Search results for #Habarizaafrika
Ajali nyingine yatokea! Gari lazama kwenye kivuko. Powered by @TechXltd #kivuko #ajali #habarikuuduniani #Habarizaafrika #habarizajamii
Nchini Nigeria bado mambo ni mshike mshike. Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #g24swahili Powered by @TechXltd #g24swahili #tinubuforpresident2023 #habarikuuduniani #Habarizaafrika #matokeo
Nchi za Afrika zapongezwa kwa kupinga Ukoloni. Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #g24swahili Powered by @TechXltd #ukolonimamboleo #ukoloniwafikra #burkinafaso #habarikuuleokimataifa #Habarizaafrika #siasazasiasa #g24swahili
Wanajeshi wa Gabon wamteua Jenerali Brice Nguema kuwa Rais wa mpito. Habari Kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #G24swahili Powered by @TechXltd #G24swahili #bricenguema #mapinduzi #habarikuuleokimataifa #Habarizaafrika
Bunge lakataa mapendekezo ya Serikali kuhusu Marekebisho ya Sheria za Umiliki wa Maliasili. Powered by @TechXltd #bungeni #maliasili #samiasuluhuhassan #wizarayamaliasili #Habarizaafrika #habarizabungeni #habarizajamii
Rais Samia amesema Tanzania haiwezi kugawanyika kwa namna Yoyote. Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #G24swahili Powered by @TechXltd #G24swahili #samiasuluhuhassan #taifa #Habarizaafrika #habarikuuleokimataifa
Saudi Arabia kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa mapipa milioni 1. Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #G24swahili Powered by @TechXltd #Habarizaafrika #habarikuuleokimataifa #habarikuuduniani #mafuta #uzalishaji
Kesi ya rais wa Niger yafikia pabaya! Kushitakiwa kwa makosa ya UHAINI Habari kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #g24swahili Powered by @TechXltd #g24swahili #uhaini #habarizajamii #Habarizaafrika #habarikuu
Wanajeshi wa Somalia waua Wanamgambo 43 wa Al-Shabaab. Habari Kamili inapatikana kwenye YouTube ya #Dw24swahili Powered by @TechXltd #Dw24swahili #habarizakiswahili #habarizaafrika #alshabaab
Maafisa Polisi wa Nigeria wafukuzwa kazi na Rais Tinubu. Habari Kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #G24swahili Powered by @TechXltd #G24swahili #habarikuu #habarizadunia #habarizaafrika #Tinubu
Wananchi wa Kenya waandamana kwa kupinga Muswada wa Fedha. Kwa habari kamili kaitazame kwenye YouTube channel ya #Dw24swahili Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti yetu ya dw24news.com #habarizaafrika #habarizauchumi #Dw24swahili
UGANDA yajibu hoja ya Marekani kupinga sheria ya Mapenzi ya Jinsia Moja. Habari hii inapatikana kwenye YouTube channel ya #Dw24Swahili #yowerimuseveni #ushoga #mapenziyajinsiamoja #habarizaafrika #habarikuu
Kenya yaingilia kati kuduliwa na China. Kwa habari kamili kaitazame kwenye YouTube channel ya #Dw24Swahili #Dw24Swahili #nairobikenya🇰🇪 #udukuzi #mitandao #habarizaafrika
KENYA kupatiwa mkopo mpya wa dola Bilioni 1 kutoka kwa IMF Kwa taarifa zaidi tembelea YouTube channel ya #Dw24Swahili #Dw24Swahili #imf #mkopo #misaada #habarizakiswahili #habarizaafrika
Somewhere in Africa. #Dw24swahili #habarizaafrika
Rais wa Uganda "Yoweri Museveni" arudisha Bungeni mswaada wa Mapenzi ya Jinsia Moja. Habari Kamili inapatikana kwenye YouTube channel ya #G24Swahili nenda kaitazame. #G24Swahili #yowerimuseveni #jinsiamoja #habarimpya #habarizaafrika
Wakati wananchi wa Ethiopia kote ulimwenguni wakitumai kwamba mkataba wa amani uliotiwa saini kati ya serikali na TPLF utaendelea kuheshimiwa, baadhi yao wamekutana Washington DC,katika kikao cha mazungumzo kuhusu suala hilo. #DW24SWAHILI #siasazaafrika #habarizaafrika
Waziri wa fedha wa Zimbabwe Nthuli Ncube alitoa tangazo hilo pale benki kuu ya nchi hiyo ilipozidisha kiwango cha riba maradufu kwa asli mia mia mbili ili kukabiliana na mfumko wa bei. #dw24swahili #habarileo #habarizaafrika #zimbabwe🇿🇼