Allah ni mkuu kuliko shida yoyote ambayo maisha hutupa.Allah ni mkubwa kuliko huzuni na mahangaiko yanayokukabili.Allah ni mkuu kuliko dhulma yoyote unayoipata katika maisha haya. Endelea kumwomba Allah, kwani kila unachotamani moyoni mwako kiko mikononi mwake Ijumaa Mubarak.
6
5
200
0
0
Download Image
@mshambuliaji Iwe Mubarak kwetu sote Inshaallah 🤲
@mshambuliaji Kaka iyo dollar tuu mengine tutamwomba allah