Faraja Kristomus @FarajaKristomus
Lecturer UDSM, translator, conference interpreter, communications specialist and journalist. Dar es Salaam, Tanzania Joined February 2019-
Tweets79
-
Followers460
-
Following794
-
Likes225
Katibu Mkuu wa CCM amenifumbua macho. Siku zote nilikuwa najua kuwa wanasiasa nao ni wananchi, kumbe kuna tofauti kati ya wananchi na wanasiasa. Wanasiasa wanatafuta madaraka na siyo sehemu ya wananchi. Katiba ni ya wanasiasa ambao si wananchi wa Tanzania.
Vodacom mbona mnakuwa wezi? Nilinunua kifurushi ambacho kilitakiwa kwisha tarehe 24 na leo ni tarehe 23 mnaniambia kifurushi kimeisha muda wake. Jana nilicheki nilikuwa na 1.4GB. Cha ajabu leo asubuhi mnaniambia eti kifurushi kimeisha muda wake. Ninawashtaki mnilipe fidia.
Haya mazoea ya kudhani CCM ndo kisima cha viongozi bora nadhani yatatupeleka kubaya. Naona sasa hivi tunaanza kuambiwa usipokuwa CCM wewe ni mtanzania daraja B. Wanaolipa kodi ni watanzania wote na maendeleo huletwa na uongozi bora na siyo chama. Kiongozi bora anatoka kokote.
Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Retweet kwa @TunduALissu Like kwa @MagufuliJP
Oktoba 28, 2020 tukapige kura ya Haki.
Vitambulisho havina jina, wala picha, wala anuani ya anayetambulishwa nacho?! Vitambulisho vinavyouzwa Sh. Elfu 20, tena bila risiti??! Na tunadanganywa vitatumika kupata mikopo benki? Wanafikiri Watanzania ni washamba? Tunasema #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020
Katika makala haya nimezungumza na wachambuzi wa siasa @mamkufunzi , @aikande na @FarajaKristomus kuhusu umuhimu wa uchaguzi wa Tanzania kwa vyama vya kisiasa na jumuiya ya Afrika Mashariki. bbc.com/swahili/habari…
Ni kosa kisheria kushindwa kumfahamisha mwenzi au mtu ambaye unamahusiano nae ya kimapenzi kuwa una VVU au UKIMWI na pia kutochukua hatua mutambuka ya kutoeneza maambukizi husika. Makosa na adhabu zimeainishwa katika vifungu vya 21 (3),32,35,46&57. #Sema_Na_Data @dLabTz
@FarajaKristomus @VodacomTanzania mpwa naomba upitie pinned post yangu kisha like,RT na comment.
Nikiwa na @MabalaMakengeza aka mzungu koko miaka hiyo. Napenda simplicity ya huyu mzee. He is so nice to talk to.
Kule Zanzibar wavuvi waliwahi kuniambia, "nyangumi akianza kufukuzana na samaki wadogo ajue atakuja kunasa kwenye tope na asitoke kwasababu yeye ni wa kina kirefu na samaki wadogo kwao ni kina kifupi". Ukiwa na mamlaka usitumie muda wako mwingi kuhangaika na wadogo watakuchafua.
Mvua imekusaidia. Kifuate ulale hukohuko mjini hahahahaha
Mvua imekusaidia. Kifuate ulale hukohuko mjini hahahahaha
Mamlaka yanakupa nguvu unapokuwa nayo yakitoka nguvu yako hutegemea utu wako. Kama hukuwa na utu wakati wa uongozi wako nguvu yote uliyojenga wakati una mamlaka huyeyuka. Muhimu sisi viongozi kuwa na utu na upendo ili mamlaka yakitutoka bado heshima iwepo katika jamii”Atufigwege
Usiku utakapokwisha labda mambo yatakuwa mazuri, tunakuombea urudi salama🙏 #FreeErickKabendera #FreeErickKabendera
Hussein msilombo @HusseinBak88529
10 Followers 248 FollowingPascal Mayalla @pascomayalla
4K Followers 1K FollowingMwak?momo @EddahHancy
85 Followers 1K FollowingPrawet Haema @prawet_haema
8K Followers 7K FollowingTechnologist @MoosePierre
1K Followers 3K Following Being a male is the matter of birth, being a man is the matter of age but being a gentlemen is the matter of choiceNjonjo Mfaume @njonjoOKAY
1K Followers 2K FollowingDavis F. Mwakanyamale @dfmwakanyamale
66 Followers 289 Following Husband, Dad, Brother, Uncle, CitizenSuzan Lewanga @SuzanLewanga
30 Followers 75 Followingyunus @ShooYusuph
920 Followers 1K Following Hustler: Electric installation//Fan of ⚽@Simba sc//⚽@Chelsea FC//⚽@Real MadridKing Mbucci @Kingmbucci
99 Followers 537 Following 💜💸Richfeelings💰💰 💛Whatsapp +255712500560📶 💔REST IN PEACE MA MOMMA 😢 💚+255💎Tanzania🙍♂️ 09/12birthdayKamal bapo @kamalbapo
11 Followers 108 Following As am known it’s me Kamal Ahmada 🥂 https://t.co/czXYrZlI9R Wish me on 14/4/ 🌍🎂🥂🙏🏽🩸🦁🦁. That is mehappinessfoundationtz @happinessfoun11
15 Followers 158 Following To be the best quick fixer of the health system and education policies affecting the population. Being the best “means” that add value to the health and educatEmmanuel Herman @herman_2020
789 Followers 1K FollowingCecilia Mjingo @CMjingo
8 Followers 118 FollowingIbrahim lawan @Ibrahim14010882
7 Followers 81 Followingnsabimana gilbert @nsabigyly
40 Followers 322 FollowingGeorge Magambo @gmagesquire
22 Followers 212 FollowingVaileth @Vaileth95457363
4 Followers 13 FollowingMaghabite @maghabite
58 Followers 396 FollowingNurudini @Nurudin64465270
15 Followers 240 FollowingKike Africa @Kikeafrica
214 Followers 266 Following We are a pioneering female-owned media and technology company in Tanzania, our platform is dedicated to driving positive change within the industry.Kshimba Gaspar @KshimbaG
1 Followers 8 FollowingMarkshayo47 @mark_shayo47
531 Followers 4K Following wealth brings many friends.They are not really your friendsAbel @LyimoAbel
5 Followers 241 FollowingWilson Mastarico @WilsonMastarico
134 Followers 3K Following Petroleum Geologist, University of Dar es Salaam.Pastory sijaona Alpho.. @SijaonaPastory
6 Followers 94 FollowingRamadhan Aliy @RamadhanAliy1
3 Followers 12 FollowingNiko Mulenga @MulengaNiko
11 Followers 144 FollowingFelix Rwebandiza Jone.. @FelixJonesfelis
595 Followers 1K Following IT by Professional || Pastor & Father || Member of The Bible Society of Tanzania || Repent and Prepare the Way for the Return of THE MESSIAH (Lord Jesus Christ)Elisha @Elisha81977640
10 Followers 42 FollowingVicent Naano Anney (P.. @qwaryvicent2
191 Followers 831 Following Lecturer in Curriculum Studies Musoma District Commissioner 2016-2021, Rungwe District Commissioner 2021-2022, Bunda District Commissioner 2022-todateEmmanuel Herman @herman_2020
789 Followers 1K FollowingNguru7 @Nguru72
16 Followers 36 FollowingButogelwa @butogelwa
20 Followers 45 FollowingGeorge Magambo @gmagesquire
22 Followers 212 FollowingEBM SCHOLARS, LLC @ebmscholarsllc
64 Followers 0 Following EBM Scholars, LLC is an overseas educational & Immigration organization dedicated towards providing services to students in making educational avenues.Vaileth @Vaileth95457363
4 Followers 13 FollowingMaghabite @maghabite
58 Followers 396 FollowingKshimba Gaspar @KshimbaG
1 Followers 8 FollowingOmary m. Mbelenje @m_mbelenje
1 Followers 0 FollowingMarkshayo47 @mark_shayo47
531 Followers 4K Following wealth brings many friends.They are not really your friendsWilson Mastarico @WilsonMastarico
134 Followers 3K Following Petroleum Geologist, University of Dar es Salaam.Upendo Temba @UpendoTemba2
6 Followers 24 FollowingFelix @FelixFlazaro648
130 Followers 2K FollowingTINKAMWISIGILE ROMANU.. @tinkamwisigile
5 Followers 37 FollowingPaul Mng'ong'o @mngongop
134 Followers 608 Following Born again Christian, Man of God, People oriented, HR practitioner, Transformational Speaker, Relational Consultant, Student of all time! Follower of the GospelJudith metta @judith_metta
7 Followers 47 FollowingWinfrida Chunda @ChundaWinfrida
12 Followers 92 FollowingBenedicto B. Haule @BenedictoBHaul1
4 Followers 22 FollowingPiensia Rugarab @PRugarab
11 Followers 25 Following Media personality -TV presenter News reporter RFA &star TV @habaristartvSoma @SomaMkahawani
8K Followers 6K Following An alternative urban space for leisure, culture and learning and a sorytelling hub. #06 Mlingotini Close, Regent Street, Mikocheni A, Dar es Salaam, TanzaniaEmmanuel Sulle @esulle46
2K Followers 4K Following Asst Prof & Director @ Aga Khan University-Arusha Climate & Env. Res. Centre Research: Political Economy, Climate C., Agrarian Studies Opinions & tweets - mineLaura Pettie @Laurapettie
1K Followers 133 Following Author | Novelist | Disability Activist ...The girl from tomorrowTzConnect @tzDiscovery
197K Followers 136K Following Get live Tweets of current issues and share with friends𝕱𝖆𝖉𝖍𝖞 .. @FadhyMtanga
5K Followers 3K Following Umfundisi | Author | Creative Writer | Blogger | Editor | Translator | Photographer | Hodophile | Chef | Social Worker | MbeyanTina @Tina79524938
32 Followers 172 FollowingChaga og @CevKawiche
1K Followers 5K Following CLEARING AND FORWARDNG AGENT love @ManUtd🏴 @simbasctanzania🇹🇿 @realmadrid🇪🇦 Email @[email protected]FLL UDSM @FllUdsm
14 Followers 7 Following Department of Foreign Languages & Linguistics (FLL) of the University of Dar es Salaam (UDSM)George Roberts @g_m_roberts
3K Followers 2K Following Historian, mainly of Tanzania and Comoros. "Revolutionary State-Making in Dar es Salaam" (CUP, 2021, and soon with Mkuki na Nyota). And cricket, too.Gerald Nyerere @GeraldNyerere
663 Followers 660 Following Person enthusiastic with people-centered development@FarajaKristomus @vicensiashule Huge congratulations to you, Dr Kristomus.
@Nkololotz Nchi imeunganishwa kwa lami almost yote, tupunguze idadi ya mikoa na wilaya, punguza idadi ya majimbo ya ubunge, tupunguze idadi ya vikao vya bunge kwa mwaka, mafuta ya Magari ya wabunge yalipwe kwa kufata risiti. Tutakua tume save pesa nyingi
"CCM ina mtazamo gani hasa kuhusu katiba mpya?" Nilimuuliza mchambuzi wa siasa @FarajaKristomus " Pia nilimuuliza mwanasiasa @zittokabwe ana mtazamo gani juu ya hoja ya kuweka katiba pembeni ili kushughulikia uchumi kwanza?" bbc.com/swahili/habari…
@FarajaKristomus Nitakuwa Shahidi wako, kwenye hiyo Kesi!!
@Chahali Kwanini RC wa Mbeya watu wanasema vibaya? Sijawahi kuona au kusikia mabaya yake kwa wastaafu wala mateso kwa watu; muda mwingi yupo busy na kutatua shida za watu. Mtazamo wangu anyway
Inapotokea ajali majeruhi huwa na majeraha tofauti. Kuna watakaopona haraka, kuna itakaowachukua muda kupona na wengine wasipone kabisa au kubaki na ulemavu wa maisha. Awamu iliyopita ilikuwa SAWA na ajali. Tupeane nafasi namna ya kuuguza majeraha na tusipangiane muda wa kupona😘
@RealHauleGluck We jamaa una nini na wale mademu? Kuna 1 ni mtu wako au? Maanake hueleweki, ulichokua unakiongea kabla ya tamko na baada ya tamko. Wachangiaji wengi kwanza walipendekeza covid 19 wafukuzwe; wamefukuzwa na watu wanafurahi, we vipi?
@JamiiForums Ingekua Bongo, hicho kikao cha wamiliki kingekua kimeingilia na wale morani wa selekale, yaani wengine saa hzi wangekua wamepewa rundo la kodi toka tra. Anyway, nadhani tupo dunia yetu
Mwenye nguvu anakudhulumu kisha ukilalamika anakupiga anasema unafanya fujo ukilia anakushtaki anasema unapiga makelele unahatarisha amani ukidai haki anasema unamtukana anakufunga jela ukikaa kimya anasema una kiburi unataka kulipa kisasi anakuua.
@kigogo2014 @ChademaTz Hi issue ya misaada kama ni ya kweli basi tunao wasomi wasioona mbali, hivi wakati wanatumia nguvu kuchakachua matokeo, hawakujua kama haya yangetokea?
@Udadisi You're wasting your time discussing with @richiembunda of his neutrality in anything about Tanzanian politics. Tuanzie hapa, JE aligombea kuteuliwa ubunge kwa tiketi ya CCM au la? Talking about REDET with this chap is wastage of time, aiseme REDET kwa ubavu gani au kwa uwezo upi?
"Najiuliza na sipati majibu. Sawa wewe kibaka waheed🧟♀️🧟♂️ umeshanikwapua mkoba wangu, nimekubali uondoke nao. Sasa kwa nini wanipiga? Sasa kwa nini waniua? Ulikuwa unataka mkoba au roho yangu?"
@PKarugendo Kuna siku ulimpinga sana Askofu Bagonza alipotahadharisha matumizi ya wanajeshi. Ukasema wanajeshi unaowafahamu wewe hawawezi kuwaua watanzania wenzao. Lakini sasa umeona au kusikia yanayofanyika? Nchi yetu inaenda kubaya baba.
Mkoloni hakuna aliyemchagua ila alifanya haya 👉Walijenga Barabarani nchi nzima 👉Walijenga Mtandao wa Reli 👉 huduma za Afya na Elimu Maendeleo ni haki ya kila mtz hata yule asiyepiga kura na ndio mana kikatiba kupiga kura si lazima #UchaguziMkuu2020
@p_tanzania Hata mimi nakubaliana na wewe Cogito maana kiongozi alishawaambia wakurugenzi yani nikupe gari, nikulipe mshahara mzuri halafu umtangaze mpinzani!?? Watashinda ila hawatatangazwa. Uko sahihi kbs.
Hapa vyombo vyetu vya habari havina muda kabisa yaani bbc.co.uk/news/live/worl…
If this is what police did to this female candidate, i call all feminists/ defenders of women rights to stand against this. W/rights aren’t on holidays during election. Let’s defend these few women who seek leadership through ballot papers #SpeakUpForWomenSafety #Uchaguzi2020