HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA MWANZO WETU KTK HII KAZI, HAKUNA BINADAMU ALIEWAHI KUFANIKIWA KWA KUOGOPA.. KUSEMWA,KUCHEKWA, KUPUUZWA, ALAFU LEO HII MTU ATAKUZUNGUMZIA KAMA VILE ANAKUJUA SANA,TENA MPAKA MISHIPA YA SHINGO INAMTOKA. ILA WAPO WALIOFANIKIWA KWA KUVUMILIA, MANENO, DHARAU, KEJELI... UKIHITAJI KUFIKIA MALENGO YAKO USIMUANGALIE MTU MUANGALIE MUNGU,NA WEKA MKAZO KTK MALENGO YAKO...😡😡😡😡
@JotiOfficial @vallebaptista Watu Mnatoka Mbali Sana!! Heshima Kwenu 🫡.
@JotiOfficial Kwakweli mmepambana sana kutoka uzee hadi sasa ni vijana🤣🤣
@JotiOfficial Hakuna aliyekuwa anawacheka kipindi hiking bwana, mlikuwa mnatufurahisha sana na Watu waliwapenda, labda Sasa hivi ndo mnaweza kuchekwa!
@JotiOfficial Hii ilikuwa RICKS CLUB ARUSHA, MIMI NJLIKUWA NAIMBA NA HIYO BENDI HAPO NYUMA OLDUVAI BAND (BABA KALETA PANYA) DUU MIAKA MINGI SANA KAKA
@JotiOfficial Nakukumbuka nipo shule darasa la tatu ushakula mia mia zangu sana