Mwl. Mulumba Jigi @Digoranking_
📌 Mchamungu Kupitia JADI 🛜Naunganisha Vifurushi Vya Internet Na Nasajili laini za uwakala na Lipa Na Lipa Namba Mitandao Yote. 😶🌫️ GJ GENERAL TRADERS LTD. chat.whatsapp.com/HfZn9sGovu5E8o… Joined April 2021-
Tweets3K
-
Followers382
-
Following184
-
Likes24K
🇹🇿 Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara. Kimya kimya. Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH TSh 5,000,000 = ~$2,028 Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH TSh 5,000,000 = ~$1,915 Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320. Maana yake umepoteza karibu: ❌ TSh 294,320 kila mwezi ❌ TSh 3.5 milioni kwa mwaka Bila kupunguza mshahara wako. Bila kubadilisha kazi. Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT. Sio kwa sababu wanapenda usd. Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani. Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
@Dr_Thadeus_19 Dcb na Selcom pesa
Nimekuwa busy kutengeneza App ya AkibaPlus mpaka nimesahau kuna HabariDuka na X 😁 App iko tayari na APK inapatika hapa akibaplus.habaritechnology.com Sasa nipitie timeline kuona yaliyojiri. Hizi ni baadhi ya screenshot za ndani ya app.
Kila nikiwaona Mabroo na Masista wenye age ya 45+ kwenye Biz na ‘Corporate’ wanavyopambana kujenga Brand kwenye mitandao ya kijamii, alafu vijana chini ya 30 wanavyochukulia poa nguvu ya mitandao, nazidi kujifunza kuwa: Vijana tuna muda lakini wengi hatuna ramani, wakati wazee wana ramani lakini wanahisi muda unawatupa mkono.🙌
@iamNehemia Haba na haba ujaza kibaba
@shibobo___ Mwisho ugongwe na bisibisi😂🤣 alafu ukikaa na cash unajiona umemaliza shida zako
@MarekaMalili Africa Tulipoteza Asili yetu baada ya kukumbatia yasiyo yetu ikiwa ni 1. Dini ikiwa ni vita ya kiroho 2. Siasa Vita ya kimwili 3. Diplomasia vita ya maneno Afrika tulikuwa na mambo yetu ya kiroho tuliyoelezwa kutoka kwa mtu wa kwanza Karibu youtube.com/@jadiyetu786?s…
@MarekaMalili Sehemu inayoturejesha kwenye kuishi kwenye yakwetu kama sisi waafrika (arkas) kama wazee, mababu na wazazi wetu walivyoishi kwenye asili yao
#TajiriLaKihaya Twende mbele turudi nyuma… Kama Mwanaume ukitulia ukatafakuri… Utagundua kwamba hakuna Faida yoyote ya Kufanya mapenzi Nje ya Ndoa yako! Ni akili tu Yakijinga… UCHI HAUSHIBI…. hata ukipewa Mabinti wote duniani…. Bado utataka wa Mars … tena utataka hadi Aliens! Kikubwa nkumuomba Mungu akupe Roho na moyo wa kuushinda Tamaa! Alhamdulillah… mm usiku huu moyo huo na Roho hio NMEIPATA🙏🏽 Sasa hapa nijiandae tu Kuhiji Makkah Mwakani,In asha Allah! Dhambi ya Uzinifu haitawahi nipata tena… Am Born again!
Nimeangalia mara mbili part 02 ya podcast ya mdogo wangu sumaku @ThisIsMagnetics na @amrisaly ina LESSONS nyingi ila kubwa nimejifunza kuwa FEAR haiExist in REAL LIFE ipo KICHWANI kwa mtu tu as long as UNAISHI Unaweza ANZA UPYA na kuSet mambo FRESH. 🔗 youtu.be/ID3RvR1qJ2A?is…
@HabariTech Uko sahihi sana mtaalamu hata sisi katika Jadi tunaambiwa kitu cha kwanza kwenye ndoa ni mwanaume na mwanamke mkubaliane mko tayari kuishi pamoja. Ikishakuwa ivyo imeisha
Asset namba moja ya KUWEKEZA; Ni WEWE mwenyewe. Invest in yourself.
@HabariTech Ukipoteza kadi ya bank unalipia kurenew Unatoa hela unakatwa kila mwezi unailipia kadi Wameona unahela nyingi unafungiwa akaunti itabidi ukazitolee maelezo hela zako Hela yako inapokaa kwa mda mrefu inapungua badala ya kuongezeka Nachoka mimi😂🤣
@Samalentips @gabyconscious mwanao anaruka live Tu😂😂🤣
@JmcMfadhili @EngMapundajr Huyu jama jau ajali ni mda wowote iwe mchana iwe usiku
Sijui kuhusu ishu za forex lakini nimesikiliza jamaa nikajifunza yafuatayo kutoka kwake; 1. Amekuwa honest na vulnerable ku-share story yake, kitu ambacho ni ngumu sana kwa watu wengi. 2. Amekuwa muwazi kuwa, "Strategy" ni mchakato ambao ukirudia utapata MATOKEO yale yale au yanayokaribiana. Vinginevyo itakuwa ni gambling, au kubahatisha. → Amekiri wazi kuwa Video yake aliyoweka YouTube ya kutengeneza dola 4,000 ndani ya wiki 2 kwa kutumia 200 ilikuwa ni misconception na kubahatisha. Kwa sababu probability ya kufanikiwa kwa kufanya hivyo ni 1% out 100%. 3. Kukubali pale unapofeli au unaposhindwa. Ni ngumu lakini, that is the only way. 4. Kuishi flashy life ili kuaminisha watu kuwa umetoboa. MG anasema hicho ni kitu ambacho kimemgarimu sana. Epuka, na kuwa honest. 5. Kutengeneza pesa ni kitu kimoja na kuwa na hekima ya kumanage hela ni kitu kingine. 6. Jifunze ku-balance risk to reward ratio. Siyo katika trading tu. Hata katika biashara au uwekezaji wa kawaida. Kwa ni KUTOBOA ipo katika ya hofu (fear) na tamaa (greed). 7. Kuitwa mtaalam na tapeli ni kama pande mbili za shilingi hasa kwenye ishu ya hela. 8. Siku zote kuna yule rafiki mmoja ambaye atakuelewa na kuwa a shoulder to cry ukipatwa na majanga. 9. Ili kuwa mbele, unahitaji uwe kwanza kupiga hatua ambayo wengi huogopa. Ukiteleza utachekwa, ukitoboa utafuatwa. 10. Zaidi ya yote, nimejifunza mengi hasa kuhusu udhubutu na risk taking kwa jamaa. Na amekuwa honest kuwa, kwa vijana wanaojitafuta usiache shule, chonga nji ukiwa chuoni bado, uku unapambana pia. 11. Mwisho, maisha ni safari. Kusimama na kuanguka. Kushinda na kufeli. Tunaishi au kufanya jambo siyo kuepuka makosa au kufeli, bali kupunguza risk na rate ya kurudia makosa yale yale tena. Nimejifunza hayo machache kati ya mengi.
✅
Kwenye ile podcast nimejifunza kumbe njia niliyochagua kuishi ni sahihi. Yaani me utanikuta Airport VIP, kwenye daladala, kwenye bodaboda, bajaji, treni Unaishi maisha yako uwe nazo ama usiwe nazo. Huwezi pata stress ukiwa chini Kinachotusumbua ni kutaka KUKOMESHA. Kuset BAR
The ChandO @SadickTusia
57K Followers 10K Following NJOMBE 🇹🇿 : || #Engineer👨🔬 || 🧾HUMBLE😶 || ukiitaji LAPTOP 💻 👉 @chandolaptops || #MkumbusheMwanao || https://t.co/4qv5w2oXtp🦍
ALLY MSANGI @ally_eh
18K Followers 5K Following Just a No body. I create things online, so maybe I'm a "Digital creator". You tell me! Contact | [email protected]
nickyrabit @nickyrabit
11K Followers 4K Following Author of How To Become A Monopoly. Mobile + Web Dev. Crypto Threadoor. Zaburi 23. Workin on @creatorstoreapp
UBAYA 50 @ubaya_50
551 Followers 2K Following SISI UKIZINGUA TUNAPIGA KURJUAN , ALIEPANGA ALIEHUSIKA ALIESAIDIA WOTE SAFARI.
Ipigbhe Oshioke Sunda... @ISunday22720
1 Followers 54 Following
Juniork @KikomekoJunior
579 Followers 1K Following
MR. INAWEZEKANA @EliudMjwahuzi
4K Followers 7K Following Author, Song writer, Gospel Artist from Tanzania
Lawrence @Lawrence_jr10
144 Followers 232 Following Chelsea & Real Madrid ||YouTube Storyteller..|| ||Just Smile...|| |Being Happy is A Choice|
scholarships promo @scholarshipspr2
17 Followers 137 Following
Sanga Misuka | Digita... @sanga_misuka
4 Followers 45 Following 🏆Digital Marketing Tips and Digital Skills | Ai Enthusiast | YT Expert 🏆 +255674486018
Godfrey Denis @denis5_godfrey
167 Followers 373 Following Health & Finance. Investor in financial markets |DSE|Bonds|Mutual Funds|Cryptocurrency I teach on how to invest in DSE and how to analyze companies
Elia Sanga @ESanga75499
22 Followers 315 Following
MANG'OMBE 🚀 @mangombe_
3K Followers 3K Following INTELLIGENT INVESTOR || Top 1% || Road to Mars 🚀|| Gold Mining 🪙
Cleophace Mkopi @CleophaceM69465
50 Followers 646 Following
Gabriel_ @El_zipo169
789 Followers 2K Following
Kenan Syprian @kenan_sypr73227
41 Followers 192 Following
Rogath jr @JayRogath
3K Followers 2K Following awesome.. fan of II@yangasc1935II@FCBarcelonall@Manutd
Winfrida Mtindo @wisdomqn
5 Followers 23 Following
Vinnographics @Kelvinjoseph123
321 Followers 1K Following Knowledge Explorer || Tech Connector. Closing the gaps in understanding between technology, the internet, and society..
Jesca Issaya @jscaissaya
3 Followers 54 Following
Justidigital.agency @justinoahbrands
6 Followers 63 Following Digital Marketing agency | Social Media Marketing | paid Ads specialist
TaifaKubwa💸✊ @MsackJr23
598 Followers 2K Following Ability is a little account opportunity, try to do what you can do the best|CEO-LEGACY&BROTHERS|i wrote about UNABE
jay @jayson_360
37 Followers 541 Following
PUNTER PRETA @PunterPreta123
438 Followers 2K Following "📈 Financial Expert | 💰 Betting Guru | 💡 Strategy Enthusiast | Empowering smart investments & strategic https://t.co/AxtGV2li5i SME routers seller"
Habib Jape @JapeHabib
703 Followers 2K Following
Maricki Haluna @MHaluna10813
1 Followers 30 Following
WorldChicken HUB @WorldChickenHUB
5K Followers 5K Following ♧ WhatsApp: https://t.co/6aP6uxVYeL ♧ Fawls & Chicks K. A. R. I. B. U.
adult content🍑👙... @porn_porn360
1 Followers 44 Following 🔥 Exclusive content for your eyes only | Daily updates to keep you wanting more | Click below for the full experience 🔗
graphix_glow @graphix_glow
315 Followers 2K Following Transform Ideas into reality Available for Freelancers Work via DM ●Logo design ● Brands Identity ●Poster design ●Event Banner ●Promotion Items.
Das @Das_Salehe
2K Followers 1K Following Football. Manchester United F.C.. Cristiano Ronaldo dos Santos Aveiro. 🐐 for a reason.
Philbert @phils_techfx
737 Followers 145 Following Cloud Security Journey ☁️ Tech x Trading Discipline 📊 Building to Freedom 🇹🇿
Chuganian Son 🍁 @ThechosenAnthon
1K Followers 2K Following Sales expert|God follower|Chuga republic to the 🌍
Koboko Swila @KobokoSwila
60 Followers 623 Following
Tech Wizard 👩�... @MakoreRuge
109 Followers 1K Following IT Support👩💻 | Web🕸️designer | Content Creator | Entrepreneur. Business and Technology 🖥️💻🖱️ 📧 [email protected]
Malkia Nyuki 👑 @nyuki_malkia
976K Followers 8K Following Movie, Tv series 🎬🎥 God is good always @ManUtd #Tumshauri
millardayo @millardayo
3.1M Followers 478 Following Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]
#TOTTechs @TOTTechs
51K Followers 778 Following Jukwaa la washauri na wataalamu wa Teknolojia || Computers || Phones | Softwares || ICT Hardwares and Networking || ICT Security || IoT || AI and Robotics
Lucas E. Malembo @MalemboLE
39K Followers 677 Following | CEO, @MalemboFarm ‘s | 🇹🇿Leading Sustainable Agribusiness & Nutrition for over a decade | AfCFTA Advocate | 2025 IVLP Alumnus 🇺🇸| Content with Enough.
SIR JEFF⚡🇹🇿 @Sirjeff_D
106K Followers 3 Following 177 IQ-Genius//Futurist🦾//Sarcasm🤣//Critic of Art, Morals & Culture📢//Cypherpunk💻//OXXON💙//BTC🧡//$TSLA📈//Stories✍️//Nietzschean🧠
Mohammed Dewji MO @moodewji
2.3M Followers 131 Following Pan-African Entrepreneur, President @MeTL_Group & @SimbaSCTanzania, Philanthropist @DewjiFoundation, Georgetown Alumni #Hoya
K A G A @iamKaga
25K Followers 554 Following For some unknown reasons, I'm only interested in profitable Apps and Fifa. Any physical meetings should be done over Fifa. Meet the LOVE of my life @BandoApps
Masoud Kipanya @masoudkipanya
2.1M Followers 72K Following Pan Africanist - Political Cartoonist - Painter - Animator - President/Founder Kaypee Motors - Radio/TV Presenter/Producer - Industrialist
Young Africans SC @YoungAfricansSC
414K Followers 66 Following Official Twitter Page Of Young Africans Sports Club | Home Of Champions🏆
Swahili Times @swahilitimes
1.6M Followers 1 Following Habari | Elimu | Burudani | [email protected] | Maoni ya wasomaji si maoni ya Swahili Times | Simu/WhatsApp/Telegram: +255 743 778 779
Gillsant v10 @GillsaInt
166K Followers 5K Following I help people start and grow business online. I teach 21st Century Digital Skills. @swahilidigital founder. Advanced Social Media course👇🏾
The ChandO @SadickTusia
57K Followers 10K Following NJOMBE 🇹🇿 : || #Engineer👨🔬 || 🧾HUMBLE😶 || ukiitaji LAPTOP 💻 👉 @chandolaptops || #MkumbusheMwanao || https://t.co/4qv5w2oXtp🦍
ALLY MSANGI @ally_eh
18K Followers 5K Following Just a No body. I create things online, so maybe I'm a "Digital creator". You tell me! Contact | [email protected]
Maria Sarungi Tsehai @MariaSTsehai
1.4M Followers 9K Following Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
nickyrabit @nickyrabit
11K Followers 4K Following Author of How To Become A Monopoly. Mobile + Web Dev. Crypto Threadoor. Zaburi 23. Workin on @creatorstoreapp
Britanicca @Britanicca0
7K Followers 81 Following whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.
SIR TIVA @Sativa255
183K Followers 3K Following Survivor of Head Bullet 27.06.2024 | Human rights defender | PYALA PYALA.
Daudi T. Balali @daudibalali
41K Followers 3 Following
Lawrence @Lawrence_jr10
144 Followers 232 Following Chelsea & Real Madrid ||YouTube Storyteller..|| ||Just Smile...|| |Being Happy is A Choice|
ITS MALEKOGJ @GoodluckMalekoJ
6K Followers 5K Following Tech communicator |Content crafter & Negotiation wiz |Legal & history buff Administrator B.A. History & Poli Sci #Muuzalaptop #InmentalBattle #KindnessMatters
SENIOR Eng. @Decoull27
2K Followers 1K Following I am Eng. Decoull Servant Of The Gentle | Web & App Developer | Author | YouTuber | Crypto Enthusiast | Community & Content Moderator | Founder of Make Dollary
Godfrey Denis @denis5_godfrey
167 Followers 373 Following Health & Finance. Investor in financial markets |DSE|Bonds|Mutual Funds|Cryptocurrency I teach on how to invest in DSE and how to analyze companies
MANG'OMBE 🚀 @mangombe_
3K Followers 3K Following INTELLIGENT INVESTOR || Top 1% || Road to Mars 🚀|| Gold Mining 🪙
Kenan Syprian @kenan_sypr73227
41 Followers 192 Following
The ProCreator @TheProCreatorr
61K Followers 5K Following AI & Tech Educator. Sharing insights and practical ways to use AI for your daily work and business.
Revocatus Millambo, P... @Millambo_
27K Followers 856 Following I Teach Biz Owners, Entrepreneurs, Coaches and Consultants how to Build Expert Business & Sell High Ticket Offers
Kelvin Mkwawa @KMkwawa
2K Followers 1K Following Seasoned Banker|Financial Advisor|Business Analyst| Business Consultant| Business Strategist| Freelance Writer|Entrepreneur|
TanzaniaInvest.com @TanzaniaInvest
4K Followers 145 Following https://t.co/MVJeGIukrl is the N 1 website to invest and do business in Tanzania.
Greeny @greenytrades
44K Followers 1K Following I trade narratives. Receipts daily. @MktMates · @GTGco
Dating Dynamics @Dating_Dynamics
120K Followers 100 Following Straightforward Dating and Relationship Tips & Secrets that you can apply now.
Hint @mysizzg
15K Followers 924 Following
#KatibaMpya @KatibaMpyaTz_
22K Followers 307 Following We are active citizens and activists | #KatibaMpya
Martin E.(Martin Luth... @MartinL01584477
9K Followers 6K Following Committed to honest service in logistics and political affairs”
Alex Falcon @iamalexfalcon
1.4M Followers 32 Following
Hamster Kombat @hamster_kombat
12.1M Followers 15 Following TG - https://t.co/xPEVjGpcvU PLAY - https://t.co/XAVw4CjuA7 YT - https://t.co/cX1RQiQeUG [email protected]
Joseph Oleshangay @Oleshangay
14K Followers 1K Following I advocate for rule of good laws. Proud son of the land of man/Ngorox2. Weimar Human Rights Award Recipient- 2023.
Samatime Car Dealers ... @samatimemagari
43K Followers 333 Following A Registered Company Dealing with KU-AGIZA magari Japan,UK,Singapore,nk | KU-KODISHA gari za Harusi, Town Trips etc| KU-UZA | KUNUNUA MAGARI Used Hapa Nchini
Mange Kimambi 🇹�... @mangekimambi
437K Followers 82 Following DADA WA TAIFA Scroll Down to Nov 1 2025 for videos of TANZANIA’s ELECTION MASSACRE. Pls download Mange Kimambi app to support my work.WhatsApp +1 424-537-3057
The Citizen Tanzania @TheCitizenTz
308K Followers 393 Following Tanzania's preferred English language newspaper. Listen to #RisingWomanOnX 👉🏾 https://t.co/kcX4pqqigz
NSOMI @NsomiSayi
1K Followers 251 Following Mathematician ||Dad || Husband ||@Young Africa fan || @Liverpool & @Barcelona fan. Standing for freedom of speech to my mother Land.
CEO_CRYPTO📈📉 @CEO_CRYPTO25
2K Followers 999 Following Crypto Enthusiast| #Binance & #Bitget KOL | #Binance Square Live Streamer | Crypto Content Creator & Trader| DM For Collabo and Promo|
Hamia Hapa @Hamiahapa
2K Followers 196 Following 💻Co-Working Spaces,🏡Airbnb Consulting,🏢Real Estate Investing Advisory,📚Research,🎙Podcast @milkinamali.HATUFANYI UDALALI, jiunge Real Estate Biz Group👇🏾
Batholomeo Shukran? @batho_shukran
9K Followers 2K Following
Joel Nanauka @jnanauka
25K Followers 3 Following 🏆 Dr.Joel Nanauka (hc) Certified Life Coach |🕴️ International Speaker 🥇 Best Selling Author | 🏅 Named in 100 Young Influential Africans | 📱0756 094 875 ⬇️
Samuel Emmanueljr @nyangasa314
7 Followers 130 Following
Josephat Masanja @Mkulimalitz
749 Followers 1K Following Young Diplomat| Former EA Coordinator AYPI | Agricultural Policy Pundit / Author/ Won an award for the best Author in 2021.
Peter_ 🇹🇿 @peter_lusekelo
680 Followers 91 Following
Graphic Designer @midiayao1
192 Followers 263 Following Passionate Graphic Designer | Blogger | Transforming ideas into visuals since 2018 | Let’s create something amazing together
Bank of Tanzania @BankOfTanzania
61K Followers 2 Following Mission: Maintain Price Stability and Integrity of the Financial System for Inclusive Economic Growth.
Jifunze Kutongoza | T... @TongozaX
407 Followers 155 Following ⭐️Tunatweet namna unavyoweza kumsoma na kumuelewa zaidi mpenzi/unaemtaka. 💌 DM kwa maswali na Ushuhuda! • Bofya ‘Like Tab’ 😋🔞
Kijana Wa Afrika🇹�... @KijanaWaAfrika1
161 Followers 25 Following A farmer #paddy #maize #sesame #FEEDAFRICA
HIMSELF @Sniperfx14
1K Followers 946 Following
LUSAJO @sajo_mwaihabi
24K Followers 151 Following Grow your Company/Business Sales with Me | Increase your Market Outreach with Me | I'm The Son of ISSACHAR | JESUS IS MY LORD
Tossi @TossiAnakleth
18 Followers 53 Following commercial law consultant|registration of business entities in Tanzania and its management |winding up of the companies procedures for inquires :0760865757
Aaron @AronAbell2
936 Followers 368 Following The real forester 🌳(A naturalist) official Manchester city fans 🩵 The Real NBA Fans 🏀 God fearing 🙏🏿
Mwaura Robert @MwauraRobert2
10K Followers 6K Following An international enterprenuer,dealing in agriculture(plants,livestock,fisheries) manufacturing, logistics,warehousing, renewable energy,water,waste management




































