@taddeolwanga Tangu wewe uondoke, na akina kahata na fraga bado hatujapata viungo wengine wamoto. Bado tunajitafuta eneo la kiungo
@taddeolwanga Hauna Baya mwanetu tupo pamoja injinia
@taddeolwanga Wewe ulilogwa ukashindwa kucheza mpira halafu unaleta kiherehere tena kwa wachawi wako!