Ambassador Hoyce Temu @HoyceTemu
Deputy Permanent Representative, Tanzania Mission to the UN in Geneva. Retweet not endorsement. Views are my own. tzembassy.go.tz/ambassadors/vi… Tanzania Joined August 2013-
Tweets4K
-
Followers18K
-
Following989
-
Likes9K
Happy Union Day from Geneva 🇹🇿! Tanzania’s Chief Medical Officer Prof. Tumaini Nagu (r) attending the @UHC2030 . Pleasure meeting the Chair of UHC from Guinea-Bissau 🇬🇼 This global platform connects stakeholders to influence National and international commitments #health
Courtesy Call: My brother from Kenya 🇰🇪 @KenyaMissionUNG Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu Mheshimiwa James Waweru. Nimefurahi kukukaribisha kwenye Mission yetu. Looking forward, to push the EAC Agenda together at the Multilateral forum. Karibu sana @UbaloziGeneva
Tumepokea delegation toka Tanzania 🇹🇿 (TAFFA na ZFB) ambao ni Global Members wa #FIATA (freight and forwarding) wanahudhuria mkutano wa dunia Geneva. Nimefurahi kwamba mkutano ujao (April 2025) utafanyika #Zanzibar . Karibuni! #conferencediplomacy #spiceisland #royaltourTanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. @SuluhuSamia akizungumza leo na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania Nchi za Nje kwa njia ya Mtandao kwenye Mkutano unaojadili Mkakati wa Diplomasia ya Umma na Tathmini ya kiutendaji (Retreat) uliofanyika Kibaha Mkoani Pwani.
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali wamekutana katika kikao kazi cha siku nne katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. 4/4
Ameongeza kuwa kikao kazi hicho si kwa manufaa ya mabalozi pekee bali na yeye mwenyewe kwani ni wasaa mzuri kuzifahamu changamoto wanazozikabili vituoni na kufahamu wapi panapwaya na kupanga mikakati endelevu ya kuziba mapengo yaliyopo ili kufikia malengo ya Sera ya Mambo ya Nje.
Waziri @JMakamba amewasihi mabalozi na watumishi wa balozi kutumia fursa ya kikao kazi cha mabalozi kujijenga katika utendaji wao ili mabadiliko yaonekane mara tu watakaporejea kwenye vituo vyao vya kazi kwani wana uwezo mkubwa wa kiutendaji zaidi ya vile wanavyofanya sasa. 1/4
Mabalozi wa Tanzania warejea nyumbani kujadili yale yanayoweza kuendelea kuimarisha uhusiano wa kimataifa na kukubaliana namna bora za kutekeleza Sera ya Mambo ya Nje kwa kutambua kuwa mawazo mengi mazuri huwa bora zaidi yanapojadiliwa kwa umoja nje ya pale yalipochipukia.
Kwa siku nne kuanzia kesho, kwenye Chuo cha Uongozi cha Nyerere Kibaha, tutakuwa na Kikao-Kazi cha Mabalozi wetu kutathmini utendaji kazi wetu, kupitia mikakati mipya tuliyobuni, kuwekeana vipimo ya utendaji (KPIs), na kujipanga upya kuipaisha diplomasia ya Tanzania.
Hongera sana Dr. Pascal @tma_services kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿 vyema jana na kupelekea ushindi wa kura nyingi kuwa Makamu wa Rais katika Tume ya Hali ya Hewa @WMO Geneva. Again, our very own Tanzanian is the Vice President #leadership @WizarayaUC
Hongera sana Dr. Pascal @tma_services kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania 🇹🇿 vyema jana na kupelekea ushindi wa kura nyingi kuwa Makamu wa Rais katika Tume ya Hali ya Hewa @WMO Geneva. Again, our very own Tanzanian is the Vice President #leadership @WizarayaUC
Asante sana Mh Rais @SuluhuSamia kwa kufungua njia kwa watanzania kugombea nafasi mbali mbali kimataifa #tunasongambele #mamalamama
Asante sana Mh Rais @SuluhuSamia kwa kufungua njia kwa watanzania kugombea nafasi mbali mbali kimataifa #tunasongambele #mamalamama
Tanzania yashinda kwa kishindo nafasi ya Makamu wa Raisi Tume ya Uangazi, Miundombinu na Mifumo (Commission for Observation, Infrastructure and Information) katika Shirika la Hali ya Hewa Duniani @wmo_omm #WMO hapa Geneva.
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari @wizarahmth Mh. @maryprisca_mahundi anahudhuria kikao cha 27 (15-19 Apr) cha Kamisheni inayohusu Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo hapa Geneva. Ameongozana na CEO wa @costechTANZANIA Dr. Nungu. #data #innovation #CSTD
Amb. Abdallah Possi ( R) welcomes Hon. Maryprisca Mahundi Deputy Minister of Information, Communication & IT (C) and Dr Dr. Amon Nungu, CEO COSTECH to Geneva for the 27th session of the Commission on Science and Technology for Development (CSTD) 15-19 April 2024.
Bon Chance @NyamburaMoremi
Bon Chance @NyamburaMoremi https://t.co/ccXI6RZ2Wn
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea kwenye eneo la Makaburi kwa ajili ya kuweka shada la maua wakati wa Maadhimisho ya miaka 30 tangu kutokea mauaji ya Kimbari Kigali nchini Rwanda.
Nikiwa na Rais @UN_HRC Balozi Omar Zniber mara baada ya kufunga kikao kilichodumu kwa wiki sita. Ameipongeza #Tanzania kwa kuchangia masuala ya maendeleo na hatua tunazochukua kufikia malengo endelevu #watoto #vijana #watuwenyeulemavu #mazingira #elimu #afya ndani ya Baraza #sdgs
#HRC55 | Draft resolution A/HRC/55/L.28 on Israeli settlements in the Occupied Palestinian Territory, including East Jerusalem, and in the occupied Syrian Golan was ADOPTED.
Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridCarol Ndosi @CarolNdosi
583K Followers 3K Following #WomenInTech #KilimoNaCarol | Digital Inclusion | SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @sheroestanzania @_123productionsNape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyUmmy Mwalimu, MP @ummymwalimu
895K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Haki Ngowi @Hakingowi
444K Followers 9K Following 🌍 Official Twitter Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 🐦Tweets From Haki Ngowi are signed hn+Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
534K Followers 356 Following Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #LeadershipGerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Victoria C Mwanziva @victoriacharlz
31K Followers 2K Following District Commissioner- LUDEWA, Njombe Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LudewaYetuMark J. Mwandosya @MarkMwandosya
99K Followers 65K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es SalaamLaurel Kivuyo @KivuyoLaurel
36K Followers 625 Following Gen Z Climate Steward | Advocating for a Cleaner, Greener, Sustainable Planet 🌍 | Founder @climatehubtz 🌴| Climate Envoy @SAYoF_SADC | Born Again!Mwamvita Makamba @Makambas
102K Followers 2K Following Technology for good proponent, innovator and investor #PanAfricanist - Founder of @mmconnectafrica -Published Author of #THINGSITELLMYDAUGHTER.MFA Tanzania @mfa_tanzania
82K Followers 559 Following Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African CooperationTogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyKuduishe Kisowile @Kudu_ze_Kudu
59K Followers 2K Following MD | Chairperson-SMAA | P1L1 | Health Communications Consultant #MeToo | #EczemaWarrior #KuduAfyaTips #DaktariMwandishi Left-handed. 🇹🇿 💜🤍💚 #RadFemBatuli Actress @batuli_actress
45K Followers 1K Following Actress & CEO At BTL COLLECTIONS Instagram @batuliactresstz Facebook @batuliactress Snapchat @actress_batuliWizara ya Ujenzi @WizarayaUJ
151K Followers 6K Following Wizara ya Ujenzi (Aug. 2023)|Ministry of Works(Aug. 2023)|Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sept 2021-Aug 2023)Khamis Suedi Kagashek.. @KKagasheki
161K Followers 3K Following Diplomat and Politician #ProudlyTanzanianMwasiti Almas @MwasitiJ
156K Followers 1K Following Singer • Songwriter • Activist • KITETE ft Baddest 47 “Out Now” https://t.co/2AYqBduLfzFaustine Ndugulile @DocFaustine
334K Followers 1K Following Parliamentarian-Tanzania| Doctor| Fmr Minister-ICT| Fmr Deputy Minister-Health| Passionate about Sports, ICT & Global HealthKamala Dickson @ItsKamala
55K Followers 2K Following Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGsLucy Sawaya MANDARA @SawayaLucy
27 Followers 193 Following Lawyer - Advocate - Roll # 912. Proud mother of MRINGI and FARIJIIndependent thinker @truthforlife_96
3K Followers 316 Following Accept the challenge God will guide,we plan but GOD decides. Romans 14:8Deodatus Chacha @ChachaDeodatus
123 Followers 414 Following 🇹🇿Linguist||📚 UDSM Alumni 🎓 Expert in ESL|English as second language ||Expert in Ms word and Excel|| Graphics designer ||Chelsea||Simba S.CPeter Mabiti Esq. @mabiti
487 Followers 1K Following Property & Facilities Management Specialist | I’m about #Africa| Mastering Communication in the world of overload information| RT not EndorsementAlberto @Alberto2039602
19 Followers 182 Followingzaw myo thant @zawmyothan81902
166 Followers 724 FollowingMaganga's 🦈 @SManoni_
378 Followers 1K Following ✍️ Ishi kistaarabu/kimkakati. ✍️ Usiruhu vikwazo vikukwamishe kutimiza ndoto/malengo yako.Francis Katembwe @FrancisK54875
189 Followers 1K FollowingPaul Mugeta @MugetaPaul18256
2 Followers 51 FollowingThe Tanzania (TZ) Con.. @TheTZConnection
2K Followers 593 Following Travel & Tourism, Business & Services, Events & Resources. Representing Beautiful Tanzania & East African Community! Greater Africa Network: @AskHeritageTeamKing Jo @DizzyWright_1
115 Followers 998 FollowingUnited Nations TZ @UnitedNationsTZ
56K Followers 643 Following Official Twitter account of the United Nations in Tanzania bringing you the latest on the UN's work in the country and on the #GlobalGoals.Amedeus kavishe @ACKavishe
7 Followers 61 Following Diplomat by carrier Centre for Foreign Relations( Chuo cha Diplomasia)Godlove Cleopa(Phd) @Mr_Godlove
554 Followers 2K Following fmer Minister Of Education(MUSO)2018/19; fmr Mnt of Acco& infra and Env. #Tutor#Math's and Eco, #FITICollege #MzumbeUniversity [email protected]mahmoud Kombo @mahmoudkombo
133 Followers 701 Followingabdi hirsi @abdihir07739562
30 Followers 2K FollowingAlex Nyakitagara @nyakitagara
293 Followers 2K FollowingKISSAKEN🏀🏀 @Willy66815878
558 Followers 2K FollowingAnnette Nalwoga @annette_nalwoga
55 Followers 590 Following Governance and social development practitioner with over 20 years of experience in post conflict and transitional settings.mimah @mmeemmahh
18 Followers 129 FollowingTshepo @tshepo_fanya
1K Followers 4K FollowingMahundi 🇹🇿 @Mahunditz
2K Followers 196 FollowingLeading For Growth @E.. @Leading4Growth
8 Followers 254 Following Evin School of Management is an independent center for research on organisational development and learning.David Chengula @DavidCheng17036
44 Followers 651 FollowingApedis Senegal @apedissenegal
991 Followers 2K Following Association pour la promotion de l’éducation, le developpement inclusive et solidaire.mwombeki @mwombek04169422
395 Followers 527 Following medical professional,Dentist at University of Dar es salaam Nzega Campus (SoMG).Majani Ramadhan @RMajani
268 Followers 827 FollowingDaffa Jr. @usambaratz
2 Followers 175 Followingmaulino Mgaya @MaulinoMga9308
4 Followers 2K FollowingJulius Mushi @JuliusMushi15
70 Followers 517 FollowingAndrew Julius @julius753001
14 Followers 116 FollowingKelvin Ishengoma @KelvinIshengom1
0 Followers 8K FollowingEric Michael @ErNyoni
181 Followers 356 FollowingDavid Banning 💗 �.. @david_banning
1K Followers 4K Following https://t.co/h6KkwxR90H (Bible in 1000 languages, 239 countries,👨👨👧👦🌄📹, pods💡) $TSLA M3P $SPACEX IT 25 Care 7💗🌎☮️🙏Edward Gerald Ndilanh.. @ENdilanha
172 Followers 783 Following An Organisational Development & International Development Finance Practitioner: working with Individuals, Organisations and Communities promoting IGG and ESGAz Decorations @JLema36706
116 Followers 874 FollowingFinMango @finmango
2K Followers 176 Following We believe in a world where everyone is financially healthy — especially young adults.Illuminati Keyz @Dose_Keyz
1K Followers 2K Following if you ain't talking money why you here i do #feat $250 [email protected] (pronouns Ner/Nir)FESTO RICHARD SANGA @festosangatz
8K Followers 324 Following Member of Parliament - Makete Constituency🇹🇿Alexander Mo @Electronic83358
98 Followers 489 Followingnickson mwankanye @n_mwankanye
77 Followers 657 FollowingDorosella Bishanga @bishangaDF
5 Followers 151 Following Passionate about sustainability and building inclusive and resilient communities.Jokate Mwegelo @jokateM
1.2M Followers 1K Following Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadridCarol Ndosi @CarolNdosi
583K Followers 3K Following #WomenInTech #KilimoNaCarol | Digital Inclusion | SKILLS | @thelaunchpadtz @lpdigitaltz @techwomentz @nyamachomafest @sheroestanzania @_123productionsikulu_Tanzania @ikulumawasliano
436K Followers 8 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿Nape Moses Nnauye @Nnauye_Nape
1.0M Followers 8K Following Mbunge Jimbo la Mtama{SIMBA WA VITA}. A LEADER SHOULD BE AN AGENT OF CHANGE. Minister of Information, Communication and Information TechnologyUmmy Mwalimu, MP @ummymwalimu
895K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Haki Ngowi @Hakingowi
444K Followers 9K Following 🌍 Official Twitter Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 🐦Tweets From Haki Ngowi are signed hn+Mwigulu Nchemba, PhD @mwigulunchemba1
534K Followers 356 Following Economist, MP, Minister for Finance, Tanzania @mofurt | Proud father | Shaping policies for a prosperous future #Economics #LeadershipGerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Victoria C Mwanziva @victoriacharlz
31K Followers 2K Following District Commissioner- LUDEWA, Njombe Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LudewaYetuMark J. Mwandosya @MarkMwandosya
99K Followers 65K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es SalaamLaurel Kivuyo @KivuyoLaurel
36K Followers 625 Following Gen Z Climate Steward | Advocating for a Cleaner, Greener, Sustainable Planet 🌍 | Founder @climatehubtz 🌴| Climate Envoy @SAYoF_SADC | Born Again!Ridhiwani Jakaya Kikw.. @ridhiwankikwete
292K Followers 53 Following Deputy Minister of State in the President's Office, Public Service Management and Good Governance. Chalinze Constituency Member Parliament of TanzaniaHussein M Bashe @HusseinBashe
542K Followers 349 Following Minister, Ministry for Agriculture | MP - Nzega Urban Constituency | Farmer | Politician #TanzaniaKwanzaMwamvita Makamba @Makambas
102K Followers 2K Following Technology for good proponent, innovator and investor #PanAfricanist - Founder of @mmconnectafrica -Published Author of #THINGSITELLMYDAUGHTER.MFA Tanzania @mfa_tanzania
82K Followers 559 Following Official X account for the Ministry of Foreign Affairs and East African CooperationTogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyMsemaji Mkuu wa Serik.. @TZMsemajiMkuu
735K Followers 10 Following The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿Kuduishe Kisowile @Kudu_ze_Kudu
59K Followers 2K Following MD | Chairperson-SMAA | P1L1 | Health Communications Consultant #MeToo | #EczemaWarrior #KuduAfyaTips #DaktariMwandishi Left-handed. 🇹🇿 💜🤍💚 #RadFemTheCitizenTz @TheCitizenTz
305K Followers 429 Following Tanzania's preferred daily English newspaper, covering in-depth news and analysis from across East Africa; with a niche in business, politics, current affairsWizara ya Ujenzi @WizarayaUJ
151K Followers 6K Following Wizara ya Ujenzi (Aug. 2023)|Ministry of Works(Aug. 2023)|Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sept 2021-Aug 2023)Emmanuel Cosmas Msoka @MsokaEmmanuel
2K Followers 122 Following UNICEF Youth Advocate💙 Peace & Freedom take precedence🕊️ Innovator, Economist & International Business Expert⭐FinMango @finmango
2K Followers 176 Following We believe in a world where everyone is financially healthy — especially young adults.COELESTINE MUKELA @COELESTINEJM
151 Followers 448 Following ASPIRING TO BE A DIPLOMAT AND POLITICAL ANALYST. CURRENTLY PURSUING BACHELORS OF INTERNATIONAL RELATIONS AND DIPLOMATIC STUDIES.Emmanuel Igunza @EmmanuelIgunza
55K Followers 17K Following International Correspondent | Contributor @NPR. | Ex @BBC Correspondent #Ethiopia, Kenya. | Bylines @AP. Horn of Africa specialist. Newstips +254720848428Manuel Ferrara @Destro_3
90 Followers 1K FollowingClara.Kitty💫🇹�.. @ClaraAloyce
3K Followers 2K Following Insurance officer// #DadaBima//Philippians 4:13//@SimbaSCTanzania fan//God is Able🙏// https://t.co/sA8krR0dyhEric Faucet @fauceteric
625 Followers 3K Following Storyteller | Former Host of Tanzania startups blog #tanzaniastartups | Host of 49-99 Podcast #49-99 | i love everything youth and adrenaline gamesInternational Trade C.. @ITCnews
85K Followers 3K Following ITC is a joint agency of the @UN and the @WTO supporting the internationalization of #SmallBusiness. Executive Director: @CokeHamiltonFEFA-Africa @AfricaElections
2K Followers 963 Following The Free and Fair Election Forum of Africa #FEFA election observer.#HumanRights Defenders #HRDs #genderequalityKirati_07 @kiratyofficial
51 Followers 225 Following Content creator at @thechanzo as cinematographer🎞 and visual editor📺. Film 🎬Director, Producer & Movie Scriptwriter. _Film_Music_Football_PoliticsTz_V.A.R @BisagaNinjabs
51 Followers 446 FollowingAmi Mpungwe @AMpungwe
4K Followers 206 Following Envisioning Africa’s Renaissance through 4IR | Retired Diplomat | Businessperson and Director of CompaniesObrien Tech @obrientechhk
8K Followers 5K Following 💚 Helping to accelerate the progress to zero-carbon energy generation ♻️ R&D Green Tech ⚡️Wind Energy for urban environments Writing a Newsletter on Green TechBoniphace Luhende (Ph.. @BLuhende
656 Followers 831 Following Solicitor General, The United Republic of TanzaniaOMARY BAAJUN @baajun_poet
44 Followers 376 Following A Zanzibari Multi-Award Winning Poet, Publisher & Human Rights Champion. Retweets are not endorsements #FreePalestine🇵🇸Koddy, MK @Koddymk
17 Followers 41 Following Research in Quality Management, expatriate in Food Laws, ethics, crisis management and Food safety $ quality Management issues.highland decor soluti.. @LusekeloJackso3
1K Followers 5K Following .draft &,bandering .skiming &finishing .fungus treatment .repair &, renovation .PVC board & duravent .gypsum board design call& Whatsapp 0757735884Ahmed Abdulla @ahmedkherlid
2K Followers 2K Following Registrar of Non-Governmental Organizations in Zanzibar TZ. |Registering|Coordinating|Supervising Organizations|Achieving positive results to the Community.Nuwagaba Muhsin @kaduyu_Jr
8K Followers 8K Following Youth Rep @_AfricanUnion Interfaith Dialogue Forum| E. D @AMYUganda | Violent Extremism/Terrorism Prevention (E. Africa) | #FoRB | #Peacebuilding |#Humanitariankalebu Gwalugano @j_kalebu
4K Followers 5K Following Building developer-centric conversational AI platform for African languages @neurotech_hqBwanashamba wa taifa .. @msakufarm
9K Followers 2K Following New Generation Farmer and Agronomist, feel free to inbox us if you have any questions on farming. WhatsApp https://t.co/qRHCmu9TMxKIMOCHI 🇹🇿 @KidMatee
2K Followers 3K Following Agribusiness ||Epinav Agricultural Solutions|| Award Winning EmployeeIsaiah Furaha @Isayafuraha
2K Followers 3K Following Businessman | Accountant by Profession | Proudly @YoungAfricansSC 🔰 fan | My God, My Savior 💪💪Rejoice Amutenya 🇳.. @joyyycie_
2K Followers 992 Following 📍🇳🇦 / Patriot • All things tech, travel and sustainable development. 🌍Voice of Agriculture @voag_tv
951 Followers 74 Following ✨Art Of Perfect Farming✨ 🍃 Trainings 🌱 Updates & Facts 🌿 Agri. Enterpreneurship 🌾 Agri. Affairs & Policies Updates 🌻 Showcasing Farmers BusinessesWarren Magani @WarrenMagani
160 Followers 479 Following Environment🌿, Climate 🌍 & Health 🍃(ECH) 🇹🇿 ♑✝️Martine Japhet @japhet_martine
401 Followers 2K Following Climate Change Advocate| Environmental Educator |Researcher Climate Change Enthusiast... Make the World a Better Place to Live 🌍🌍🌍Ishaku E.B @Ishaku01884511
118 Followers 348 Following Climate change advocate|Teacher| Community development initiatives|Agriculture|SDGsIndependent thinker @truthforlife_96
3K Followers 316 Following Accept the challenge God will guide,we plan but GOD decides. Romans 14:8Tate, Moufasa. Clinic.. @sirddiix
2K Followers 883 Following MD, public health expert. HIV/AIDS consultantBaraka~ Thomas ,Esq. @BarakaMasubo
1K Followers 2K Following |Legal advisor|Energy|Oil &Gas|Mining| Investment| Arbitration |Climate Change|Amb (Eng) Mahboub Maa.. @amb_mahboub
11K Followers 18 Following Former Chair KPLC, IGAD Executive Secretary, PS,OP/Water,Chair Council,JKUAT.Chair Equal Fund.Snr Adv IFRCAmbassador Hassani Id.. @HassaniMwamweta
429 Followers 692 FollowingClara Makenya @ClaraMakenya
566 Followers 127 Following National Coordinator and the focal point @UNEP for Tanzania and NamibiaLaurean Rugambwa BWAN.. @LaureanRugambw1
1K Followers 737 Following Africa Regional Head, Humanitarian Diplomacy- International Federation of Red Cross and Red Crescent Societies(IFRC) Views expressed are mine and mine only.Albertoony_comics @Albertoonytz
22 Followers 155 Following Award Winning Cartoonist | Illustrator | Graphic ArtistHalligan Agade @hallygan
2K Followers 4K Following Digital Media Editor at #CGTN, communications expert an environmental journalist & clean oceans campaigner. I love Jesus Christ to the #CORE.SilkRoadNews @SilkRoadNews
5K Followers 3K Following News on Silk Road, #SilkRoad Spirit, Emerging Asia, Exchanges, Dialogue, #Connectivity, #Cooperation, #Development, #Geoeconomics.Bakson💯🏇 @baltazar_shao
2K Followers 5K Following Hustler💯💪 Wildlife enthusiastic 🦆🐘/PASSIONATE🏅/#Bitcoin #PiNetwork #BlockchainTech/ #Conservationist/Jokes/Peace ✌️/Active listerner🎯/ Bakson/OPTIMISTICBoniface Jacob @ExMayorUbungo
451K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberJambo Digital @digital_ja53937
1K Followers 5K Following News /entertainment / sport/ businesses branding/ postures welcome for good services@HoyceTemu @KenyaMissionUNG @UbaloziGeneva Msalimie sana Balozi Waweru, nimefanya naye kazi hapa.. a good man
@HoyceTemu @TaffaOrg Pongezi sana kwao Taffa. Pongezi kwako dada angu Temu. KAZI IENDELEE.
@HoyceTemu @TaffaOrg Hongera sana dada kazi yako tunaiyona
@HoyceTemu Hongera sana dada angu hoyce kwa kupata ugeni hakika TAFFA wanamchango mkubwa kwenye International trade.
@HoyceTemu Asante Mh. Balozi kwa uwakilishi wako.
@HoyceTemu Mh. kipindi nasoma CFR nilikuwa nikatamani ata picha lakini nilikuwa nakuogopa siku tukikutana Tena nitakuomba picha
The Ambassadors Retreat 2024 has among others, enabled all Tanzanian Diplomats abroad to meet, interact, exchange tactics and strategies, relevant at the contemporary time for promoting, sustaining and mantaining diplomatic relations and other Tanzanian interests abroad. It…
Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali wamekutana katika kikao kazi cha siku nne katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani. 4/4
Ameongeza kuwa kikao kazi hicho si kwa manufaa ya mabalozi pekee bali na yeye mwenyewe kwani ni wasaa mzuri kuzifahamu changamoto wanazozikabili vituoni na kufahamu wapi panapwaya na kupanga mikakati endelevu ya kuziba mapengo yaliyopo ili kufikia malengo ya Sera ya Mambo ya Nje.
Waziri @JMakamba amewasihi mabalozi na watumishi wa balozi kutumia fursa ya kikao kazi cha mabalozi kujijenga katika utendaji wao ili mabadiliko yaonekane mara tu watakaporejea kwenye vituo vyao vya kazi kwani wana uwezo mkubwa wa kiutendaji zaidi ya vile wanavyofanya sasa. 1/4
Mabalozi wa Tanzania warejea nyumbani kujadili yale yanayoweza kuendelea kuimarisha uhusiano wa kimataifa na kukubaliana namna bora za kutekeleza Sera ya Mambo ya Nje kwa kutambua kuwa mawazo mengi mazuri huwa bora zaidi yanapojadiliwa kwa umoja nje ya pale yalipochipukia.
Kwa siku nne kuanzia kesho, kwenye Chuo cha Uongozi cha Nyerere Kibaha, tutakuwa na Kikao-Kazi cha Mabalozi wetu kutathmini utendaji kazi wetu, kupitia mikakati mipya tuliyobuni, kuwekeana vipimo ya utendaji (KPIs), na kujipanga upya kuipaisha diplomasia ya Tanzania.
My interview with @achopkins1 of @trtworld in Istanbul, Türkiye.
Tanzania’s Minister of Foreign Affairs, January Makamba, talks to TRT World about insecurity in the Red Sea and how it impacts African economies Watch the full interview: trt.world/vdfz
@HoyceTemu @tma_services @WMO @WizarayaUC Habar njema sana hii