Search results for #matokeo
La gestion du stade #Matokeo de #Butembo devient de plus en plus de l'arbitraire. Non seulement que ce stade ne répond aux critères, mais aussi géré selon l'humeur des propriétaires. Malgré des promesses d'un stade moderne, les sportifs n'attendront peut-être le retour du Christ.
@nyuki_malkia Kula vizuri, lala kwa masaa yasiopungua 8,tafuta pesa kuepuka msongo wa mawazo, mazoezi mala tatu atleast kwa wiki kisha ishi na watu/jamii inayo kuzunguka, #matokeo yake 1.Nguvu zakiume zakutosha. 2.Ukuni/uboo wa kutosha 3.Yeyote aje na tundu lake atakung'ang'ania 😂😂😂
#NBCPL | #MATOKEO YANGA yaichapa Singida FG bao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC. Yanga imezidi kujihakikishia kutetea ubingwa wake. Mchezo unaofuata ni Dabi ya Kariakoo April 20, 2024. FT' | SINGIDA FG 0-3YANGA SC ⚽️⚽️ J. Guede ⚽️ S. Aziz Ki #wataniwajadi | #yanga
#NBCPL | #MATOKEO Simba SC inapata alama 1 baada ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Ihefu SC. Simba inasalia nafasi ya 3 ikikusanya alama 46 ikicheza michezo 20. Mchezo ujao ni dhidi ya Yanga SC FT' | IHEFU SC 1-1 SIMBA SC ⚽️ D. Abuya ⚽️ C. Chama #wataniwajadi | #simba | #ihefusc
@tariqnando76 @Mzee_Nyoko Tafuta Huo Mti angalia Tunda ambalo Bado Dogo chukua kuwembe chanja Hilo tunda litatoa utomvu alafu chanja na mboo Yako chukua Huo utomvu paka pale ulipochanja #Matokeo utanipa
🇹🇿 #NECTA Kutangaza #Matokeo ya Kidato Cha Nne 2023/24 Leo mambodaily.com/2024/01/necta-…
🇹🇿 NECTA #Matokeo ya Darasa la Nne | Standard Four 2023/ 2024 Results mambodaily.com/2024/01/necta-…
🇹🇿 NECTA #Matokeo ya Kidato cha Pili | Form two Results 2023/24 mambodaily.com/2024/01/necta-…
"PUNGUZA #matarajio MAKUBWA , RIDHIKA NA #matokeo MADOGO". -..✍️Unapofanya jambo na kupata #matokeo yatakayobadili hali yako ya sasa, hukupa hamasa ya kupambana zaidi. -..✍️Unapofanya jambo ukiwa na #matarajio makubwa na kupata #matokeo madogo hukuvunja moyo wa kuwekeza nguvu.
Mchakato wa kuchagua shule za upili kuanza Jumatatu #kutvnews #trending #trendingvideo #miziziyahabari #kcpe2023 #kcpe #matokeo #bora #riarasprings #michaelwarutere ^gg youtu.be/lEOsUrhhoPI?si…
Wanafunzi bora nchini Wanafunzi wasichana wamewapiku wenzao wa kiume mwaka huu #kutv #kutvnews #trending #trendingvideo #miziziyahabari #kcpe2023 #kcpe #matokeo #bora #riarasprings #michaelwarutere ^gg youtu.be/S2G4opBHxKk?si…
Hongera kwa Michael Warutere! Warutere ndiye bora Michael Warutere wa shule ya Riara Springs ndiye mwanafunzi bora kwa kuzoa alama 428 #kutv #kutvnews #trending #trendingvideo #miziziyahabari #kcpe2023 #kcpe #matokeo #bora #riarasprings #michaelwarutere youtu.be/J36zauRKi1g?si…