Search results for #eATV
#VIDEO Hamis kavila maarufu kama Father Queen Mkazi wa Mwananyamala jijini Dar es Salaam, ameiomba #EATV imsikilize matatizo yake unahisi ana jambo gani? cc @Mamu_tz #EastAfricaTv #EATVSAA1 #UtajiriWaHabari
Usikose kufuatilia #EATV leo, nitakuwa nikiongoza Mjadala kuanzia saa 3:00 Usiku, nitakuwepo na @iamthatfemale kuangazia mtazao wa vijana kuhusu kazi na ajira. Je, kama kijana uko na mtazamo gani kuhusu kazi na ajira?
#BURUDANI Baba wa Hard core Lord Eyes amemjibu kiume rapa wa South Africa @casspernyovest kusema hamjui msanii yeyote wa HipHop Tanzania. Itazame #eNewz kuanzia saa 11:30 jioni ndani ya #EATV pekee na Youtube ya #EastAfricaTV. #eNewz
#FridayNightLive: @kayumbaasosie atakuwepo kwenye #FNL leo usiku saa 3:00 ndani ya East Africa TV na atasikika live East Africa Radio muda huo, usikose! #FridayNightLive #HainaKuchoka #EATV
Huyu jamaa anachanika hapa DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI #EATV mnamuona na kumsikia ? Jamaa anajua sana 🙌
#BURUDANI Anko P Mawenge akielezea Tamaduni Music ilivyo-inspire na kushape rappers wengi kwenye muziki wa HipHop. Itazame na isikilize live kupitia #EATV na #EastAfricaRadio na Youtube ya #EastAfricaTV. #FridayNightLive #FNL #PMawenge #HipHop
#BURUDANI Rapa wa Taifa P Mawenge akielezea chanzo cha ugumu wa shows za wasanii wa HipHop ndani ya Mahakama Kuu ya Burudani #FridayNightLive. Itazame na isikilize live kupitia #EATV na #EastAfricaRadio na Youtube ya #EastAfricaTV. #FridayNightLive #FNL #PMawenge #HipHop
Millennials tumefikiwa😂😂 #EATV
#5selekt: Ukimwangalia kwa umakini wewe unadhani atakuwa anafanana na msanii gani? #5selekt #EATV #HainaKuchoka