Search results for #ujanjakuchanja
@elias_eligius @WHO @jmkikwete @DrCyrilo @ummymwalimu @HKigwangalla @johnnjenga @dr_makame @Yahya_Kifyatu @MSalimu @masoudkipanya @mwigulunchemba1 @CarolNdosi @nyuki_malkia @YerickoNyerereT Huyu @MarekaMalili ndugu yetu nae alikua #tag lake la #UjanjaKuchanja Huyu bi dada @MSalimu na yule dada wa hovyo, Mikocheni report, Elsie Eyakuze walikua na stories za vifo mitaani kwao kila siku. Nashangaa barakoa hazivaliki, debe za chanjo hazisikiki na watu hawafi tena.
Kumbuka: Afya Yako ndio Mtaji Wako. #UjanjaKuchanja #untileveryoneishealthy
🌟 A Day in the Life of a Bingwa 🌍 As a Bingwa, I rise with the sun, fueled by the responsibility to advocate for #COVID19 vaccination. Through storytelling and collaboration with partners, we break barriers and save lives. #AUBingwa #UjanjaKuchanja 💪💉 linkedin.com/pulse/day-life…
Chanjo ni bure #shootyourshot and be a bingwa. #aubingwa #ujanjakuchanja #ujanjanikuchanja #CovidIsntOver #CovidVaccines @AUBingwa @wizara_afyatz @ummymwalimu @wema_sepetu
Happy Workers’ Day to everyone working for Development. #KijanaMkakati #UjanjaKuchanja
Tanzania imepiga hatua kubwa sana katika utoaji wa Chanjo ya UVIKO-19 ambapo 52% ya watu wamepata chanjo hii. Tunaipongeza Serikali, Washirika wa Chanjo, Watoa Chanjo, Wahamasishaji. Dkt. Boniface Makelemo - WHO #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
Umuhimu wa Elimu ya uchanjaji wa chanjo ya UVIKO19 inaendelea hapa Mpanda na jamii imepata uelewa mkubwa na wako tayari kuchanjwa ili kujilinda na ugonjwa huu #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
Safari yako ya kwanza na ndege ulienda wapi? Muhimu zaidi usiache kupanda @AirTanzania muda wote husisitiza matumizi ya barakoa na kuchanja #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
Mapambano ya UVIKO19 duniani ni ya kila mmoja na sisi kama wahisani tuendelea kuwezesha upatikanaji wa chanjo ili kila mtanzania apate chanjo na elimu ya uelewa juu ya umuhimu wa chanjo #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
Chanjo ya UVIKO19 inaendelea kutolewa kote nchini na wahudumu wa afya wanazunguka kijiji hadi kijiji huku wakitoa elimu #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
@masanja___ @amprincess9 @Adinani_ @InternewsTz @fhi360 @USAIDTanzania @YusuphMbilinyi8 @tikuchacha @TweveDevota poleni sana mzee #UjanjaKuchanja #PimaUVIKO19
@fundi_rang Mie nachukua tahadhari mapema magonjwa haya hulipuka muda wowote #Ujanjakuchanja #JikingeNaUVIKO19
@fundi_rang usiwe muoga kijana mbona ndui ulichanjwa #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19
@fundi_rang @ALugandu @amprincess9 @Adinani_ @InternewsTz @fhi360 @USAIDTanzania @YusuphMbilinyi8 @tikuchacha @TweveDevota Upo sana tu ni muhimu kuchukua tahadhari nenda kapate chanjo #UjanjaKuchanja #JikingeNaUVIKO19