Mr. Magnifico @FelicianROM
MNMA ALUMNI 🧑🎓 (2021) Still hunting for big bags💰. A @ManUtd fan Dar es Salaam, Tanzania Joined May 2021-
Tweets28K
-
Followers3K
-
Following2K
-
Likes22K
Halafu nawe utaenda kwa siuuu 😁😁
‼️🚨KUNA MAKUNDI MATATU AMBAYO NDULI IDD AMINI MAMA ANAYATUMIA KUFANYA UHALIFU DHIDI YA WATANGANYIKA.‼️ Kundi la kwanza ni kundi ambalo Nduli Idd Amin Mama analitumia kuteka na kupoteza wakosoaji wake tangu 2021 mpaka sasa kundi hilo limeteka na kupoteza watu zaidi ya 400. Kundi hili linaongozwa kwa ushirikiano baina ya TISS na Jeshi la Polisi Tanzania ambapo kwa upande wa Jeshi la Polisi Mastermind wa utekaji ni Faustine Mafwele na Upande wa TISS kuna Thobias Mwesiga ambae alikuwa Mkuu wa Dawati la Siasa ila kwenye haya matukio ya utekaji Mwesiga yeye alikuwa anaratibu ila kwenye utekelezaji ndo unamkuta Mafwele na kikosi chake. Kundi la pili ni kundi la Abdul mtoto wa Idd Amin Mama, huyu anamiliki genge lake binafsi la kuteka na kupoteza wakosoaji wa utawala haram wa Nduli, kundi lake linamilili silaha za moto na vyombo vya ulinzi na usalama vinajua ila ndo vile nan atamfunga paka kengele , kwa mujibu wa watu wa Abdul hilo genge lilianzishwa Mwaka jana yani 2025 wakat tunaelekea Oktoba 29, genge la Abdul linaongoozwa na Mzanzibar anaitwa Sumai Ramadhan, ofisi zao zipo Masaki karibia na Sleepway. Huyu Sumai ndo aliongoza kikosi ambacho kilimteka msaidizi wa Mhe. Lissu, Kaka David Jumbe lakin pia ndo mtu ambae kawapewa kazi ya kumpoteza Mhe. Lissu kwenye uso wa Dunia. Kundi la tatu la Uhalifu ni lile ambalo Nduli Idd Amin Mama alilitumia kufanikisha mauaji ya Watanganyika siku ya Oktoba 29, 2025. Ambapo kwa upande wa TISS mastermind wao alikuwa Fadhili Saga huyu alikuwa Mkuu wa Operation wa TISS japo sasa hivi kawekwa benchi na Upande wa Jeshi la Polisi kulikuwa na IGP Wambura pamoja Awadhi Juma Haji lakini huyu Awadhi ndo alikuwa mastermind wa Jeshi la Polisi kwenye mauaji ya Oktoba 29, maRPC wote walikuwa wanapokea order direct kutoka kwa Awadhi Juma, mbali na hilo kwenye hili kundi la wauaji wa Oktoba 29 ukiachana na Polisi na TISs wengine waliongezwa ni KMKM na wale Wanajeshi Mamluki kutoka UGANDA. Kuna watu naona huwa mnashindwa kutofautisha haya makundi so kuanzia sasa nadhan mtakuwa mnaelewa na kujua yupi anahusika na lipi.
"Human rights violations, wherever they occur, are intolerable and must be condemned in the strongest possible terms. Injustice does not cease to be injustice simply because it occurs beyond our borders or far from our sight. Human rights are universal, inalienable, and non-negotiable; every violation constitutes a grave affront to human dignity and the rule of law, demanding unequivocal condemnation, accountability, and redress. In this regard, we unequivocally denounce the ongoing human rights violations and any acts that undermine the rule of law, fundamental freedoms, and the independence of the legal profession in Uganda. We stand in firm solidarity with the members of the Uganda Law Society and all those courageously defending justice, constitutionalism, and human rights. Their struggle for the protection of fundamental rights and the preservation of democratic values is a cause that transcends national borders and deserves the support of all who believe in justice, accountability, and the rule of law. BAK MWABUKUSI PRESIDENT TLS.
#SamiaMustGo #FreeTunduLissu #TanzaniaMassacre Maandamano 7/7
Siku zinazidi kusonga,ukombozi uko jiani. Tukutane 7 7
Leo Tarehe 16/06/2026 asubuhi katibu wa Kanda ya Serengeti mhe Mnyawami amefika kuripoti kwa Rco kama dhamana yake ilimtaka jana usiku Baada ya mahojiano yake na Rco na Rpc na viongozi wetu Rpc aliagiza katibu arudishiwe vitu vyake aendelee na majukumu yake ila arudi hapo tarehe 22.6.2026 Baada vitu vyake kuletwa kutoka kituo cha shinyanga police wa rco walitaka kukaguwa simu ya mhe Mnyawami kwa hiyo wakamtaka atoe password lakini hilo jambo likashindikina baada mhe kutaka kujuwa wanataka kukaguwa nini kwenye simu Wamekatalia simu zake ila vitu vingine vyote wamemrudishia Katibu na viongozi wengine wanajiandaa kwenda simiyu ambapo kuna kikao cha mashauriano ya mkoa Hamasa yetu pia aliyekuwa anashikiliwa kituoni hapo kwa kosa la kukaidi amedhaminiwa Shukrani kwa viongozi na wanachama wote waliofika police tangia jana usiku baada ya mhe katibu kukamatwa Ambapo alipata dhamana saa tisa usiku bado viongozi na wanachama wetu wakiwepo hapo police pamoja kwamba walikuwa wakifukizwa kuondoka maeneo hayo. #KatibaMpya #FreeTunduLissu Lucas Ngoto Mkt Kanda
Maandalizi ya 7/7 yanaendelea kwa kasi ya 5G, tunamwaga moto kama Drogon 🔥🔥🔥
Jana Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, @ExMayorUbungo akiwa njiani kwenda Morogoro kwenye mkutano wa hadhara pamoja na viongozi wengine wa chama, alipokea wito wa Polisi ukimtaka kufika ofisi za Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mkoa (RCO) mkoa wa Kinondoni. Leo asubuhi amefika ofisini hapo akisindikizwa na viongozi mablimbali na mamia ya wanachama. Polisi wamemfungulia jalada la uchunguzi wakidai eti anatuhumiwa kufadhili maandamano ya Julai 07, 2026. Bonny amekana tuhuma hizo, na ameachiwa huru. #JusticeForBoniyai #NoHateNoFear #Tutashinda
This is stupid mind 🚮
MUNGU MWEMA NIMEAMKA TENA. Ushuhuda wangu ni kwamba Mungu anapigana vita vyetu, pindi tupitapo katika magumu mengi yeye husimama upande wetu. Kama ambavyo Mungu anavyotuamsha kwenye magonjwa ambayo hatukustahili kuamka, ndivyo hivyo hivyo Mungu atatuvusha kwenye magumu tunayopitia. Wale wote mlionitafuta kwa njia moja au nyingine, niwajulishe nimerudi nikiwa imara zaidi. Ahsanteni kwa wote mlioshiriki kuhakikisha afya yangu inatengemaa. Niwajulishe tu ninavyotoka hospital kurudi nyumbani nilipita Sabasaba Road.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza ziara iliyopewa jina la Free Tundu Lissu na Katiba Mpya Phase itakayoanzia katika Ukanda wa Kusini kuanzia Juni 18, 2026. Akizungumza leo Juni 15, 2026 mbele ya Waandishi wa Habari, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia amesema ziara hizo zitaanza Ukanda wa Kusini. “Tunapenda kuwatangazia Watanzania wote kwamba chama hiki kinaenda kwenye ziara ambayo itakuwa ni Free Tundu Lissu, Katiba Mpya Phase Two ambayo tumeamua kuanzia Kanda ya Kusini kuanzia Juni 18, 2026 ambapo tutaanzia mkutano wa hadhara Nachingwea, kisha Masasi Juni 19 na Songea Mjini ni Juni 20, 2026 ambapo tutafanya hitimisho,” amesema Rupia. #MillardAyoUPDATES
@0505capri @Ian_San254 People are so wild 😁
As to celebrate miaka 24 leo nakemea pepo gundu, baada ya leo ni slip ni kuwin tu 😂😂 Haopybirthday to me #inchestotheworld
Hawa #1xbet hawataki kunipa hela yangu. Game ya saa tano usiku hadi saiv hawataki kulipa 😁😁
Tuliwaambia kwamba u-sisiyemu ndiyo unaoiumiza nchi na kuharibu amani yetu, lakini hamkutuelewa. Angalia hii picha hawa ni vijana wa Green Guard ambao hatujui kama wanatambulika rasmi na mamlaka za usalama au lah, Hapo wanapewa mafunzo mbele ya kituo cha polisi mchana kweupe na hatuna kitu cha kuwafanya lengo ni kukabiliana na maandamano yaliyopangwa kufanyika kwa amani tarehe 7/7 Uovu unaofanyika katika nchi hii unatekelezwa na masisiyemu ni ngumu sana kuwatenganisha sisiyemu na maovu ya nchi hii🚮
@Celsius015 Mzee tangu saa tano usiku hiyo game, hadi now saa tano asubuhi ni masaa 12 sasa hawalipi hela
Mimi 😁😁
Broo to bro: Hapa unaenda na ipi kati ya A. Or. B
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
976K Followers 8K Following Movie, Tv series 🎬🎥 God is good always @ManUtd #Tumshauri
Ms Bee🌹 @asiliasali
214K Followers 11K Following OFFICIAL PAGE KWA AJILI YA ASALI |TUNAUZA ASALI YA NYUKI WAKUBWA NA WADOGO MBICHI call/watsup +255752872612
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥�... @Labella_Mafia95
212K Followers 5K Following Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle Hard
Miss Chelsea1221 @MissChelsea1221
165K Followers 6K Following PR &Marketing By Pro/#NAUZA NGUO ZA MICHEZO⚽️📱For Business 0714336827 #KUONA Bidhaa Plz #BONYEZA neno #PHOTOS Upande wa #KULIA hapo chini👇⬇️👇Karibuni❤️
Victor Forgeoux @Ireneigora
106K Followers 6K Following Senior Firmware Engineer | Deep expertise in embedded systems, microcontroller development, and hardware–software integration.
KhalidChukuchuku93�... @Khalidchukuchuk
387K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , @kmcfc_official MCO
ein @ZeinMohd2
1 Followers 160 Following
Carl Osbourne @BlokusCarl
4 Followers 675 Following
majafa @lugvtt
10 Followers 1K Following
Sherton sanders @ShertonSanders
40 Followers 3K Following
Robert Mpeka @RMpeka19024
7 Followers 554 Following
bronyxtale @okiedokkie222
34 Followers 4K Following
Huigelaars is nie wel... @SpsMasx
21 Followers 480 Following
La @ossbb10
12 Followers 982 Following
Jon jake @Jonjake2018
70 Followers 3K Following
BEST KERLLER @issahaq_yussif
255 Followers 5K Following I am a professional photographer. You can call me photo genus#a Man Utd supporter#a genus football historian
JP_Pablo @Kwetu37
21 Followers 731 Following
Mark vines @Trethetabro
28 Followers 3K Following
mikey @mikeyxjc
4 Followers 320 Following
Sting_Bee @Upnext029
26 Followers 2K Following
Yael Kesef Zion @girl_traderr
14 Followers 2K Following Girl trader learning the ropes and trying to reach $100K
Chris benny @Chrisbenny78577
0 Followers 161 Following
Patrick kilongo @neron4rv1
13 Followers 165 Following My from rdc is need is relation serouis girl freind
Roger James @boy_from_sauzi
2 Followers 410 Following
Baraka Kindamba @KindambaBa34202
11 Followers 668 Following
Mopao @Mopao5p9z
61 Followers 3K Following
omary banyani @omary_banyani
59 Followers 846 Following
Sandra Melvin @idowu_jose43422
3 Followers 28 Following Am available for Meetups&facetime show and more hmu💦🤤
Lamin Kijera @KijeraKijer32
0 Followers 1K Following
Young @Youngsjhu7x
18 Followers 987 Following
iamnne @kasongo011
2 Followers 416 Following
Brrrrrrrr @qqqwqwqqqqq
5 Followers 377 Following
Maagloire Kaablan @ManleyODGN1
0 Followers 225 Following
Sin Sin @Sino996
8 Followers 586 Following j'aime le sport et la sincérité. Je déteste l'hypocrisie. Tu m'aimes je t'adore, tu ne m'aimes pas ignore moi.
Alex @Alex00685081021
7 Followers 838 Following
Prince Ebanda @PrinceEban76030
7 Followers 2K Following
Hussein @HusseinAbdul37
21 Followers 910 Following
mani @manid9zw
0 Followers 75 Following
Emmanuel Mwasi @EmmanuelMw33168
1 Followers 143 Following
Joseph Mbagaa @mbagaa56311
3 Followers 238 Following
jakobo mussa @jakobomussa12
5 Followers 138 Following
Jose Elias Cruz G @JoseCruz201992
38 Followers 1K Following Amante del futbol (soccer lover), y de la musica, agradecido con papito Dios por cada segundo de vida que me regala(thankful with god for having me alive)!!
Taylor J. Son @taylorjoeson
4 Followers 766 Following It's not how big the house is, it's how happy the home is📌❤️
Itumeleng Ncube @itumeleng_49420
162 Followers 1K Following
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
976K Followers 8K Following Movie, Tv series 🎬🎥 God is good always @ManUtd #Tumshauri
Ms Bee🌹 @asiliasali
214K Followers 11K Following OFFICIAL PAGE KWA AJILI YA ASALI |TUNAUZA ASALI YA NYUKI WAKUBWA NA WADOGO MBICHI call/watsup +255752872612
𝐋𝐚𝐛𝐞𝐥�... @Labella_Mafia95
212K Followers 5K Following Techpreneur || Inspire Centre || Funy with Friends || Weekend Vibes || Positive Vibes || Life Adventure || Making Memories || Hustle Hard
Miss Chelsea1221 @MissChelsea1221
165K Followers 6K Following PR &Marketing By Pro/#NAUZA NGUO ZA MICHEZO⚽️📱For Business 0714336827 #KUONA Bidhaa Plz #BONYEZA neno #PHOTOS Upande wa #KULIA hapo chini👇⬇️👇Karibuni❤️
Victor Forgeoux @Ireneigora
106K Followers 6K Following Senior Firmware Engineer | Deep expertise in embedded systems, microcontroller development, and hardware–software integration.
KhalidChukuchuku93�... @Khalidchukuchuk
387K Followers 3K Following Football Correspondent , Son of Ligi Kuu ⚽ Fluidity Mildfilder (Kiungo Bamia) , @kmcfc_official MCO
MULLER 20 @MHelaman67006
522 Followers 1K Following
𝔠𝔥𝔲𝔤𝔞 ... @Brayan_606
352 Followers 270 Following Calender is fake we only have day and night..🥷🏴☠️... 👨💻 IT Specialist ⚙️
Mange Kimambi 🇹�... @mangekimambi
436K Followers 82 Following DADA WA TAIFA Scroll Down to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE. Pls download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057
Rox @VirtualRoX
64 Followers 63 Following Bug Fixer | Liverpool | Night Owl | Under Maintenance | IT |
Ramadee94 @RamadanIdd16257
126 Followers 3K Following
Yule. @salum_michael
1K Followers 6K Following Jesus is the way to heaven. John 14:6 Invest what you saved and make your money work for you.
Karungu__YeYe🇹🇿 @Karungu__YeYe
437 Followers 2K Following I diagnose myself with just one more nap | Professionally tired | Medically confused | Surviving on stress and low battery
deric @derc2323
3K Followers 3K Following @LIVERPOOL🔴& @YOUNGAFRICAN🟡@ATLETICOMADRID 🔴 #VIDEOGRAPHER AND #PHOTOGRAPHER also #CONTENTCREATOR ALWAYS BE READY TO SURVIVE ALONE✊️
Singida finest💪�... @Singidafinest
2K Followers 4K Following
Drama_Jr🚫 @Drama_Juniour
1K Followers 2K Following FORGIVE AND REVENGE 😪 @Chelsea#💙fans & @Simba sport club 🦁
PaschalSam1 @P_simpleman95
2K Followers 6K Following A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||
UDSM ICON @udsm_ikoni
6K Followers 1K Following 🎬 Movies • Reviews • Trailers • Edits 🍿 Film lover sharing cinematic vibes daily
PoundsHunter🇰🇪 @RimuiSteve
111 Followers 1K Following Mechanical engineer, Armourer,father, husband,Trader STEVTECH ESSENTIAL
Hasheem77 @HashimuShafii1
1K Followers 3K Following @eFootball @manchester united fan. forza @fcbarcelona
Alex debrizy👑 @Alex_komba00
2K Followers 1K Following Health officer, MUHAS alumni, football for life fan of Wirtz, Messi🐐.
Hassanali @SalumuHassanali
4K Followers 203 Following فَاسْأَلُواْ أَهْلَ الذِّكْرِ إِن كُنتُمْ لاَ تَعْلَمُونَ
OBIAJULU OKONKWO @PatrickEdson8
1K Followers 1K Following
mmiliki wa corolla @raymo52801139
683 Followers 312 Following every one can buy a new car, only really men make old one move
IQ_BUKU @HebronKamm91387
189 Followers 464 Following -football Fans @realMadrid⚪️ @arsenal🔴 and @simba🦁 fans
Sudi Litala @SLitala81850
37 Followers 37 Following Reader/ Virtuoso / Art connoisseur /Raconteur /Silent Listener. …..EXODUS 14 :14
Maestro Vitinha @Mika_Obadia
192 Followers 278 Following kitaa kilichotulea ndio kinajua hustle zetu
Desmond @DeSmonD1030
268 Followers 105 Following
Honey Badger @Babawatoto2024
52 Followers 566 Following
Martial @tenende_martial
2K Followers 8K Following Hatujui kama tutapata lakini tuna Imani na anayetoa rizki NO TRUTH IN THIS WORLD @simbasctanzania @manchesterunited
Synocial @ndulele_nyeusi
200 Followers 788 Following Driver🚛🛵| machine Operator🚡🏗️ simbamlivapool..👍🏼| @liverpool & @SimbaSCTanzania
Mr Nemesis😅 @Revocastus1
465 Followers 963 Following
Chapo Guzmán 🇹�... @GuzmnChapo1
28K Followers 4K Following || Malume || ||manUtd🔴|| ||yangasc1935🔰|| RealMadrid Fc⚪|| God Is Good🙏||. I don't chance, I replace
Mswati art🇸🇿�... @moshiabou2555
392 Followers 682 Following #backup account | visual Artist 🎨 | acrylic paint, mixed media | portrait, abstract, welder | 📍 Zanzibar | IG muhunzi art
ℕ𝕠𝕥𝐒𝐚�... @baba_vivianii
320 Followers 280 Following 𝐈 𝐝𝐨𝐧'𝐭 𝐍𝐞𝐞𝐝 𝐒𝐞𝐱 𝐆𝐨𝐯𝐞𝐫n𝐦𝐞𝐧𝐭 𝐅𝐮𝐜𝐤 𝐌𝐞 𝐄𝐯𝐞𝐫𝐲 𝐃𝐚𝐲... 🐊
LEE @bmuajir03
218 Followers 218 Following Don't give a fu*k to what you think.... 🤔......., Arsenal and Simba fan
ZETISKY LIMITED @kelvinlitto_
292 Followers 337 Following
Python Technology @pythontechn
17 Followers 88 Following Simba Funs🦁🇹🇿||Barcelona||Manchester city||IT Support||Programmer Beginners||Network Learner








































