188
63
2K
79K
1
Download Image
@nyuki_malkia Huwezi Kuwa Utopolo ukawa Mwimbaji Bora hapa Kuna Namna Kura zimeibiwa
@nyuki_malkia Kuna wakazi ,kunaroma,Kuna FA,Kuna Farid,Kuna killer Kuna dizasta hapa hawajaona hata mmoja
@nyuki_malkia Nono o kwanza siyo mwana hip hip huyo kwanini asiwe Roma😂😂😂
@nyuki_malkia Mimi simkubali kabisa, mwana hip hop bora kwangu ni ney wa mitego
@nyuki_malkia Bongo kuna hip hop au wana force tu?