Search results for #Njombe
Kwaya ya Parapanda kutoka wilayani Ludewa wapo mjini Njombe ambapo wamefika @KingsFMRadio na kutaja lengo la kufika Njombe. #kingsfmradio #jisikiemfalme #kifalmezaidi #kingsfmradio #jisikiemfalme #2024kifalmezaidi #njombetanzania #njombe #tanzania #mbeya #kingsfmupadates
After Church it's Meat Joint... Mnada Day at Wanging'ombe, Never plan to Miss... #Njombe
@ortamisemitz Kuna mradi wa maji upo mkoa wa #Njombe wilaya ya #Ludewa Kata ya #Milo kijiji cha #Mavala unazaidi ya mwka mmoja umetelekezwa. Miundombinu iliyokuwatayari unadhidi kuharibika.. Mradi ilibidi ukamilike mwezi wa 🔟 mwka jana. Fuatilien hili
#NJOMBE: Jeshi la Polisi linamshikilia Mtoto wa Miaka 12 akituhumiwa kumlawiti Mtoto mwenzake (10), Mwanafunzi wa Darasa la Nne kwa muda mrefu kiasi cha kumuathiri Kiafya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Mahamoud Banga amesema tukio hilo limetokea Mjini Makambako ambapo…
NJOMBE EXPRESS 🦒🦒 T104EFA ECC,DPE, DWC, DRN, DYD FAHARI ya njombe #njombe #thelandofnjombe #njombebuses NJOMBE ➡️ DSM MAKAMBAKO ➡️ DSM MAFINGA ➡️ DSM IRINGA ➡️ DSM ILULA ➡️ DSM RUAHA MB ➡️ DSM NJOMBE ➡️ MOROGORO NJOMBE ➡️ KIBAHA NJOMBE ➡️ CHALINZE NJOMBE ➡️ MIKUMI
Ivi mnaionaje #Njombe na watu wake lakini? 🥹
@WilbertAlfred3 @edwini_77 @tanroas Kuna ck umewahi.iona apa mbezi iyo eibisii ya njombe mbele ya #njombe express au kina luwinzo na sweet
@TBoundBuses Hii,kampuni ya #njombe exprss aipo serious kabisa kuna mambo ya kifala inafanya mkurugenzi awe makini maana kuna siku kuna mteja alifata mzigo mimi kumsaidia kupakia nikapewa kesi yani wafanyakzi wa #urafiki ofcn hawapo serious na kazi yao