𝗣 𝗔 𝗕 𝗟 𝗢 🦁 @KingPablotz
Interactive Man Everywhere Joined September 2022-
Tweets35K
-
Followers16K
-
Following3K
-
Likes19K
When it's 11 : 11, i need it.
leo kisarawe kumewaka sana mzungu kaupiga mwingi gari 40 kupakia sehemu moja kampuni moja sio kitoto
Dear @MauaSama Kijana Wangu @DullahTheking2 ni Mfungwa wako Yuko Kusikiliza Wimbo wako Unaoitwa Kiss Me kisha Ana Sikiliza Mahuba niue.. Ni vile tu mboni hazina roho, ila zake zingeshakufa sababu ya kukutazama sana Sama!.. Zisingepepesa, wala kutamani kuona vingine…
Je ni sahihi mtu kuwekwa mahabusu zaidi ya siku 3 bila kufikishwa mahakamani??
LIPO la KUJIFUNZA katika utumishi wetu na katika MAISHA Yetu ya Kila siku. Picha hapo CHINI inajieleza kwa nyoka wawili ambao ni Kobra na Chatu Kila Mmoja ni chanzo cha kifo Kwa mwenzake ingawa wote ni nyoka. CHATU kamuua KOBRA Kwa kumyonga na KOBRA kamuua CHATU Kwa kumng'ata.…
Bayer Leverkusen, chini ya usimamizi wa Xabi Alonso, imefanikiwa kushinda mechi 47 mfululizo bila kupoteza, kwa ushindi wa 2-0 usiku wa jana dhidi ya AS Roma kwenye nusu fainali ya Europa League Mafanikio haya ya kuvutia zimeifanya timu hiyo kukatibia kuvunja rekodi ya…
Submarine nje ya maji kuelekea Museums, Dude ni Kubwa
TEOLOJIA YA MAVAZI Mavazi ni muhimu sana katika maisha ya Mwanadamu kama chakula na maradhi. Umuhimu wa Mavazi:- 1. Ni alama ya nafasi ya mtu katika jamii. 2. Ni mapambo 3. Huonesha kabila, utaifa, udini, au kundi la watu. (Utamaduni). 4. Kinga dhidi ya hali ya hewa. 5.…
SAD TRUTH: Tanzania hakuna Content Creator anaekula milo mitatu kwa siku 😂
👉🏽Kutana na "KOMASAVA" mkwaju wa moto toka kwa Muhuni wa Tandale, utaamua mwenyewe umuite jina gani 😅 Haitofautiani sana na ile hali ya kusifiwa na Crush wako kuwa "Hiyo Tshirt inakupendeza sana"......kibinadamu tuu utajikuta unatamani kuivaa kila siku 😅🙌🏽 👉🏽Balaa la "SHU!"🎶…
This movie is awesome different languages Have been used even Kiswahili 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Twita wajuzi na wajasiliamali ukiwa na milion moja na laki tano unaweza fanya biashara gani kwa mkoa wa dar es salaam
Kuna Sababu Kuu Tatu za Mwanamke Kuchepuka 1 Mwanamke Kama Hafikishwi Kileleni 2. Mwanamke kupitia maisha Magumu kwenye Mahusiano au ndoa 3. Mwanamke akiwa Mpenda Hela Ongeza zingine 👇🏾
Nasma na Eliza walikuwa wamekaa wakingojea kuingia kwenye chumba cha daktari, huku wakiongea kuhusu matatizo yao mbalimbali. Nasma alikuwa na tatizo la kushika ujauzito, wakati Eliza alikuwa ni mjamzito wa miezi 6. "Natamani sana kuwa na mtoto kuliko kitu kingine chochote hapa…
Asian 🏀 🏀 Tips on HELABET Betcode 👉 N3XAB Register Here ▶️ cutt.ly/twNTfsSW ♻️PromoCode 👉 JOBE Always Remember to STAKE RESPONSIBLY 🔞🔞 🔞 RT TAFADHALI @GivaTips @Sativa255 @AmanWillz @busara29 @DullahTheking2 @CrownTps @IpyanaJr07 @KingPablotz @ambi_seke
Asian 🏀 🏀 Tips on HELABET Betcode 👉 N3XAB Register Here ▶️ cutt.ly/twNTfsSW ♻️PromoCode 👉 JOBE Always Remember to STAKE RESPONSIBLY 🔞🔞 🔞 RT TAFADHALI @GivaTips @Sativa255 @AmanWillz @busara29 @DullahTheking2 @CrownTps @IpyanaJr07 @KingPablotz @ambi_seke https://t.co/9oe0iH5sNF
This is your opportunity to sell yourself and make a lasting impression on the interviewer. There are a few key elements that your answer should include. 1. Your qualifications and skills. You should state three to four significant reasons why you are qualified for the position…
This is your opportunity to sell yourself and make a lasting impression on the interviewer. There are a few key elements that your answer should include. 1. Your qualifications and skills. You should state three to four significant reasons why you are qualified for the position…