Search results for #AjendaYaMtotoNjiti
@laktarr001 it was a pleasure meeting you and discussing on how we can take #AjendayaMtotoNjiti Africa . Thank you so much for being ready to support
Ahsanteni sana TWPG kwa kutuunga Mkono kwenye kuisimamia Ajenda za Wakina Mama wote hususan wale waopata watoto kabla ya wakati. #AjendaYaMtotoNjiti #watotonjitiwanaishitukiwapatiamazingirabora instagram.com/p/CXdo2q2Nggs/…
Taasisi ya @dorismollelfoundation kwa kushirikiana na Taasisi ya @WomenFund_TZ iliyofanyika kwenye ukumbi wa Coral Beach, Dar es salaam. Cc @dorismollel @VodacomTanzania @SuluhuSamia @DrHmwinyi @Sheria_Katiba @bunge_tz #ajendayamtotonjiti #likizoyauzazi #prematurebaby #mtotonjiti
“Hakuna mtu anaweza kuelewa mshtuko unaopata ukiona udogo wa mtoto wako” alieleza Beatrice Mawalla, aliyezaa watoto njiti wanne na kukaa hospitalini kwa kipindi chote cha likizo ya uzazi. Aliongezea, “Walikuwa wadogo kama simu”. #AjendaYaMtotoNjiti #OngezaLikizoYaUzazi
@dorismollel alianza kwa kueleza kampeni ya kutatua changamoto za akina mama wanaozaa watoto njiti ilianza 2017 kupitia mazungumzo na Mhe. @ummymwalimu na Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (UWT). #OngezaLikizoYaUzazi #AjendaYaMtotoNjiti
Leo mtandao unaojumuisha watetezi wa haki za afya ya uzazi ukiongozwa na @dorismollel unazindua kampeni ya kuongeza likizo ya uzazi kwa akina mama wote hususan kwa akina mama wa watoto njiti. Fuatalia kupitia bit.ly/3dbJfxX #OngezaLikizoYaUzazi #AjendaYaMtotoNjiti
Our Final Day is almost here... #AjendaYaMtotoNjiti #itsforpreemiemothers #watotonjitiwanaishitukiwapatiamazingirabora @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CW7lIc4tuMb/…
Nilikuwa sifahamu kuwa 1 kati ya watoto 10 wanazaliwa kabla ya wakati, hii husababishwa na vitu vingi ikiwemo mimba za utotoni. Natamani kusikia stori nyingi za premature babies… #ajendayamtotonjiti #sikuyamtotonjitiduniani #pretermbabyagenda #worldprematurityday2021
Share with us your story on how you raised your premature baby and We will repost💜 #watotonjitiwanaishitukiwapatiamazingirabora #AjendaYaMtotoNjiti @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CV4qgDAth4V/…
Je, unafahamu hivi sasa Likizo ya Uzazi ni muda gani? #AjendaYaMtotoNjiti
Je, unafahamu hivi sasa Likizo ya Uzazi ni muda gani? #AjendaYaMtotoNjiti
@neemalugangira @VodacomTanzania @dorismollel Kwangu namba 1 nadhani ni jibu sahihi. #AjendaYaMtotoNjiti
Je, Likizo ya Uzazi wa Mtoto Njiti ianze kuhesabiwa lini? 1️⃣ Mwezi aliozaliwa Mtoto Njiti, mfano Miezi 7? 2️⃣ Miezi 9, Umri wa Kawaida wa Kuzaliwa hivyo Miezi 2 aliyowahi kuzaliwa isihesabiwe ? 3️⃣ Au? WEWE UNAONAJE? #BaloziWatotoNjiti #PreemieChampion #AjendaYaMtotoNjiti
@DMFtanzania AJENDA YA MTOTO NJITI 2021 event in moments. . . . #dorismollelfoundation #preemie #ajendayamtotonjiti #eventphotography #photooftheday
Hatimae tarehe 11/9/2021 #AjendaYaMtotoNjiti ilizinduliwa na Mhe Job Ndugai (Mb.), Spika wetu wa Bunge na nikapewa heshima ya kuwa mmoja wa Wabunge Vinara wa Kutetea Haki za Mtoto Njiti. Nampongeza sana Doris Mollel na pamoja tutaandika historia ya watoto njiti. #KaziIendelee
Tarehe 18/3/2021 tukiwa katika Ziara ya Kamati pale Hospitali ya Muhimbili, Mhe Mwenyekiti alitupa kazi maalum Wabunge 3 kufika Kitengo cha Watoto Njiti (NICU) na kupitia Taarifa yetu, tulikubaliana tunalojukumu la kufanya kitu na hapo ndipo ilipozaliwa #AjendaYaMtotoNjiti
Hapa (picha kushoto) nilikuwa naitafakari safari yangu katika #AjendaYaMtotoNjiti iliyoanza 6/1/2021 (picha kulia) nilipokutana na Dr. Modest, aliyekuwa Mganga Mkuu Wilaya Muleba, Kagera ili kuelewa hali ya #LisheBora kwa wajawazito, waliojifungua watoto njiti na uzito pungufu.