Jowie apinga hukumu: Joseph Irungu anapinga hukumu ya kifo. Jowie amekata rufaa kuhusu hukumu hiyo. Anasema kuwa hukumu inakiuka haki zake za kikatiba. Jowie alipatikana na kosa la kumuua Monica Kimani #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
@citizentvkenya @RashidAbdalla So it's still a mystery, who killed Monica Kimani! #SemaNaCitizen @RashidAbdalla
@citizentvkenya @RashidAbdalla Please help us find our son.
@citizentvkenya @RashidAbdalla Wamwachilie huru agombee kiti cha ubunge kwani wakenya wanapenda sana watu waovu.
@citizentvkenya @RashidAbdalla Where's all these monies for appeals coming from? He's either very wealthy or his parents have sold everything off coz i don't see any advicate doing this much work for free. Useless appeals just to stay relevant?