Kabisa kaka... Hivi, Kunakituo Bora cha mabasi kilicho Bora zaidi ya hiki cha Njombe? #Njombe ni levels bwana 💯
@maxmillianway Nadhani ni wakati Sasa Njombe iitwe "Jiji". We deserve aisee