Shida yaweza kukufumba macho usiione hatari,Sikuwa nimeona Mwana ana kibegi Mgongoni safarini kulisaka Tonge~#Mswahili🇹🇿
9
24
183
11K
16
Download Video
@Zembwelabeberu Mungu baba tulinde waja wako na harakati za kulisaka tonge 🙏
@Zembwelabeberu Kibegi mgongoni kama safari za udhamini wa DP world vile
@Zembwelabeberu ungemwambie ashuke au ungemsubiria ashuke umpe walau Liteni