Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu amesema yeye ni Mtanzania na anatambua kwamba Tanzania ni moja hivyo haigawanyiki wala haiuziki na kila linalofanyika ni kwa ajili ya maendeleo ya Tanzania. Ametoa kauli hiyo wakati akiongea na Wakazi wa Mwanza baada ya kuwasili Mkoani humo kwa ziara ya kikazi inayoanza leo June 12, 2023. “Mama huyu ni Mtanzania, atafanya kila analoweza kufanya Tanzania iendelee na Tanzania ni moja haigawanyiki wala haiuziki, Mama ni Mtanzania, maendeleo yetu ndio muhimu na kila linalofanyika ni kwa maendeleo ya Watanzania.” #MillardAyoUPDATES
@millardayo Tunajua imekopeshwa aijauzwa .. Msituchanganye bana tunachopigania sisi pamoja na museveni ni matako yetu mengine.. Mtajua wenyewe ukoo.. Endelea kupokea misahada tu waulize yanga kilicho wakuta kisa ubwabwa wa bure.
@millardayo Tanzania kwanza.. . . . x.com/samatimemagari…
@millardayo Tanzania kwanza.. . . . x.com/samatimemagari…
@millardayo Huyu mama ni msenge anatuuzaje asubuhi hii?
@millardayo @SuluhuSamia Tz imeshauzwa from the bandari stuff also imegawanyika from the moment u gave Tiss, Raisi, Vp, speaker and other immune to prosecution. The masai land issue, CAG, now bandari what more...trend is heading the opposite of what you are saying..
@millardayo KWANINI KITU KIZURI KISIPELEKWE NA MKOANI KWAO, ZANZIBAR HAIMO KWENYE MKATABA WAKATI TANZANIA NI MOJA? Hapo Ndio Kuna MASWALI "CHARITY BEGINS AT HOME"
@millardayo Ni kwa maslahi yako binafsi ingekuwa ni kwaajili ya watanzania mbona tukitoa maoni mnatushambulia? Na watanzania tumekataa hilo suala la bandari mbona hatusikilizwi??haya si maslahi ya wananchi bali ni yako binafsi, mbona unalazimisha??@SuluhuSamia tumekataa
@millardayo Kenyaaa huuu upuuzii HAWAWEZI kuvumiliaaa ...