Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali @Gcla1895
The Government Chemist Laboratory Authority is the “Legal Referral Laboratory”. Established under the Government Chemist Laboratory Authority Act,No.8,2016. gcla.go.tz 5 Barrack Obama Drive, Joined July 2018-
Tweets563
-
Followers1K
-
Following11
-
Likes45
@Gcla1895 imekutana na viongozi wa Serikali, wadau na wananchi mbalimbali na kuwapa elimu juu ya majukumu ya @Gcla1895 kwenye maonesho ya wiki ya afya na usalama kazini yanayofanyika katika viwanja vya General tyre jijini Arusha. @wizara_afyatz @osha_tanzania @ummymwalimu
GCLA YATOA MAFUNZO KWA MAAFISA WA JESHI LA POLISI, MAHAKIMU, MAAFISA WA TAKUKURU, MADAKTARI PAMOJA NA WAENDESHA MASHTAKA MKOA WA MOROGORO @Gcla1895 imetoa mafunzo ya usimamizi wa sampuli za uchunguzi wa jinai kwa Maafisa wa Jeshi la Polisi, Mahakimu, Madaktari, Waendesha mashtaka
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akifanya ukaguzi kwa wadau wa kemikali katika mji wa Mafinga ambapo alishiriki ukaguzi kwa kiwanda cha @lushchanzo kinachojihusisha na uzalishaji wa mbao za kutengeneza samani na kiwanda kuchakata pareto ambavyo hutumia kemikali.
Kuimarisha zaidi uchunguzi wa kimaabara kwa maabara kutambulika kimataifa @wizara_afyatz @ummymwalimu @ikulumawasliano @TZMsemajiMkuu
@Gcla1895 kupitia Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu kimetoa mafunzo ya udhibiti wa matukio ya sumu kwa wahudumu wa Afya ngazi ya Jamii, maafisa Mazingira wa Kata na Wenyeviti wa Serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza na Halmashauri ya mji Ngara, Kagera
@Gcla1895 kwa kushirikiana na @TaecTz zimeshiriki uzinduzi wa zoezi la utayari dhidi ya dharura za kikemikali na kimionzi Tanzania ambalo lilizinduliwa na Waziri Mkuu @KassimMajaliwa_ katika viwanja vya @tanzimamoto katika bandari ya Dar es Salaam Machi 14,2024. @wizara_afyatz
Ramadan kareem kwa waislamu wote
Azam TV @azamtvtz
1.3M Followers 209 Following Watch your favorite shows on https://t.co/6bgggrv4QE | 📞 +255784108000Zitto MwamiRuyagwa Ka.. @zittokabwe
1.7M Followers 5K Following Member and former Party Leader @ACTWazalendo, Tegadalay ተጋዳላይ #HifadhiJamii #Ajira #MaishaNafuu #TheFutureIsPurple #Tanzania #TaifaLaWote #MaslahiYaWoteFaustine Ndugulile @DocFaustine
333K Followers 1K Following Parliamentarian-Tanzania| Doctor| Fmr Minister-ICT| Fmr Deputy Minister-Health| Passionate about Sports, ICT & Global HealthWizara ya Afya Tanzan.. @wizara_afyatz
232K Followers 134 Following Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania. Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYATogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyIbrahim Baraka Abelne.. @Ibrahimbaraka88
236 Followers 5K Following Just as a candle can't burn without fire,a person can't live without spiritual life.Jubair hassan Ali @Jubairhass58940
5 Followers 299 FollowingMGAYA KINGOBA @MKingoba
5 Followers 20 Followingduvosteve @duvosteve
22 Followers 336 FollowingAbdallah 26 @Abdallah2619787
3 Followers 35 Followingmajura moris @majuramorisi
10 Followers 24 FollowingPeace Abecha @PeaceXing
330 Followers 1K Following Creative Enthusiast\ Visionary \ Over Thinking\ SUA AlumniOfisi Ya Mbunge Ngoro.. @OfisiMbunge
897 Followers 704 Following Ukurasa Rasmi wa Ofisi ya Mbunge Jimbo la NgorongoroZAKAYO MGEMA @MgemaZakay94412
35 Followers 87 Followingbin_zuwed @bin_zuwed
12 Followers 151 FollowingPrince Katunzi @MoretogiveT
903 Followers 1K Following Regional Director - East Africa, Exim Credit BankMichael Shaluwa @ShaluwaMic88957
21 Followers 163 FollowingDaddLand @adolphjohn3
60 Followers 840 Following 👨🎓 Land Consultant🇹🇿 📚 Land Management & Valuation🇹🇿 👨💼 Valuer at KB Land Developers Ltd 🇹🇿 📩 [email protected] #Live_Your_Dream🕊🕊🕊Kalison Kareba @kalison_kareba
33 Followers 773 FollowingMazahir Dewji @MazahirDewji
493 Followers 146 Following Business | Traveller | Adventure Junkie. Blessing the world since 1997 and a #ProudTanzanian🇹🇿Abdulkarim Mhando @Abdulkarim71804
36 Followers 458 FollowingNorbert Shayo @NshayoShayo
35 Followers 310 Following Accountant, Trader, Financial analyst, Believe in change,Maryam Mmambyah @mmambyah
26 Followers 413 FollowingRehema Seleman @RehemaS18501
1 Followers 25 FollowingFRANSISCO MHAGAMA @mhagamafm
2 Followers 17 FollowingTitus Dotto, CPE 🇹.. @Mutran07
229 Followers 681 Following process Engineer|| simple human being who believes in simplicity 🤞 || philosopher||David Silasi @SilasiDavi65102
2 Followers 52 Following Holder of BSc in Chemistry Works at MOEL MINERAL ANALYSIS LABORATORYath sal @ath_sal
5 Followers 27 Followingℂ𝕙𝕚𝕡𝕒�.. @priscus_lema
1K Followers 3K Following 𝐾𝑖𝑙𝑎 𝑁𝑌𝐴𝑁𝐼 𝑛𝑎 𝑠𝑡𝑎𝑟𝑒ℎ𝑒 𝑦𝑎𝑘𝑒 𝑌𝐴𝐾𝑂 𝑛𝑖 𝑖𝑝𝑖? 𝕄𝔸ℕ 𝕌ℕ𝕀𝕋𝔼𝔻 & 𝕊𝕀𝕄𝔹𝔸 𝕊ℂ 𝔽𝔸ℕDaima Info @daimainfo
36 Followers 729 Following Daima Info we are dealing with providing all kind of news and broadcasting around East Africa.TNMC Habari @tnmchabari
60 Followers 56 Following Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) Facebook,Twitter na Youtube @tnmchabariTabibu 👨🏽⚕.. @THERMOSTATTric1
1K Followers 1K Following Clinician 🥼 || Simba sc Fan 🦁 || First Born || Aquarius ♒Stevenny Saimon @StevennyS67871
3 Followers 129 FollowingNeidaEberline @eberline98621
49 Followers 2K FollowingHosea Hosea @Hosea2320
9 Followers 129 FollowingSamia Suluhu @SuluhuSamia
1.6M Followers 27 Following Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. President of the United Republic of Tanzaniaikulu_Tanzania @ikulumawasliano
436K Followers 8 Following Ukurasa rasmi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu-Tanzania 🇹🇿Ummy Mwalimu, MP @ummymwalimu
896K Followers 700 Following 🇹🇿Member of Parliament, Tanga Urban 2020 - 2025 | Minister of Health Tanzania Jan 2022 to-date | Minister -TAMISEMI 2021 & Minister of Health 2015 - 2020Faustine Ndugulile @DocFaustine
333K Followers 1K Following Parliamentarian-Tanzania| Doctor| Fmr Minister-ICT| Fmr Deputy Minister-Health| Passionate about Sports, ICT & Global HealthWizara ya Afya Tanzan.. @wizara_afyatz
232K Followers 134 Following Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Afya Tanzania. Ukurasa huu unaendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini - AFYAGerson Msigwa @MsigwaGerson
803K Followers 1K Following The Permanent Secretary of Culture, Arts and Sports. Former Chief Government Spokesperson of Tanzania and Former Director of Presidential Communication.Msemaji Mkuu wa Serik.. @TZMsemajiMkuu
735K Followers 10 Following The Official Account of the Chief Spokesman of the Government of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania 🇹🇿Togolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyVerified @verified
4.2M Followers 2 Following Individuals can get a blue checkmark with @Premium. Organizations can sign up for Verified Organizations here: https://t.co/uFOsfTiR2ANHIF Tanzania @nhiftz
44K Followers 35 Following The Official Account of the National Health Insurance Fund (NHIF) of Tanzania I Ukurasa Rasmi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya 🇹🇿 Customer Service: 199Dr John Magufuli @MagufuliJP
991K Followers 8 Following The Fifth President of The United Republic of Tanzania.Namshukuru Mh. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kwa kuniamini na kuniteua kuwa mjumbe wa kamati hii. Nitatekeleza majukumu yangu kikamilifu kwa kadri ya uwezo wangu chini ya uongozi wa Mwenyekiti Prof Amos Mwakigonja.
Mkemia Mkuu wa Serikali wa Serikali, amezindua kamati ya Kitaalam ya Kituo cha Taifa cha Kudhibiti Matukio ya Sumu (NPCC) katika ofisi za @Gcla1895 Dar es Salaam. Kamati hiyo itakuwa na jukumu la kusimamia, kushauri na kuwezesha kituo hicho kutekeleza majukumu yake kwa mafanikio.
Pongezi @ummymwalimu @wizara_afyatz
Watumishi wa @Gcla1895 Ofisi ndogo ya Dar es Salaam wamepewa mafunzo juu ya kujiepusha na vitendo vya rushwa mahala pa kazi yaliyotolewa na @TakukuruTz februari 17, 2023. @ummymwalimu @wizara_afyatz
@Gcla1895 Kanda ya Mashariki walifanikiwa kufanya bonanza kwa watumishi wa ofisi wa kanda kwa lengo la kukutana na kuburudika pamoja baada ya kutekeleza majukumu ya kazi kwa wiki nzima. Mbali ya bonanza walipata semina ya kujikinga dhidi ya magonjwa yasiyoambukiza. @ummymwalimu
Nimetembelewa na Mkemia Mkuu wa Serikali na ujumbe wake waliofika kutupatia mrejesho wa ziara ya mafunzo waliyoifanya kwa mwaliko wa National Forensic Service ya Korea iliyoratibiwa na Ubalozi wetu. Tumefarijika na mrejesho wao na milango ya ushirikiano iliyofunguliwa kati yao.
At the end of MC-COP4.2 the delegation from Tanzania, comprising of State Party and NGO took to document this memorable occasion. Let's #MakeMercuryHistory together! cc. @VPOTanzania @Gcla1895 @Tumeyamadini @NemcTanzania @STAMICOTZ @_TAWOMA @minamataMEA @IISD_ENB @HakiMadini2012
Madereva zaidi ya 95 kutoka kampuni 60 zinazojihusisha na usafirishaji wa Kemikali nchini, wamepatiwa mafunzo ya siku mbili ya namna ya usafirishaji salama wa kemikali.Mafunzo hayo yametolewa na @Gcla1895,Kanda ya Mashariki na kufanyika ukumbi wa Mount Kilimanjaro uliopo BOT Dar.
Wananchi mbalimbali wameendelea kujitokeza katika Banda la Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kuona na kujifunza huduma mbalimbali zinazotolewa na Mamlaka katika kuhudumia wananchikwenye maonesho ya 45 ya kimataifa (sabasaba) yanayoendelea katika Uwanja wa Mwalimu
Watumishi kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakitoa huduma mbalimbali wa wadau wanaotembelea Banda la Mamlaka lililopo katika Hema la Jakaya Kikwete. Maonesho ya Biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam yameanza jana
Tumepata kambi ya upinzani bungeni 😅. #domokaya
@gcla_official Ofisi ya Kanda ya Mashariki imetoa mafunzo ya matumizi salama ya kemikali kwa Wajasiriamali 100 wanaozalisha bidhaa kwa kutumia kemikali. Mafunzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Hazina, Dar es Salaam. @wizara_afyatz @gwajimad @tbs_viwango @tmdatanzania @nhiftz
Nawatakia watanzania wote Pasaka njema, tuadhimishe ufufuko wa Yesu Kristo huku tukiliombea Taifa letu la Tanzania kudumisha amani, upendo na mshikamano. Tuendeleze jitihada za kuijenga nchi yetu kwa kuchapa kazi kwa juhudi na maarifa. Yesu amefufuka, Haleluya Haleluya.
@gcla_official yaibuka na ushindi wa tatu katika kipengele cha Mamlaka za huduma za udhibiti katika Maonesho ya Nanenane Kitaifa Simiyu na kwa Kanda ya Kati - Dodoma. @ummymwalimu @wizara_afyatz @nhiftanzania @MsdTanzania @DCEATanzania
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali inaendelea kutoa elimu kwa wananchi wanaotembelea maonesho ya kimataifa ya biashara ya sabasaba yanayofanyika uwanja wa Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam. Banda la @gcla linapatikana ndani ya Jengo la "Sabasaba Hall"
Watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali,Ofisi ya Kanda ya Mashariki leo wamefanikiwa kupata mafunzo ya afya na usalama wakati wa ukaguzi wa maabara za kemia ikiwa sehemu ya jukumu la kisheria ambalo linatekelezwa na @gcla_official @ummymwalimu @wizara_afyatz