Search results for #SemaNaCitizen
Usalama wa data: Shirika la usalama wa data limepokea kesi 5,000. Kesi hizo zinahusu visa vya udukuzi. Kassait: Zaidi ya 75% ya kesi hizo zimetatuliwa #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Udhibiti wa migogoro na wanyama pori: Wanaoishi karibu na mbuga ya Amboseli walalamika. Wamekuwa wakishambuliwa na wanyama pori #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Masomo ya CBC: Washikadau wa elimu wataka vituo vya CBC. Wanaitaka serikali kuwekeza zaidi kufanikisha CBC. Wazazi na wanafunzi wahudhuria maonyesho ya akiliunde #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Huduma za afya Migori: Migori yaweka mikakati ya kudhibiti magonjwa. Hii ni kwa ushirikiano na kituo cha CDC. Magonjwa ya malaria na maambukizi ya hiv kuangaziwa #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Kilimo mamboleo: Wakulima Laikipia wametakiwa kukumbatia teknolojia. Mbinu za kisasa za kilimo kusaidia kuhifadhi maji #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Kituo cha watoto: Kaunti ya Kwale imezindua ujenzi wa kituo cha watoto. Kituo hicho kilizinduliwa katika hospitali Msambweni #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Udhibiti wa moto Samburu: Samburu imenunua gari la kuzima moto. Gari hilo kutumiwa na wakazi wa mji wa Maralal. Eneo hilo lalijakuwa na gari la kuzima moto #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Vyama vya ushirika: Vyama vya ushirika vyazungumzia uwekezaji na kuweka akiba. Mafunzo hayokusaidia kukuza mashirika hayo #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Siasa za Kajiado: Viongozi wa kisiasa wampinga Kato Ole Metito. Wanasema analeta mgawanyiko kaunti ya Kajiado. Wanamtaka Rais William Ruto kuingilia kati #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Walimu wa JS wateta: Walimu wa sekondari msingi wanalalamika. Wanasema tume ya walimu TSC imekuwa ikiwahadaa. Wanaitaka TSC kuwapa mkataba wa kudumu wa kazi. Mahakama ya Leba iliamuru TSC iwape ajira ya kudumu #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Walemavu waathirika na mafuriko: Walemavu wanahangaika zaidi kufuatia mafuriko. Wanataka serikali kuweka mikakati ya kuwalinda #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Matayarisho ya mazishi ya Kwa Muswii: Maandalizi ya mazishi ya waliofariki yanaendelea. Watu hao walifariki lori liliposombwa na maji. Gavana wa Makueni asema kaunti itasimamia mazishi #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Mkasa wa boti Tana River: Maiti saba zaidi zaopolewa mtoni. Idadi ya waliofariki imefikia watu 11. Watu 13 bado hawajulikani waliko #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Janga la mafuriko: Idadi ya waliofariki kufikia leo ni 198. Idadi inajumuisha watu 71 waliofariki Mai Mahiu. Watu 102 wamejeruhiwa katika maeneo tofauti nchini. Watu 91 hawajulikani waliko na wanatafutwa. Zaidi ya nyumba 30,099 zimesombwa na maji nchini #SemaNaCitizen…
Kikao cha mawaziri: Rais William Ruto aongoza mkutano wa dharura. Mkutano wa baraza la mawaziri kuangazia mafuriko. Mafuriko yamesababisha maafa na hasara kubwa nchini #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Mafuriko ya vifo Mai Mahiu: Watu 71 wamefariki kwenye mafuriko Mai Mahiu: Zaidi ya watu 90 hawajulikani waliko na wanatafutwa. Mamia ya watu wamekita kambi katika shule ya Ngeya #SemaNaCitizen @swalehmdoe
Isaac Mwaura - Msemaji wa serikali: Uamuzi wa serikali hauwezi kufanywa kwa haraka. Serikali inahitaji muda wa kufanya utafiti na kufanya uamuzi wake #SemaNaCitizen @MKapombe
Isaac Mwaura - Msemaji wa serikali:Tumetoa wito wa kushirikiana kujenga mabawa kwasababu hatuna pesa za kutosha katika makadiri yetu ya bajeti #SemaNaCitizen @MKapombe
Isaac Mwaura - Msemaji wa serikali: Tumekuwa tayari kukabiliana na mafuriko kwa sababu tumetuma usaidizi za aina mbalimbali kwa maeneo yaliyoadhirika #SemaNaCitizen @MKapombe
Michael Ayiebei – Mkuu wa usimamizi wa majanga, KRCS: Tunafaa kuwa na mikakati na mbinu za kukabiliana na majanga, na kuwa wazi juu ya sheria za usimamizi wa maafa #SemaNaCitizen @MKapombe