Samwel Masawe @masawe_samwel
Joined July 2017-
Tweets477
-
Followers328
-
Following2K
-
Likes28K
Sifahamu kwanini baadhi ya watu nikiwaambie wanitajie ngoma kali toka kwa 'George Mdemu aka G nako', G Wara wara hawaitaji hii ngoma 'Right here', Binafsi ukiniambia nitaje ngoma kali za mwamba basi 'Right here' itakua namba moja G alikamua sana kwenye hili pini🙌🙌
Hauwezi kuzungumzia Harakati za Bongo HipHop na Bongo Fleva hasa kati ya miaka ya 2006 hapo hadi 2015 bila kumtaja Dj Jeff Jerry kutoka Kiss Fm na Radio Free Afrika,kupitia Show kali kama Kiss Kollabo, Weekend Buzz, Show Time na Prime Time. Heshima kwako bro kwa Kuchonga njia🙏
@masawe_samwel Jamaa walilalamika sana🔥🔥
Niambie ni ngoma gani ya 'Dataz' unayoikubali kinoma noma kutoka kwenye List ya ngoma zake?? Mimi naikubali sana 'Hawa Watu' Akimshirikisha 'Squeezer' Moja kati ya ngoma kali sana kutoka kwa 'Dataz'.
Iruvwa akunhinge na ikuninjya finya Mangi.. Chadema lukekutegemea na vijana/wandu we kuhingaa wefoo Kuleeree foo Happy birthday Mangi
Kutoka G records, kufagia studio na msoto wa kushinda njaa hatimae AliCom akajipata na Selina Ngoma ambayo ilimpeleka mjini na kusumbua Sana miaka hiyo ya 2000.Akiwa amemshirikisha Mishi ngoma ilipikwa na Enriko toka Soundcrafters. Moja kati ya timeless Material toka kwa Alicom
Bado tuna shida sana kwenye uhifadhi wa Kazi zetu za Sanaa hasa kwa Vizazi vijavyo tutakua hatuna collections za kutosha kwa wao kuujua zaidi Muziki wetu,nimetafuta kinoma video ya hii ngoma kwenye mitandao huko sijaipata🤦♂️. Mwana Fa alitisha sana humu🔥🔥
Dadadeki
Kutoka Mitaa ya Upanga Jeshi la East Coast Team Chini ya Kapteni King Crazy Gk likiundwa na AY, Mwana FA, Snare na Buff G badae walikuja kuongeza vijana wengine.Mtayarishaji bwana Effector alikua anawapatia sana hawa jamaa.Ungetamani kuona hawa jamaa wanarudi? Au hawatatoboa??
Kutoka Temeke Mikoroshini 'Haroun Kahena aka Insp Haroun Babu' , alianza Muziki Miaka ya 1990 na Kundi la 'Gangwe Mobb' pamoja na Luteni Karama, 1998 wakaachia ngoma yao ya kwanza 'Mauzauza', 2004 akaenda Solo akatubariki na hili Jam kali la Muda wote, 'Asali wa Moyo' Salut Babu
Mpaka leo sijawahi kufahamu chanzo cha beef kati ya" Zay B" na "Sista P" ila walitupa Pini za Maana sana 🙌. Shout out kwao Pia kwa kufungua njia kwa Marapa wengi wa Kike Bongo Land hapo Baadae. Those were the times 🙌🙌
Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora wa Msimu wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/2023 akiwashinda Saido Ntibazonkiza wa Simba SC, Mzamiru Yassin (Simba SC), Bruno Gomes (Singida) na Djigui Diarra (Yanga SC) #TFFAwards #MillardAyoSPORTS
This is not UK, not Brasilia, not Jo’burg not India but TANZANIA, and these are Wananchi @yangasc1935
@CyancutyTz Naomba retweet zenu🙏🏾 x.com/chibonge/statu…
@CyancutyTz Naomba retweet zenu🙏🏾 x.com/chibonge/statu…
Yaani Nchi Wameifanya 🌳 Na Ataumiliki Mwenye Power………. #Miaka_100_Bandari #The_Album_Is_Coming #NipeniMauaYangu
Kama maisha yenyewe ndo haya bora kuzamia Ulaya 😂
Rehema Chalamila, kiuno bila mfupa 👸
Sherry Mcclard @McclardShe69059
84 Followers 5K FollowingDanuta Baumgarn @baumgarn86216
66 Followers 5K FollowingCerys Siami @cer_sia
43 Followers 5K FollowingIris Barnhouse @IBarnhou
49 Followers 5K FollowingKitty Layton @layt_kit
80 Followers 5K FollowingBlanche @blanche7126
17 Followers 762 FollowingMariam Malady @MaladyMari
77 Followers 5K FollowingDon't Quit💸 @nevereverquit0
3K Followers 7K Following Global economy||Yanga☆Liverpool$digital marketing & Politics🇹🇿🇹🇿🇹🇿Shoshana Taraborelli @ShoshanaT99318
88 Followers 5K FollowingMahalia Rager @rag_mahal
93 Followers 5K FollowingJulie Gonce @gonce_go
46 Followers 5K FollowingEdie Godar @edie_goda
29 Followers 5K FollowingAnnie Mallya @MallyaAnni97907
24 Followers 164 FollowingMyla Maurizio @MylMauriz
69 Followers 5K FollowingElla-mae Raup @MaeRaup59643
80 Followers 5K FollowingJakariya Mahmud Siman.. @JakariyaMahmud8
1K Followers 2K Following Lost In The Labyrinth of My Mind 💚🏳️🌈Hye Manolakis @manolaki_h
72 Followers 5K FollowingMasanja @iam_JacksonJ
15K Followers 10K FollowingErlene Fairhurst @EFairhu
36 Followers 5K FollowingSadie Buth @ButhSadie47557
48 Followers 5K FollowingDiann Aughtman @DAughtman80806
35 Followers 5K FollowingElla Cioffi @EllaC7891
74 Followers 5K FollowingFidela Jenista @FideJenist
27 Followers 5K FollowingJesusa Lyme @ly_jesu
70 Followers 5K FollowingBraelynn Ostergren @BraelynnOs87617
66 Followers 5K FollowingElla-mae Coolahan @EllaC64355
89 Followers 5K Followingejig38wx5j97rk3k @daz17bp1hv
2 Followers 240 Following If you want to make friends, you can contact me anytime TG:https://t.co/UduPftIg9U WS:https://t.co/prKHlL9r2sShanti Durrani @DurraniSha41173
66 Followers 5K FollowingMaurita Vetri @maur_vet
39 Followers 5K FollowingKatelyn Bersch @BerschKate
39 Followers 5K FollowingHadley Lockery @LockHadl
83 Followers 5K FollowingGreta @smitherman_gret
197 Followers 3K FollowingMeredith Cardine @CardMeredit
63 Followers 5K FollowingVictorina Erie @ErieVictor32974
92 Followers 5K FollowingRose Washburn @Ro52388Rose
348 Followers 6K Following I know everything happens for a reason, but sometimes i wish i knew what that reason was.Young SC Photos TZ�.. @YoungSCPhotosTZ
8K Followers 6K Following Complete @YoungAfricanssc Coverage: News, Picking up informations from Journalists, Transfers, Quotes, Stats, Analysis, Pictures and Videos.Edu The Prince🥇�.. @EduThePrince
152 Followers 200 Following Rocking 🧤🕳💣 #follow@IG #Telegram #Threads @Snp Burberry💨💫 Nuffff rrrrrieeeeespct 💎🥀to jar Fathela🌠🙏 Radio lover🦾👌👣💥BILL ADAMSON @billadamson_
3K Followers 4K Following L.A.L.J,Trader. Stock. Real Estate. Robots. Proudly❤️🇹🇿 🫶AdamsonfoundationWillie Cassem @WCassem43006
31 Followers 5K FollowingErlon Robonildo🇧�.. @Erloncreso
4K Followers 4K Following Conservador, direita, Cristão, marido, pai e avô. Mineiro de nascimento, paulista por acolhimento.Robin Richards @RobinRichards99
26K Followers 29K Following Multi award winning author of The Piltdown Picasso, LE-JOG-ed and The Great Billy Butlin Race.Sherry Mcclard @McclardShe69059
84 Followers 5K FollowingDon't Quit💸 @nevereverquit0
3K Followers 7K Following Global economy||Yanga☆Liverpool$digital marketing & Politics🇹🇿🇹🇿🇹🇿Roger @roger1203
882 Followers 3K Following 🤘Longhorn 🤘 Astros, Rockets, Texans, and soft spot for the HOUSTON OilersMohamed Rashed @MohamedRashed89
100 Followers 45 FollowingProfessor Finesser @NixonOnTheTrack
1K Followers 1K Following Credits: Rick Ross, Krayzie Bone, Bernz, Mike Smiff, JT Money, Kevin Lyttle, Wale, The Dream, etc.. just getting started. (never on schedule always on time)Jakariya Mahmud Siman.. @JakariyaMahmud8
1K Followers 2K Following Lost In The Labyrinth of My Mind 💚🏳️🌈Aurelien @Aurelien_sky
14 Followers 70 Followingrochi gale🦋 @scaramanziaa_
829 Followers 683 FollowingGabriel Caldas @gabrielcaldaso
64 Followers 220 FollowingAbu Mirza @AbuMirz17712314
16 Followers 36 FollowingPincoya @Pincoya34
71 Followers 64 FollowingMiguel Angel @miguel19728
105 Followers 416 FollowingOLADUNJOYE T.O @tboylad
21 Followers 325 Following A Physicist and a Classy Educational Researcher. #GOONER.Billy @billydam7
339 Followers 352 Followingjen⁷ ʳᵖʷᵖ �.. @jen_134340
76 Followers 196 Following 2021 ARMY 💜 | infp-t 💜🏳️🌈| biggest 134340 enthusiast | 🐻🐰 biased | D-DAY 5/10 😭qnk 🔻 @qnk8mas
785 Followers 740 FollowingFelix @aGabriellaFelix
44 Followers 51 FollowingSteven Bradley Hookha.. @StevenHookham
2K Followers 2K Following Life isn’t fair but society can be. Work as a Paramedic 🚑 My views obviously. A vile shitbag according to Kelvin MacKenzie. Northern.Joslynn James @Jossyj22
187 Followers 300 Following 🏀 IL- Golden Warriors '27 - 4.0 GPA - Midwest WildcatsVictor De Oliveira @VDO_oushi17
151 Followers 755 Following Portugués y Venezolano UCVISTA con aspiraciones de ser Biólogo. Quiero saber de todo un poco.a🐿 @alpipipi_
73 Followers 353 Following akun random bangett. suka drakor, suka wanna one, suka seventeen♡Katbrine_Rayoniza🐟.. @Katbrinexd
20 Followers 81 FollowingL1QU1DTTV @XxItzAustinxX
171 Followers 359 Following Just a guy trying to get out in the streaming/content creation world.Nick Gloag @nick_gloag
73 Followers 46 FollowingAssessoria DAVI BRITO.. @sherazadxi
542 Followers 671 FollowingIra Perry @PerryIra70071
20 Followers 29 Followingmrdanimelow @mrdanimelow
464 Followers 328 Following 1/2 de Al Lerele @al_lerele "ART is here to prove that all safety is an illusion" - IG @mrdanimelowBUNIYAMIN ꯕꯨꯅ�.. @Amin99272160
340 Followers 990 Following ...Honesty is the best policy... If I make as mistake then blame it on me, not my religion.Masanja @iam_JacksonJ
15K Followers 10K FollowingLAST BORN🇹🇿 @Last_born97
26K Followers 7K Following @YoungAfricansSc | @manutd | POLITICAL ANIMAL | DON'T TRUST MY SMILE | A WOUNDED BUFFALO | AM NOT LUCKY, AM BLESSED | I LOVE MYSELF | SELECTIVE SOCIAL #WANAZIHQMTANZANIA 🇹🇿❁ @GilbertPaul95
26K Followers 8K Following Graphic Designer || upcoming MC🎤🎤🎤🎤 || @adventistchurch || Content Developer || Liverpool || [email protected] || Manager Silonet Transporter🇿🇲🇹🇿𝐌𝐚𝐱𝐦𝐢�.. @_Maxmilianjohn
9K Followers 2K Following GOD1st || @Chelseafc fan || King of banter || Curious || Leaner || Grind all day || Kama tweets zangu zinakukera unfollow tu maana naongea ukweli || Dm .Niesha J @NIwiththekicks
1K Followers 1K Following yea I like shoes 🥰 but can y’all find who I need to fight 👊🏾at Nike for a Win ☺️nikki_wa111 @NikkiWa111
10K Followers 579 Following | CONTENT CREATOR | AUTHOR/WRITER: #JALADA STORIES & #MyTake | 'Our minds thinks deepest when our eyes are taken into our brains' #LiveToLoveKabigwa_Afya💊 @kabigwa_78
18K Followers 1K Following Health Talk💉 N.O •||• Sexual & Reproductive Health •||• MenTal Health 🧠 •||•Jeremiah 33:3@MariaSTsehai Tusikubali sisi ni WATANGANYIKA....halafu tuwe serious kweli NAPE ndiyo wa Kumjibu Tundu Lissu🤣🤣🤣🤣 maake naona wamepanick sana
JOYCE LOMALISA MUTAMBALA jambo lake na Yanga limekuwa gumu,Shughuli yake na Yanga imekuwa gumu baada ya kupewa Offa ya mwaka mmoja huku yeye akiwa anataka wa mkataba wa miaka 2
Gaucho Aziz Ki na Prince Dube ni wachezaji ambao kwa misimu miwili sasa wanaitesa Simba kwa kuifunga.
Katika kitu ambacho NINA UHAKIKA NACHO SANA, ni kwamba , DPP HAWEZI KUNISHINDA KESI YOYOTE, labda atumie NGUVU au ALAZIMISHE😂😂
VIDEO: Tundu Lissu @TunduALissu atoa ufafanuzi sakata la tuhuma za Ubaguzi kwa Rais Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia
Moshi, wananchi wakiwapungia waandamanaji. #VuguvuguLaKudaiHaki #WikiYaMaandamano
Mama yetu yupo Mstari wa mbele kabisa licha ya changamoto yake ya akili ila anaunga mkono maandamano. JIULIZE
Mwalimu wangu #SOKA akitowa faida ya mtu kujitowa kwaajili ya nchi yake bila kuogopa Kama yeye alivyo Pinga vikali mkataba wa HOVYO wa bandari kweli nchi inaitaji watu wenye ujasiri mkubwa na usubutu wa jambo ✌️🇹🇿
BREAKING NEWS! Leo tarehe 30 April 2024 MAHAKAMA KUU YA TANZANIA-MASJALA KUU DODOMA kupitia KESI YA KIKATIBA NAMBA 7817/2024 Kati ya PETER MADELEKA na KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI, IMEPIGA MARUFUKU USIKILIZAJI wa KESI ZOTE ZA “MAADILI” dhidi ya PETER MADELEKA.
Umebarikiwa na Mungu kupigania haki za watu Mungu alikuleta hapa duniani kwa sababu maalumu Love U my sister @MariaSTsehai @❤️
Hon. @TunduALissu shikilia hapo hapo mpaka MaCCM watwambie "Tanganyika" Wameificha Wapi...?
Chama kilicho barikiwa na Mungu ni Chadema cheki hiiiiiiii love ya wananchi wenye chama Chao ❤️✌️🇹🇿
Israel itafanya operesheni huko Rafah bila kujali kama kuna makubaliano na Hamas kuwakomboa mateka", alitangaza Netanyahu.
Mhe. @TunduALissu akiongoza Maandamano ya amani Morogoro mjini
Wananchi wa Moshi wapo na chama Chao ambacho ndio kimbilio lao saut ya haki na uhakika kwa nchi 🇹🇿✌️
Let's all wish Professor 𝐏𝐀𝐂𝐎𝐌𝐄 𝐙𝐎𝐔𝐙𝐎𝐔 a Happy Birthday. 🎂 🔰 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko