Jina lake haliimbwi sana wala huwezi kukuta anazungumziwa sana kwenye vyombo vya habari, Anaitwa Dorris Mollel, Mwanadada aliyewapa thamani Watoto Njiti Tanzania hadi sasa amegusa maisha takribani ya Watoto Njiti Elfu 15 na ametumia takribani Bilioni 2 kuwasaidia,Tumpe Maua Yake.
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Kwa kweli @dorismollel amefanya kazi nzuri ktk kuboresha huduma za watoto njiti nchini. Serikali tunatambua na kuthamini mchango wake. Hakika anastahili maua yake 🌹🌹🌹🌹💐💐💐🌺🌺🌺
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Amefanya kazi kubwa sana anastahili maua yakee..
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Mungu azidi kumtunza, kumfanikisba kwa mipango yake binafsi. 🙏🏾🙏🏾
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Kitaalamu sana hii inaitwa anyway nampa maua yake 💐
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Hongera nyingi sana kwake
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Hongera sana kwake kwa kazi kubwa na nzuri