Msichana Initiative @MsichanaUwezo
Is an initiative which aims to empower girl child through education. We aim to tackle key challenges which limit girl right to education. msichana.or.tz/download/msich… Tanzania Joined December 2015-
Tweets8K
-
Followers14K
-
Following131
-
Likes4K
Kheri ya Sikukuu ya Wafanyakazi kwa Watanzania wote. #MeiMosi
"Licha ya uwepo wa Sera na muuongozo mzuri wa kuwarejesha shuleni wasichana waliopata ujauzito, bado utekelezaji wake unapitia changamoto nyingi. Ikiwa ni pamoja na changamoto za kitamaduni, kimfumo na uwekezeji usiojitosheleza," - Dkt. John Kalage, Mkurugenzi, @HakiElimu.…
▪️ Fuatilia uzinduzi wa ripoti mbili za tafiti ambazo HakiElimu imezifanya ambazo zinaangalia ustawi wa Watoto wa Kitanzania. #UstawiWaWatoto ▪️Bofya bit.ly/4djQoKw ▪️Meeting ID: 814 2707 4220 ▪️Passcode: 598768
Ni wito wetu kwa Serikali katika Bajeti ya Sekta ya elimu Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwa na Mpango maalum na Bajeti ajili ya Uchapaji na Usambazaji wa Vitabu vya Kiada mashuleni kwani shule nyingi haswa za umma hazijapata nakala ngumu (hard copies) za Mtaala Mpya. #ElimuKwanza
. Mtaala mpya umekuja na majukumu ya ziada kwa walimu wa ngazi zote, msingi na sekondari. Hili ni moja ya maeneo ambayo @HakiElimu na wadau wa elimu wanatarajia bajeti ya sekta ya elimu Mwaka 2024-25 italipa kipaumbele. #ElimuKwanza
@HakiElimu inapendekeza serikali itenge bajeti ya kutosha ili kuwapatia walimu wengi zaidi mafunzo ya Mtaala mpya ili kuwezesha utekelezaji wa ufanisi. #ElimuKwanza
Wakati serikali ikitarajia kuwasilisha Bungeni,Bajeti ya Sekta ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, @HakiElimu inapendekeza kuwe na mafunzo maalumu kwa walimu wa Awali na Msingi.Mtaala mpya umekuja na majukumu ya ziada kwa walimu hivyo wanapaswa kujengewa uwezo. #ElimuKwanza
#News @HakiElimu has made five recommendations on effective budget for education sector in the financial year 2024/2025 for successful implementation of the new primary and secondary education curriculum...read more: shorter.me/cRQer #TheGuardianUpdates
Bofya bit.ly/4d8igkC kufahamu Vipaumbele Vitano Vinavyopendekezwa na @HakiElimu katika Upangaji na Utengaji wa Bajeti ya Sekta ya Elimu ya Mwaka wa Fedha 2024/25.
Jambo la pili la kuzingatia katika upangaji wa bajeti ya Sekta ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ni kuanza kwa utekelezaji wa Mitaala na Sera Mpya ya Elimu (2023) ambayo imeleta mabadiliko makubwa kwenye Elimu hasa kwa kuingiza mkondo wa amali kwa shule za sekondari -…
Serikali inapoelekea katika upangaji wa bajeti ya Sekta ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 inapaswa kuzingatia mchakato wa utengenezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa (NDV) 2050 ambao pamoja na kutoa mwelekeo wa mfumo wetu wa elimu kwa miongo kadhaa ijayo pia mchakato huo…
▪️ Mipango mizuri ya elimu inahitaji rasilimali fedha na usimamizi bora ili kufikia malengo. ▪️Tunapokaribia kuanza mwaka mpya wa bajeti, kesho tutawasilisha matarajio ya bajeti ya elimu kwa mwaka 2024-2025. #ElimuKwanza #ElimuKwanza
Richard Mabala @MabalaMakengeza
294K Followers 1K FollowingKuduishe Kisowile @Kudu_ze_Kudu
59K Followers 2K Following MD | Chairperson-SMAA | P1L1 | Health Communications Consultant #MeToo | #EczemaWarrior #KuduAfyaTips #DaktariMwandishi Left-handed. 🇹🇿 💜🤍💚 #RadFemKamala Dickson @ItsKamala
55K Followers 2K Following Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGsKyoga @RebecaGyumi
32K Followers 979 Following Girls Rights' Advocate | Founder & ED @msichanauwezo | #TeamChai 😉Holy @yose_hoza
154K Followers 32K Following Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication EngineerLucas E. Malembo @MalemboLE
31K Followers 712 Following Investors interested in Agribusiness, let's connect| Founder @MalemboFarm 🇹🇿🇰🇪l @AcademyFarms l Dar es Salaam - Yacht Club 🛥️ & Gymkhana Club Member 🏌️♂️Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
99K Followers 65K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es SalaamThe Chanzo @TheChanzo
63K Followers 157 Following We Are Bilingual Multimedia Storytellers Looking At The World From Ground Up. Una habari? WhatsApp/Telegram 0753815105UNFPA Tanzania @UNFPATanzania
40K Followers 548 Following We the UN Sexual & Reproductive Health Agency. Follow Representative @MarkB_Schreiner Subscribe to our YouTube Channel: https://t.co/iq0nZrJxS6LHRC @humanrightstz
108K Followers 505 Following #Tanzania's leading Human Rights #Advocacy organization Providing #LegalAid to the marginalized and conduct strategic litigation.US Embassy Tanzania @usembassytz
304K Followers 399 Following The U.S. partners with Tanzanians to build & sustain a healthier, more prosperous & secure nation. Terms of Use: https://t.co/Uu61GHxLCj. #UbaloziniLeoVictoria C Mwanziva @victoriacharlz
31K Followers 2K Following District Commissioner- LUDEWA, Njombe Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LudewaYetuWiLDAF Tanzania @WiLDAFTz
11K Followers 2K Following WiLDAF- Tanzania is a Pan Africa Network Organization, Strategically linking Law and Development for the betterment of Women's lives. Free Legal Aid 0800780070UNICEF Tanzania @UNICEFTanzania
105K Followers 864 Following @UNICEF is the leading organization on children's rights in #Tanzania and the world.UDADISI @Udadisi
110K Followers 43K Following @ChambiChachage https://t.co/BZqAR0JVah https://t.co/qQZcPRprHP https://t.co/cQXpCqm7Er https://t.co/gcXPvKMZhp https://t.co/uPw1wmI9A8UNDP Tanzania @undptz
24K Followers 499 Following We help countries to develop policies, leadership skills, partnering abilities, institutional capabilities and build resilience.Umoja wa Mataifa @UmojaWaMataifa
29K Followers 650 Following Akaunti rasmi ya Umoja wa Mataifa. Kwa amani, utu & usawa katika ulimwengu wenye ustawi.Foundation for Civil .. @FCSTZ
18K Followers 804 Following Foundation for Civil Society (FCS) is an independent Tanzanian non-profit organization that provides grants and capacity building services to CSOsIshengoma Irene @IshengomaIrene
18K Followers 2K Following I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.Rahuuuum @RahmaMwita
66K Followers 2K Following TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeMMohammed Alkassadi @MAlkassadi
64 Followers 1K Following Legal advisor, graduate of the University of Aden, Faculty of LawBahati Chotusinga Ngu.. @BahatiNguk69979
2 Followers 414 Following BAF Hons(First Class) Expert in Finance Management|Risk Management|Entrepreneurship. We all bad in Someone's Story.Mary Ndaro @mary_ndaro
2K Followers 990 Following A multidisciplinary social scientist, land tenure and rights, transformative gender and policy analyst. Host and co-creator of Vavagaa Feminist showJoseph Masangula @JosephMasangul5
77 Followers 368 Followingصالح القابس.. @KhmysSalh88385
77 Followers 1K FollowingLeading For Growth @E.. @Leading4Growth
8 Followers 254 Following Evin School of Management is an independent center for research on organisational development and learning.Sabrila Ilha @IlhaSabrila
47 Followers 477 FollowingGaure @gauremdee
7K Followers 1K Following New Media I 🎮I #Africa I am not endorsing with an RT. Do not look for my CV here... 🤓 I tweet random info that may be worthwhile.DVV International Eas.. @DvvEastAfrica
13 Followers 70 Following DVV International provides worldwide support for the establishment and development of sustainable structures for Youth and Adult Education.S, KALOLI. @SelestinoKakoli
107 Followers 241 Following Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu.Patrick Senga @Patrick10428145
76 Followers 597 FollowingPwani Girls Not Bride @PGNB001
55 Followers 146 Following community based organisation based in Coast ,kisauni subcounty, we advocate for SRHR , Social and economic empowerment to young girls,in the marginalized area.Sahibdad Ahmed @Xahibdad
136 Followers 2K FollowingJohn Hizza @johnhizza236
4 Followers 66 Following Am social worker student from institute of social work TzFriedrich Naumann Fou.. @FNF_Tanzania
81 Followers 7 Following In Tanzania, the Friedrich Naumann Foundation for Freedom supports its partners to build leadership, spark innovations and transformation.Echidna Giving @EchidnaGiving
1K Followers 393 Following We are a private funder with one sole aim: delivering the promise of girls' education.ETJ BUSINESS COUCH @LtdEtj33246
133 Followers 2K Following TUNASAIDIA: USAJILI WA KAMPUNI, MAJINA YA BIASHARA, VIBALI NA LESENI(A & B) OSHA,WCF,CRB,NEST,TENDER,TRA,https://t.co/1oQ39D402KClimate 4 Children tz @climate4childtz
41 Followers 157 Following We are their voice talking about climate change, environmental rights, and the right to their health in Tanzania, #climate4children.D Newman @DKwayu0627
2K Followers 2K Following Fiscally conservative , Socially liberal | ♻️Renewable Energy | Democracy 🇹🇿| Astronomy | @YoungAfricansSC @Arsenal @celtics @Yankees @Bayer04_en | ✝️🕎☘️🦀⚖️Emanuel Joseph @EmanuelJos20891
18 Followers 298 FollowingChama cha Mapinduzi (.. @kashindyek8171
1K Followers 5K FollowingJambo Digital @digital_ja53937
1K Followers 5K Following News /entertainment / sport/ businesses branding/ postures welcome for good servicesmk-sulphur @MegabeSteven
2K Followers 3K Following pharmaceutical personel @youngAfricansSC https://t.co/oxk6gnM0uyGUSA @gusatanzania
3 Followers 83 Following Community Empowerment - Climate Change| Sustainable Agriculture| Renewable Energy| Health| Economic Growth& Development| Gender| Research and LearningMbogo Kichaa @k1CjugqfDmzpiMC
173 Followers 835 FollowingGift Mwanga MTZ @gift_mwanga_
55 Followers 407 FollowingHappie💕 @Happie_Thom
127K Followers 2K Following Accountant by Pro| Influencer | A Sister and A Friend| Lord is my shepherd🙏| Man City| ⚽⚽| LiveLoveLaugh❤Hon.Mhe.Leyian Ole Ma.. @LeyianMaleto
120 Followers 2K Following A young leader with a heart for change, Leyian Maleto is dedicated to improving the lives of his constituents in Narok south one day.Inshallah🙏Eagles Eye Foundation @EaglesFound1
13 Followers 72 FollowingTanzania Women Initia.. @tawidotz
15 Followers 248 Following TAWIDO is a non-government organization that exists to advocate for the Rights and emancipation of women and the engagement of men. Our Hotline No #0800110039Aron Swai Shirima @aronswaishirima
132 Followers 1K FollowingHonest Mlay @HonestMlay3
294 Followers 3K Followingsophia mwashusa @sophia_mwashusa
41 Followers 371 FollowingHelp the Students In .. @_StudentsINNEED
1 Followers 33 Following Non-Governmental Organization located in Tabora that seek to help Primary and Secondary School Students with difficult Environment across Tanzania MainlandKyoga @RebecaGyumi
32K Followers 979 Following Girls Rights' Advocate | Founder & ED @msichanauwezo | #TeamChai 😉UNFPA Tanzania @UNFPATanzania
40K Followers 548 Following We the UN Sexual & Reproductive Health Agency. Follow Representative @MarkB_Schreiner Subscribe to our YouTube Channel: https://t.co/iq0nZrJxS6LHRC @humanrightstz
108K Followers 505 Following #Tanzania's leading Human Rights #Advocacy organization Providing #LegalAid to the marginalized and conduct strategic litigation.US Embassy Tanzania @usembassytz
304K Followers 399 Following The U.S. partners with Tanzanians to build & sustain a healthier, more prosperous & secure nation. Terms of Use: https://t.co/Uu61GHxLCj. #UbaloziniLeoWiLDAF Tanzania @WiLDAFTz
11K Followers 2K Following WiLDAF- Tanzania is a Pan Africa Network Organization, Strategically linking Law and Development for the betterment of Women's lives. Free Legal Aid 0800780070UNICEF Tanzania @UNICEFTanzania
105K Followers 864 Following @UNICEF is the leading organization on children's rights in #Tanzania and the world.UNDP Tanzania @undptz
24K Followers 499 Following We help countries to develop policies, leadership skills, partnering abilities, institutional capabilities and build resilience.Foundation for Civil .. @FCSTZ
18K Followers 804 Following Foundation for Civil Society (FCS) is an independent Tanzanian non-profit organization that provides grants and capacity building services to CSOsRahuuuum @RahmaMwita
66K Followers 2K Following TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeMviola julius @VwalaViola
16K Followers 2K Following history is herstory too... as a woman i take unusual effort to succeed for if i fail they will say women don't have what it takesIrish Embassy Dar @IrlEmbTanzania
28K Followers 831 Following News and updates from the Embassy of Ireland in Tanzania, also covering Burundi, Comoros, DRC and Seychelles. Our Twitter Policy: https://t.co/4Tzc1N2jM9WIZARA YA MAENDELEO Y.. @maendeleoyajami
33K Followers 80 Following Ukurasa rasmi wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum S.L.P 573 Dodoma, Tanzania :Official page for MoCDGWSGLegal Services Facili.. @LSFTanzania
7K Followers 332 Following LSF is the basket fund organisation that strives to increase access to justice for all especially women and girls through legal empowerment approach.Save the Children Tan.. @scitanzania
7K Followers 3K Following MTOTO KWANZA. We are the world's leading independent organization for children. We inspire breakthroughs in the way the world treats children.HakiElimu @HakiElimu
157K Followers 615 Following A non–profit organization strives for an open, just and democratic society with quality education for all. Overall winner of African CSO Excellence Awards.Rajamu @DadaConso
35K Followers 2K Following Consultant| Fundi| I travel a lot| Hodophile| I'm Not here to impress you| I can fulfill your deepest desires| Universe's last born🤌🏽CDF Tanzania @cdftz
12K Followers 676 Following Nonprofit Organisation Promote & Reinforce Children's Rights Addressing FGM, Teenage Pregnancy & Child Marriage [email protected] | +255 743 902 858𝐇𝐞𝐥𝐥𝐞�.. @hellen_sisya
8K Followers 3K Following #ArudiShule Champion at @HerEducationTz| @EUinTZ YSB Member| @mcwglobal YLC 2024 Alumna|Communication Expert🎙️ |Seasoned in Int'l Relations & Diplomacy 🌐GirlAgenda @agenda_girl
5 Followers 6 FollowingBinti Salha Foundatio.. @BintiSalhaFound
2K Followers 447 Following A Non-Government Organization advocating for AGYW’ rights to Quality Education | Good Health (SRHR) #HerEducation | Economic Freedom & Decent WorkPrudence Zoe Glorious.. @pzgimpact
1K Followers 237 Following We are a PR firm with a focus on media, publications, film & strategy | A thinking partner to orgs that want to accelerate impact by improving communications.millardayo @millardayo
2.7M Followers 489 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]Samia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of TanzaniaBoniface Jacob @ExMayorUbungo
453K Followers 8K Following Ex-mayor @Ubungo Municipal council 2016-2020 Exmayor @Kinondoni Municipal council 2016 Jan to Nov, Ubungo councilor 2010-2020 BA.Ed UDSM alumni CHADEMA MemberMasoud Kipanya @masoudkipanya
2.0M Followers 73K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - CEO/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - IndustrialistMalala Fund @MalalaFund
621K Followers 1K Following Malala Fund is working for a world where all girls can learn and lead without fear. Led by @Malala Yousafzai.Girl Agenda @girlagendatz
64 Followers 21 Following Haki Zetu, Kesho Yetu! • Our Rights, Our Future!World Bank Tanzania @WBTanzania
100K Followers 4K Following Welcome to World Bank Tanzania. Fighting poverty with passion and professionalism for lasting results.EANNASO @eannaso
3K Followers 1K Following A regional body bringing together civil societies & community groups to inform policies and improve the programming of HIV, TB, Malaria & other health issues.Media for Development.. @MedeaTanzania
845 Followers 257 Following We're Storytellers & Media enthusiasts who envision a world in which the principles of social justice are at the forefront and where We jointly bring changes.TZ MHH Coalition @mhh_tz
22 Followers 2 Following A platform that strengthen coordination of MHH stakeholders to enhance Menstrual hygiene awareness, access to safe material and facilities for women and girlsHodan Addou @AddouHodan
2K Followers 504 FollowingIFPA @IrishFPA
5K Followers 2K Following The IFPA is a leading provider of sexual and reproductive healthcare in Ireland. The IFPA is a registered charity. Charity numbers CHY5694/20008949jeshiladada @jeshiladada
292 Followers 53 Following Jeshi La Dada is a Tanzanian online support group standing up against cyber bullying & online harassment as a factor affecting the societyTausi Suedi, MPH @TausiSuedi
984 Followers 2K Following #PublicHealth #Health #Medicaid #Policy @TexasHHSC | #GlobalHealth Prof @TowsonU | Strategic Advisor @ChildbirthSI | @exchangealumni @GWAlumni @TowsonUAlumniRiikka Raatikainen @RiikkaRaatik
697 Followers 646 Following Counsellor at the Embassy of Finland in #Mozambique | #Development and #Gender expert. Feminist and sauna lover. Opinions, if any, are personal.Hellena Na Marafiki @Hellenashortie
221 Followers 137 Following A storytelling baraza that sheds some light to individuals who are devoted to gender equality. Inspired By the Hellena shortfilms by @medeatanzaniaellen sain @ellen_sain
2K Followers 511 Following Beijing +25 champion and executive director @elenafoundation / computer science/ girls and woman empowerment / community developmentBeijing +25 Global Yo.. @Beijing25Youth
3K Followers 891 Following Independent body of 39 global youth leaders set up to advise & guide @unwomen on meaningful youth participation in the #Beijing25 review process.TVLA-TABORA CENTRE @TvlaCentre
125 Followers 144 Following Official Account of Tanzania Veterinary Laboratory Agency-Tabora Zonal Office. Centre For Animal Diseases Diagnosis, Research and Control For Western Tanzania.Ambassador Tone Tinne.. @NorAmbTZ
5K Followers 800 Following The official Twitter account of the Norwegian Ambassador in Dar es Salaam, TanzaniaSweden in Tanzania @SwedeninTZ
27K Followers 1K Following Official Twitter account of the Embassy of Sweden in Dar es Salaam. Retweets not to endorse but to inform and share. The Ambassador is also on twitter @SweAmbTZHalili H. Letea @hletea
329 Followers 213 Following Data Analyst at @MwananchiNews @TheCitizenTz and @MwanaspotiTz /Trainer. 2019 #EJAT overall winner B.A Economics and Statistics & PGD in Mass com holder -UDSMUnited Nations TZ @UnitedNationsTZ
56K Followers 643 Following Official Twitter account of the United Nations in Tanzania bringing you the latest on the UN's work in the country and on the #GlobalGoals.FEMNET @FemnetProg
64K Followers 8K Following Pan-African, Feminist Network working to advance women's rights & amplify African women's voices. Celebrating 36+ yrs of nurturing the African women’s movement.CSO WEEK @CSOWeek
2K Followers 39 Following Official page for the CSO Week Tech X Society: Then, Now & Beyond #CSOWeek2023 #WikiYaAzaki2023FSDT @FSDTanzania
5K Followers 125 Following We are a financial sector market facilitator promoting inclusive finance for improved livelihood, wellbeing, and empowerment of women and youth.UN Women Africa @unwomenafrica
93K Followers 3K Following #InvestInWomen @UN_Women / @ONUFemmes is the UN entity for #GenderEquality and women’s empowerment. Tweets in English and French are from our Africa offices.UN Girls' Education I.. @UNGEI
58K Followers 14K Following Advancing gender equality in education and the empowerment of girls through the power of partnership.Global Partnership fo.. @GPforEducation
164K Followers 1K Following GPE is a shared commitment to end the world's learning crisis. We mobilize partners and funds to transform education systems.African Women's Devel.. @awdf01
29K Followers 1K Following AWDF resources, strengthens and upholds women’s rights and feminist orgs and movements across Africa, in order to make gender justice a reality for all. #LemlemUNFPA-UNICEF Global P.. @GPChildMarriage
5K Followers 1K Following @UNFPA-@UNICEF Global Programme to #EndChildMarriage. Funded by 🇧🇪 🇨🇦 🇮🇹 🇳🇱 🇳🇴 🇬🇧 🇺🇸 🇪🇺 @ZontaIntlJoy @Joy_Zawadi
1K Followers 2K Following Follower of Christ. Proud African Woman. Seeker of peace, purpose and harmony. Introverted creative. Soldier of Love. Tweets are my own.CSA @CSA_Kenya
9K Followers 209 Following The Centre for the Study of Adolescence (CSA), working with young Kenyans, to improve adolescent sexual and reproductive health, since 1988.MwanzoTvPlus @MwanzoTvPlus
111K Followers 215 Following Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and UndauntedKIWOHEDE @KIWOHEDE1
469 Followers 287 Following KIWOHEDE is a non- profit health, rights and development advocacy organization for women and Children founded in 1998. The organization was registered in 1999."Licha ya uwepo wa Sera na muuongozo mzuri wa kuwarejesha shuleni wasichana waliopata ujauzito, bado utekelezaji wake unapitia changamoto nyingi. Ikiwa ni pamoja na changamoto za kitamaduni, kimfumo na uwekezeji usiojitosheleza," - Dkt. John Kalage, Mkurugenzi, @HakiElimu.…
▪️ Fuatilia uzinduzi wa ripoti mbili za tafiti ambazo HakiElimu imezifanya ambazo zinaangalia ustawi wa Watoto wa Kitanzania. #UstawiWaWatoto ▪️Bofya bit.ly/4djQoKw ▪️Meeting ID: 814 2707 4220 ▪️Passcode: 598768
Ni wito wetu kwa Serikali katika Bajeti ya Sekta ya elimu Mwaka wa Fedha 2024/25 kuwa na Mpango maalum na Bajeti ajili ya Uchapaji na Usambazaji wa Vitabu vya Kiada mashuleni kwani shule nyingi haswa za umma hazijapata nakala ngumu (hard copies) za Mtaala Mpya. #ElimuKwanza
. Mtaala mpya umekuja na majukumu ya ziada kwa walimu wa ngazi zote, msingi na sekondari. Hili ni moja ya maeneo ambayo @HakiElimu na wadau wa elimu wanatarajia bajeti ya sekta ya elimu Mwaka 2024-25 italipa kipaumbele. #ElimuKwanza
@HakiElimu inapendekeza serikali itenge bajeti ya kutosha ili kuwapatia walimu wengi zaidi mafunzo ya Mtaala mpya ili kuwezesha utekelezaji wa ufanisi. #ElimuKwanza
Wakati serikali ikitarajia kuwasilisha Bungeni,Bajeti ya Sekta ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, @HakiElimu inapendekeza kuwe na mafunzo maalumu kwa walimu wa Awali na Msingi.Mtaala mpya umekuja na majukumu ya ziada kwa walimu hivyo wanapaswa kujengewa uwezo. #ElimuKwanza
Wakati Serikali Ikitekeleza Sera Mpya ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2023 na mtalaa mpya wa elimu ya msingi na sekondari, Shirika linalojihusisha na Elimu Tanzania @HakiElimu limetoa mapendekezo matano yatakayoleta ufanisi kwenye utekelezaji huo. 📸 🖊️ @denismwasalanga #RFAONLINE
@HakiElimu kupitia Mkurungezi wake Dkt. John Kalage imependekeza Serikali kuongeza Bajeti ya Uajiri na mafunzo ya walimu kutekeleza mtaala mpya, sanjari na tahasusi mpya zilizoongezeka kutoka 16 na kufika 65 za kidato cha 5 zitakazoanza kutekelezwa Julai mwaka huu. #RFAONLINE
#News @HakiElimu has made five recommendations on effective budget for education sector in the financial year 2024/2025 for successful implementation of the new primary and secondary education curriculum...read more: shorter.me/cRQer #TheGuardianUpdates
Bofya bit.ly/4d8igkC kufahamu Vipaumbele Vitano Vinavyopendekezwa na @HakiElimu katika Upangaji na Utengaji wa Bajeti ya Sekta ya Elimu ya Mwaka wa Fedha 2024/25.
Jambo la pili la kuzingatia katika upangaji wa bajeti ya Sekta ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 ni kuanza kwa utekelezaji wa Mitaala na Sera Mpya ya Elimu (2023) ambayo imeleta mabadiliko makubwa kwenye Elimu hasa kwa kuingiza mkondo wa amali kwa shule za sekondari -…
Serikali inapoelekea katika upangaji wa bajeti ya Sekta ya Elimu kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 inapaswa kuzingatia mchakato wa utengenezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa (NDV) 2050 ambao pamoja na kutoa mwelekeo wa mfumo wetu wa elimu kwa miongo kadhaa ijayo pia mchakato huo…
▪️ Mipango mizuri ya elimu inahitaji rasilimali fedha na usimamizi bora ili kufikia malengo. ▪️Tunapokaribia kuanza mwaka mpya wa bajeti, kesho tutawasilisha matarajio ya bajeti ya elimu kwa mwaka 2024-2025. #ElimuKwanza #ElimuKwanza
@sonnino123 @CSLitigation @MsichanaUwezo Nimependa sana aliposema kwamba Rushwa ya ngono iko kwa pande mbili na sio wanawake pekee wanaombwa rushwa ya ngono hata wanaume wanaombwa rushwa ya ngono #EndSextortion #InspireInclusion
“Kama baba wa watoto wawili wakike ni vema kuhakikisha naweka wanawake mbele na kuwalinda ili isifike siku washindwe kufikia malengo yao kwa sababu kuna mwanaume ameamua wasiyafikie” Deus Valentino Ceo wa @CSLitigation #EndSextortion #InspireInclusion @MsichanaUwezo
"People are not reporting sexual corruption, even if they report they don't feel comfortable to proceed with investigation. We need to work together to break the silence" ~|Sabina Seja- PCCB @MsichanaUwezo @CSLitigation #EndSextortion #InspireInclusion
Advocacy and raising awareness to young girls is important as well as engaging men and boys to understanding the issue is of zero tolerance. #EndSextortion #InspireInclusion @MsichanaUwezo @CSLitigation
Wanachuo wanamendewa na wahadhiri hadi kwenye mitihani ya majaribio na wasipofikisha alama huombwa rushwa ya ngono #EndSextortion #InspireInclusion
Miili ya wanawake mara nyingi inamilikiwa na kila mtu kwenye jamii isipokua mwanamke mwenyewe Ndio maana tunaona suala la rushwa ya ngono likiendelea kwani wanaume wanaona ngono as a means of exchange “ Mary Ndaro #EndSextortion
"Watu wengi wanaona Rushwa ya Ngono ni suala la mtu Binafsi, wanaona ni bahati ama upendeleo. Ni ukweli usiopingika kuwa ili iwe rushwa ya ngono inabidi pawe na power relations” Mary Rusimbi #EndSextortion #InspireInclusion @CSLitigation @MsichanaUwezo