Mukhsini Mkwavila🇹🇿 @Mkwavila29
Lawyer Dar es Salaam, Tanzania Joined October 2022-
Tweets411
-
Followers121
-
Following41
-
Likes1K
Kwenye kujitafuta, Jaribu vitu vingi ili kupata tobo lako: - Soma ujuzi nje na shule - Jifunze content creation - Tafuta wa kukuambia ukweli - Jifunze kuuza (chochote) - Jifunze kuongea na watu - Kuwa mzalishaji na sio mlaji tu Then, - Consistency x3 #SIKU100ZAUHURU
“Unapohitaji kushinda vita, unahitaji timu sahihi, maarifa na ujuzi wa hali ya juu” - @OfficialAliKiba
POTEA KWA MIEZI 6 🫡 1. Kula kwa afya 2. Kamua sana tizi 3. Say No to betting 4. Jenga nidhamu 5. Jifunze ushawishi 6. No soda & energy 7. Jifunze ujuzi mpya 8. No porn & punyeto 9. Ishi na malengo yako 10. Jifunze kuona maono yako + Mrudie Mungu #Jeshilam2m1
Yeyote anayekupa connection ya kupiga pesa, Automatically anakuwa tayari ni familiaa.. Yeyote anayekupa mipango ya kupata ugali, Moja kwa moja anakuwa damu yako. Tuwalinde watu wa aina hiyo, maana ni adimu sana.
Mtihani wa kujipendekeza tulipata sifuri, darasa la uchawa tulifeli interview,course ya kujipendekeza tumecarry kabisa,graduation ya majungu hatukuwepo kabsa, tupo katika darasa la BIDII,KAZI na SALA hapo tumefaulu kwa marks nzuri. TUPAMBANE BILA KUCHOKA.
Bro usitumie nguvu zako kwa wanawake ambao watakwenda kuanzisha familia zao na wanaume wengine, tafuta mwanamke mmoja wekeza tengeneza familia.
Hakika ungejua yule unayemdharau amebeba nini kwenye kesho yako naamini ungemuweka kwenye dua zako.
Jamii ianataka ikupangie namna ya kuishi. Watu watakupangia maisha. Usikubali kutelekeza ndoto zako kisa macho ya waja. Usikubali kuacha hustle yako kisa watakuonaje. Usikubali kuacha kinachokupa utu na thamani kisa hakivutii. Kuwa wewe. #SIKU100ZAUHURU
🔴⚫️🤯 Unbelievable by Bayer Leverkusen score AGAIN on final minute 96 and their unbeaten run is still alive. They were losing 1-2 to Stuttgart but Xabi Alonso’s team has been able to score again in extra time. Incredible… and 4️⃣6️⃣ games unbeaten for Leverkusen now.
Muda mwingine tunatamani kurudi kijijini tukaanze upya.. Tatizo tuliondoka kwa mbwembwe sana, aibu ya kukwama kwenye utafutaji wetu na kumbukumbu ya kutopokea simu za wanetu. Tulivimba tukiamini tumetoboa, kumbe maisha ni fumbo. Tumejifunza. Next time tutakua wanyenyekevu 🙏
Hatukuwahi kuwaombea yawapate mabaya kama yetu, ingawaje walituona sisi wazembe Hatukuwahi kufurahia anguko lao, japo walituita wajinga Mitihani ya Mungu na wao wakapitia majaribu kama yetu Na sasa ndo wanajua kumbe sio swala la jitihada na akili, kuna muda inatangulia bahati
Tutafute pesa kwa nguvu sana vijana wenzangu bila kuchoka ,maana dunia haina huruma na masikini.
#NasahaZaAAH Baada ya mvua kuisha hata Mwamvuli hupoteza thamani na kuonekana mzigo, ni sawa na maisha yetu, thamani yako hupotea pale upotezapo umuhimu wako, kwenye dunia ya mifumo tegemezi, chagua kuwa huru.
Nilimuona Kelvin Yondani akiwa na kitambaa cha unahodha wa timu yake Geita Gold. Ilikuwa siku chache zilizopita. Nikakimbilia katika mtandao wa Wikipedia kutazama umri wake. Msela Kevin yupo uwanjani mpaka leo. Nadhani hata msimu ujao atakuwepo uwanjani. Jina? Kelvin Yondani.…
Kilicho mbali na macho kipo mbali na moyo piah kilicho karibu na macho kipo karibu na moyo. NAWAZA TU.
Kuna mengi hatukusitahili. Lakini Mungu aliamua tuwe hapa tulipo na hizi baraka. Ni upendeleo mkubwa. Leo, nenda kaoneshe kuwa unastahili upendeleo zaidi. Na Bwana atakubariki maradufu. Morning Fam! #SIKU100ZAUHURU DAY 54
Wote wawili wanaweza kucheza Ligi Kuu Morocco msimu ujao kama kila kitu kitaenda sawa, Beki Inonga anahitajika sana na FAR Rabat na Lakred The Keeper anahitajika sana na wababe wa Casablanca wale Raja, wote wapo tayari kuondoka ugumu ni kwa Inonga tu hapo ambaye bado ana mkataba…
Updates 👇 ➡️ Klabu ya Yanga 🇹🇿 ipo kwenye mpango wa kumuongezea mkataba mpya kiungo wao Jonas Mkude(31) ambaye anamalizia mkataba wake ndani ya klabu hiyo. ➡️ I know ofa ya Yanga kwa Mkude itakuwa ni ya mwaka mmoja. #TransferUpdates
Sukari, soda, biskuti, keki, yogurt, energy, pipi, jojo, mikate vilitengenezwa kuhakikisha unakuwa teja wa chakula. Ununue na kula mara kwa mara. Kwa hakika, wamefanikiwa sana. #SIKU100ZAUHURU
Don't Quit💸 @nevereverquit0
3K Followers 7K Following Global economy||Yanga☆Liverpool$digital marketing & Politics🇹🇿🇹🇿🇹🇿Certified King 💼 @king_vidoes
327 Followers 319 Following Barcelona 🤠|Liverpool 🤙|Yanga💚lfunny guy|kama unauza simu nicheck Dm chap!!Dappy @Dappy1888995
126 Followers 176 FollowingAgent____X @Eric__Francisco
118 Followers 12 Following #international_relations_student #C.E.O: Agent's foundation #sigma_male [email protected]ADRIAN SnR💥 @adrianboy_8
3K Followers 4K Following || GEOLOGIST || UDSM.allumn 🧑🎓 || football & music fan || @ young Africans fan ||Kimberly Bell @KimberlyBe24393
127 Followers 3K FollowingMadeline @madelin70926348
1K Followers 3K Followingسلطان اليوس.. @sultanaluosif
61 Followers 287 Following تربوي l محب للشاهي و السمر l عايش الحياة ببساطةRealBrannen @RealBrannen
29K Followers 23K Followingحدوتة مصرية @4ffir4
11K Followers 12K Followingازل @J1l7_
3K Followers 4K Following᷂ذرب. @ill7
113K Followers 91K Following ⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀ ..وجهٍ بكُل ظروّفه طيّب ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ ⠀ ⠀ ⠀⠀ ⠀@91i1i⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀𝒴𝒪ℒ𝒜 @lR0E_
7K Followers 8K Following ⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀جُمان❃ @1S1__
110K Followers 100K Following ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ❦ اللهم رضاگ والجنھہ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ᴬᴺᴳᴱᴸ ❃ @liu4ii
108K Followers 94K Following ⠀ ⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀ ⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀ ⠀⠀ ⠀ ⠀ألم وأمل @Fisopgl
30K Followers 2K Followingiline🌻 @zadows
83K Followers 34K Following animal health, production and processing. Animal welfare. veterinary public health. Large and small animalsfilth @filthfilthfil
3K Followers 4K Following with enough soap we could blow up just about anythingLawrence Kitema @lawrencekitema
241K Followers 64K Following Communications|Media|Public Relations|Journalist|Social Media Strategist|Digital Marketing Strategist|#MUNFCSusan @addorablesusan
16K Followers 16K Following Passionately Naija| Lover of Jesus🧡Author| Writer@Vybe-C| Avid reader | Convener of Susanchanginglives channel on telegram. Join us https://t.co/QYui42qzLJابوبكر محمد.. @ElhajAbubakr
10K Followers 12K Following * "الكلمة الطيبة" في زمن الجفاف أعذب من الماء البارد {وَقُولُوا لِلنَّاسِ حُسْناً} كل شخص تقابله يخفي وجعاً لا يعلمه إلاّ الله ، فكن بلسماً للجراح دائِماًℕ𝔸ℕ𝔻𝕀'�.. @Sugut_junior
2K Followers 689 Following God fearing ¶Teacher ¶Son ¶Father¶ Husband ¶child of God ¶ #GGMU ¶ WhatsApp +254722174536محمد باجري @bajri_2
813K Followers 758K Following خريج جامعة الملك عبدالعزيز .. بكالوريوس إدارة عامة .. مهتم بالشأن الاتحادي ..☀️𝕾𝖆𝖆�.. @PrinceOf_Darkns
85K Followers 81K Following ᴛʀʏ ᴛᴏ ʙᴇ ᴀ ʟᴇᴀᴅᴇʀ ɴᴏᴛ a follower ᴍʏ ᴍɪꜱꜱɪᴏɴ ɪɴ ʟɪꜰᴇ ɪꜱ ɴᴏᴛ ᴍᴇʀᴇʟʏ ᴛᴏ ꜱᴜʀᴠɪᴠᴇ, ʙᴜᴛ ᴛᴏ ᴛʜʀɪᴠᴇ; & ᴛᴏ ᴅᴏ ꜱᴏ ᴡɪᴛʜ ꜱᴏᴍᴇ ᴘᴀꜱꜱɪᴏɴ, ʜᴜᴍᴏʀ & ᴡᴏʀᴋᴏᴜᴛꜱ. ➕ ᴍʙᴀ, ʟᴀw➕ 🏏Tshepo Chaka @Ntate_Chaka
2K Followers 4K Followingnico @niwannicholus
1K Followers 2K Following Developer, Data Scientist, Digital Marketing, Soccer, Peace, Gaming, Movies & life.Juicy bae💥 @Juicybaeonly
381 Followers 809 Followingتسديد قروض �.. @55SS_10
82K Followers 81K Following ⠀ ⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀ ⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀⠀برنس @__a25b
134K Followers 121K Following هم نفسي الحزن والله من مرضها مثل حزن الأم في موتة ولدها والله ورب الصلاة اللي فرضها صابرين على الحياة ومن نكدهاHona Costello @HonaCostello
131K Followers 144K Following Godfather of Chicago a Fox in sheeps clothing MIXTAPE (Coming Soon) Official: @HonaCostello Blk Fox Recordings / Symphonic #godfatherofchicago🇿🇦 Waykz 🇿�.. @Waykz6661
62K Followers 62K Following Academic 👨🏽🎓 Social Commentary 🌍 Peace & Love ✌️❤️ Attack me at your own risk 😏Ronoh K Clinton @RonohClinton
94K Followers 75K Following Passionate football fanatic discussing all things football/ Call Sms or WhatsApp 020 2028080/ 0722 722727 WhatsApp link https://t.co/q92Z446MB6Crown Media @CrownMediaTZ
14K Followers 8 Following Karibu kwenye kurasa rasmi ya Crown Media | Crown TV & Crown FM (English: @CrownMediaEN) #HapaNiNyumbaniSpana & V.A.R Movemen.. @spana_Konki
294K Followers 1K Following Certified Spanaz & V.A.R 🔧 Spana Headquarters🏢. Spana & V.A.R Compilation. Ni-Tag penye Spana/V.A.R. JUMUIYA YA WAPIGA SPANADon't Quit💸 @nevereverquit0
3K Followers 7K Following Global economy||Yanga☆Liverpool$digital marketing & Politics🇹🇿🇹🇿🇹🇿Eng. Hersi Said @Caamil8
141K Followers 118 Following President @YoungAfricansSC | Director of Investment GSM Group.Joel Nanauka @jnanauka
19K Followers 288 Following 🏆 Certified Life Coach |🕴️ International Speaker 🥇 Best Selling Author | 🏅 Named in 100 Young Influential Africans | 📱0756 094 875 ⬇️ Learn More 📚🎧💻𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 �.. @KingPablotz
15K Followers 2K Following Tech content creator | Interactive enthusiast 🌐 | DM for Promos |Space 🎙️🎤🚀 | Posting Awesome Videos!TotalEnergiesCAFCL & .. @CAFCLCC_fr
138K Followers 91 Following Domicile des compétitions interclubs Africaines. Un compte @CAF_Online_fr. | EN: @CAFCLCC | AR: @CAFCLCC_ar | CAFWomen: @CAFwomenTotalEnergiesCAFCL & .. @CAFCLCC
602K Followers 131 Following Home to Africa's interclub competitions. A @CAF_Online account. | FR: @CAFCLCC_fr | AR: @CAFCLCC_ar | CAFWomen: @CAFwomenZembwela Beberu @Zembwelabeberu
11K Followers 37 Following Mtangazaji Wasafi Media Mshehereshaji (MC) Mchekeshaji Mswahili 🇹🇿Ms Bee🌹 @iamcleopatricia
152K Followers 12K Following Asali mbichi ya nyuki wakubwa na wadogo kutoka tabora ipo call 0752-872612Certified King 💼 @king_vidoes
327 Followers 319 Following Barcelona 🤠|Liverpool 🤙|Yanga💚lfunny guy|kama unauza simu nicheck Dm chap!!meena @meena_ally
12K Followers 793 Following Radio/Tv Presenter, Actor, content Creator and Youth Activist. Listen to me on Clouds Fm every week day!Felix Jasson @Iamfelixtz
11K Followers 234 Following Content Creator || Transfer Expert || Njombe Finest 🔥 🇹🇿Dappy @Dappy1888995
126 Followers 176 FollowingArafat A Haji @Arafat__AH
74K Followers 2K Following Father||CEO @ZIC_Insurance || Vice President @YoungAfricansSC ||Board Member @wrrbtz|| ACI FMA Certified||Views Expressed here are my own,RT~ Read This ||Salim Kikeke @Salym
1.0M Followers 526 Following Co- founder Crown Media. Award-winning Radio & TV Presenter| Former BBC | 🇹🇿🇬🇧 **Tweets in English & Swahili** #VisitTanzaniaStephane Aziz KI 10 @Aziz_ki_10
26K Followers 40 Following Baller ⚽ 🇧🇫 Burkinabe professional 💚 @youngAfricansScManaoisis sr🎙 @NyasajrM
1K Followers 1K Following automotive, simba,madrid&Chelsea fanc Memes funy jokes I want to be someone (💰)Young Africans SC @YoungAfricansSC
323K Followers 60 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆Agent____X @Eric__Francisco
118 Followers 12 Following #international_relations_student #C.E.O: Agent's foundation #sigma_male [email protected]Mohammed Dewji MO @moodewji
2.1M Followers 131 Following President, @MeTL_Group || Founder, @DewjiFoundation || President, @SimbaSCTanzania #HoyaTFF TANZANIA @Tanfootball
855K Followers 173 Following Official Twitter account of the Tanzania Football Federation. Founded in 1930 and affiliated to FIFA in 1964.Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Kigogo Media @kigogo2014
1.4M Followers 901 Following Official X handle of Kigogo Media I The uncensored,unfiltered and unbiased online news in East Africa I Email: [email protected]Gharib Mzinga @gharib_mzinga
85K Followers 136 Following Working at @azamtv || Channel Assistant Supervisor & Commentator|| 🦅 BadiangwenasSikilizaTogolani @SikilizaTogolan
54K Followers 0 Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!Farhan Kihamu Jr @FKihamu
388K Followers 975 Following VISIT MOROGORO 🇹🇿 | MKULIMA| Presenter @cloudsmedialive| Brand Ambassador @betwaytanzaniaMchambuzi Wa Mchongo .. @Ganslay_tz
16K Followers 145 Following Sports Comedian | Stand up comedian | Official performer at CHEKA TU | Mkalimani | Instagram : @ganslay_tzMillambo® @Millambo_
23K Followers 836 Following I Help Creators & Entrepreneurs Build their Personal Brands and Monetise their Mind: Focus on Solopreneurship, Mind Mastery & Bio Hack!MTIA MOYO 👑 @mtia_moyo
14K Followers 396 Following Health Consultant || Afya ya Mwanaume || Counselor | Medical Lab. | | Contact: +255 745 623 293.Elon Musk @elonmusk
181.6M Followers 585 FollowingGeorge Ambangile @George_Ambangil
722K Followers 665 Following GeorgeAmbangile|FootballAnalyst| WasafiMedia | Brand Influencer : @dstv_tz.Premier League India @PLforIndia
110K Followers 34 Following Bringing the @premierleague closer to your home 🇮🇳. Catch all the action on Star Sports and Disney+ Hotstar.Micky Jnr @MickyJnr__
222K Followers 189 Following Leading African Football Journalist || Transfer Expert || Content Creator || @caf_online Media Expert || Writer || Covered #FIFAWorldCup 🇶🇦millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]BBC News Swahili @bbcswahili
1.8M Followers 239 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.Kuna wakati hutakiwi kumwambia ndoto zako kubwa au mipango yako. Lakini jitihada zako za kazi zitamuonyesha kila kitu kuhusu wewe. Kama anaona jitihada kubwa kwenye kila ufanyacho then she's the one protect that dime at all cost.
CLARA LUVANGA 2023/24 👕Matches 1️⃣4️⃣ ⚽Goals 1️⃣1️⃣ 🎯Assists 8️⃣ 🎉League Champion 🏆 Hongera @ClaraLuvanga 🇹🇿
🗣️ “Hatujawahi kutoka kambini tukasema tunakwenda kuwafunga wapinzani mabao matano, kushinda mabao mengi inategemea na makosa gani mpinzani ameyafanya dhidi yetu, tuna staili ya soka letu namna ya kutafuta ushindi, kitu muhimu kwetu ni kushinda kwa kupata pointi tatu na kucheza…
BAO LA ASUBUHI @dunia_mpya
Kwenye kujitafuta, Jaribu vitu vingi ili kupata tobo lako: - Soma ujuzi nje na shule - Jifunze content creation - Tafuta wa kukuambia ukweli - Jifunze kuuza (chochote) - Jifunze kuongea na watu - Kuwa mzalishaji na sio mlaji tu Then, - Consistency x3 #SIKU100ZAUHURU
NIMEBAINI: Hizi energy za jero jero zilizotapakaa mtaani kwa sasa zinanyweka zaidi na watu wanaojitafuta, watu wanaokomaa kusaka maisha. Humu utawapata bodaboda, wanafunzi, watu wa mjengo, mama mboga n.k. Kuna shida huko mbele.
“Unapohitaji kushinda vita, unahitaji timu sahihi, maarifa na ujuzi wa hali ya juu” - @OfficialAliKiba
Ntakua sio mwenye fadhira Nisipowashukuru Sana🙏🙏 #HakunaMatata 🌍🌎🌏
POTEA KWA MIEZI 6 🫡 1. Kula kwa afya 2. Kamua sana tizi 3. Say No to betting 4. Jenga nidhamu 5. Jifunze ushawishi 6. No soda & energy 7. Jifunze ujuzi mpya 8. No porn & punyeto 9. Ishi na malengo yako 10. Jifunze kuona maono yako + Mrudie Mungu #Jeshilam2m1
Yeyote anayekupa connection ya kupiga pesa, Automatically anakuwa tayari ni familiaa.. Yeyote anayekupa mipango ya kupata ugali, Moja kwa moja anakuwa damu yako. Tuwalinde watu wa aina hiyo, maana ni adimu sana.
Waziri wa michezo wa IVORY COAST ni mwananchi!
#NasahaZaAAH Kama huwezi kuwa daraja hakikisha usiwe kikwazo, kama huwezi kuwashika mkono basi usiwakate mikono, kama huwezi kuwashangilia basi usiwazomee, kama huwezi kuwapongeza basi usiwakatishe tamaa.
Next point kigoma 💛💚