Afrika tambua historia yako, jua kesho yako. Tazama itakavyopendeza mbele ya Mungu na machoni pa binadamu siku Afrika ikisimama kwa Umoja tena Imara kwa maslahi ya watu wa bara hili. Hakuna litakalo tushinda.
@ayubu_madenge Kutokujiamini na kujituma kwenye mambo ya maendeleo,hasa kwenye kutaza maslai ya wengi zaidi kutaendelea kutuweka tegemezi Karne na Karne.
@ayubu_madenge Akili kubwa! Asante sana Ayubu. Kinachohitajika ni ninyi vijana na watu wote kujiachanisha na siasa za majitaka na kujikita katika kujitambua kwa muktadha umajumuhi wa kiafrika. Afrika haina isichonacho, ilichopungukiwa ni kujitambua, kujikubali na kuimarisha umoja.
@ayubu_madenge Ni ngumu ni ngumu ni ngumu sana.. ikae hivyo kwa sasa... Itawezekana tu, pale Africa itapoacha kuzalisha Madikteta, Ujinga ukipungua, Umasikini ukichukiwa...na vyama dizain ya CCM na ANC vikifa Mengine tukipata Elimu ya kutosha na kulinda Tamaduni zetu zilizo Bora itawezekana
@ayubu_madenge Prof Lumumba used to say "No matter how good your if you stay for too long you spoil it" tazama virais kama vya Cameroon huyo ataunga mkono mabadiliko kweli,just look for m7 bara limejaa puppets tupu
@ayubu_madenge Nia zenu njema zitasimama na baraka za waafrika songa mbele bro..