Masiri @hamidu_masiri
Joined September 2022-
Tweets115
-
Followers7
-
Following46
-
Likes24
East African countries with the most dv winners 1. Kenya🇰🇪 = 3760 2. Congo Drc🇨🇩 = 2580 3. Rwanda🇷🇼 = 1604 4. Uganda🇺🇬= 1515 5. Burundi🇧🇮 = 876 6. Tanzania🇹🇿 = 348
East African countries with the most dv winners 1. Kenya🇰🇪 = 3760 2. Congo Drc🇨🇩 = 2580 3. Uganda 🇺🇬= 1515 4. Burundi🇧🇮 = 876 5. Tanzania🇹🇿 = 348
Ukizowea watu kiasi ki kubwa utasahahu thamani yao kwako, Na utasahahu njia nzuri ya kuishi nao @masiri
Mwanangu kamwe usile bila kuomba ukaja kula na shetani, mwanangu kamwe usilale bila kuomba ukalala na popo bawa, mwanangu usitoke kitandani na kwenda uendapo bila kuomba siku yako ikajaa balaa! @masiri
Ni bora kujikwaa kidole kuliko kujikwaa ulimi, ulimi ni kiungo legelege kinachoweza kuvunja ndoa imara, ulimi ni kama njiti ya kiberiti lakini unaweza kuteketeza msitu mnene ndio maana Mungu akatupa ulimi mmoja na masiko mawili ili tusikie sana na kuongea kidogo @masiri
Haijalishi umetembea umbali mrefu kiasi gani, ukigundua umepotea njia rudi! @masiri
Katika majira ya sasa simu yako ya smati ikiibiwa au kuharibika kupata nyingine ni mtihani. Kuna watu hatuwaoni mtandaoni ni mwezi wa tatu sasa tumewamisi 😂 @masiri
Unaamka asubuhi unamkuta jirani yako anakusubiri mlangoni umkopeshe buku mbili tu na wakati huna hata mia mbovu; unamwambia sina anahisi unamnyima! Anasubiria siku na wewe upate shida akunyime! Kuishi na watu shida nyie?
Epuka kuishi kwa mipango ya ghafla kama chafya. Kufeli siyo kinyume cha kufanikiwa, kufeli ni mafanikio yenyewe. Waliofanikiwa sana ni wale waliofeli mara nyingi @masiri😎
Mafanikio huja kwa wakati sahihi. Nelson Mandela alikaa jela kwa miaka 27 lakini akawa rais. Unaweza kumaliza chuo kikuu na umri wa miaka 22 ukapata kazi unamiaka 30; unaweza kumaliza shule unamiaka 30 ukapata kazi mwaka huohuo na kujikuta ofisi moja na aliyemaliza shule zamani
Utaskia, "Pesa nyingi za nini na wakati wote tunakwenda chooni? Toba! Eti Hata uwe na magari mengi ya kutembelea, chooni utakwenda kwa miguu". Mtumee! Sina pesa lakini nalala usingizi. Yerewii! Hivi unapataje usingizi kodi ya nyumba imeisha wiki iliyopita? 🤔
Meli haizamishwi na maji yanayoizunguka, Meli inazamishwa na maji yaliyoingia ndani yake, Ujumbe: Asiejuwa undani wako hawezi kukudhuru, Anakudhuru anayekujua, Punguza mazoea na watu kwa usalama wako… 😎@masiri
Usiende kama mwalimu sehemu ambayo unatakiwa kwenda kama mwanafunzi🧏🏾♂️ @masiri
Hakuna kitu kizuri kinachokuja kirahisi. Kila unachodhani unastahili kuwa nacho kinahitaji bidii, uvumilivu na kujitoa
ALIEKUWA JUU MSUBIRI CHINI KWA SASA NTAMFATA UKO UKO JUU HALI IMEZIDIKUA NGUMU AISEE 🤔
Fanya yako yote akuna pesa utakayo itowa atakama ni ndogo kiasi gani inabaraka kubwa sana na Shukran kubwa sana yenye baraka ndani yake kama kumpa Mama yako mzazi na kukuombeya Dua Ujumbe : Alie mpoteza mama yake mzazi muombeye Dua wallah mama zetu ni nguzo ya maisha yetu 😭🤲
Tusijutie sana makosa yaliopita ukikoseya jifunze songa mbele makosa ni shule na shuleni atuishi tunapita @masiri
Edgar mamento @RadjabuRam73326
3 Followers 35 FollowingNziku boy @NZIKUBOY
12 Followers 136 FollowingHakeem Vanilla @HakeemVanilla
0 Followers 3 FollowingMaloomSphollar Black @MaloomSphollar
9K Followers 7K Following What Money Can Buy Can Never Scare Me...🙏❤Misunderstood @NellyNellz5
31K Followers 25K Following “Pleasure of love lasts a moment. Pain of love lasts a lifetime.”Gaur Gopal Das @gaurgopald
185K Followers 22 Following A personal coach, monk, author, lifestyle & #motivational strategist, sharing deeper #spiritual insights with the world.ERNEST B. MAKULILO (E.. @EBMSCHOLARS
8K Followers 623 Following YouTuber, Published Author (11 books), Scholarship Consultant, Conflict Resolution ExpertU.S. Embassy Burundi @US_Emb_Burundi
35K Followers 184 Following Welcome to the official U.S. Embassy Burundi twitter/X page.RTNB @RTNBurundi
103K Followers 534 Following Radio Télévision Nationale du Burundi - Suivez le fil info de la rédaction web.Yaga Burundi @YBurundi
80K Followers 79 Following Les autres annoncent, et nous, on explique. Si vous cherchez des scoops, passez votre chemin.IRCC @CitImmCanada
1.1M Followers 238 Following Immigration, Refugees and Citizenship Canada Questions? Contact us via Facebook: https://t.co/mycfIsonhC Terms: https://t.co/lYG1KVcQMI Français: @CitImmCanFRJackson Hinkle 🇺�.. @jacksonhinklle
2.7M Followers 369 Following Fighting for a FREE AMERICA 🇺🇸☦️ [email protected] - https://t.co/bvulmS3517 🚨 DEARBORN SHOW MAY 24: https://t.co/1WdSgELhGf𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗�.. @Makaveli_255
19K Followers 760 Following All I need is a life worth living| I sell phones|New and used 0652795468-0769199760Albert Einstein @AlbertEinstein
771K Followers 1K Following Official Twitter account of the World’s Favorite Genius. Managed by CMG Worldwide, authorized representative of the Albert Einstein Estate.SIR JEFF⚡🇹🇿 @Sirjeff_D
85K Followers 31 Following Veni,Vidi,Vici💪//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzscheable🧠 & Kanyenized🐻Dr.elie_vd.waminian @DrWaminian
80 Followers 3 Following Maisha hayapo kama vile yanavyonekana Jifunze leo na sasaPi Network @PiCoreTeam
3.4M Followers 1 Following Pi — Cryptocurrency for everyday people fueling the world’s most inclusive peer-to-peer economy. Download our app to start mining Pi today.Dr. Badi 👴🏽 @DrBadiBoy
73K Followers 176 Following Educative content to fire up the African Child to realize their potential | Social Media Influencer DM for Queries📩#ElimikaWikiendi @ElimikaWikiendi
75K Followers 493 Following Transforming lives through education! #ElimikaWikiendi empowers Tanzanian youth with vital skills and mental well-being. Join us on the journey of knowledge.Dr. Jj Mwaka @JjMwaka_
353 Followers 47 Following Alternative Medicine Practionaire, Nutritionist, Herbalist, Psychologist, Life Coach, Husband, Father. President Nivita Group Ltd.Togolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyJoel Nanauka @jnanauka
19K Followers 288 Following 🏆 Certified Life Coach |🕴️ International Speaker 🥇 Best Selling Author | 🏅 Named in 100 Young Influential Africans | 📱0756 094 875 ⬇️ Learn More 📚🎧💻Ananias Edgar TV @AnaniasedgarT
477 Followers 15 Following The Youtube Channel owned by Foma Entertainment Media Company Limited in Tanzania 🇹🇿Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 73K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistMaloomSphollar Black @MaloomSphollar
9K Followers 7K Following What Money Can Buy Can Never Scare Me...🙏❤Angeline Ndayishimiye.. @Burundi1stLady
87K Followers 9 Following Première Dame de la République du #Burundi. Fondatrice de la Fondation Bonne Action/B.A Umugiraneza (@action_bonne)millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Simba Sports Club @SimbaSCTanzania
1.6M Followers 38 Following The official account of Simba Sports Club. (Follow English account - @SimbaSC_EN)William Samoei Ruto, .. @WilliamsRuto
6.3M Followers 245 Following President of The Republic of Kenya.Paul Kagame @PaulKagame
3.1M Followers 237 Following President of the Republic of Rwanda, write to: [email protected]BBC News Swahili @bbcswahili
1.9M Followers 240 Following Huu ni ukurasa wa habari za dunia kutoka BBC. Facebook: https://t.co/ZZJDhvaNyo. Instagram: https://t.co/LqmfEIlht3. YouTube: https://t.co/mv5T3KheUN.EastAfricaTV @eastafricatv
1.7M Followers 7 Following Official EastAfricaTV (EATV) Twitter Email: [email protected]Jimbere @MagazineJimbere
96K Followers 157 Following Magazine par, pour les Jeunes & Femmes du #Burundi. Mensuel/papier, Quotidien/🇫- 🇹- 🇮. Partenaire radio: @KazozaFM. [email protected] | (+257) 22 280 250IWACU Burundi @iwacuinfo
124K Followers 221 Following Compte officiel des rédactions d’Iwacu, média d’informations générales au #Burundi – Official account of Iwacu newsrooms, to know everything about #BurundiNicki Minaj @NICKIMINAJ
28.1M Followers 7K Following #PinkFriday2 THE ALBUM is OUT NOW 🎀 #PinkFriday2FRAGRANCE out now 🎀 #PinkFridayNails out now 💅 #PinkFriday2WORLDTOURGagCity happening NOW 🛸🏙️ LØCi sneakersSamia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of TanzaniaSE Evariste Ndayishim.. @GeneralNeva
200K Followers 15 Following Président de la République du #Burundi (2020-2027).Premier League @premierleague
43.4M Followers 82 Following The official account of the Premier League 📱 @OfficialFPL | @PLforIndia | @PLinUSA | @PLinArabic Join us on YouTube https://t.co/qj67qjcMYxJakaya Kikwete @jmkikwete
1.8M Followers 83 Following 4th President of Tanzania| Chancellor, University of Dar-es-Salaam| Chair, GPE Board| Co - Chair, HLC on #ICPD25| Chair, SADC Panel of Elders (PoE)| Chair, JMKFAKEZA Burundi @akezanet
101K Followers 38 Following Toutes les beautés du Burundi en un clic |+257 22 28 10 39Ntare Rushatsi House @NtareHouse
207K Followers 10 Following Bienvenue sur le compte officiel de la Présidence de la République du #Burundi.Kungulu Kwangala🥇 @ByteWaveKE
1K Followers 2K FollowingDr. Naitwa Kiokote Ph.. @Kiokote03
9K Followers 5K Following A project manager/data analyst/telecom expert (&Full-time Dad) impersonating a comic magazine character MOTTO hapa pumba tu point peleka kwakoMisunderstood @NellyNellz5
31K Followers 25K Following “Pleasure of love lasts a moment. Pain of love lasts a lifetime.”𝕂𝕀ℍ𝔼ℝ�.. @Kiherehere1
27K Followers 11K Following Health Administrator《Simba Sc kindakindaki》Man city《Sometimes Barcelona😀》insta: @kiherehere_wa_instagramHata hilo unaloliona kama mlima litapita na utabaki ukijiuliza ulivukaje. Nakuombea na ninakuona ukivuka kwa Jina la Yesu🙏
NUKUU YA LEO: “Huwezi kuwa kila kitu kwa kila mtu, ila unaweza kuwa kila kitu kwa mtu fulani. Usimpoteze umpendae kwa kujaribu kuufurahisha ulimwengu.” - Trent Shelton
Pioneers, here’s your chance to showcase your Pi contributions! We’re all working to build Pi Network together. Let us know what you’re doing for Pi by tagging a 10-second video with #WhatIDoForPi of how you contribute to growing the network and building the ecosystem!
Waambie watu Mambo yako wakati umesha yafanya na ushayakamilisha......kama ni dili ushalipiga na hela ushavuta......kisicho julikana hakiwezi kuaribiwa wala kutiliwa fitina😎
#IDAHOSTATE #US Yamekuwa Mazungumzo Mazuri na Kampuni ya Do Work inayojishughulisha na mafunzo nchi mbalimbali duniani. Tumeangalia juu ya uwezekano wa ushirikiano kati yao na Tanzania. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
4. Wana matatizo Usiyoyajua Hawa kwa nje unaweza kuwalaumu unaona wanaenjoy maisha na wanaweza kukusaidia. Ila wanapitia changamoto ambazo hawawezi kukuambia na siku ukizijua utawaonea huruma.
Timu bora imeshinda. Hongereni sana @simbaqueensctz #CAFWCL #NguvuMoja
You can’t teach nobody how to be real, it’s in you or it’s not
Kuteseka maishani haina maana badaye utapata mafanikio unaweza kufa zako kwa mateso pia HUJUMBE: ukipata fursa ya kula raha hata kwa nusu saa kula haswa maana hizi shida zipo tu ndiyo maana hakuna nyumba inayoweza kuweka bango mlangoni la HAPA AKUNA SHIDA!!!
🎊 Heri ya siku ya kuzaliwa Mohamed Hussein 🎂 #NguvuMoja