Uarabuni Updates @uarabuniupdates
#UarabuniUpdates Kwa Reports Za Matukio Ya Mashariki Ya Kati: [email protected] Joined February 2024-
Tweets409
-
Followers47
-
Following467
-
Likes346
Msemaji wa jeshi la Iran: "Hatutafuti vita wala hatutaki kuvipanua lakini tutaukata mkono wowote unaojivuta kuelekea katika nchi yetu, tunazitaka Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani ziache kuiunga mkono Israel”#UarabuniUpdates
Israel yachapisha picha ya wanajeshi wake wa Kiislamu yenye maneno haya: "Tumeunganishwa na imani katika Mwenyezi Mungu mmoja na upendo wa nchi."#UarabuniUpdates
Mshauri wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani aghairisha ziara yake nchini India kutokana na hali ya wasiwasi Mashariki ya Kati.#UarabuniUpdates
Mtandao wa NBC: Kwa mujibu wa maafisa wa Marekani ni kwamba jibu la Israel kwa Iran linawezekana, litakuwa dogo katika mpango maalumu unatarajiwa kutekelezwa mwishoni mwa wiki.#UarabuniUpdates
Iraki na Marekani zazindua ushirikiano wa kina wa usalama na mfumo mpya wa ulinzi.#UarabuniUpdates
NBC: Imemnukuu afisa wa Marekani: "Biden alimweleza Netanyahu kwamba Washington haitashiriki katika shambulio lolote dhidi ya Iran"#UarabuniUpdates
Vyanzo Uturuki: Tehran iliifahamisha Washington kupitia Ankara kwamba operesheni yake ilikuwa ni jibu tu kwa "shambulio la ubalozi wake" na haitaendelea zaidi ya hapo.
Pentagon: Tunasimama na Tel Aviv licha ya vitisho vya Irani.#UarabuniUpdates
Misri imekuwa bora katika usalama na usafi wa usafirwa Metro, jarida la Marekani Newsweek latoa ulinganisho kati ya jiji kuu la Cairo na New York.#UarabuniUpdates
Umoja wa Falme za Kiarabu kusitisha uhusiano wa kidiplomasia na Israel.#UarabuniUpdates
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu: Usitishwaji vita wa mara moja lazima utekelezwe Gaza na azimio la Baraza la Usalama litekelezwe kikamilifu.#UarabuniUpdates
Maandalizi ya mabingwa hawa yanaendelea kwa ajili ya kuwakabili Simba kwenye mchezo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.#Uarabuniupdates Chanzo: Al Ahli Club.
Umoja wa Mataifa ya Kiarabu watoa wito kwa jamii za kimataifa kuchukua hatua madhubuti kutekeleza azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza.#UarabuniUpdates
Serikali ya Taliban ya Afghanistan: Ndege zisizo na rubani za Marekani zinatumia anga yetu kiuhalifu katika Mkoa wa Kandahar, mara ijayo tutazisgambulia.#UarabuniUpdates
Safari ya ujumbe wa Al-Ahly kwenda Tanzania ✈️🇹🇿 #Uarabuniupdate
Wasyria milioni 12.9 wanakabiliwa na uhaba wa chakula.#UarabuniUpdates
Vyombo vya Usalama wa Umma Saudi Arabia vyawataka wageni wa Mwenyezi Mungu kushikamana na amani na utulivu wanapozuru kaburi la Mtume s.a.w.#UarabuniUpdates
#HiviPunde! Mwakilishi wa China kwenye Baraza la Usalama: "Baraza la Usalama lazima lifanyie kazi azimio la mara moja na lisilo na masharti la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza"#UarabuniUpdates
Macron: "Tutafanyia kazi azimio jipya la Umoja wa Mataifa la kusitisha mapigano Gaza"#UarabuniUpdates
Jeanne @jeanne18cruz
5K Followers 5K FollowingMildred @mildred86winsto
205 Followers 3K Followingأبو صقر @sh01899
24 Followers 391 Following الاسلوب ذوق واحساس وتربيہ قبل ان يكون مجرد كلام يقآل فمن كآن اسلوبه رآقيا ادركت اخلاقه قبل ان تعرفہ♡”Cara Fazio @cara_fazio81515
46 Followers 3K FollowingIrene Zenkel @IreneZenke93294
119 Followers 3K FollowingChristy_TU @ChristyTu2996
72 Followers 2K FollowingPhoenix @MaximumSMG
462 Followers 484 Following Patriot/Socialists / Professional services /African activityAlexander A Msoffe @AlexanderMsoffe
184 Followers 908 Following MBA Marketing,Business Analyst, Former Tanzania Basketball Federation, Secretary GeneralEddo M @mwingiraedward1
213 Followers 1K FollowingOSAMA BIN LADEN @nenjs001
2K Followers 4K Following FORMER FBI, AL QAEDA LEADER , ANT WESTERN CULTURE, ALLAH.Alluminium profiledullah🤓 @AbdallahMgambw3
112 Followers 369 FollowingAMON @KessyAmon
457 Followers 589 FollowingFair⭐ @democrasi
5K Followers 5K Following FAIR DEMOCRACY FOR FAIR LIVING😊😊 sheria ni kitu kinachofanya binadamu tuishi kwa usawa na kuheshimiana. #CHAUMMA .. Wali ndio sera yetu.Leati @Leati174978
36 Followers 2K Following_Lollipop_ @Lollipop1339895
10 Followers 1K FollowingAdvocate Edward Molle.. @edoflavour
96 Followers 1K Following Advocate of High Court of Tanzania and Subordinate Court thereto27yljkclhnv @csqobremrfo8
12 Followers 408 Following Good news. Earn 500-5,000usdc by analyzing BTC contracts professionally Telegram https://t.co/LIYsvdBGkDJamari Haynes @JamariHayn83794
74 Followers 3K FollowingHilary Mbowe @hilarymbowe_
2K Followers 3K Following One day everything will be okay. For that reason I need Jesus And his pieces to shine on me.+255health @drmwinukaelias
710 Followers 684 Following Let’s talk about mental health. Writing is the most powerful artistic tool, and guess what? 😌i love it https https://t.co/KddsekL6nq?Lucy Black @blackinbrowned
1K Followers 2K FollowingDr. M-Dabbi @mw691___
9 Followers 2K FollowingIt's MalekoGJ. @GoodluckMalekoJ
2K Followers 4K Following Freelance negotiator, MC, and content creator with a passion for kindness, learning, politics, law, and history. Multifaceted hustler, daydreamer, and nighttimemoi_tz_999 @ndiposhonde999
37 Followers 258 Following Single boy | A student | A Farmer | A member of Chama cha Mapinduzi. Proud to be a Tanzanian.🇹🇿🇹🇿🇹🇿_A2MegB_ASJ @a2megb26456
25 Followers 2K FollowingDaddy @Daddy__2018
39 Followers 4K Followingsamir benito @samir_benito
1K Followers 4K Following Business man,Manosphere member,Football and political analyst,Investor and accountant.schicker walter @SchickerWalter
1K Followers 3K Following Hospital administrator, doctor for infection and disease, works in Universal Health Centrehamza ngakola88 @HNgakola8876154
4 Followers 67 FollowingAdvocate ,,sailence M.. @sailence80720
1K Followers 5K Following Mwenyekiti wa CHADEMA chuo kikuu Cha mt.Augustino Mwanza.( A prisoner graduated with 48 days in jail pia ni KATIBU MWENEZI wa CHASO TAIFA(CHADEMA STUDENTS ORGANpeter nchagwa @P_giniaz96
6 Followers 54 Followingتلفزيون سور.. @syr_television
690K Followers 69 Following تلفزيون سوريا: خدمة إعلامية تعلي من أسس المهنية والموضوعية والانفتاح في عملها مع انحياز قيمي للإنسان السوري في حريته تابعونا على تيليجرام: https://t.co/PzbzNEfTrCNima Tavallaey Roodsa.. @NimaTavRood
17K Followers 5K Following Football journalist. Co-host @ItaFootPod. Founder @SempreInterCom Past: @DiMarzio @Goal etc Email: [email protected] RT ≠ my opinion.تريند غزة_ TR.. @TRENDGAZA1948
21K Followers 486 Following وكالة فلسطينية غير رسمية تؤمن بقضايا الأحرار حول العالم الإسلامي ... ننقل جميع الأحداث العسكرية والسياسية في غزةSecretary Antony Blin.. @SecBlinken
2.2M Followers 51 Following Husband, dad, (very) amateur guitarist, and the 71st Secretary of State serving under the leadership of @POTUS Biden.اوبزيرفر | @B667i
230K Followers 666 Following اوبزيرفر وتعني المراقب | حساب شخصي مهتم بالمواضيع العالمية والعسكرية"E Digital @EfmTanzania
51K Followers 35 Following Official Account for E Digital | Representing E-FM Radio and TV-E Tanzania| #MuzikiUnaongea | #Tunavyoishiخبر عاجل @AJELNEWS24
11.5M Followers 3 Following نشر الأخبار العاجلة والحصرية .. للتواصل: واتساب https://t.co/VmoH07iPAk .. أو رسالة على البريد الإلكتروني: [email protected]وزارة المال.. @MofEgypt
209K Followers 1 Following الرسالة: رسم وتنفيذ السياسات المالية والإقتصادية للدولة بما يحقق النمو الإقتصادي الشامل والضبط المالي والتوزيع العادل والكفء لموارد الدولةوزارة الاتص.. @MCITEgypt
118K Followers 26 Following Ministry of Communications and Information Technology | Egypt وزارة الاتصالات وتكنولوجيا المعلومات | جمهورية مصر العربية #ICT #Egyptالجهاز القو.. @NTRAEG
84K Followers 28 Following The National Telecom Regulatory Authority|Egypt الجهاز القومي لتنظيم الاتصالات| جمهورية مصر العربية #ICT #Egypt #ntraegOwn Thoughts 🔻 @ownthoughts_24
7K Followers 538 Following Never be afraid to raise your voice for honesty & truth & for sympathy against injustice & lies, if all people do so. The world will be change. 🇵🇸Kajala Masanja @Kajalafrida
2K Followers 72 Following Actress | Business woman | C.E.O - KAJALA ENTERTAINMENT CO | Bookings - [email protected] |❣ KAJALA MASANJA❣| Snapchat | new_kajalaوزارة التجا.. @mti_egypt
82K Followers 93 FollowingCODEPINK @codepink
127K Followers 8K Following Feminist grassroots organization working to support peace & human rights & end U.S. wars & militarism.وزارة الت�.. @msitgovegypt
131K Followers 454 Following الصفحة الرسمية لوزارة التموين والتجارة الداخلية https://t.co/oubdmnMq0nوزارة التخط.. @mpedegypt
126K Followers 65 Following The Official account of the Ministry of Planning and Economic DevelopmentJABIR SALEH (Zee la k.. @JabirSaleh
67K Followers 5K Following Head of Programs Productions (Radio) Tv and Radio personality Efm/Tve Tanzania Music Analystهيئة قناة ا�.. @SuezAuthorityEG
78K Followers 2 Following الحساب الرسمي لهيئة قناة السويس The official account of the Suez Canal Authorityبوابة ماسبي.. @Maspero
56K Followers 78 Following الصفحة الرسمية للموقع الموحد للهيئة الوطنية للإعلام - بوابة ماسبيروالمصري اليو.. @AlMasryLite
348K Followers 5 Following خدمة صحفية غير تقليدية، تقدم «المصري اليوم» من خلالها محتوى تحريري خفيف، متنوع، ومميز.State Info. Service @SISEGY
8K Followers 0 Following الهيئة العامة للاستعلامات هي هيئة حكومية تتبع رئاسة الجمهورية،وهي جهاز الاعلام الرسمي والعلاقات العامة للدولة المصرية.Dr. Hala Elsaid @halaelsaid
45K Followers 1K Following Egypt’s Minister of Planning & Economic Development. Chairperson of The Sovereign Fund of Egypt. Former Dean of the Faculty of Economics & Political Science.رئاسة جمهور.. @EGPresidency_AR
193K Followers 1 Following الحسابات الرسمية لرئاسة جمهورية مصر العربية https://t.co/JaLGuEzPta https://t.co/xFe6OtPAcP https://t.co/6QNhdn53htالقناة الأو.. @channel1eg
56K Followers 1 Following القناة الأولي المصرية هي قناة منوعة تهدف إلى إعلام راقي يطرح ويناقش آراء جميع طوائف المجتمع المصري وتبث خدماتها الإخبارية وبرامجها على مدار 24 ساعةدار الإفتاء.. @EgyptDarAlIfta
846K Followers 1 Following مؤسسة دينية إسلامية - الحساب الرسمي على الفيس بوك 👈 https://t.co/HzhlcgSwi2BlacknWhite @Blacksizenew
147 Followers 390 Following leadership/growth/development/politks/religion/sportshasheem ibwe @hasheem_ibwe
89K Followers 301 Following AZAM FC MEDIA OFFICER/SPORTS PRESENTER PRODUCER AT AZAM TVKibwana Shomari @KibwanaShomar15
146K Followers 31 Following @YoungAfricansSC and National team player. 💚💛🇹🇿 #TeacherThings 😃معتز مطر @moatazmatar
2.7M Followers 1K Following اعلامى مصرى , اؤمن تماما بأن أسوأ مكان فى الجحيم .. محجوز لهؤلاء الذين يبقون على الحياد فى اوقات المعارك الاخلاقية العظيمة #اطمن_انت_مش_لوحدك #معتز_مطرDr. Saif AbdelFattah .. @Saif_abdelfatah
554K Followers 203 Following الحساب الرسمي للدكتور سيف عبدالفتاح - أستاذ العلوم السياسية والفكر السياسي Specialist in political theory, Islamic political thought https://t.co/uFdlbH1Qor :YouTubeCrown Media (Africa) @CrownMediaEN
2K Followers 2 Following This is Official Crown Media English page. Follow our Swahili page (@CrownMediaTZ) #HapaNiNyumbaniCrown Media @CrownMediaTZ
13K Followers 6 Following Karibu kwenye kurasa rasmi ya Crown Media | Crown TV & Crown FM (English: @CrownMediaEN) #HapaNiNyumbaniتمرة • tmrrah @tmrrah9
318K Followers 45 Following انا التمرة الي معها كل البراهين محدن مِن المرجفين يقدر يطولها || السناب: https://t.co/kKiEeADYlJد. محمد الصغ.. @drassagheer
1.6M Followers 217 Following رئيس الهيئة العالمية لأنصار النبيﷺ ، ومؤسس وقف الأنصار.وكالة أنباء.. @sarayanewsjo
27K Followers 3 Following وكالة أنباء تختص بالشؤون الأردنية والعربية والدولية وتعتبر الأكثر شهرة بين المواقع الإخبارية في #الأردن الحساب الرسمي لوكالة #سرايا الاخبارية 👈🏻 @sarayanewsPrisca Kishamba @PKishamba
234K Followers 171 Following Tanzania Queen of Sports, Clouds Media Sports anchor & Reporter, TFF awards committee member, Member of the national committee, promotion of national teamsفيصل القاسم @kasimf
6.6M Followers 575 Following أغرد كي أتعلم.والآراء كالفيروسات تتحور باستمرار، والثابت الوحيد هو المتحول. أرى الدنيا من زاوية منفرجة، فالعالم أوسع بكثير من عصبياتنا الضيقة. لا أتبنى الرتويتنواف آل سلي�.. @NawafSTV
25K Followers 454 Following مدير قناة صفا الفضائية - ماجستير إعلام في (الفيلم الوثائقي وبناء الصورة الذهنية) - صانع أفلام وثائقية: أبرزها سلسلة #برمجة_التشيع #ركعة_الوترSputnik Arabic @sputnik_ar
360K Followers 0 Following "سبوتنيك" هي وكالة أنباء وإذاعة دولية. نحن نخبركم ما يخفيه الآخرون. تابعونا أيضا على تلغرام https://t.co/RL7RPFbbcRخديجة بن قن�.. @Benguennak
2.6M Followers 2K Following إعلامية بقناة #الجزيرة، صنفتها #Forbes عام 2006 واحدةً من النساء العشر الأكثر تأثيرا في العالم العربي، وفازت في استفتاء #CNN 2015 بلقب إعلامية العرب الملهمة..Safari ya ujumbe wa Al-Ahly kwenda Tanzania ✈️🇹🇿 #Uarabuniupdate
Wasyria milioni 12.9 wanakabiliwa na uhaba wa chakula.#UarabuniUpdates
Vyombo vya Usalama wa Umma Saudi Arabia vyawataka wageni wa Mwenyezi Mungu kushikamana na amani na utulivu wanapozuru kaburi la Mtume s.a.w.#UarabuniUpdates
#HiviPunde! Mwakilishi wa China kwenye Baraza la Usalama: "Baraza la Usalama lazima lifanyie kazi azimio la mara moja na lisilo na masharti la kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza"#UarabuniUpdates
Macron: "Tutafanyia kazi azimio jipya la Umoja wa Mataifa la kusitisha mapigano Gaza"#UarabuniUpdates
Netanyahu amwambia Blinken: "Iwapo tutalazimika kutekeleza operesheni ya Rafah bila ya usaidizi wa Marekani, tutafanya tu peke yetu"#UarabuniUpdates
Vyanzo Israel: Wanajeshi 4 wa Israel wamejeruhiwa katika makabiliano na mwanajeshi wa Kipalestina magharibi mwa Ramallah, Mpalestina 1 aliuawa baada ya kuwajeruhi wanajeshi 4 wa Israel na kufyatulia risasi basi la walowezi magharibi mwa mji huo.#UarabuniUpdates
#HiviPunde!AFP: Blinken awasili Israel kwa mazungumzo yanayotarajiwa kuwa na uzito wa aina yake na Netanyahu.#UarabuniUpdates
Tayari ndani ya 2024 kumeshakuwa na nchi 36 ambazo zimetuma maombi ya kujiunga na BRICS.#UarabuniUpdates
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani: "Tulikuwa wawazi kwamba operesheni kamili ya Israel huko Rafah itakuwa kosa na hatuwezi kuunga mkono"#UarabuniUpdates
Vikosi vya Al-Qassam vyashambulia askari wa uvamizi wanaopenya karibu na Hospitali ya Al-Shifa katika Jiji la Gaza kwa makombora.#UarabuniUpdates
Wizara ya Ulinzi ya Uturuki: Tumependekeza kuanzisha kituo cha pamoja cha oparesheni na Iraq ili kupigana na kundi la Wafanyakazi wa Kurdistan (PKK) lililochopigwa marufuku.#UarabuniUpdates
Marais wa Misri na Urusi wamejadili kwa njia ya simu juu ya itifaki inayohusu maono ya nchi zao wakiangazia umuhimu wa kusitisha mapigano na kuwasilisha misaada ya kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.#UarabuniUpdates
Ndege za kivita za Israel zafanya mashambulizi mawili katika mji wa Aita al-Shaab kusini mwa Lebanon.#UarabuniUpdates
Bloomberg: Uchina na Urusi zimefikia makubaliano na Wahouthi kuhusu uendeshwaji wa mambo katika bahari ya Shamu.#UarabuniUpdates
Karam Jabareen, ametajwa kuwa ni jasusi mhaini anayeifanyiakazi Israeli aliyeshiriki kila aina ya jinai dhidi ya Wapalestina, ameuwa alfajiri ya 11 ya Ramadhani katika kambi ya Jenin, mama yake alimkabidhi na kaka yake ndiye aliyetekeleza hukumu ya kifo juu yake.#UarabuniUpdates
Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri Shokri amemfahamisha Blinken kwamba operesheni ya Israel huko Rafah itasababisha matokeo mabaya #UarabuniUpdates
Osama Hamdan: Washington lazima ikome kutuma vifaa na silaha kwa uvamizi ikiwa ni kweli kwa dhati inataka kukomesha mauaji ya kimbari huko Gaza.#UarabuniUpdates
Mafuta ya kupikia Gaza yatumika kwa ajili ya gari ikiwa ni mbadala kutokana na ukosaji wa mafuta ya vyombo vya usafirishaji.#UarabuniUpdates