Jina lake haliimbwi sana wala huwezi kukuta anazungumziwa sana kwenye vyombo vya habari, Anaitwa Dorris Mollel, Mwanadada aliyewapa thamani Watoto Njiti Tanzania hadi sasa amegusa maisha takribani ya Watoto Njiti Elfu 15 na ametumia takribani Bilioni 2 kuwasaidia,Tumpe Maua Yake.
@venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo Kwa kweli @dorismollel amefanya kazi nzuri ktk kuboresha huduma za watoto njiti nchini. Serikali tunatambua na kuthamini mchango wake. Hakika anastahili maua yake 🌹🌹🌹🌹💐💐💐🌺🌺🌺
@ummymwalimu @venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel Mheshimiwa waziri kama kwel mnathamin maisha ya watoto wote, rudisheni toto afya card,
@ummymwalimu @venant_clement @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel Ahsante sana Mheshimiwa, Waziri wetu wa Afya tunathamini sana support unayotupa Wizarani pamoja na watendaji wote wa Wizara.
@ummymwalimu @venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel Apewe akiwa hai,sio akifa hongera yake
@ummymwalimu @venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel Hakika, hata huku kwetu amekuwa na Impact kubwa sana
@ummymwalimu @venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel Upo sahihi mheshimiwa.lakini bima zimebadilika sana.kunawatu wamekata bima za zaidi ya 350,000 kwa ajili ya mtoto na mama,lakini wanaklinik ya kila wiki wanaambiwa watoe ela ya clinik ile bima haina msaada.
@ummymwalimu @venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@ummymwalimu @venant_clement @MollelDoris @sonnino123 @Makaveli_255 @raphyrodrick @MalemboLE @YusuphMbilinyi8 @VwalaViola @claramogul @GetrudeMligo @dorismollel muwe mna mpromote basi na mambo mengine khaaa