@Zembwelabeberu Zembwela hbr yako. John Ondoro chacha yeye alikuwa sound engineer na mwanamziki, aliyepiga mziki wa salamu za wagonjwa aliitwa kungu baya. Alikufa mwaka 2016 nadhani. Aliishi huku mbezi alikuwa anapiga gitaa lake kwenye vilabu nk. Picha zake nitakutumia