Shamira Mshangama @shummymshangama
Founder @mwanamkeuongozi / Vice President DARUSO 2016/17 / Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM TAIFA 2022-2027 / Women Empowerment champion Tanzania Joined September 2016-
Tweets18K
-
Followers22K
-
Following810
-
Likes22K
Ijumaa 19/4/2024 nimeshiriki katika semina ya “ARU Ladies event, Leading with purpose” iliyoandaliwa na serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Cha Ardhi. Nashukuru serikali ya wanafunzi wa Chuo Cha Ardhi wakiongozwa na Vice President. Mgeni Rasmi alikuwa Mh. Zainab Abdallah DC Muheza
Tarehe 12/4/2024 nimeshiriki kama mzungumzaji kwenye Kongamano la ushiriki wa Vijana kwenye Uchumi na uongozi, kongamano limefanyika katika Wilaya ya Muheza, Tanga katika kuelekea kuupokea Mwenge wa Uhuru. Tumebadilishana uzoefu na mawazo kwenye mjadala mzuri mno.
Siku ya wanawake Duniani 8/3/2024, ambayo kwa Mkoa wa Tanga yaliyofanyika katika wilaya ya Pangani, nilizungumza juu ya umuhimu wa mitandao ya kijamii na masuala ya uongozi katika Mdahalo wa kwanza uliokuwa na wazungumzaji Wanawake wazawa wa Mkoa wa Tanga.
Jumamosi 30/3/2024 nimeshiriki katika semina ya “Binti Na Uongozi’ Chuo Cha Ustawi wa Jamii Nashukuru serikali ya wanafunzi wa Chuo Cha Ustawi wa Jamii kwa kunialika kuwa mgeni mzungumzaji katika semina ya mabinti Mgeni Rasmi alikuwa Mh. Zainab Abdallah Mkuu wa Wilaya ya Muheza
Jana tarehe 11/4/2024 nimeshiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Bumbuli Wilaya ya Lushoto iliyopo mkoani Tanga.
Jumamosi 3/2/2024 nimezungumza ktk Kongamano la “Vijana katika Uongozi”pale Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Nilizungumza na vijana juu ya masuala ya uongozi, umuhimu wa uthubutu wa kugombea nafasi za uongozi na mabinti kutunza na kuuthamini utu wao katika safari ya uongozi.
❤️🦊
@shummymshangama @CoastalUnited The Fox, Wanamangushi
FAHARI YETU WATANGA. Nimefurahi sana kutembelea Makao Makuu ya @CoastalUnited ❤️
@shummymshangama Hapa kuna Fursa kubwa sana, Ukirudi Dar naomba wasaa wa kuonana tujadili Jambo kwa Manufaa ya Taifa haswa Vijana na Wakazi wa Tanga.
@shummymshangama Ivi @shummymshangama unakumbuka kipindi unagombea vice presidaa UDSM ulivokuja mabibo kwa campaign ile usiku nani alikubeba shingoni akawa anakuzungusha block to block?? Mimi ndiye, nakukubali saana way back. Piga kazi mwanangu ila tu usiwe CHAWA.
Tarehe 17/12/2023 nilikuwa mgeni rasmi katika kikao cha Baraza la mwisho wa mwaka la UVCCM la Wilaya ya Lushoto, Tanga. Naushukuru sana uongozi wa UVCCM Lushoto kwa nafasi hii ya heshima, japo nami ni mjumbe halali wa Baraza la Wilaya ya Lushoto na Baraza la Mkoa wa Tanga.
Mwanamke na Uongozi (MnU) as a member of Dodoma SRH accountability mechanism established by options and funded by @roddenberry participated in 2024/2025 Dodoma City Council health planning and budgeting meeting. The meeting was organized by the Council Management Team (CHMT’s).
Tumekuwa na wakati mzuri wa kujadiliana mambo yanayohusu wanawake nchini Tanzania na Waziri wa Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye mahitaji maalum. Serikali yenu na chama chenu kiko kazini. Kaeni mkao wa kupokea mambo mazuri na yenye tija.
AGAIN.... women have money if they like you
AGAIN.... women have money if they like you
Hii Siku ilikuwa siku mbaya sana kwa Sweetie wangu @Kimkayndo , pia Presha na ubize wa kuhakikisha msanii mpya @dvoice_ginni anaenda mjini vilimzonga. Hakulala siku tatu. Basi ilibidi nitumie nguvu na akili kubwa sana kurudisha furaha yake katika siku yake muhimu ya kuzaliwa.

@shummymshangama @Kimkayndo Sisi kama ndugu wa mume tunasema,ndugu yangu @Kimkayndo huu mtego usiingie iwe kwa kujua au kwa bahati mbaya. Kama ni samaki akifa simu moja kwangu nitaleta kama hao wake😂😂 HBD kwa ndugu yangu
@shummymshangama @Kimkayndo Karibuni kwenye chama
@shummymshangama Ahsante sana Sweetie Wife ❤️❤️❤️ Kwako nimezama, nakupenda sana!
Tito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Jalilu Zaid @jaliluzaid
138K Followers 922 Following Creative Photographer | Mtanzania Mmoja Mtumishi | Q’uran 93:5.Kenny Mmari Snr. @KennedyMmari
165K Followers 1K Following A Voice of Reason in a Confused World | Sworn Adversary of GroupThink | Communication, Technology and Impact | TZ State-affiliated Media | CE @SerengetiBytesKuduishe Kisowile @Kudu_ze_Kudu
59K Followers 2K Following MD | Chairperson-SMAA | P1L1 | Health Communications Consultant #MeToo | #EczemaWarrior #KuduAfyaTips #DaktariMwandishi Left-handed. 🇹🇿 💜🤍💚 #RadFemHika Lyimo @iamthatfemale
86K Followers 2K Following A daughter,a sister,relying only on God.i am that female. You need shoes? follow https://t.co/UUedhtk2dK location: https://t.co/355KaXHNkIHoly @yose_hoza
154K Followers 32K Following Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication EngineerMotivation 255 @motivation_255
152K Followers 3K Following Pata maudhui yenye kukujenga (kimaadili na kiuchumi) na fursa mbalimbali za ajira, ufadhili wa masomo, mitaji, ruzuku, mafunzo na safari nje ya nchi za bure.Kamala Dickson @ItsKamala
55K Followers 2K Following Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGsBoniface Chengula @bohny_chengula
111K Followers 6K Following Popular in iPhone & Samsung product Reseller on Twitter | iG: Chengula_iPhone.Store | 📍Mwenge ITV | ☎️0752-992667Victoria C Mwanziva @victoriacharlz
31K Followers 2K Following District Commissioner- LUDEWA, Njombe Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LudewaYetuRahuuuum @RahmaMwita
66K Followers 2K Following TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeMDigital Nomad(Dijito) @mafolebaraka
50K Followers 4K Following Content marketer @greyfinance @greyfinanceea I No code advocate @nocodetz I Creator’s economy advocate @jukwaaafrica @kurasahqAllan Lucky @Allan_Lucky
107K Followers 3K Following Media, communications & marketing consultant | Social entrepreneur | Airbnb host via @havana_listingsMark J. Mwandosya @MarkMwandosya
99K Followers 65K Following Mark James Mwandosya is a former Member of Parliament,former Minister in Tanzania and a retired Professor of Electrical Engineering University of Dar es SalaamOdo @NajjatOmar
44K Followers 2K Following @TheChanzo Journalist || Script Writer || Voice Over || Awards Winning Journalist.Batuli Actress @batuli_actress
45K Followers 1K Following Actress & CEO At BTL COLLECTIONS Instagram @batuliactresstz Facebook @batuliactress Snapchat @actress_batuliTogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyJoyce Kiango @JoyceMwalimu
94K Followers 3K Following Teacher📕 | Kids Event Planner&Host | |Founder P.P.T.C (Pre Primary Teachers Connect) 🇹🇿|GetrudeM @GetrudeMligo
17K Followers 499 Following Author of 13 Books FT Korea | G.E.C @UN_Women| Supporting Your Digital Dream @Natokajekidigit| Storyteller| Digital Media Consultant| By Grace Through Faith💐Ishengoma Irene @IshengomaIrene
18K Followers 2K Following I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.King Jo @DizzyWright_1
113 Followers 999 FollowingNansia Magreth @MagrethNan62194
64 Followers 254 FollowingMwarami Rashid @MwaramiRashid
146 Followers 2K FollowingAlly Ally @AllyAlly985477
9 Followers 169 Followingofficial_summerhenry @henrypa1995
13 Followers 98 Following Graduate Accountant UDSM CPA (T) Internal AuditorAudaxAntidius.🇹�.. @Antidiu93004976
92 Followers 400 Following Thinker|Clearing&Forwading|Logistics|Shipping&Port activities.#Always truth’s bitter.abdulaziz ibrahim @aibrahim54
80 Followers 1K FollowingBinamu @JKhamis97126
261 Followers 2K FollowingGAP @GodlovePhilemon
102 Followers 185 Following Football⚽ @Liverpoolfan # You will never walk alone -YNWA👊Big Daddy🦁 @BobbyFabri68328
11 Followers 104 FollowingHer URAIA Clickers @HerUraia_
36 Followers 55 Following We are envision to see a Tanzanian society where young girls and women are actively participating in leadership and effectively representing their communities.Edgar Makwinya @MakwinyaEdgar
70 Followers 940 FollowingDickson Kikungwe @KikungweDi91958
292 Followers 2K FollowingBarrick Bellius @bellius_ba82387
133 Followers 2K FollowingDaniel Thora @thor4925
1 Followers 24 FollowingSalma John @JohnSalma65323
0 Followers 15 FollowingHonest Mlay @HonestMlay3
302 Followers 3K FollowingEmanuel Joseph @EmanuelJos20891
17 Followers 298 Followingشیخ رمضان🇯.. @sh_ramazan03
160 Followers 303 Following بنده اللّه،عاشق اللّه،فقط اللّه دیگر هیچ، اومدم اینجا به طرف اللّه دعوت بدم باشد که رستگار شویمChacha Makima @ChachaMaki23283
62 Followers 330 FollowingKENSHI @arturomars97
234 Followers 2K Following //humble man🙏 //Man United die hard fan🔴 //Footballer⚽ //Electronics and Telecom Engineer📡sura baya 01 🇹🇿.. @FranceJuma75063
74 Followers 659 FollowingMatthew Urassa @MatthewUrassa
1 Followers 32 FollowingMshana Junior @MshanaJunior3
47 Followers 422 Following Nasaidia Vijana Kumiliki Biashara Kwa Mtaji Mdogo Bila Kuathiri Shughuli Zao Za Kila SikuDan P @DanP22789693
2 Followers 999 FollowingHassani 6 @Hassani63
140 Followers 636 FollowingJohnson Maarifa @MaarifaJoh72223
378 Followers 2K FollowingRwekaza kaijahabi @Rwekazakaijaha3
141 Followers 641 FollowingNie🦋 @Nie562953664011
3 Followers 42 FollowingMajizo Majizo @M94313Majizo
155 Followers 1K FollowingMohammed Shatu @MohammedSh15836
4 Followers 316 FollowingDamasi @Damasmbano
20 Followers 94 Followinglameck.w.mgasha @LMgasha
261 Followers 1K Following MGOMBEA UBUNGE KURA ZA MAONI 2020-JIMBO LA GEITA MJINI.MGOMBEA NEC-MKOA WA GEITA _2022.Medical personnel 💊 #Kaziiendelee #mgashA_sasA_foR_liberatioN_🇹🇿Aron Swai Shirima @aronswaishirima
132 Followers 1K FollowingTito Magoti, PG @TitoMagoti
244K Followers 10K Following Bingwa. Attorney | Human rights | #NguvuMoja🦁Jalilu Zaid @jaliluzaid
138K Followers 922 Following Creative Photographer | Mtanzania Mmoja Mtumishi | Q’uran 93:5.Kenny Mmari Snr. @KennedyMmari
165K Followers 1K Following A Voice of Reason in a Confused World | Sworn Adversary of GroupThink | Communication, Technology and Impact | TZ State-affiliated Media | CE @SerengetiBytesKuduishe Kisowile @Kudu_ze_Kudu
59K Followers 2K Following MD | Chairperson-SMAA | P1L1 | Health Communications Consultant #MeToo | #EczemaWarrior #KuduAfyaTips #DaktariMwandishi Left-handed. 🇹🇿 💜🤍💚 #RadFemSuphian Juma Nkuwi @SuphianJuma
156K Followers 20 Following 🌑University of Dar es Salaam Alumnus 🌑Media Expert 🌑Mgombea Ubunge Singida Magharibi 2020. MWANZILISHI- SINGIDA MPYA YA KIJANI INAWEZEKANAHika Lyimo @iamthatfemale
86K Followers 2K Following A daughter,a sister,relying only on God.i am that female. You need shoes? follow https://t.co/UUedhtk2dK location: https://t.co/355KaXHNkIHaki Ngowi @Hakingowi
444K Followers 9K Following 🌍 Official X(Twitter) Page Of Haki Ngowi ® 💻📱 Post(Tweets) From Haki Ngowi News are signed hn+Holy @yose_hoza
154K Followers 32K Following Digital Manager | Media Strategic | Telecommunication EngineerSikilizaTogolani @SikilizaTogolan
54K Followers 0 Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!Motivation 255 @motivation_255
152K Followers 3K Following Pata maudhui yenye kukujenga (kimaadili na kiuchumi) na fursa mbalimbali za ajira, ufadhili wa masomo, mitaji, ruzuku, mafunzo na safari nje ya nchi za bure.Kamala Dickson @ItsKamala
55K Followers 2K Following Former Chair SADC Youth Parliament @sayof_SADC Alumni Global Youth Ambassador @theirworld |Alumni @IRIGenDem | Former EAC Youth Ambassador | @eac_yap| SDGsVictoria C Mwanziva @victoriacharlz
31K Followers 2K Following District Commissioner- LUDEWA, Njombe Region. Government of the United Republic of Tanzania 🎓 Master’s Degree in Public Administration 🇹🇿 #LudewaYetuRahuuuum @RahmaMwita
66K Followers 2K Following TV Journalist/ Writer/BookAddict/ Founder @OYO_Tanzania / YALI-EAC Alumni/ GlobalGoalsChampion🌍/https://t.co/MwfbyyoTeMOdo @NajjatOmar
44K Followers 2K Following @TheChanzo Journalist || Script Writer || Voice Over || Awards Winning Journalist.Batuli Actress @batuli_actress
45K Followers 1K Following Actress & CEO At BTL COLLECTIONS Instagram @batuliactresstz Facebook @batuliactress Snapchat @actress_batuliTogolani Mavura @tonytogolani
256K Followers 2K Following Kila Mtu kwa KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake! To Each, According to Own Gifts, Own Abilities and Own DestinyJoyce Kiango @JoyceMwalimu
94K Followers 3K Following Teacher📕 | Kids Event Planner&Host | |Founder P.P.T.C (Pre Primary Teachers Connect) 🇹🇿|GetrudeM @GetrudeMligo
17K Followers 499 Following Author of 13 Books FT Korea | G.E.C @UN_Women| Supporting Your Digital Dream @Natokajekidigit| Storyteller| Digital Media Consultant| By Grace Through Faith💐Ishengoma Irene @IshengomaIrene
18K Followers 2K Following I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿|#AmaniHuanziaNyumbani|Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.La Diane @LaDiane___T
2K Followers 942 Following CERTIFIED #SDG5CHAMPION/ PAN-AFRICANIST/ FXB CLIMATE ADVOCATE/ RESEARCH ENTHUSIAST/ PROJECT CONSULTANT/# TRANSFORMATIONAL LEADERSHIP/#ONEHEALTHCCM IMARA @KaziniSamia
24K Followers 15K Following Utekelezaji wa Ilani ya CCM ukiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Dkt. @suluhusamiaAudiopedia Foundation @audiopediaorg
3K Followers 1K Following Empowering women through accessible audio education. Join us in our mission to revolutionize learning and create a global community of ChangeMakers.Baba momo @godfreyabely2
9K Followers 9K Following •Father •Husband •Brother •Friend •Social Media Influencer •Teacher •Graduate Bachelor of Education in Policy Planning and Management &Medapps (OUT)Bulicheka @DouglasBiggu
2K Followers 5K Following News Politics General News History Business & Finance World News Technology Music Government & PoliticsSalma Iddy @SalmaIddy8
2K Followers 271 Following Founder & Executive Director @sistersinimaan ||•Philanthropist, Youth, AGYW, SRH, Gender & Socio-Economic advocate •||Latifa Ndoera @LatifaNdoera
4 Followers 35 Following𝖅𝖚𝖇𝖇𝖞 @ZubbySakuru
20K Followers 802 Following PhDc @ UDSM || MA Public Policy @ University of Warwick- Chevening ||Msc- Mzumbe University ||Former Member of Parliament-Tanzania 2015| YALI-2022| SimbaSc♥️Kibu Denis Prosper �.. @KibuDProsper
28K Followers 13 Following Prayer for @SimbaSCTanzania 🦁 & National Team @TaifaStars_ 🇹🇿Innocent L. Bashungwa.. @innobash
40K Followers 171 Following Minister: President’s Office – Regional Administration and Local Government . MP-Karagwe. Economist. P-Sector dev. SIPA-Columbia Univ.Julius Jaji @julius_jaji
4K Followers 4K Following BED Psychology-UDSM || MA- Clinical Psych-Gujarat.|| Dep.Minister. @Ausp.intel Secretary UvccmUdsm-2020/22. #Power of Integrity 💪💪Tanzania Muslim Profe.. @TamproTanzania
213 Followers 1K Following Registered in 1997 to mobilize and facilitate Muslim professionals to utilize their professionalism for the betterment of of Muslims and Tanzanians in generalricardomomo @ricardomomo_
132K Followers 64 Following Number one reliable Source of #ZaNdaaaniKabisa Football NewsAHMED ABDALLAH @AhmedAbdallahTL
126K Followers 88 Following Sports Journalist | Media Personality Wasafi Media | EPL Swahili Commentator via DSTVAllah Islam Quran @AllahGreatQuran
1.1M Followers 0 Following May Allah make this account benefit for everyone of us! Daily Islamic Quiz. This account run by adminAdellah Tillya @AdellaTillya
17K Followers 340 FollowingBravesty @bravestyboy
4K Followers 43 Following Graphics Designer WASAFI DIGITAL DEPARTMENT Content Creator/Social Media Administrator @wcb_wasafi Under @diamondplatnumzMuslim World League @MWLOrg_en
3.2M Followers 4 Following An international NGO headquartered in Makkah, with members from all Islamic countries and sects. It presents true Islam and promotes friendship among people.Mohamed hussein 15 @Hussein15Mo
234K Followers 102 Following *Off.Tweeter Acc. Of Mohamed Hussein Mohamed *Simba Sc🇲🇨/National team🇹🇿 *Tanzania best player🥇2016/2017 *Tanzania best defender🥇2021/2022 👉👍 @m15_TvWDN @wdn
5K Followers 1K Following The Women’s Democracy Network is a global initiative of @IRIGlobal with the goal to increase women’s political leadership.Budoi Samuel @budoisamuel
2K Followers 1K Following Preventive Diplomacy | Peacebuilding | Environmentalist | Political Scientist | Youth Programs Specialist |Ambassador Michael Ba.. @USAmbTanzania
61K Followers 38 Following Official account of the U.S. Ambassador to Tanzania. Follow @Usembassytz for updates from our embassy. Terms of Use: https://t.co/iNuAU2xoWI.Happie💕 @Happie_Thom
127K Followers 2K Following Accountant by Pro| Influencer | A Sister and A Friend| Lord is my shepherd🙏| Man City| ⚽⚽| LiveLoveLaugh❤Clatous Chota Chama @ClatousCC
639K Followers 59 Following 🇿🇲 Zambia Soccer National Team Player ⚽Attacking midfielderTRAVELLER @barongodd
632 Followers 207 Following |||Patriotic citizen of URT||Business and financial analyst.| ||Wonderer of Politics of Development ||System and Network Engineer || MBAITHodan Addou @AddouHodan
2K Followers 503 FollowingAU WPS Bineta Diop @AUBinetaDiop
20K Followers 677 Following #AU Special Envoy on Women Peace & Security. I stand for WOMEN: Prevention of SGBV, Protection, Participation & Empowerment. @AWLNetwork Co-ConvenerH.E. Dr. Joyce Banda @DrJoyceBanda
13K Followers 1K Following Former President of the Republic of Malawi. Champion for women and girls in Africa and globally. RTs are not endorsementsSahle-Work Zewde @SahleWorkZewde
573K Followers 38 Following President of the Federal Democratic Republic of EthiopiaEllen Johnson Sirleaf @MaEllenSirleaf
123K Followers 32 Following Former President of the Republic of Liberia, advocate for women and founder of @EJSCenter, Grandmother of 12, local farmer.AWLNetwork @AWLNetwork
16K Followers 6K Following Groundbreaking Women-led Movement supported by @_AfricanUnion & @UN @un_women encouraging women’s leadership across generations in #Africa #WomenLEADMrs Mrusi @Mrs_Mrusi
53K Followers 2K Following One-Twitter Stop for Hijab /Abaya /Hijab Packages🎁|Educator|SalesAdmin| I inspire😍| @abaya_hijabtz | https://t.co/p2QK81sGiQOfficial Kumwembe @OKumwembe
185K Followers 36 FollowingOrest Kawau (MŔ 0Ҡ) @OrestKawau
2K Followers 536 Following CEO LOI Ltd | Event & Weddings MC | Radio and TV Personality |Wasafi Fm & Wasafi TV #Mgahawa #TukutaneTuyaJengeIjumaa 19/4/2024 nimeshiriki katika semina ya “ARU Ladies event, Leading with purpose” iliyoandaliwa na serikali ya wanafunzi Chuo Kikuu Cha Ardhi. Nashukuru serikali ya wanafunzi wa Chuo Cha Ardhi wakiongozwa na Vice President. Mgeni Rasmi alikuwa Mh. Zainab Abdallah DC Muheza
Tarehe 12/4/2024 nimeshiriki kama mzungumzaji kwenye Kongamano la ushiriki wa Vijana kwenye Uchumi na uongozi, kongamano limefanyika katika Wilaya ya Muheza, Tanga katika kuelekea kuupokea Mwenge wa Uhuru. Tumebadilishana uzoefu na mawazo kwenye mjadala mzuri mno.
Siku ya wanawake Duniani 8/3/2024, ambayo kwa Mkoa wa Tanga yaliyofanyika katika wilaya ya Pangani, nilizungumza juu ya umuhimu wa mitandao ya kijamii na masuala ya uongozi katika Mdahalo wa kwanza uliokuwa na wazungumzaji Wanawake wazawa wa Mkoa wa Tanga.
Jumamosi 30/3/2024 nimeshiriki katika semina ya “Binti Na Uongozi’ Chuo Cha Ustawi wa Jamii Nashukuru serikali ya wanafunzi wa Chuo Cha Ustawi wa Jamii kwa kunialika kuwa mgeni mzungumzaji katika semina ya mabinti Mgeni Rasmi alikuwa Mh. Zainab Abdallah Mkuu wa Wilaya ya Muheza
Jana tarehe 11/4/2024 nimeshiriki mapokezi ya Mwenge wa Uhuru katika Halmashauri ya Bumbuli Wilaya ya Lushoto iliyopo mkoani Tanga.
Jumamosi 3/2/2024 nimezungumza ktk Kongamano la “Vijana katika Uongozi”pale Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam. Nilizungumza na vijana juu ya masuala ya uongozi, umuhimu wa uthubutu wa kugombea nafasi za uongozi na mabinti kutunza na kuuthamini utu wao katika safari ya uongozi.
FAHARI YETU WATANGA. Nimefurahi sana kutembelea Makao Makuu ya @CoastalUnited ❤️
@shummymshangama @CoastalUnited The Fox, Wanamangushi
@shummymshangama Hapa kuna Fursa kubwa sana, Ukirudi Dar naomba wasaa wa kuonana tujadili Jambo kwa Manufaa ya Taifa haswa Vijana na Wakazi wa Tanga.
@shummymshangama Excellent, dear sister. Nakuona mtu mkubwa siku za usoni.
@shummymshangama Ivi @shummymshangama unakumbuka kipindi unagombea vice presidaa UDSM ulivokuja mabibo kwa campaign ile usiku nani alikubeba shingoni akawa anakuzungusha block to block?? Mimi ndiye, nakukubali saana way back. Piga kazi mwanangu ila tu usiwe CHAWA.
Tarehe 17/12/2023 nilikuwa mgeni rasmi katika kikao cha Baraza la mwisho wa mwaka la UVCCM la Wilaya ya Lushoto, Tanga. Naushukuru sana uongozi wa UVCCM Lushoto kwa nafasi hii ya heshima, japo nami ni mjumbe halali wa Baraza la Wilaya ya Lushoto na Baraza la Mkoa wa Tanga.
Mwanamke na Uongozi (MnU) as a member of Dodoma SRH accountability mechanism established by options and funded by @roddenberry participated in 2024/2025 Dodoma City Council health planning and budgeting meeting. The meeting was organized by the Council Management Team (CHMT’s).
Tumekuwa na wakati mzuri wa kujadiliana mambo yanayohusu wanawake nchini Tanzania na Waziri wa Maendelo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye mahitaji maalum. Serikali yenu na chama chenu kiko kazini. Kaeni mkao wa kupokea mambo mazuri na yenye tija.
@shummymshangama @Kimkayndo @dvoice_ginni Hongera kwake , Umenitenga sana
@shummymshangama @Kimkayndo @dvoice_ginni Dollar zote hzo umetoa wapiii nyiee ndo mnafichaga hela ndanii
@shummymshangama @Kimkayndo @dvoice_ginni Kuna watu wana machozi ya jirani kweli... 😂😂😂
@shummymshangama @Kimkayndo @dvoice_ginni Aiseee