Search results for #Mswahili
Kindness is the source of happiness The most important trait of human character is kindness. If a person is kind, the world will help him to be happy. Happiness cannot exist together with anger and envy. #Mswahili
Ukisikia Chombo imetema ndio kama hii sasa ~#Mswahili🇹🇿
MKWECHE ~#Mswahili🇹🇿 Pongezi kwenu @YangaSC @caamil_88 @Arafat__AH @AliKamwe
Siri ya kupata unachokitaka ni kuvumilia Unayopitia😔 Imani haifanyi mambo kuwa rahisi bali hufanya kuwezekana🙏 #mswahili wa pwani#
A big THANK YOU to my family, friends and fans who voted and always support me ❤️ Congratulations to all the winners, fellow nominees and all the key stakeholders who continue to push the Kenyan film industry @kenyafilmcomm @InfoKfcb @moyasa_ke 👏🏾 #Mswahili
Wadogo zangu @diamondplatnumz @harmonize_tz ~#Mswahili🇹🇿
Ramadhan Kareem 👳🏾♂️🌙 #Mswahili
Kuna vitu viwili rahisi unaweza kuvifanya hapo hapo ulipo saa hii bila kuinuka na ukasaidia sana katika vita dhidi ya #BreastCancer 🩷💪🏾 1️⃣ Kumchangia Bwire Ndubi katika matibabu yake ugenini 2️⃣ Ku-VOTE THE PINK CHAMPIONS kama BEST DOCUMENTARY SHORT #KalashaAwards2024 #Mswahili
Ukisikia Kazini kwangu kuna Kazi ndio kama hii sasa~#Mswahili🇹🇿
@denhope26 @MickyJnr__ Wewe jamaa ulishatoaga gubu lako hata kwa wydad na wakapumua pumzi ya moto Benjamin mkapa #Lupaso Hivi unajua kwanini paliitwa lupaso? ni sehemu ya kuwazika wakubwa wote na wenye midomo kama jwengalaxy Waache maneno kabisa. #mswahili
Wakati Unakwenda, Enzi Ukumbukwa~ #Mswahili🇹🇿
😂😂😂😂 matikiti yameangukiwa kwa Mkapa, Muwe na usiku mwema #MSWAHILI LAKE NONGWA ✍️
Dunia ina viumbe hii…. Kwa hiyo kaamua kwenda kuuzima kwa ndani ama?~#Mswahili🇹🇿
@surgeons001 Basi kaa mkao wa kula ili usipitwe na uhondo kamili, and let's make 'The Pink Champions' proud! 🩷💪🏾 #Mswahili
Kenya’s Oscars (read @KalashaKenya ) is here! Alhamdulillah filamu yetu ya THE PINK CHAMPIONS imepata nomination katika kitengo cha BEST DOCUMENTARY SHORT #KalashaAwards2024 @kenyafilmcomm @surgeons001 #Mswahili