@Zembwelabeberu Kwa maslah mapana ya nchi v8 wangezikaushia kwanza waboreshe miundo mbinu
@Zembwelabeberu Hii Congo na pengine Afrika yote kama vile inalaana Kwa jicho la pembeni.
@Zembwelabeberu @nyenzino_ aisee wakubwa kula yenu mnaipata kwa tabu mno
@Zembwelabeberu 😃😄😄😀Sasa huo wimbo gani 😄😁😁
@Zembwelabeberu Ha ha ha haaaa nyama nyingi tena zile kubwa. Kumbe mtu analishwa ili awe hai aendelee kuteseka