This year, 95% of eligible children in the country will receive three doses.
It's #WorldMalariaDay! @PresidentBio officially launched the introduction of the malaria vaccine into routine immunization programme of Sierra Leone 🇸🇱, with support from @WHO and partners. This year, 95% of eligible children in the country will receive three doses.
Siku imeshakua ngumu hii 💔 #F1 #TansferRumours #AdrianNewey
Aisee hii hatari. Nyakati hizi siyo sawa na kipindi walichokua wazazi wetu ambao soda,juisi na biskuti waliziskia kwa manati. Saivi cariogenic foods/ drinks zinapatikana kirahisi sana. Embu imagine quality of life ya huyu mtoto.
Wazazi/ walezi wasimamieni watoto wapige mswaki na dawa yenye fluoride kuzuia meno kuoza na kutoka kabla ya wakati wake. NB: wasimeze dawa.
@Wizdomtz Kama nawaona wanangu hapo 2050 @KigumeR @safarihamidpro @muya_bin