Tutapambania Ongezeko la Likizo ya Uzazi kwa Wazazi wanaopata Watoto Njiti. #BaloziWatotoNjiti #PreemieChampion #AjendaYaMtotoNjiti #WatotoNjitiWanaishiTukiwapatiaMazingiraBora
1
1
7
0
0
Download Image
@neemalugangira @VodacomTanzania @dorismollel Kwa niaba ya wanaume pia naomba mpambanie ongezeko la paternity leave. Siku 5 hazitoshi kwa baba kumfaidi (kutengeneza bond) kichanga chake na kumsaidia mama kuadjust. Nchi nyingi sasa paternity na maternity leave ni idadi sawa za siku.